Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : / gospeltvshow Instagram : / chomozanews KZbin : kzbin.info?su... #ChomozaTv#GospelUpdates#2020
Пікірлер: 75
@deoonline_42123 жыл бұрын
Great and amazing teachings....!. This is the kind of teaching that everyone need to hear.
@omaryabdallah66693 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii ya kuvunja roho za maji kwa jina la yesu kristo mim na familia yangu na uzao wangu amen
@bonabonala55593 ай бұрын
amina baba mungu anakutumia ipasavyo emeni
@user-tc6wd9xv9l5 ай бұрын
Naomba maombi yako Baba niweze kuwa na mafanikio katika maisha yangu
@saida50912 жыл бұрын
This is powerful teaching Prophet Clear Malisa.
@festoelias78842 жыл бұрын
Ubarikiwe na Bwana prophet
@allykramadhan20623 жыл бұрын
I feel blessed to see you my father
@lissahemanuel89533 жыл бұрын
Emen papaa unatubariki Sana na MUNGU akupe siku nying na baraka tele azid kukutumia kw viwango vya juu sana kadri ya uweza wake
@user-pp3uk6yb2p22 күн бұрын
I understand you prophet , very good.
@NaomiKassano-vq5gi10 ай бұрын
Asante prophet nimebariwa
@user-dt8qp6de1x8 ай бұрын
Nimebarikiwa prophet🙏🏼
@festoelias78842 жыл бұрын
Amina, hakika nimebarikiwa na neno hili
@user-kb8wv6kg8g11 күн бұрын
Nimebarikiwa mtumishi
@davidmaina7972 жыл бұрын
God bless you Niko Nairobi
@asuzsports9692 жыл бұрын
Nimebarikiwa prophet
@beatricejohn16592 жыл бұрын
Mungu akuzidishie ulinzi daima uzidi kutufundisha kweli yake...Ubarikiwe mtu wa Mungu
@chausikuzahoro34833 жыл бұрын
Yaani hii kweli ni siri nzito, uzidi kubarikiwa Papaa
@Jawmann Жыл бұрын
Angeline W K Ameeeen mtumishi wa Mungu mafundisho mazuri more anointing tuombee sana
@gracejoseph3292 Жыл бұрын
Nimebarikiwa tena nimejifuza mengi barikiwa
@neematweve3150 Жыл бұрын
Amina nabii mungu akudhididhie toka nilipo fika kwenye ibaada yako makambako ninaona baraka zao.asantee Sana baba.
@joyigo14813 жыл бұрын
mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine zaidi nabarikiwa sanaa
@user-oc9bv3xc2y4 ай бұрын
naomba hekima kutoka kwa mungu alio hai anibaliki kupitia mtumish wake malisa
@julianlaurent21073 жыл бұрын
Mungu akuweke na baraka nyingi
@belindakepher9552 жыл бұрын
Nimrkuelewa Sana Nabii wa Mungu
@JoseKaduma2 ай бұрын
Nakukubali sans baba
@rizmarkabraham28903 жыл бұрын
Be blessed man of God
@amosjeremiar80063 жыл бұрын
Barikiwa sana
@bahatijohn19582 жыл бұрын
Asant Sana Nabii Mungu akubarik sana
@enlivenmlacky87652 жыл бұрын
Baba nimebarikiwa naomba kufunguliwa na mungu wako
@aidaniseleman74302 жыл бұрын
Naitwa aidan niko mwanza nimebarikiwa sana ntakuja daa
@davidruwaichi3032 ай бұрын
Naitwa David Stanislaus nimebarikiwa baba Mungu azid kukulinda
@vickydomi33383 жыл бұрын
Powerful papa!
@PromiseNdongeDina2 жыл бұрын
Nimebalikiwa nikweli kabisa Nabii wa Mungu maombi mengi hayabadiliahi roho ya maji naomba Sana navunja nakusambaratisha lakini kila kukicha nazidi kurudi nyuma hata kuuza nyumba naviwanja nimebalikiwa sana
@greetysiame1091 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana ,amen
@asifiweuswege23283 жыл бұрын
I feel blessed
@OmarOmar-gm9zc2 ай бұрын
Naomba uniombee sinakazi niikomboe familia yangu nabii
Nabarikiwa sana nikihuzuria ibada kanisani kwako natamani na Mimi uje unitabilie
@faithamennatamanisanakuona18423 жыл бұрын
Niko kenya natamani sana unipatie number yako please please please
@deoonline_42123 жыл бұрын
Kama unahitaji no yake nicheki inbox nikutumie. Karibu Tanzania.
