No video

MCH.KATEKELA:AINA 5 ZA MAWAKALA WA SHETANI NA JINSI YA KUWATAMBUA NA KUWASHINDA

  Рет қаралды 96,813

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Жыл бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 149
@Soni-lt6oi
@Soni-lt6oi 2 ай бұрын
Asante sana yesu hii mahubiri inanifungua macho kweli ubarikiwe na MUNGU sana mtumishi wa mungu kweli
@BlandinaJonathan-vz5ur
@BlandinaJonathan-vz5ur 3 ай бұрын
Kaka mungu akuinuwe kabisa nakufuatilia kabisa kumbuka dada anakupenda
@JuniorWilliamsMsamo
@JuniorWilliamsMsamo 2 ай бұрын
Barikiwa sawa mtumishi wa Mungu, mahubili yako yamenifungua kwenye vifungo vya ukoo ,kwasasa nipo huru kwa jina la yesu,maisha yangu yamebadilika sana
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 4 күн бұрын
Bwana Yesu atusaidie.
@Mary-wo6ql
@Mary-wo6ql Жыл бұрын
Napenda sana mahubiri ya Katekela, nimejifunza maombi ya vita kupitia mafundisho yake yenye upako. Asante Promover TV nawafuatilia kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪
@samuelsscjtv1178
@samuelsscjtv1178 Жыл бұрын
Mombasa is Watching
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtũmĩshĩ wa Mungu
@joshuakimario5764
@joshuakimario5764 8 ай бұрын
​@@samuelsscjtv1178mahubiri yako ni mazuri sana amen
@ceeyceey5927
@ceeyceey5927 7 ай бұрын
❤❤
@shilicanamedia5973
@shilicanamedia5973 Жыл бұрын
Mchungaji Nashauri Mungu akikupa Nafasi uandike Vitabu
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Vitabu vipo na vinapatikana kwa buku 6 toleo la kwanza toleo la pili ndio wanamalizia kuedit na kuprinti
@emmykyando
@emmykyando Жыл бұрын
Amen Amen Amen 😇
@priscahshemkunde7256
@priscahshemkunde7256 Жыл бұрын
Amina baba katekela ubarikiwe Sana nimekufuatilia tangu mwanzo mpaka Leo jina la bwana libarikiwe kwa mtumishi huyu nimejifunza mengi mno
@northsouth9475
@northsouth9475 Жыл бұрын
Amen Amen, Asante mtumishi Amiel kwa mafundisho, ushuhuda na maombi
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 Жыл бұрын
Amen Amen Baba yetu wa mbinguni anaweza mambo yote hata wafu anafufua Yesu wetu, nikumbuke kwa maombi mtumishi wa Mungu ninapitia magumu mengi nikumbuke kwa maombi
@josephmushi7097
@josephmushi7097 Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa huduma
@user-pe3jq4ti8c
@user-pe3jq4ti8c 6 ай бұрын
❤❤Ubarikiwe mtumishi😊😊wa Mungu😊😊❤❤
@user-bt7pq9mz7f
@user-bt7pq9mz7f 4 ай бұрын
Mchungaji mungu akubariki sana Kwak kulisaidia kanisa tupone nimebarikiwa sana mafundisho yako mch
@marynimmo2399
@marynimmo2399 Жыл бұрын
Amina,napokea baraka zangu na kufunguliwa katika jina takatifu la yesu Kristo 🙏
@EstherPaulo
@EstherPaulo 20 күн бұрын
Amen
@LodvolaLameck-jl5vs
@LodvolaLameck-jl5vs Жыл бұрын
Mafundisho mazuri kabisa ❤Promover TV na Mch Katekela
@ErrraMalogo
@ErrraMalogo 3 ай бұрын
Aposto mungu akutunze, uendelee kutupatia maarifa ya kuijua injiri ya kweli na haki
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 8 ай бұрын
Amen mchungaji natoka Kenya mafundisho yako ni mazuri yanatufungua macho ubarikiwe sana
@user-in6eg5np7l
@user-in6eg5np7l 8 ай бұрын
Ushuhuda huu umenifundisha, ukiwa na Yesu ni shujaa. Glory to God, kweli Mungu ni mkuu
@jacklinegatwiri635
@jacklinegatwiri635 8 ай бұрын
Asante kwa mafudisho Mungu akulinde sana pastor 🙏🙏🙏 Amen Amen
