Hivi Marrha anajijua kweli,ninawasiwasi ametekwa ubongowake woote,ufahamu haupo tena.Hajui machozi ya mama ni laana kwake,maskini Martha umaarufu wako hauna muda.Huyo Shetani akuachlie kwa Jina la Yesu Kristu Aliye hai.Amen.Pole mama Marrha simama na Mungu atatenda.
@dhahabudeche9263 күн бұрын
Mbona huyu mama amefanana na martha sana hivi 😢 martha rudia mamayako Acha ujinga utakuja lilia kaburi wewe hii machozi ya mama simazuri😢😢😢
@MargaretOmondi-pf3uz19 күн бұрын
Congratulations Mum Leo uko freshi tena smart looking ❤ Mungu na ajibu ombi lako na Dunia mzima twakuombeya. Martha pia moyo ya sumbuka, atakutafuta, mpe Mungu nafasi baada ya kufunga. Jibu yaja. Subiri neema ya Bwana atatenda bila shaka.
@rosesapi68313 күн бұрын
Yaani mama pole Yesu akupiganie. Mpaka sauti mnafanana na martha. Kila jaribu lina mlango wa kutokea. Hilo nalo litapita
@yeyijikabemba19 күн бұрын
Mungu akubariki mama yetu unamujua Mungu wambinguni kabisa unamacho ya roho Mutakatifu Asante kwa kumutafuta mwanao kabisa
@neemandege481214 күн бұрын
Waaaa Sauti ya Martha ameirithi kabisaaa kutoka kwa mama yake! Inafanana saana
@khadjamhozya7 күн бұрын
Mpaka sula
@simongitonga869619 күн бұрын
mungu amkombea martha kutoka kwa mikono ya shetani.nmemsikiza mama na wengine wakisimulia.kuna siri kubwa sana ilio jificha.Nmelia hata nmiposikia mtoto wake martha wa miaka tano maisha aliyoishi ya upweke.Mungu amkomboe mtoto wake pia kutoka kwa mikono ya ibilisi.mahali martha yuko hawezi jitoa anahitaji ukombozi,yesu amkomboe.pray for martha and her child na familia yake wapate ukombozi.joan aondoke kwa maisha yao kwa jina la yesu ama amkubali yesu.
@MaryNgona-h7t19 күн бұрын
Wa dada wakazi mmmh be careful atavunja ndoa zenu
@NicholausDennis19 күн бұрын
Hii familia mungu aingilie kazi
@olivermwakyonya568319 күн бұрын
Mungu au Yesu anza na herufi kubwa au jina lolote je mpendwa
@evaamos159118 күн бұрын
Mungu askie maombi ytuu😢. Inauma sanaaa Tena San. Mungu simama mwenyewee. Martha wetu arudii
@JudithMbwambo-d6n16 күн бұрын
Pole sana mama kwa mapito mungu awariji kwenye familia hiyo dada sio mtu mzuri ni pepo kabisa
@bendeterndanu34036 күн бұрын
Pole pia mzazi ana makosa lakini Hawa watoto wake wanapaa kusamehana
@GiftPallangyo-q5y3 күн бұрын
Jamani imetosha msinuoji Tena mama..mungu pekee ndo wa kumshindia ili tayari lipo wazi please mshukuru mungu pia kwa ili maan ndo njia zinafunguka na amani kurejea....muachen plse
@personalitiesan980619 күн бұрын
Mm naomba hili jambo liendelee kuwa mtandaoni tu ili mama ashinde....likitoka tu mtandaoni Joan atashinda kirahisi trust me
@esperenceamris19 күн бұрын
Umeongea kweli❤
@DannioArts19 күн бұрын
Utangoja sana
@faithnasimiyu745519 күн бұрын
Very true wenye wanasema mama atoe Kwa mtandao apana,maji yakizidi unga ya pikwe ugali
@JoyceNowara19 күн бұрын
Kweli kabisa
@MankaTansaniya19 күн бұрын
Nakuunga mkono ..
