Jamani sijawahi kupata like hata moja tangu nianze kucomment 😢
@MauwaChakutamba5 сағат бұрын
Jamani mbona mnanichukia sana. Sijawai ata siku moja kupata like. Please 😂😂😂😂😂.
@marthakingu593921 минут бұрын
Ushindi is my portion IJN🙏
@marymuruka2962Сағат бұрын
Kushinda ni lazima kwa Yesu,lakini familia hazipigani rudi chini usamehe mamako na dadako,ni ngumu kushinda mzazi.
@rachelkanyenye532720 минут бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu na Mungu akutetee.Anayehukumu ni Mungu sisi tunabarikiwa na nyimbo zako
@MaritaMarigi49 минут бұрын
2025, Ushindi ni lazima To God be the glory ❤❤❤
@zawadimasha582311 сағат бұрын
Team Kenya tunakupenda saana dada martha kushinda lazma tushinde kw jina la Yesu❤❤❤❤
@FelistersMejumaa-xi2geСағат бұрын
Much love from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 Kenya Mombasa ndio nyumbani
@OdethaMudugu9 сағат бұрын
Naona umeamua kumjibu mdogo wako kwa style ya wimbo.....aya acha inyeshe.......... Tuone panapo vuja
@GlorydavidJeremiah25 минут бұрын
Morning Marha me nakupenda kwanamna yote na kwa rangi zote uwe mwenye dhambi au unasingiziwa sijui ila ninachojua ninakupenda na ninabarikiwa na nyimbo zako usiogope na Mungu anakupenda endelea kunyamanza hivyo hivyo uwe muda wako wakutafakari Mungu na kujitasimini na kukaa naye karibu me nakupenda from Mozambique usiogope
@Maggiechosen9 сағат бұрын
Upendo tele kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 dada Martha. Hata iweje kushinda ni lazima.
@jacklinerudisi51166 сағат бұрын
Kwa kweli hata usemwe nini juu yako usishtuke wewe endelea tu hadi uwe mshindi.
afu nyimbo zako zamafumbo toka zaman kumbe ulijua ipo cku yatakua peupe ...ila nakupenda martha acha mabaya tubu mrudie mung wakwer
@sandejacob6235 минут бұрын
From Dubai , Kigali my country kushinda ni lazima 😂😂
@armogastmwamtai11 сағат бұрын
Amen hata iweje kushinda ni lazima.Martha tunakupenda much love from Kenya 🇰🇪
@happinesspius-pp9wv45 минут бұрын
Kushinda ni lazima dada angu,Mungu wa mbinguni anajua mwanzo na mwisho anajua wa jaribu
@greeneratilio824943 минут бұрын
Mungu akujalie moyo wa kuachilia na kuwasamehe wote waliokosea kwa kusudi au kutokujua utashinda zaidi ya yote maana msamaha ni ushindi mkubwa.Nakupenda sana
@gaudenciamaghanga11 сағат бұрын
Wakenya🇰🇪 tunaompenda Martha tujuane🥰, weka like ukisonga. Lazima tushinde💪
@keriga74659 сағат бұрын
Kenya sihami...proud to be Kenyan ❤
@LydiaLydia-iw6qt8 сағат бұрын
Nakwambia
@breezonlinetvСағат бұрын
Endeni mkapende Wily Paul😂😂
@edithmalei11 сағат бұрын
Wapi team Kenya tumpe likes zake 🎉🎉🎉🎉, Martha kushinda ni lazima hata vita viwe vingi
@esthermwau431510 сағат бұрын
We are here tumemshika Martha mkono,tunakupenda dada ata ikueaje💕💕
@ADRIANMULOONGO-i5b11 сағат бұрын
2:01 Zambia is watching and enjoying ur music God Bless ❤❤
@rachaelotsieno887112 сағат бұрын
All kenyans lets gather here kushinda ni lazima
@anastaziansangalufu98779 сағат бұрын
Dada Martha, huwa napenda sana nyimbo zako ni za wakati sana kwangu, achana na wanaokuchafua mwilini lakn Mungu kakusafisha rohoni, hakimu mkuu ni Yesu pekee atatuhukumu wote kwa haki,,, kuna watu kwenye ukoo wana Roho za Yezebel, songa mbele....Nakupenda tena...tuishi humu tuu..kushinda ni lazima
@Freddymedia-p7d11 сағат бұрын
I miss my country Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 no matter what, kushinda ni lazima jamani😢😢
@MelvineharvestNelima12 сағат бұрын
Vita lazima zije japokua mungu atakushidiana ♥️♥️🇰🇪
@musaliaeugene797512 сағат бұрын
Siku zote nitapenda nyimbo zako Kenya twakupenda🇰🇪🙏🙏
@heriethgodfreyhegoxa555112 сағат бұрын
Nampenda huyu mdada ❤ Martha🎉🎉🎉 SHE'S CLASSIC❤.
