UTHAMANI WA MWADAMU DHIDI VIFUNGO VYA NAFSI |Mch.Amiel Katekella

  Рет қаралды 11,136

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@whtv1615
@whtv1615 Жыл бұрын
Haya mafundisho ni deep sana.Mungu ashukuriwe kwaajili ya mtumishi Wake
@felisterligazio7151
@felisterligazio7151 Жыл бұрын
Haleluya, sifa na utukufu ni kwa MUNGU aliyehai kwa ajili ya mtumishi wake Amiel Katekela
@godwillmasheti8073
@godwillmasheti8073 13 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe niko Kenya kitabu nahitaji nifanyeje
@erickrotich2740
@erickrotich2740 Жыл бұрын
GOD bless Apostle Amiel katekela, powerful end time Apostle evangelist, preacher.
@JustinaBoniphace
@JustinaBoniphace 6 ай бұрын
Mtumishi, Mungu wa mbinguni akubariki sana na akutunze
@zilphakalenzo7787
@zilphakalenzo7787 10 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe, nitakipataje hicho kitabu Mt wa Mungu mch katekela nahitaji sana, naomba
@calvinceogara2088
@calvinceogara2088 Жыл бұрын
Very deep teachings indeed. Mungu apewe sifa 🙏
@violetmmbone3373
@violetmmbone3373 Жыл бұрын
You are an angle in foam of a human,,,,,swali ni,,,,uko na watoto wachungaji unao walea?????watoto wako kesho watakua umeme kukushinda,,,,nataka niwe mmoja wao
@nominetjacob8137
@nominetjacob8137 4 ай бұрын
Na kuombea BWANA YESU KRISTO aliye hai akupe maisha marefu yenye baraka na YESU KRISTO aliye hai akupokee milele
@queenesther8505
@queenesther8505 Жыл бұрын
Uyu mchungaji ananibariki sana,Mwenyezi Mungu akulinde mchungaji.❤🎉
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen Amen
@DograsMussa
@DograsMussa 7 ай бұрын
Ameeeeen nabarikiwa sanaa
@kapingalucy2707
@kapingalucy2707 Жыл бұрын
Amen
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 Жыл бұрын
uko juu mtumishi! ila sasa kupokea simu!!! mama weeeee!
@raelnangila3006
@raelnangila3006 Жыл бұрын
Ameeni🙏🙏
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp Жыл бұрын
Mtumishi naomba namba nitumane sadaka yangu
@PROMOVERTVLive
@PROMOVERTVLive Жыл бұрын
+255766294335 unaweza pia kutupata What'sApp kwa hiyo namba
@SifaDorcus
@SifaDorcus Жыл бұрын
Shallom muchungaji Mimi niko uganda Kampala natamani hicho kitabu nita kipata je ?
@naomiogonyo8378
@naomiogonyo8378 Жыл бұрын
Hata kenya tunaomba kukipata hicho kitabu kitubariki.
@EVANGELISTNEWTONEY
@EVANGELISTNEWTONEY 7 ай бұрын
❤amen
@SporerEvelyne
@SporerEvelyne 5 ай бұрын
Where can one purchase that book if you are living in aforeign land is it available online
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 Жыл бұрын
✋🙏🙏🙏💪
@zilphakalenzo7787
@zilphakalenzo7787 10 ай бұрын
Niko Tanzania vinauzwa maeneo gani
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 Жыл бұрын
kumbe nina kifungo cha nafsi hadi wewe mtumishi hujisikii kunisaidia! nimeishakutafuta sana sana lakini husomi hata meseji zangu!Mungu akuguse tu yeye maana ni kupitia kwako nafunguliwa
NGUVU YA NAFSI|UKOMBOZI NA MAMLAKA YA KUZISHINDA|Mch Amiel Katekella
1:05:57
Кто круче, как думаешь?
00:44
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 6 МЛН
PETUNJUK DAJJAL MELALUI MEDIA - USTAZ AUNI
1:44:43
ISLAM DI HATI
Рет қаралды 85 М.
Mch Moses Magembe - KUSUDI LA YESU KUJA DUNIANI | KAGERA 02
2:07:58
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 2,3 М.