@zepinashatibu514912 күн бұрын
Mama acha kukubali kuhojiwa inatosha Mungu atukusaidia tuu
@BettyNdiema2 күн бұрын
Pole mama. Mungu ndo kila kitu bali wacha ampiganie mahali alipo na huyo Joan pia. Waongea tu kama Marth kabisa
@gladysglado707419 күн бұрын
Kwan kuna nn sielewi hakiii mm Martha mwaipaji nimekuwa naskixa nyimbo xake kabisaaaa zinanifariji zaidi❤❤❤ rudi please 🙏
@lulumpeta633819 күн бұрын
Mama ameanza kunoga ,, piga kelele za shangwe kwa mamaa marthaa oyeeeee👏👏
@SATZ-news19 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@lulumpeta633819 күн бұрын
@SATZ-news asa wacheka nn broo Badala ya kupiga kelele za shangwe 🤣
@AngelAfric18 күн бұрын
Kwani Unadhani nyuma ya pazia Huwa hapendezi anapendeza vzr tu labda Huwa wanapenda kwa kumshtukiza
@margaretmkangala777416 күн бұрын
Mama oyeeeeeereerreeeeerreeeee
@lulumpeta633816 күн бұрын
@margaretmkangala7774 oyeeee , kwa yesu mwendo wa kunoga tu ♥️
@AgnessseniAgness19 күн бұрын
Pole sana mama moyo wangu umetumia sana baada yakusikia haya maneno
@HAAM67017 күн бұрын
Mungu wa rehema zikumbuke familia zote zenye matatizo yanayofanana na hili, zikumbuke Bwana, ukazirehemu, ktk Jina la Yesu. Amen
@pejesalum61514 күн бұрын
❤❤❤❤️❤️🥰🥰🥰👋oooo jamani sauti ya dada matha kama mama yake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ila fa Mungu asimame ma dada matha amfungue ufaam wake silahisi mtoto kumkataa mama
@marthandenuka790319 күн бұрын
Mama endelea kupigania damu yako kama Mungu alivyokuvusha kipindi ulivyofiwa na Baba mzazi wa Martha, ukafukuzwa wakati wakina Martha wakiwa wadogo, ukawalea kwa taabu, nawewe hukumwaacha Mungu mpaka watoto wako wamefika hapa walipo, Mtetezi wako Yesu bado yuhai,
@MerymerisaStephano10 күн бұрын
Kwerii kabisa
@gemmamashauri55509 күн бұрын
Mama anahaki zote ,hakuna kunyamaza mpaka kieleweke.Mateso yote ya kulea malipo ndiyo hayo?huyo mgeni ni Mwanga kabisaaa amuache mtoto wa mwenziye.Mungu akusaidie mama.
@SteveMmbongo15 күн бұрын
Mama pole najua unaumia sana nakusii umtazame mungu na kwa mungu inawezekana nakuona hadi ndani unavo umia
@jamundakiboko56419 күн бұрын
Mama ni mama hata kama hayuko sawa.,ni mama tu
@mercylinaadema654719 күн бұрын
And God he is faithful he will do justice l believe God he will come through for this family keep praying and God he is fighting for this family, fasting and prayer it is powerful,and Martha God he knows everything
@ashamayuwe289116 күн бұрын
Mama nakuelewa sana kuhusu hilo. Mungu akutengenzee wanao.
@agnesmbula526112 күн бұрын
Huyu Joan nikama agent katumwa..kuangamiza kipawa cha martha.tunadai Martha katika Jina la yesu
@sarahmcharo154812 күн бұрын
hakuna jambo lisilo na mwisho Mwachie Mungu wa mbingunii..
@AnnaliceKokuKayungi19 күн бұрын
Vita vyetu si vya damu na nyama mama, hii ni vita ya rohoni kupambana kimwili haifai. Mmeshafunga maombi siku 3,endelea kumtafuta Mungu kwa ajili ya mwanao, achana na mitandao mama, huwezi kushinda kwa kuweka masuala haya mitandaoni hii vita si nyepesi inahitaji uthabiti katika ulimwengu wa Roho, na hakuna gumu la kumshinda Mungu. Lakini wanadamu mama hawatakusaidia kitu.
