MENEJA DING'ANO ALIVYO MCHANA DUDUBAYA BAADA KUIPONDA NYIMBO YA HARMONIZE "I MADE IT" BOBBY SHMURDA

  Рет қаралды 6,643

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 45
@AlinaniSiame-yq1nk
@AlinaniSiame-yq1nk 2 ай бұрын
Ding'Ano you said the truth about harmonize keep up work kkkkkk 🎉🎉🎉🎉🎉🇿🇲💤
@DjumaShabani-d6w
@DjumaShabani-d6w 8 ай бұрын
dudubaya fala kweli mbona wabongo Kama munaubaguzi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️🇺🇸🇿🇦 kondeng for life djuma shaban leaving in cape Town
@baysomapea500
@baysomapea500 8 ай бұрын
Hawa ma blaza wameitoa mbali sana bongo fleva wanaitaji heshima
@nsabimanadominique3907
@nsabimanadominique3907 8 ай бұрын
HATA MIMI SIKUPENDA ALICHOKISEMA DUDU BAYA. DUDUBAYA NI LEGENDARY ANGEPASHWA KUTOWA MOTIVATION SIYO KUPONDA
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 8 ай бұрын
Akimponda Diamond mnasema kaongea vzr Kwakua kamponda Harmonize mnachukia Acheni makasiriko mashabiki wa Kiba. Tunajua wengi wanaomshabikia Harmonize ni mashabiki wa zamani wa Ali kiba. Na sababu kubwa ni chuki zenu kwa Diamond. Ingawaje Diamond hakuna alichowakosea. Shida ni mafanikio yake tu.
@georgenzai1355
@georgenzai1355 8 ай бұрын
​@@kilungahamis1270tenda ukatafute pesa acha kutokwa na povu leupe....
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 8 ай бұрын
@@georgenzai1355 pesa ninayo zaidi yako, nyie masikini kazi yenu kuwachukia walichonacho.
@georgenzai1355
@georgenzai1355 8 ай бұрын
@@kilungahamis1270 kama ungelikuwa unapesa ungelikuwa kila ukitembea Matako inalia firimbi 🤣🤣🤣🤣🤣.. Kama ni Matako unayo sikataki but pesa🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 8 ай бұрын
​@@georgenzai1355 matako unayo wewe, mi nnamakalio. Mtoto wa kiume unaongeleaje matako. Au utakua jinsia nyingine nisije kufanya kufuru 😂😂
@JamesMwandoje
@JamesMwandoje 8 ай бұрын
Dudu baya...anaumwaaaa ko sio kosa lake....
@benardmatano142
@benardmatano142 8 ай бұрын
..Dudubaya hujaongea vizuri,, ila sio kwa ubaya ni lugha huelewi
@JohnBanda-q3z
@JohnBanda-q3z 8 ай бұрын
Dudubaya amesha changanyikiwa 😂😂😂😂😂
@coolbz133
@coolbz133 8 ай бұрын
😂😂😂 PTV mukiacha kumhoji dingano siangalii tena PTV ndingano anachemsha game ya mziki kisha huwapa pressure wasanii ili watoe ngoma nzuri much love for PTV and dingano
@SurprisedAstrolabe-id9gc
@SurprisedAstrolabe-id9gc 8 ай бұрын
Huyu Dudunyoko hata hajui kutamka jina Shmuda, anasema Shumuda. Mzee wa hovyo sana
@BarakaGona-sb8iq
@BarakaGona-sb8iq 8 ай бұрын
😂😂😂 jamen wazee wanakufa kwa imade it
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 8 ай бұрын
Ducu Baya na H Baba wako sawa kabisaaaa
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 8 ай бұрын
👈👉 sisi tulieenda Cuba 🇨🇺 tumeelewa 😂😂
@vincentmomanyi-pg1rv
@vincentmomanyi-pg1rv 8 ай бұрын
Uyu dingano yko njaa sana kichw Jake ovyosan
@baysomapea500
@baysomapea500 8 ай бұрын
Uyu ajui chochote kuusu bongo fleva
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 8 ай бұрын
Mie simjuwi koniki upo sahihi
@DjumaShabani-d6w
@DjumaShabani-d6w 8 ай бұрын
dudubaya kuma kweli
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 8 ай бұрын
Unaviweza vita na dudubaya ?
@Mejaclub
@Mejaclub 8 ай бұрын
Dudu baya unazeeka vbaya, Kijana anajaribu na unamvunja moyo,sitakuvunjia heshima maana umezeeka ila ujuetu haujaongea vizuri.konde ni mupambanaji na inafaa tumupongeze.
