Pt5_Niligundua nimeolewa na jini baada ya miaka mingi na nikashindwa kumuacha|USHUHUDA WA Aps.Zizi

  Рет қаралды 2,743

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Күн бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.13322701
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 13
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 2 күн бұрын
Mungu atabaki kuwa Mungu,,ndio msemaji wa Mwisho kwa Kila Mwanadamu mwenye pumzi,,Tunaomba mturushie part zote kwenye group la Mtumishi Amieli nimeiona part 1 tu,tuwatumie na wengine Amina
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 9 сағат бұрын
Huyu mtumishi anazungumza kuhusu maisha yangu hayo ya kiroho na namna naweza kuota ndoto za ukweli na kuona maono na pia niliwah kutaka kaibiwa kichawi vilevile
@LizBobo-d8y
@LizBobo-d8y 2 күн бұрын
Yani shida juu ya shida bila YESU utoboi
@LoFi_120
@LoFi_120 3 күн бұрын
Part 6 wap?
@AgathaIsdory
@AgathaIsdory Күн бұрын
Muendelezo tafadhali. Mbarikiwe
@rerisamba
@rerisamba Күн бұрын
Ukiwa na mdomo zaa nzingine inasaidia
@shadrachkamyori9911
@shadrachkamyori9911 Күн бұрын
Kama watu wangejuaaaa ujanja ujanja wa shetani....aisee Embu angalia uzubaifu mwingi na sarakasi namna hiyooo bado tu mtu hastuki tuuuuuuuuu. Jamaniiiiiiiiii
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 9 сағат бұрын
Kazi ya shetani ni kuua na kuharibu na kuiba
@rerisamba
@rerisamba Күн бұрын
Azizi umenifanya sijalala jana usiku
@LizBobo-d8y
@LizBobo-d8y 2 күн бұрын
😂😂😂 eti tunamsengenya,unamsengenya jini mama
@SelestinaHamis-dw1gs
@SelestinaHamis-dw1gs 9 сағат бұрын
Mbona wachawi hawaibi ela bank
@elijahmuthoka6566
@elijahmuthoka6566 Күн бұрын
Part 6 please
@PromovertvTz
@PromovertvTz Күн бұрын
APOSTLE ZIZI: kzbin.info/aero/PLXTmPgeqbJ0mtT0Y1-K7-lt0Jo3lHCotB
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 133 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 4 МЛН
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
Issack Mzava
Рет қаралды 11 М.
DALILI ZA KURUDI KWA YESU ( 02 ) Rabbi Abshalom Longan •RUNZEWE GEITA
50:30
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
Рет қаралды 92 М.
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 133 МЛН