@GraceMalulu-x1f3 күн бұрын
Mama na baba polen mtrgemee MUNGU atawajbu
@albertfrancis655717 күн бұрын
Familia ya Martha Mwaipaja nami nashauri hizi interview zinatosha! Kuna watu wanawatumia kipindi hiki kutengeneza contents na kupiga pesa! Cha msingi Martha Mwaipaja rudi kwa mama yako myamalize
@danielferuzi98019 күн бұрын
Mama jitahidi sana kukaa na Yesu maana anaweza kukutoa sadaka😢
@edwinmakingi363119 күн бұрын
Ni kweli, huyo Binti anatumika kichawi na ananguvu kubwa.
@dorothymmbone209813 күн бұрын
Nimeamini ajuaye uchungu was mwana ni mama mzazi.mama Martha mungu akuonekanie umevanya vyema kutetea mwanao. 13:59
@MohamediAthumani-ub8nn16 күн бұрын
Mama nimekuelewa sana mungu amjalie math amrudie muumba wake
@georgeochieng662516 күн бұрын
Mum sorry. Matha we love you so much us Kenyan but God loves you more and God is a life ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Judy-dy4zt19 күн бұрын
Ifike mwisho mama mwachie Mungu atatenda achana nae
@mercylinaadema654719 күн бұрын
Amen judy yes very true God he will do justice and if😂 she don't change God he will take everything from her😂
@annadominico63673 күн бұрын
Mama na baba wa martha naomba mwachieni mwenyezi mungu atatenda kwanza mama yake martha ni mtu mzuri sana ,ungekuwa mwingine ameshatoa laana ck nyingi lakini mama yake ana imani kubwa sana mungu wetu sote mama ucjali atatenda amina❤
@annadominico63673 күн бұрын
Ata martha hapo najua anaona haibu ingawa shetani kuziba akili na ufaham wake basi mungu atatenda kuwa na imani mama funga sana kwa imani mwenyezi mungu atafungua mlango itakuwa wazi
@josephinemichael151419 күн бұрын
Huyu mama sauti ni Martha kabisa
@MaedaMm19 күн бұрын
Huyo ni mama yake kabisa uwalaza wa mbele ya kichwa
@solangesoso310019 күн бұрын
Nakubaliana na wewe %
@branicenanyama241819 күн бұрын
Ilhali Martha anasema sio mamake
@mercylinaadema654719 күн бұрын
Yes aki but l don't understand how she is allowing that girl to control her 😢
@onlyhim33319 күн бұрын
Yes sauti ya Martha Mwaipaja na Beatrice pia, na Beatrice kafanana na mama❤😊😊.. we're praying for your family Mom it shall be okay 💙🙏
@FaitnKamanthe16 күн бұрын
Hata huyu mama anafana na Martha hata sauti ziko sawa
@Noah-se3ni19 күн бұрын
Wazazi hawaja wai kukosea ni haki ya kila mtoto kuwa tunza Wazazi, ni Baraka, Waefeso, 6:1-3 ,
@newevelastlife257119 күн бұрын
Wazazi tukiona watoto wetu wamekengeuka yatupasa pia kuangalia ni wapi hatuku walea kataika maonyo ya Bwana.Kwani nasai wazazi tunaweza kuwa tumemkosea Mungu kwa kutowalea watoto wetu kataika Bwana.Sasa ikifika ukubwani lazima tutakuwa tuna mkunja samaki wakatai amaekeuka Waefeso 6:4 4 Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana.
@israelkisaila840119 күн бұрын
@@Noah-se3ni ndugu yangu hili ni kosa kubwa sana ambalo wazazi wengi hukosea,husijiwekee haki ASILIMIA 100% watoto wako watakutunza Wala si haki yako kabisa,Wala hupaswi kulaumu mtoto hasipokutunza aise,wewe ulimzaa ni haki yako KUMTUNZA mtoto,naye ana watoto wake ATAKUJA kuwatunza na si wewe aise,akikutunza sawa shukuru MUNGU lakini hasipokutunza isiwe ndo umuhesabie hukumu ,HAPANA AISE,MBONA WAZUNGU HAWANA MAMBO YA KUTUNZA WAZAZI NA MAISHA YANAENDELEA?! HAYA MAMBO YA KUPEA WATOTO STRESS ETI HAWATUNZI WAZAZI IFIKE MAHAKI TUACHANE NAYO AISE.