@JeremieKambale-kf7gq
@JeremieKambale-kf7gq 8 ай бұрын
Mbona konde boy kacha wambiya tu kitambo yakwamba acheni machawa waongeye so waki teleza muna waita ma fala
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 8 ай бұрын
Tatizo anawahoji mavuta bangi
@gourmetmasters910
@gourmetmasters910 8 ай бұрын
Bobby sh-mah-da*
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 8 ай бұрын
Dudubaya wadudu wamepanda kichwani mwachrni tu sas anaelewa nini jmn hata jina hajui kumtaka shbuda
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 8 ай бұрын
Mzee wa pua kama ngumi kashazeeka hata ngeli hajui, sio kosa lake mayai yamemupita kushoto.
@flavourboyke
@flavourboyke 8 ай бұрын
Dudu baya anasema ukweli
@baysomapea500
@baysomapea500 8 ай бұрын
Ww unaujua mziki unalopoka ovyo tuu
@donkaloza6985
@donkaloza6985 8 ай бұрын
Kumbe harmonize ananyimbo Mpyaa?!!
@denismigayi8513
@denismigayi8513 8 ай бұрын
Nyimbo I made it instatiza wasafi sana
@rachidemomademomaderachide5897
@rachidemomademomaderachide5897 8 ай бұрын
Si uyu dudu baya ataweza kuongea vizuri????
@mkudesimba9518
@mkudesimba9518 8 ай бұрын
Hata hizo zenu zote hazina maadili kwa watanzania !
@lujuomjanja2866
@lujuomjanja2866 8 ай бұрын
😁😁😁😁 DAH NIMECHEKA SANA YAANI HUYU MEDIA MSHENZI SANA WEWE!! YAANI UNAJUA KUCHEZA NA WABONGO SANA WEWE DAH!
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 8 ай бұрын
Dudubaya ni mpumbavu kabisa nilikuwa namuheshimu anabisha upumbavu kweupe kisa anamuogopa diamond ramberambe mchemsho akimsifia mmakonde atakuwa hapati pesa ya kula kutoka kwa diamond, na nakumbuka harmonize alivyotoka wasafi alikuwa anamuita mfupi kama mavi sasahivi mmakonde anamfunika mpaka ramberambe mchemsho
@KALUGOWAMENZA
@KALUGOWAMENZA 8 ай бұрын
KONKI HAJAWAI KUKOSEA
@SalumJuniordiku
@SalumJuniordiku 8 ай бұрын
Wewe anakujua nani dudu baya nikujua baada ya kuongea ujinga mimi sipo bongo kitamba nashangaa fala kama dudu baya h.baba baba levo. Kwanza wajifunze kuongea kama watoto wa mjini. Kama enzi ya kamata yeye wangekuwepo mjini wangefunga midomo yao
@SalumJuniordiku
@SalumJuniordiku 8 ай бұрын
Wewe Dudu baya mshamba tu ata kiswahili chako cha kisukuma hunaweza hukaweka na mnyamwezi fala wewe hujui dunia hinakwenda sogea mbele hujuwe vitu njoo america mjinga mkubwa
@LaughKey-f8x
@LaughKey-f8x 8 ай бұрын
Acheni ufala dudu baya kaongea ukweli bana saai watoto wa 2000 adi saii ukitaja drake na uyo Shmurda nani anakuja faster n ju drake ako na hit song nying na icho ndo uyo jamaa anaongea
@GildoAgostinho-zw2mt
@GildoAgostinho-zw2mt 8 ай бұрын
Problema dudubaya não entende inglês é por isso
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 8 ай бұрын
Ila du baya hapo umechemka, Bobby ansjulikana dina nzima Kama umfahamu ni wewe, lakini watu wenye upeo meingi, wanamjuwa. Je wewe Du baya umewahi piga na nani??? Wacheni maneno mabaya, mpaka Mmareksni akutamke mdomoni unue umefika mbali mwacheni Konde wa wary.
@georgemerere3448
@georgemerere3448 8 ай бұрын
Ila wazee wengine jmn asa badala tujivunie msaani wetu wa taifa tumsapot lkn wengine wanaona jitihada za kijinga kwan wao kipindi chao walifanya nn nyimbo zao
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 8 ай бұрын
Mmakonde ni jeshi la mtu mmoja, mmakonde anapambana na wcb nzima 😂😂😂😂😂😂 na anawakalisha 😂😂😂 mmakonde nyoko ramberambe mchemsho hamuwezi mmakonde kama vip nayeye ramberambe mchemsho aimbe kwa English tuone
MENEJA DING'ANO AMCHANA H BABA KUMTUKANA HARMONIZE,,,HUYU NI MPUMBVU SANA...
14:56
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,3 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 20 МЛН
diamond platinum kakubali alifanya na p diddy  ushenzi mbaya
4:01