@user-pv5yr3kk3b
@user-pv5yr3kk3b Жыл бұрын
Napenda Sana mahubiri ya mchungaji katekela
@sundayherrieth9460
@sundayherrieth9460 Жыл бұрын
Me nakuelewaga tuu Mtumishi wa Mungu
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Yesu ni mwema sana. Nampenda Yesu aliyenifia
@calvinceogara2088
@calvinceogara2088 Жыл бұрын
Amen and Glory to our Almighty God, Jesus Christ and The Holy Spirit. Everytime I learn a lot with more revelations from the teachings of the servant of God pastor Katekela. Many thanks and may the Lord richly bless the Promover team for the good work. Shalom 🙏🙏
@dianamsuya7123
@dianamsuya7123 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 👏🏼👏🏼
@mauriciocristianomardes6295
@mauriciocristianomardes6295 Жыл бұрын
Amina, MUNGU akutie nguvu mtumishi..🇲🇿
@BLESED-CHANNEL
@BLESED-CHANNEL Жыл бұрын
AMEN AMEN BE BLESSED PASTOR
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Yani na mie niliota kuusu Shule na mtoto kufa Aisee maisha yangu yalikuwa nashukuru nimeokoka, na mungu bado anaendeleaje kunitoa, ni mbaya sana
@etoabwe3451
@etoabwe3451 Жыл бұрын
Bwana yesu akubariki Mtumishi kwa ushuhuda wako umenibariki sana
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda asante kwa kutufundisha kuhusu vita na mawakala wa shetani hili ni somo zuri sana kwangu
@user-tk7ew2re5c
@user-tk7ew2re5c 11 ай бұрын
Mungu azdi kukuvusha mtumishi barikiwa sana
@hellendiana625
@hellendiana625 Жыл бұрын
Amen, amen, amen for that
@wesongamildred5618
@wesongamildred5618 Жыл бұрын
Amen GodAlmighty
@user-eq9hl9vg2x
@user-eq9hl9vg2x 8 ай бұрын
Mungu atusaidie sanaa kwa kwakwel
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Mungu akusaidie Usimame Imara
@aaronswai3092
@aaronswai3092 Жыл бұрын
Mungu akubariki na kukulinda sana Mch. Katekella.
@user-hi4kt7sg1k
@user-hi4kt7sg1k 5 ай бұрын
Muguakubarisana Akuogezey Nguvuiriuedereye Kuhubiriijiriyake
@MsLustone
@MsLustone Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@WilliumNgunda
@WilliumNgunda 4 ай бұрын
Asante sana nimekuelewa
@dadafrida9202
@dadafrida9202 Жыл бұрын
Asante saana mtumishi wa Bwana
@etoabwe3451
@etoabwe3451 Жыл бұрын
Nashukuru kwa kazi hii mnayo ifanya Mungu awatie nguvu natuma nusu ya pesa iendeleze kazi ya Bwana nilituma kwa jina la Jacktan Msafiri
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 4 ай бұрын
Ubarikiwe Sana sana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen Amen Ameeeeen
@mariamMtega
@mariamMtega 7 ай бұрын
Mh kwakweli ,mungu anisaidie
@rukundoesperance3663
@rukundoesperance3663 Жыл бұрын
Amen amen 👏
@user-gj2qy5lk2q
@user-gj2qy5lk2q Жыл бұрын
Ameeeeeeeen
@neemajoseph9109
@neemajoseph9109 Жыл бұрын
Ameni hakika nimebarikiwa Sana na neno la mungu na mch,amieli katekela ameni ameni nimepokea kila kilichoibiwa kinachoitwa kwajina langu
@user-dp1xv8ik1c
@user-dp1xv8ik1c 6 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@daimavlog
@daimavlog 7 ай бұрын
Na mimi nilishasikia hizo kunena kuwa hazinibariki kabisa, nikiangalia mahubiri alafu mtu anene hivyo natoka. Asante Mchungaji unaupako wakweli
@aluvinaalex
@aluvinaalex Жыл бұрын
Nashukur kwaunduma mung u azidi kukutumia
@DIGNAJASTIN-dl8yj
@DIGNAJASTIN-dl8yj 11 ай бұрын