@israelkisaila840119 күн бұрын
@@newevelastlife2571 UMENENA vyema sana,WATU WANAMTAZAMA MARTHA KAMA MKOSAJI KULIKO WOTE DUNIANI MBAYA SANA,TUNASAHAU MARTHA KATOKA KULELEWA NA HUYOHUYO MAMA TUNAYEMWONA MWEMA,KUFELI KWA MWANAFUNZI TUKUMBUKE NI KIPIMO KUWA PIA MWALIMU ALIYEMFUNDISHA HUYO MWANAFUNZI KAFELI,KUMBUKA HUYO MAMA ANAISHI NA MUME MWINGINE AMBAYE SI BABA MZAZI WA MARTHA,UWENDA KILA ALICHOKUWA ANAKITUMA MARTHA KILIKUWA KINAENDA KUNUFAISHA FAMILIA YA HUYO BABA WA KAMBO NA MAMA AKIAMBIWA ALIKUWA HAAMBILIKI,UTADHANI HAPO HATA KAMA NI MIMI NITAENDELEZA KUTUMA CHOCHOTE? HAPO KUNA MENGI WAPENDWA WALA SIYO YA KUYASHABIKIA NA KUHUKUMU UPANDE MMOJA.NA KUNA WENGINE HUMU TUNA COMMENT BASI TU ILA YALIYOMO NDANI YA FAMILIA ZETU NI ZAIDI YA YALIYOPO KWA AKINA MARTHA,TUSIJIDAI PIA SISI KUWA NI WATAKATIFU SANA,TUJICHUNGIZE NDANI YA FAMILIA ZETU,UTAKUTANA NA MISIBA MIZITO NI KWA VILE TU HAYAJATOKA NJE WATU WAYASIKIE AU KUYAONA,MIMI YOTE YANAYOENDELEA HATA SIAMINI MPAKA NISIKILIZE NA UPANDE WA PILI,NAAMINI KABISA MARTHA HAJAFUNGWA WALA SIYO KICHAA,HUYO MAMA HUYO NDO CHANZO KIKUBWA CHA MWANAE KUBADILIKA,MTAKUJA KUNAMBIA.
@SwahiliSister-o5v19 күн бұрын
12:20
@PatriciaSidi-c4w19 күн бұрын
Tujiandaeni mioyo yetu, Yesu kristo yukaribu kurudi kuchukua Kanisa lake, hakuna mda tena wakati umebaki kidogo sana, Yesu kristo anakuja kama mwizi
@FibiJeremiah19 күн бұрын
Uchungu wa mama ajuae mzazi jaman anaumia
@NebiMwamwimbe-x6d17 күн бұрын
Poleni sana familia lakini Nina ushauri kwamba kama familia ambao mpo pamoja mnaelewana fungeni sikutatu kavu ombeni rehema kwa Mungu na urejesho wa kimungu ndani ya Martha na kuvunja madhabahu iliyojengwa ndani yake kwa sadaka baada
@khadjamhozya7 күн бұрын
Kwani hujasikia kuwa wamemaliza mfungo wa siku tatu
@HoseaMbulamagyo14 күн бұрын
Inauma kama ndivyo,lakini pia tukumbuke hata mamluki waweza kuitumia familia kumchafua huyo dada,sisi tubaki kuwaombea tusijadili saaana! Mwisho tunaweza mkosea Mungu.