@user-dt8qp6de1x8 ай бұрын
Hakika ww ni mwalimu…. Mungu akulinde😢
@HusnaRamadhani-fd7nt2 ай бұрын
Ameen 🙏🙏🙏
@PromiseNdongeDina3 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu wewe nimtumishi wa Mungu kabisa Kwanza unafundisha tunakuelewa kabisa
@ShainiBravoh10 ай бұрын
🎉
@ShainiBravoh10 ай бұрын
🎉
@elishasaimon9502 Жыл бұрын
Amen Amen
@gleadchaula8504 Жыл бұрын
nime balikiwa sana baba sasa nitawezaje kuzishinda izo loho
@christopha4106 Жыл бұрын
Kwan wapendwa tutawajuaje manabi wakweli du mungu atusaidie
@agnesalex47613 ай бұрын
Ukweli nisiri nzinto sana nimebarikiwa
@beatricethebosslady6155 Жыл бұрын
Amen
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
Uumbaji unaoripotiwa mwanzo Ni uumbaji wa pili. Malaika na mapepo walishakuwepo wakati wa uumbaji huo wa pili unaoelezewa kwenye mwanzo. Maji yameumbwa hayawezi ku co-exist na Mungu. Wala Giza haliwezi ku co-exist the same day na Mungu. Maana Mungu Ni wa milele vingine vyote vimeumbwa na vinamwanzo na Mungu anauwezo navyo. Mapepo yapo ya Aina mbalimbali mengine yapo kwenye maji,angani,mapango miti mikubwa kwenye miili ya watu etc. Maombi na mafundisho katika jina la Yesu yana uwezo ya kukufungua na kukuweka huru
@samwelngabuji2243 жыл бұрын
powerful
@robertnkyalu99273 жыл бұрын
Nimefurahia kukusikiliza
@wahdasaleh56042 жыл бұрын
🙏🙏
@wenserwegoshora46793 жыл бұрын
Good papa
@greysonmwasamengo55563 жыл бұрын
Nimebarikiwa.mtumishi wa Mungu
@marypanga92913 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaa
@mapinduzimaseke27632 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mm nipo mwanza kwa majina naitwa Diana naomba maombi yakutosha ili nifunguliwe
@beatricethebosslady6155 Жыл бұрын
sisi ambao tupo canada tunaweza tukazungumza na wewe kupitia namba gani
@beatricejohn16592 жыл бұрын
Nipo nikija Dar nitakuja kanisani ..haya maroho ya leviathan yananisumbua sana
@UkweliMinistries3 жыл бұрын
God made the waters also. It is why the the Bible says, he created the heaven and the earth. Meaning he created water as one of the first elements also. The scripture says the earth was void, but this was when he already created the earth. Meaning, he created the waters. Saying water is co-existent with God, sounds a bit blasphemous.
@deoonline_42123 жыл бұрын
Kindly tell us which day was water created. Give us also the verse.
@UkweliMinistries3 жыл бұрын
@@deoonline_4212 If you have a mind you will understand. Ask God for the understanding of scriptures. It is also a gift.
@ruthnimanje72462 жыл бұрын
Sauti ipo chini
@allymwaigonela53802 жыл бұрын
Roho ya maji
@bahatijohn19583 жыл бұрын
Iyo Maro sokotomodo ndo nin pr hapo sijaelewa
@magrethonesmo75542 жыл бұрын
Amenena kwa lugha(speaking in tounge)
@suphiapatson35412 жыл бұрын
Najikuta napata vitu vipya
@irenemabala75602 жыл бұрын
Amen
@pendokawau44193 жыл бұрын
Nice papa
@tumainimanga9233 Жыл бұрын
Mungu Akutie nguvu mtumshi
@agnesschristian2894 Жыл бұрын
Nice papa
@franziscatonga29922 ай бұрын
@@agnesschristian2894mungu akuongezee miaka mingi yakuishi