Mtumishi ubarikiwe sana
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 Жыл бұрын
Amen Amen
@selinajakoyo7320
@selinajakoyo7320 Жыл бұрын
Mama kanumba aone hii kumbe zumarid anasem kwel kanumb yupo
@MpanduMadobo-mi6re
@MpanduMadobo-mi6re Жыл бұрын
Nice
@user-zz9gr1vd9h
@user-zz9gr1vd9h 10 ай бұрын
Injili nzuri sana hii inafundisha watu kumjua Mungu wa mbinguni Barikiwe sana mtumishi wa Bwana
@user-eq9hl9vg2x
@user-eq9hl9vg2x 8 ай бұрын
Mungu azidii kkutunza mchungaji katekele nakupenda sanaa mungu azidii kuwa upande wako siku zotee za maisha yako
@Ntirampeba
@Ntirampeba Жыл бұрын
Amina Baba naomba unisaidie uniombeye
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Hii Hatariiii sanaaaaa
@user-sp7cm8pm4w
@user-sp7cm8pm4w 7 ай бұрын
Ameeeeen
@user-hi4kt7sg1k
@user-hi4kt7sg1k 5 ай бұрын
Nashukuru Kwamahubi
@user-yk7ih2ri1g
@user-yk7ih2ri1g Жыл бұрын
Ameeeeeen
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa 3 ай бұрын
Ubarikiwe kutufungua
@TheodosiaSangka
@TheodosiaSangka Ай бұрын
😟😥🙄lakini ni kweli ameokoka! Bado najiuliza hebu atuambie alianzaje kuokoka nini kilimshawishi?
@user-dx3or3vy5e
@user-dx3or3vy5e 9 ай бұрын
Amen kubwa
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@jenimarymgwilanga7924
@jenimarymgwilanga7924 Жыл бұрын
Naomba no yak mch kunavt nahtaji maelekezo maanakuna mambo fulan naona hayak sw
@E.emillymillyBlessings
@E.emillymillyBlessings 3 ай бұрын
Tangu nianze kufuatilia mcungaji huyu nimegundua vile nimekuwa na mateso mengi kwa maisha na sasa nimefunguliwa kwa jinaa Yesu God bless you mtumishi wa Mungu mimi nilikuwa nimemezwa na akina Kanumba but now am free from being a pagan and a Christian
@PaulinaMajengo
@PaulinaMajengo 2 ай бұрын
Ameni toa ushuhuda watu wapone
@pascalumira7271
@pascalumira7271 Жыл бұрын
Ni kweli MUNGU yule yule ila ufamu ya MUNGU kiwango ni tofauti,ufahamu kitella ni kiwango tofauti
@user-lf6ti3ie7l
@user-lf6ti3ie7l 4 ай бұрын
Anayepinga mafundisho ya mtumishi wa Mungu Katekela niwakala wa shetani apigwe
@Tumu-zr2ez
@Tumu-zr2ez Жыл бұрын
Twashukuru Kwa kutuelimisha
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Duuh Katoliki kweli wakae Macho kuna vingi vinavutana na Kule Kuzimu
@mwavithaniyburana932
@mwavithaniyburana932 14 күн бұрын
Mutupe namba zako
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Umrudie Mungu
@anethpatroba3401
@anethpatroba3401 Жыл бұрын
Kivp acha utoto we ndo umrudie mwenyez mungu
@carenatieno561
@carenatieno561 Жыл бұрын
Amina na Amina neno hilo limenijenga kwa kiasi kikubwa
@MaaDii-iz3ur
@MaaDii-iz3ur 5 ай бұрын
Ukweli kabisa sas nmepata picha kamili ya kanisa yenye naabudu, nkama waongelea hio sahio sahii,hio luga ya ribobo Shakira sjui nn mtumish huongea before atoe unabii
@magrethtuma5843
@magrethtuma5843 Жыл бұрын
Yan hapo kwenye ndoto nmm kabis,nikiota hivy pesa znapotea ninachfany hamna, ugomvi kazn kila ninachokifanya bosi haon kizuri vyote ni makosa
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa 10 ай бұрын
Kupitia hili nitarejewa na nguvu za maombi
@user-wn1ux1eb7l
@user-wn1ux1eb7l 9 ай бұрын
Lazima tujue mbinu za maadui zetyu
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 7 ай бұрын
Mimi siamini shetani anawezaje fanya miujiza kwa Utukufu Mungu?