@JovitaChilumba16 күн бұрын
Jamani musiaze kumlaumu mama uyo lazima aumie akiwa kama mzazi bado ajapata Saturday ya mwanawe alafu anakuja kula matunda ya mtoto wake ajafanya kazi yeyote mim nawaomba tu msaidieni uyo mama jamani inaniuma sana alafu tunavompenda matha yani afànani na mambo hayo mungu atakusaidia ameeeen
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq15 күн бұрын
Jaman wabongo mwenzenu ndo ameanza maisha kagari kamoja ka mia ml munamukodolea mach oOoOO mumuache dada wa ukweriiiiii
@magrethdaniel844119 күн бұрын
Jamani mama mzuri huyo ni martha mtupu
@mercylinaadema654719 күн бұрын
Yes sure one thing l know God he is doing something
@milakauli19 күн бұрын
Mzur ? Mchawi kabisa ukimiona mama huyu
@lawimanumbu510318 күн бұрын
@@milakauliunaroga naye utajuaje ni mchawi.
@miriellemutondoli716217 күн бұрын
@@milakauliMungu aku samehe kwa kweli, una juwa samani ya mama kweli wewe??
@BibiRaphael19 күн бұрын
Mama na baba yangu. Nina ushauri kidogo. Kama ikiwezekana msifanye mahojiano tena. Mradi mmefunga siku tatu.Mtegemeeni Mungu kwa sasa
@Namtumbo19 күн бұрын
Hao watangazaji hawa wachonganishi
@samwa949619 күн бұрын
Mama nae angewakataa kuongea nao
@israelkisaila840119 күн бұрын
@@samwa9496 Ndo maana nasema hata MAMA NI MZAZI ILA ANA SHIDA KUBWA MAHALI,NGOJA SIKU MARTHA ATAKAPOAMUWA NA YEYE KUONGEA,TUTAKIMBIZANA MITANDAONI HUMU,MAMA MWENYE BUSARA HAWEZI KUBWATUKA MITANDAONI KIHIVYO HATA MWANAE AMKOSEE VIPI AISE.
@JumaKasim-v1e19 күн бұрын
Martha mpede mama Yako mama ni mama ndugu wengine tuna.tamani mama 2:47 2:49 2:51 2:52 2:52
@SharonAron-t1j19 күн бұрын
@@samwa9496 huyu mama ni mpole sana hakuii kama hawa wanauza story
@LoveAron19 күн бұрын
Pole sn mama martha Mungu atafanya jambo,kikubwa kwasasa ni bora mge kaa kimya inatosha,palipo baki mwachieni Muumba mbingu na dunia
@tausSolomon4 күн бұрын
uyo ni muongo maana mama yake martha ameisha faliki
@ChristanahChristanah-oo8jn19 күн бұрын
Jameni Martha mjibu mamako aache kuonekania Kwa mitandao ambia mungu akupe hekma na maarifa na akuumbie roho ya msamaha Kwa maana Yesu christo alitusamehe ndiposa akatufilia msLabani
@EmeranceClaudine5 күн бұрын
Mwambiye Mama aende kwa mtumishi Mwamposa na imani sababu chako lazima kiwe kwako
@Iragibarune1.19 күн бұрын
Kunakitu hapo sio chakawaida ila mvikabizi kwa mungu kwamana mungu hashindwi na chochote 😢 Pole mama mwachie mungu tu hendelea kumuhombea mwanao
@mercylinaadema654719 күн бұрын
Amen he is faithful God
@SalamaMusayi14 күн бұрын
Yesu yopo yule ndo mtetezi wawagnonge
@jafetstanlaus132419 күн бұрын
Kwauchungu wamama alionao matha utaraaniwa jitaidi sana usiabudu dunia nakuzimu jichomoe uko kwarusfa mrudie mamaako ndo MUNGU wako wapili matha matha ushalutbanga jitaidi mtunze mama ,mama atakiwi kukubembereza ili umsaidie nauyo joani unae mpa jukum lakuongelea family Ako sio sahii unakosea uyo nimbwa kama mbwa wengine wakuokotwa jalalan usimlinganishe namamaako nakuomba tena sana hata kama umejiunga kwenye mikataba yakipepo jichomoe mbona inawezekana nakuomba mludie mungu Alie hai kwakwer Mimi nishabkiako sim yangu imejaa nyimbo zako nabarikiwa sana nikiskiliza ,lakini katka ili dada umezngu
@lionamangole768615 күн бұрын
Mpaka kiwanja mama kanunulia na bado analalamika?
@FaustiniSighis18 күн бұрын
Mama na baba Poleni sana kwakicho wakuta
@happymboma356718 күн бұрын
Sura ya Matha kabisa
@khadjamhozya7 күн бұрын
Mpaka sauti
@RahabuSimba19 күн бұрын
Mama pole sana Mungu akutie nguvu,endelea kumwamini Mungu amrejeshe mwanao kwake yote yanawezekana
@jenifamuia228619 күн бұрын
Kwa mahojiano yote mama hajaongelelea mwanae Martha vibaya bado anapendea mwanae mazuri..ila mama shida kubwa mama anaongelelea ni Joani tu.pigana hizi vita mungu wewe wenyewe haujawai shindwa
@isaacmwaseba997219 күн бұрын
Kwenye mali ndio utaona haya angekuwa maskini hata angesaidia watoto watano usingesikia lolote. Acheni kutafuta ela muwe na amani na familia zenu.
@halmashekalage231816 күн бұрын
Eeh Mungu nakuomba umtie nguvu huyu mama inauma sana mtoto wako kweli mambo yakiwa ivo
@kerubojzion227319 күн бұрын
Tunajua umeumia sana ila hawa waandishi watakugeuzia kibao. Hawa wanatafta story ,Mungu atakusaidia
@purityjames366818 күн бұрын
Team kupitiana tugrow pamoja nipitie tugrow
@CafeJohn-n9o18 күн бұрын
Mama mathar mwaipaja nakuomba mama yangu kwaheshema muhojiwa sana mtandao umeongea naumejieleza vizuri sana wariyo kuelewa wamekuelewa ambao hawajakuelewa mama yangu nakuomba usikubari tena kuhojiwa mtando inatosha sasa mama yangu wadishi wa habari wakikufata usikubari wakuhoji tena inatosha sasa
@InnocentAutumnTrees-ux1jj19 күн бұрын
Kwenye imefikia tosha kwenye mitandao na hizi mahojiano mama nakushauri uachane nayo kwa sasa ivi shikilia Mungu omba sana kwa sababu ni vita za kiroho ,chukua jukumu ombea watoto wako msameheane na muanze mwanzo mpya
@amanmalima94019 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@DotoFulgence15 күн бұрын
Dah inaumiza mama apajui kwa mwanae
@BahatiShaltiely16 күн бұрын
Wazazi na ninyi mjifunze Hekima hiii.Hakuna mtoto anaeonywa ndani ya nyumba ya jilani.mtoto bora analelewa nyumbani kwake.
@neemaneychricious649319 күн бұрын
Mamaa angu kpz nakupendaa snaaa jamniiii inatoshaaa sasa uckubali kuhojiwaa tenaaa inatoshaaa nyamazaaa nachujua ni Mungu pekee ndiye anawez kuwatetea na c mwanadam kuongea public hviii hapnaà haya ni mambo ya familiaa inatoshaaa Mungu akasema watulezi watulizeniii watu wangu mioyoo jamniii tulia sasaa Mungu akiwa upande wenu nani aliye juu yenuu .
@annagervas503919 күн бұрын
😅😅😅huwajui wanyakyusa vizur
@FLORAHANSIBERTY19 күн бұрын
Kaongea naye hakumuelewa,kaona aseme hadharani mwanae apone watu wamuombee
@yakutibori822619 күн бұрын
Mzee ameongea kwa hekima sana Matha ivi kuna mtu wa thamani dunia ii kuliko mama aliekuzaa?
@AfraMhenga19 күн бұрын
Mama upo sawa afanye nini kama wanamfuata kumhoji
@AfraMhenga19 күн бұрын
Jamani ustawi wa Jamiii mtoeni huyu shetani anaharibu vipawa via watoto wa Mungu
@richardsalim104219 күн бұрын
Unamsifu,unamwabudu,unamshukuru,unamwomba mungu kwa njia kuimba lakini ubinadamu unabaki palepale hakuna aliyekamilika utakatifu ni mbinguni tu duniani pagumu.
@josephinemichael151419 күн бұрын
Utakatifu ni duniani maana hata mbinguni huingii bila huo, ama wewe mwenzetu husomi NENO la MUNGU?