@EdibiliSalum11 сағат бұрын
1:33
@margaretnyairo9066 сағат бұрын
Mungu akupiganie dada, nyimbo zako zanifariji moyo sana, akuna atakaye kulazimisha kuongea yaliyo moyoni mwako, mwambie Mungu tu.
@nasmabakari6578Сағат бұрын
Mimi ni muislamu lakini sitaacha kukusikiliza na kukufatilia kwasababu nakupenda wacha waseme tu keep going mom
@zaitunirashidi553257 минут бұрын
Ww ndo choko kabisa
@kayitesisolange3909Сағат бұрын
From Rwanda tunakupenda sana🙌🤗 Kushinda Nilazima🙌
@Startk84011 сағат бұрын
Nimemsikia baba akisema Nikweli kabisa ushindi nilazima weka like kwa madha mwaipaja 🎉
@rachelcharles92197 сағат бұрын
My Martha huyo ndo wewe bhana, inuka, kung'uta mavumbi, kisha endelea mbele. Hata kama yaliyosemwa ni kweli, tubu, tengeneza then songa mbele.❤❤❤
@nuclaysalivitsa31312 сағат бұрын
Hallelujah kushinda ni lazima Glory to God🤲 wakenya mpoo waapi mgonge like 🇰🇪
@flozekhamala866212 сағат бұрын
Lazima tushinde katika jina la yesu much love from Kenya 🙏🙏🙏🙏
@Obisamsam2 сағат бұрын
Nasikiliza kutoka Nigeria. Kushinda ni lazima dada Martha 🎉
@josephmuia4835Сағат бұрын
Keep fire 🔥 burning always, Martha mwaipaja our king in Kenya together we can.
@catherinegewe418311 сағат бұрын
Dada kushinda ni lazima,Mungu atakutetea katika hali yeyote
@StephenStevophilip11 сағат бұрын
I love u martha wimbo mzuri sana,cate from kenya
@andrewsifuna56734 сағат бұрын
Mti uzaao matunda haukosi kurushiwa mawe Nahata huo mti wa matunda ukirushiwa mawe haukosi kuzaa matunda Chapa likes za madam Martha tukisonga
@petiencekenya30018 сағат бұрын
Kushinda ni lazima,wakenya like tukisonga
@lucasathanas955411 сағат бұрын
pamoja na mbwembwe zote siku ya kuondoka dunian tukumbuke moto wa jehanam upo, zaidi wale tulioitwa watumishi adhabu n kubwa zaidi , saiv tutambe lakn YESU YU KARIBU
@Benny318m10 сағат бұрын
Kushinda ni lazima
@samwelimoshi561416 минут бұрын
Umejuaje
@kachagrill12 сағат бұрын
mungu yupo pamoja nasi kushinda lazima ❤much love you mama Johan acha yaendelee kuwatesa mafanikio
@pceodhc10 сағат бұрын
Mungu uliye hai bado nakuamini! Kushinda ni lazima! Asante Yesu! 🙏🏾
@Everlineokuku-o8q11 сағат бұрын
Hakika mwimbaji mwenzangu ushindi nilazima katika Bwana wetu mungu namini🙏🙏🙏
@PaskaziaMatupu-iv1og8 сағат бұрын
Wagapi tunabarikiwa na hii nyimbo kushinda lazim tutashindaa dada mwaipaja
@AshoooraAsokrh10 сағат бұрын
Mungu atakushindia kwa haya yote yanayoendelea mtandaoni ila kwa huuu wimbo acha nikupe maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Venanciamponda11 сағат бұрын
Kwa kipindi hiki chote napitia changamoto ambayo kiukweli huu wimbo umefanyika faraja kwang😭Nakushuru wewe MUNGU kushinda ni Lazima😭🙏🙏