@jenimarymgwilanga7924
@jenimarymgwilanga7924 Жыл бұрын
Naomba no yak
@RendoniAndrea-by8qz
@RendoniAndrea-by8qz 8 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtu wa mungu
@E.emillymillyBlessings
@E.emillymillyBlessings 3 ай бұрын
KAZI INGINE YA KANUMBA KUSHAWISHI WATU KUINGIA FREEMASONRY KWA NDOTO ALIWAHI NIKUJIA 2019 KWA NDOTO NAMKEMEA KWA JINA LA YESU😢
@PaulinaMajengo
@PaulinaMajengo 2 ай бұрын
Daaah Mungu akutete hakika
@E.emillymillyBlessings
@E.emillymillyBlessings 2 ай бұрын
@@PaulinaMajengo Amen 🙏🙏
@madamtemu4167
@madamtemu4167 Жыл бұрын
Mchungaji anahubiri toka wapi jamanii??ningependa kwenda
@etoabwe3451
@etoabwe3451 Жыл бұрын
Natuma kanusu ka angalao kwa ajili yakuendeleza kazi hii y’a promover tv nilituma kwa jina la Jacktan msafiri
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw Жыл бұрын
Jambon mutumishi wamungu nimesikiya kwaanjili ya marastan, nalomba uniungoze kunjuwa meshe nzuri isiyo toka kwa wacawi. Piya ndauliza piya. Kusukiwa bisoko bian Uzi nivibaya? Tafazali Nalomba njibu?
@gracebura7713
@gracebura7713 11 ай бұрын
Siku za mwisho zimefika siri inafichuliwa
@neemambise8941
@neemambise8941 9 ай бұрын
Wafichuliweeeeee kwa jinala Yesu
@user-tk7ew2re5c
@user-tk7ew2re5c 11 ай бұрын
Mtumishi naomba kuuliza swali, kuhusu dawa tunazo weka kichwani zenyewe azina mazara
@atulindakanuma4144
@atulindakanuma4144 Жыл бұрын
Namna ya kumjua uyo wakala
@restkalemile5274
@restkalemile5274 Жыл бұрын
Sasa ni saa ya matayarisho, bwana yu karibu sana..... Yapasa Injili ya toba na kujitakasa mda umeisha sana si mengineyo ni kujichosha kwa mengi
@juniorwiseprophet1240
@juniorwiseprophet1240 Жыл бұрын
Duuuh unamaana gani
@doreenmwakisyala7052
@doreenmwakisyala7052 Жыл бұрын
Amen... Lkn ni Bwana na sio bwana
@yusteraureus8803
@yusteraureus8803 Жыл бұрын
Mtu akiota ndoto kama hiyo ya kufiwa mtoto au mama nifanyeje ili kujiokoa?
@user-ld7vr2uf5p
@user-ld7vr2uf5p 5 ай бұрын
Hv kw maajenti wa kike kanisani wanakaaje
@user-ld7vr2uf5p
@user-ld7vr2uf5p 5 ай бұрын
Samahani nataka kufahamu mtu ak8zaa mtoo inabidi kitovu aweke wapi na anenaje???? yuu uju yakitovu hicho
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Hayo ni mafundisho potofu,maana mahali alipo Mungu,maana yake anasifiwa Mungu peke yake, nataka nikwambie wafundishe watu kweli ya Mungu, kwa mahubiri hayo unampa shetani sifa na hapo ni giza tupu hapana Mungu,
@riddi676
@riddi676 Жыл бұрын
You are not to be ignorant of the enemy’s plots to destroy you. “Lest Satan should take advantage of us; for we are not ignorant of his devices.” 2 Corinthians 2:11
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Kama ukifatilia mahubiri ya huyu mchungaji na hujafunguliwa na roho mtakatifu utamchukulia kama unavyo mchukulia, lakini huyu mchungaji anakufanya unajitambua wewe ni nani na unaishi Dunia gani? tulio wengi tulikua tunaishi kimsukule jipe muda fatilia mahubiri yake vizuri utamwelewa.