@MsAisha-w4o18 күн бұрын
Mama na baba naombeni zidisheni maombi mlilieni mngu sana fungeni kwa ajili ya hilo jambo mngu atalitatua insha'allah
@Emanuellupoja4419 күн бұрын
Mungu atamkomboa tu mwanao mama mtegemee Mungu
@RuthSenkoro19 күн бұрын
Huyo Joan ni shida Tu. Wazazi wa Joan watafutwe
@alfredbyangwamu982117 күн бұрын
MAMA MUMWOMBE MUNGU SAANA! MTOTO WENU AMEISHACHUKULIWA KTK MAMLAKA NYINGINE!!! ZA GIZA
@EstherCharo-lc3md18 күн бұрын
Martha wajitia aibu sana dunia nzima
@LLl-p4r3l18 күн бұрын
Umependeza xana mama kwakweli usijali mungu atatenda
@rachelmliwa-gj1eh17 күн бұрын
wekeni namba yake watanzania wamsaidie math kulea mama ake😅😅😅
@GetrudarCelestineAmede19 күн бұрын
Mama naww tulia t umwachie Mungu mwema atajibu
@modestasanga452919 күн бұрын
Kwanza yeyenimgeni nguvu anazitoa wapi kamasimatha mwenyewe basi huyo mtoto nijini
@catekariuki356716 күн бұрын
I pray that God intervenes, the faith of parents is high
@ChristopheAmani-t1o19 күн бұрын
Mungu wangu asikie maombi yangu hâta kama haufike kwa Martha ukimuita kwa simu Wala yéyé akikuita Uwe Na Moyo wakufarijika Na kujiumbia furaha mimi ni mengunduwa Chinda ambayo uko nayo Ila kwa bahati baya Niko inchi jirani Na Tanzania Niko Bali kabisa musahada wangu Mimi Nina Muombea Mutumishi wa Mungu Martha Abaye hili janga linalenga
@KANGAKARANI15 күн бұрын
Hakupewa na mungu alipewa na misukule huyo joan
@KANGAKARANI15 күн бұрын
Jibuu unslo mamaaa
@JosephLoy-k2g13 күн бұрын
Huyo mama ni mnafiki sana, ila kama hauna jicho la tatu huwezi jua
@angle360019 күн бұрын
Mtapewa watoto na shetani,,mnasingizia kapewa na Mungu.
@adelinawilson-f4v19 күн бұрын
Watu wa Mungu hawapeleki mambo ya familia mitandaoni. Hebu elekeza uso kwa Msalabani. Imeandikwa alaaniwe amtegemeaye mwanadamu. Kila familia ina changamoto zake
@LameckMbele19 күн бұрын
unapenda wapeleke mahakamani? au wp walishajaribu hapa ndy mahali pake fikiria vzr tu
@celinachambua445715 күн бұрын
@@LameckMbelekama ndiko mahali pake mpaka sasa mmeshamchangia huyu mama shilingi kampi ili mumpoze? Maana nayeye kama mama kuna mahali kakosa hekima.