@florencengwavi693911 сағат бұрын
Kushinda ni lazima much love from Arusha (A-Town) to God be the Glory , amen 🙏
@BarikiAmbindwile10 сағат бұрын
Katoka nyimbo amazon siwezi kukosa kusikiliza ni huyu mama Mungu Akubariki Mama miaka 1000
@josephinendinda906511 сағат бұрын
AMEEEEN,,,Ushidi n lazima in JESUS NAME
@liddydeSalt47739 сағат бұрын
Kushinda ni lazima kwa jina la Yesu kristo 😊
@Christine-js3tj11 сағат бұрын
Hallelujah thanks so much God we r winners bcuz God won the victory for us thank you God for everything
@veronicalusiji170112 сағат бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, blessed song
@brianmwanja7012 сағат бұрын
Dear KENYANS ...This lady is ours
@GermanaMhaku47 минут бұрын
Nakupenda sana Matha wangu, nyimbo zako zanipa faraja sana sana mdogo wangu, mungu akutie nguvu kwa hayo yote unayopitia, usijali, jua kuwa wewe ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe
@phoebetaylor791111 сағат бұрын
Martha mpaka tushinde kwa lazima , Enemies will never get a chance. Nothing to fear, siz.
@ministerprincej70333 сағат бұрын
Mti ulio na matunda Lazima irushwe mawe.... hongera Sana mummy ❤❤❤
@LonahOdhiambo10 сағат бұрын
Kushinda ni lazima ukweli ata waseme aje... Mungu akisema lazima atatimiza
@BethaJohn-nr5vu10 сағат бұрын
Napenda sana dada wacha mungu ashughulike na hayo yote hakuna haja ya kujielezea kwa watu
@veroh-k11 сағат бұрын
Ni Imani ipo siku nitashinda #ushindi ni lazima hata mapito yawe mengi aje
@ALEXGULUNDU-w9n8 сағат бұрын
Kushinda lazima.bonge la wimbo huu umenibariki sana... kazi nzuri sana dada
@anastaziansangalufu98779 сағат бұрын
Kushinda ni lazima kwa jina la Yesu,, jambo langu lazima liishe in Jesus name, Mungu uliyeianzisha safari moyon mwangu ndiye utakaye ikamilisha
@apostlejacksonmalonza37511 сағат бұрын
Martha I love you very much.mungu alete Amani Kwa familia ❤❤ God's grace be upon you in Jesus name.
@danielwwahai86646 сағат бұрын
Wimbo nzuri, congo tuko hapo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ellahmwams83111 сағат бұрын
All Malawi lets gather here 🇲🇼🇲🇼
@msshovo59047 сағат бұрын
Barikiwa sana dada. Kushinda tutashinda coz ni lazima ni Mungu ametuakikishia❤
@irenefavorcontessa761311 сағат бұрын
Mwaka umekuwa mgumu mno lakini kushinda ni lazima,Asante Martha🎉
@shabannyamsalikaСағат бұрын
Nmemsikia mtu mmoja anasema nyimbo zako huwa haumtaji Mungu
@kiumanursingtv164736 минут бұрын
Hii comments nilikuwa nikiitafuta
@shabannyamsalika6 минут бұрын
@kiumanursingtv1647 nmesikiliza wimbo nadikia anataja baba tu
@jacintamueni2005Сағат бұрын
Big up ❤kushinda ni lazima
@BeatriceMaope11 сағат бұрын
Kushinda ni lazima in Jesus name.
