Amen.....Hili somo haliishi hamu kulisikiliza..yupo Mungu mahali hapa.
@SifuPetro4 ай бұрын
baba unanibariki kwa mafundisho mungu aendele kukutumia nakupenda.
@christinawilliam687411 ай бұрын
NABII MWANA WA MUNGU MUNGU AKUTUNZE BABA umekuwa baraka Sana kwetu
@zururaafricasafaris10 ай бұрын
May our God keep protecting you Prophet. You are Professor of Prophets
@AnitherPhanuel11 ай бұрын
Nabii ni kinywa cha Mungu . Na siku zote Mungu humtumia kusema Mambo yaliyo sirini. Nimedumu kufuatilia masomo yako nabii hakika nabarikiwa na ninavuka mahali nilipokwama.
@christinawilliam687411 ай бұрын
HALELUYA UTUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI NA DUNIANI UTUKUFU WAKO UENEE KWA WATU WOTE ULIYETUYETURIDHIA NA KUTURUZUKIA KWA UPENDELEO HUU KUPITIA MWANAO WILLIAM PRINCE ASANTE TUNAKUPENDA JEHOVA NIKO AMBAYE NIKO
@tinapaschal925910 ай бұрын
Mungu akutunze baba,tuendelee kumjua yeye zaidi, na tuendelee kuwa na uelewa zaidi, maana unatufundisha mambo ambayo yanatuvusha. Barikiwa sana dea Dady.
@DeborahMichaelPaul-gc1gp5 ай бұрын
Mungu hakika unasema yaliyo wadi kuhusu maisha yetu
@AnitherPhanuel11 ай бұрын
Kwa nabii majibu yote yanapatikana
@christinawilliam687411 ай бұрын
NABII wa BWANA MUNGU anekuleta kwa wakati sahihi kwa ajili ya watu wake Mambo haya hatukuyajua tangu mwanzo tuliambiwa ndoto huja ispokuwa kwa uchovu wa kazi nyingi
@christinawilliam687411 ай бұрын
Mm hii NI Kali KUMBE ulimwengu wa ndoto ndio uliobeba ulimwengu wa mwili kweli MUNGU hiuyafunua Mambo yasiyojulikana na yakawekwa wazi leo nimegundua Jambo kubwa Sana Asante MUNGU WA MBINGUNI kwa NABII WILLIAM PRINCE Endelea kumtumia.