@queenyakinangop409619 күн бұрын
Mother mwaipanja remember ur parents ni Baraka ukiwachukia utakapitiya bcz watakulaani piya Mungu akupanishi
@DeboraElisa-kn5du8 күн бұрын
Joan must go
@namungolubala178819 күн бұрын
JOAN NJO CHANZO CHA MARTHA KUKUVUNJA NDOWAYAKE BINTIHUYO AKIOMBEWA MTAONA MAMBO ITARIPUKA
@IvanMocha19 күн бұрын
We nae Martha kaachana na mmewe kitambo,sababu ya tabia za mmewe
@KayuvaChotamasege18 күн бұрын
Achananao ww nyamaza mungu ndio anakupigania mwaya
@LuganoMwalwembe19 күн бұрын
Mama pole na hongela kwauvumilivu wako na mm ww ni mama wa watoto wengitukiwemo na sie wakina lugano mm ni masikini sana lakini nawapenda sana wazazi wangu
@BahatiMlawa-tr3lk13 күн бұрын
Makosa siyo ya mama makosa ni ya waandishi
@iddyekanda645619 күн бұрын
Mama hiyo ni mwanao usimtegemee kwa kila kitu ktk maisha yako mtegemee mwemyezi Mungu pekee ndio anaweza kukutoa kwenye hii Hali unayoipitia hata ufunge umuombee binti yako maana hii sio Hali ya kawaida kuna kitu kiko nyuma ya pazia muombee mwanao
@fathimadaid342919 күн бұрын
Unayo ongea nikweli lakini mzazi kutegemea mtoto ni lazima sisi sio waxungu sie tuna tamaduni zetu lazima tutunze wazazi mzazi anaokota makopo saw kama Huna uwezo saw
@AnethMushi-c3e19 күн бұрын
Mzaz hajamtegemea Kwa Kila kitu mwanae kinachomuuma ni Kwa Nini mwnang hanisaidiii uwezo anao anasaidia watu wengine?Kumbuka huyu mama aliwayunza mwenyewe Kwa shida baada ya kufiwa na mmewe Yan baba Martha
@GabrielMwambengo16 күн бұрын
Huyo ni mamayake kabisa sura inathibitisha
@khadjamhozya7 күн бұрын
Mpaka sauti
@roshirash-uv3mz19 күн бұрын
Muombeni mungu ila matha hana kosa muombeni kwa, mungu afungu na pia acheni kurusha kwenye mitandao inatosha sasa
@KANGAKARANI15 күн бұрын
Huyu martha alingia freemaso,akapewa.haka kajini amlinde na mali asimpee mtu ambae namtumikia mungu
@hosianaeliud24319 күн бұрын
Tengeneza nyumban kwako ndpo uende mbele za Mungu Martha ufananii kabisa na haya yote
@catekariuki356716 күн бұрын
Mwenye janga anajua panapouma
@generosennko834317 күн бұрын
Mama pambana kuirudisha familia pamoja. Ila huyo mgeni ktk familia ni shetani ktk umbo la nwanadamu kutokana na matendo yake. Endelea na maombi zake ni arobaini. Ataondoka tuu. Mungu hashindwi
@MeshakiJuma18 күн бұрын
Mtegemee mungu yupo
@MathayoAlfredsaruni14 күн бұрын
Hahahaaaa mama mzazi hawagi ivi.. mama mzazi anauchungu na wanao na anapenda sana wanawe wafanikiwe.. na hapendi kuona mwanawe anaaibika..hata kama mtoto hana msaada kwa mama haiwezi kuwa sababu ya mama kumsema mwanao kwa watu au kwenye mitansao kama hizi..huyu mama amefanya ivi juu hana uchungu na martha..sasa anatuambia mambo ya wanao sisi tumsaidie nini ???kama martha hamtunzi mama wengine si wapo!! Na siwamtunze kwan nilazima martha ndio amtunze tu !!! Kila mtu anahaki ya kumtunza mama.. hii ni roho ya chuki tu na nikamati ya roho mbaya sana..
@StevenJoseph-ff6tv16 күн бұрын
Mama lazima aseme maana huyu ni mwanae, Pili Joan ndo kavuruga Hao Ndugu imefika sehemu ataki kuona damu ya Martha.Angalizo Martha awe makini aombe jicho la rohoni huyo Joan anataka kudhulumu Mali za Martha,Kama ata Mtoto wa ke ana Amani kuweni makini na huyo Joan siyo Mtu wa kawaida.
@graccechirindo789118 күн бұрын
Huyu mama nampongeza sana ameuliza swali zuri sana, Mbone Wana habari hamjaenda kufanyia wale wenye wanasemekana ni wazazi wa Joan?
@TwaeniKagine-p9f15 күн бұрын
Wamjibu jamn
@jovadaciva511617 күн бұрын
Kelele zote izi mama anamwitaji mwanae, Martha naomba wende kidogo ukamsalimie mama ako
@FroliantresphoryKamgisha17 күн бұрын
Mama kazana na maombi Uyu joann niadui aliye ndani yanyumba msikibali aendelee kuwapasua familia