@Freddymedia-p7d11 сағат бұрын
American🇺🇸,Nigerians🇳🇬,South Africans 🇿🇦, Tanzanians🇹🇿, burundians🇧🇮, Rwandans 🇷🇼,kenyans🇰🇪,ugandans🇺🇬, Zimbabweans🇿🇼, Canada🇨🇦, ghananians🇬🇭,cameroonians🇨🇲, togonians🇹🇬, Congolese🇨🇩, my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
@DaudKihindo-il7tf9 сағат бұрын
Mungu akupe nguvu ya kushinda changamoto hizi zinazoendelea❤
@amosfinest900310 сағат бұрын
i would love to hear beautiful sounds, Martha ft Israel Mbonyi
@Tesco-j3l5 сағат бұрын
Hata iwe aje kushinda ni lazima ❤🙏
@princeclyde4142 сағат бұрын
😢ushindi ni lazima hakika umenitia nguvu tena, nimelia, nimepitia machungu nimesemwa vibaya , nimetengwa mpaka na jamiii😢😢😢, matusisi kwa mtandao mpaka na wale sijawakosea ila naamini nitashinda😢😢😢
@carolynekanaizaСағат бұрын
Ndugu usifee moyo nilikua kama wewe,na nikabaki na Mungu pekee,mmmh Mungu nae ni nani mimi ni mshindi.baki tu na Mungu
@kipongimathayo702711 сағат бұрын
Wimbo mzuri. natamani niliyoyasikia kwako yawe ni Uongo ili JINA LA YESU LISICHAFUKE KWAAJILI YENU
@brendadavid271111 сағат бұрын
Ushindi ni lazima iwe mvua sana, iwe jua sana haijalishi utanenewa nini wewe simama na Yesu tu
@DamarysMukoyani12 сағат бұрын
Hata iweje kushinda ni lazima,haleluya.
@PauloJulius-uq8mi10 сағат бұрын
Mimi nasikia pia kushinda ni lazima ila. Sasa tangu nianze kukoment sijawahigi kupata ata like Moja😭😥🙆🤦 naombeni ata Moja tu jamani🙏
@josephmuia483553 минут бұрын
@@PauloJulius-uq8mi 🤦
@santebnassaryrabi22386 сағат бұрын
Kushinda ni lazima tumesikia mengi Ila kushinda ni lazima tupo upande wa ushindi
@ngarambesamuel609311 сағат бұрын
Amen,dada,kushinda ni lazima ubarikiwe sanaa,❤❤❤
@oscarshiveka915741 минут бұрын
Ushindi ni lazima ❤
@eddahchumbula6479Сағат бұрын
Umekuwa sehemu ya faraja kwangu kupitia nyimbo zako nakupenda Sana Marths
@kingjones1898 сағат бұрын
Martha unashtuliwa na watu wa social media wanapost .. Ukikosa kusema Amen utakufa?? Keep going Mom you're amazing❤ much love from Kenya.
@AbrahamMelicho-rv2bq11 сағат бұрын
Ubarikiwe dada Mungu akupitishe salama
@DianaAgustino-yp2kc16 минут бұрын
Asante dada kweli kushinda nilazima ata iweje
@gracenyangusi62308 сағат бұрын
Mara nyingi ukiinuliwa unashambuliwa ili urudi nyuma .Songa mbele my dear. Mti wenye maembe matamu hushambuliwa sn. Keep going
@levinashirima11 сағат бұрын
Nakupenda sana sana dada Martha mwaipaja ❤❤na nimebarikiwa sana kupitia nyimbo zako 🙏❤️
@M.MKRISTOСағат бұрын
Ushindi ni Lazimaaaa❤❤❤⁰
@donvanshemkai276510 сағат бұрын
MRS SHEMKAI kushinda ni lazima❤❤
@NtheuNdunda9 сағат бұрын
Kushinda ni lazima katika jina la yesu
@HARRIETDAYO12 сағат бұрын
Lazima tutashinda kwa jina la yesu❤🙏
@VictisBukutsa10 сағат бұрын
Nilikuwa nimengoja sana video ❤❤ tutashinda Kwa lazima,hii n powerful ❤❤
@janeempress10 сағат бұрын
This can only be manifested by the power of the holy spirit 😊😊😊God is in control...❤❤❤
@EverlyneAluta6 сағат бұрын
Wekenya tanakupenda bure dada Martha mungu akuti nguvu za kushinda majaribu🇰🇪🇰🇪God bless you 🙏🏾 Neema ya mungu utawala Amen 🎉❤ karibu kwetu nyumbani Kenya 🇰🇪🇰🇪
@officialhopestarmusic95910 сағат бұрын
I love your chemistry with man water ...mnaingiana vizuri
@CatherineSinakodi10 сағат бұрын
Mungu akutie nguvu pamoja unapitia changamoto nyingi yeye atakushika mkono
@ErnestFomo3 сағат бұрын
Kushinda nilizima Huu mwaka wa 2024 ulikuwa ni mwaka wa ushindi kwangu Mungu azidi kuku bariki