@halaali25
@halaali25 Жыл бұрын
Anaempinga katekela ni wakala wa shetani ,usichokijua nini apo,
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 4 ай бұрын
Mhmmmm pole sana
@JoakimuKavusha-bg5xr
@JoakimuKavusha-bg5xr 4 ай бұрын
Mungu nimwema kwakweri
@user-pv5yr3kk3b
@user-pv5yr3kk3b Жыл бұрын
Nitakupataje mtumshi Nina shida nyi ngi nitaka uniombee
@perufamily6941
@perufamily6941 Жыл бұрын
mbona video imeondolewa?
@kakanicodemus3632
@kakanicodemus3632 Жыл бұрын
Ipo live
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Ipo hadi leo
@pascalumira7271
@pascalumira7271 Жыл бұрын
Sorry ufahamu yako mutumishi wa MUNGU, kuhusu MUNGU na mahali ulikotoka inakupa nafasi ya kuaminika
@mamasmartcollection7063
@mamasmartcollection7063 Жыл бұрын
Inakuwaje mchungaji awadundishe watu uchawi,badala ya kuwafundisha watu habari za ufalme mbinguni? hakika inaumiza sana na hao watu kwa kukosa ufaham Ameniiiii yaani nimeumia sana kuskia mafundisho potofu ya namna hiyo,hakika Mungu awafungue ufaham mpate kujua kinachoendelea nyuma yake,kwa ma fundisho hayo amini nawaambieni mtaangamia,nasema geukeni mmrudie Mungu kwa toba,mmepigwa upofu bila hata kujielewa Mungu awarehem sana maana hamjui mlitendalo 🙏🙏🙏
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Wewe unaumwa upime akili jamaa yangu,ipo siku utalopokaa yasiyo
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Mama mbona sipati lijiki yako kwenye haya mafundisho? au unasali Romani Katoliki? maana ukisali kwenye hilo dhehebu la Katoliki huwezi kuwa na ufahamu hata wa mwili wako binafsi akili yote inakua kwenye Sanamu la Bikira Maria na Kumtukuza Papa kama Baba Mtakatifu badala ya kumtegemea Yesu na Roho wake Mtakatifu ili kuutambua ulimwengu wa Kiroho. Hii ni Injili inayo ambatana na Shuhuda na jinsi yakujitoa katika Malango ya Kuzimu, omba Roho wa Bwana akufungue utamuelewa tu.
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 Жыл бұрын
Mama smart! Hujalazimishwa kusikiliza. Ukiona hayakufai achana nayo sisi twataka kupambana na adui tunaemjua pamoja na mbinu zake.
@amosipaulo2490
@amosipaulo2490 Жыл бұрын
Shida ya wanadamu hasa wa huruka kama yako hawajui hata kutofautisha mafundisho ya Mungu na ya shetani,huyu mtumishi wa Mungu anatueleza kile ambacho hatujawai kukijua toka tumekuwa makanisani,hivyo ni vizuri kumjua adui yako na mbinu ya kumkabili kwa jina la Yesu Kristo aliye hai,Mungu akufungue macho mpendwa.
@sundayherrieth9460
@sundayherrieth9460 Жыл бұрын
Huwezi kupigana na adui usie mjuwa, makasiriko yako yawezekana neno limekugisa
@user-sk4mt4hd2b
@user-sk4mt4hd2b Жыл бұрын
Wewe hubiri injili acha kuhubiri wachungaji wenzako,...ovyo tu,umezinguwa
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 4 ай бұрын
Pole sana
@dorissamwel4575
@dorissamwel4575 3 ай бұрын
@mauriciocristianomardes6295
@mauriciocristianomardes6295 Жыл бұрын
Amina, MUNGU akutie nguvu mtumishi..🇲🇿
@jescajesca2786
@jescajesca2786 Жыл бұрын
Kweli mchungaji wazidi kunifungua mungu akubalik
@jovinathafidel8591
@jovinathafidel8591 Жыл бұрын
Mungu Akubariki sana mtumishi wa Mungu unazidi kutuimarisha ktk vita vya kiroho
@user-iu4du7ws6s
@user-iu4du7ws6s 7 ай бұрын
Mimi siamini shetani anawezaje fanya miujiza kwa Utukufu Mungu?
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 33 МЛН
THAMANI YA WOKOVU; MWINJILISTI AMIEL KATAKELA.
31:51
NY TV
Рет қаралды 9 М.
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 7 М.
JINSI YA KUTAMBUA SAUTI YA MUNGU NA KUIFATA.
1:05:48
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 201 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН