PUTIN AMETANGAZA VITA RASMI NA MYAHUDI AMEWATAKA WARUSI WOTE WARUDI NYUMBANI

  Рет қаралды 7,924

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

Күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 92
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze Күн бұрын
Hahahaha😂😂😂🎉🎉🎉 hongera muungu umesikiya kilio cha wapalesteina sasa anapata vidume wenzake mtiyeni adabuuu zimuingiye
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 22 сағат бұрын
Hakika
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Күн бұрын
Kinachofata hapo ni urusi kulipa kisasi
@MustaphaManole
@MustaphaManole Күн бұрын
Maandiko yanasema mayahud watapigika mpk watafute pakukimbilia mpk mti au pango watakopojificha litatoa saut kuwa myahud kajificha hapo sasa nadhan ndo huu mwisho wake
@halimamghana2293
@halimamghana2293 23 сағат бұрын
Mpaka jiwe litasema,njoo huyu hapa yahudi amejificha umuuue.InshaaAllah Tuzidi kumuomba Allah amani ipatikane na mapigano yaishe.
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 23 сағат бұрын
Asante miashok peke yake ndiyo itamficha myahudikama wewe ni muislamu ukate miashok hauna faida na wewe
@hamicyhatib6965
@hamicyhatib6965 10 сағат бұрын
Ni kweli lkn Sio kwa sasa ni baada ya nabii isa kuja ndo vita itakua baina ya waislam na wayahud
@RamlaMburi
@RamlaMburi Күн бұрын
R.I.P Israel, R.I.P Taifa teule 😂😂😂😂😂
@Emmanuel-q8l
@Emmanuel-q8l 16 сағат бұрын
Taifa teule linaend p Diddywa😂😂😂
@feiswalislam8465
@feiswalislam8465 2 сағат бұрын
Hongera mwana habari wetu mungu akupe nguvu
@mrishoally55
@mrishoally55 Күн бұрын
Cheki hio mvuwa ya makombora inyeshavyo afu useme eti hakuna madhara 🤔🤔??? Daa mungu imalize hii vita
@nassorohamisi1435
@nassorohamisi1435 Күн бұрын
Wacha ngoma itambae
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 21 сағат бұрын
Wewe mchambuzi ni wa ajabu sana. Juzi ulichambua ukiwa umelewa pombe nadhani. Iran ilipopiga kwa makombora 400 alikuja na Uchambuzi wa kipumbavu Sana na ukibeza Shambulizi la Iran... Wakati Israel yenyewe imeumia na kuficha madhara makubwa waliyoyapata.
@athumanisudi891
@athumanisudi891 11 сағат бұрын
Alikua amegonga mvinyo huyo some time yes some time no
@RamlaMburi
@RamlaMburi 10 сағат бұрын
@@athumanisudi891 Ht mm niliwaza hivyo hivyo 😂😂😂
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 8 сағат бұрын
labda soda uwa hanyi pombe huyo
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 Күн бұрын
Sasa kumewaka sisi waislam hata tukifa 10000 tukifumba fumbua tunajikuta zetu fildausi ila mzayuni wakifa 10 tu sisi nishereheee
@hamicyhatib6965
@hamicyhatib6965 10 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jeilanikhamisi
@jeilanikhamisi 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@omarihazali3558
@omarihazali3558 23 сағат бұрын
Kategewa mtego kama wenzie Sasa kaingia. Kama walovyoingia Kursk
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Күн бұрын
Russia amemuonya sana israel juu kushambulia syria!!
@karimmunis8302
@karimmunis8302 21 сағат бұрын
Israel anahangaika sana sjui anatafuta kitu gani
@ZaydShafii
@ZaydShafii 21 сағат бұрын
Asante
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 23 сағат бұрын
Mataifa yameanza kuunga kupigana vita vya kikanda
@jumaciza461
@jumaciza461 3 сағат бұрын
Nipe number nikupe habari mwalimu. Aca kuchukuwa habari zisizo namashiko kutoka kwa mpoki
@ZakariaYahya-c3n
@ZakariaYahya-c3n Күн бұрын
Israil achochea moto na ataupata huko alikoingia sasa
@mbetenijumanne9576
@mbetenijumanne9576 Күн бұрын
Vita ya tatu ya dunia
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 14 сағат бұрын
Sasa umeshapata jibu la swali ulilo uliza jana yakuwa kwann waajema wanalipiza Kwa kiasi kidogo tofauti na izraeli inavo fanya mauaji.. acha warusi waondoke huko alafu uwone..
@JandaalHaqeem
@JandaalHaqeem Күн бұрын
Patamu apo😅
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 14 сағат бұрын
Good ❤
@NokiMbona
@NokiMbona 16 сағат бұрын
Ukisema vita ya dunia na wew huku utapigana na nani hakuna vita ya dunia rekebisha kauli
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 10 сағат бұрын
Benson mwakilembe chukuwa hii nakwambia iran anataka kuipiga moja kwa moja israil chukuwa maneno yangu ule ulikuwa ni mtego
@MabulaEliasibassa
@MabulaEliasibassa 25 минут бұрын
Ezekieli 38,39 asomaye na afaham.
@mohamedally121
@mohamedally121 14 сағат бұрын
Hizi habar sio rasmi mkuu
@MikaMika-ve1ip
@MikaMika-ve1ip 11 сағат бұрын
Vita havina macho amin hata asiye kuwemo atakuwemo. Kesho utakosa wapi upeleke saport.
@coolruler6820
@coolruler6820 Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 nawapenda waislam,,,baba mmoja anaweza kuwa na watoto hata 30,,baba wa kiyahudi kukuta ana watoto wa4 ni kama kuona matiti ya nyoka,,,,,wakiua 100 wakauwawa 10 ni kama wamepigwa
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 10 сағат бұрын
Bora vita ianze tu,maana hawa israel na mashoga wenzao wote wamezidi uonevu
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 Күн бұрын
Israeli Ole wako
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 22 сағат бұрын
Happy October ❣️🎉
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 7 сағат бұрын
Wazungu wapumbavu wanaiba Mali za Africa mwisho wa cku wanaishia kupata raana wanauwana wao Kwa wao kulikua na haja gan yakuiba Mali za Africa wakaenda kutengenezea siraha za gharama kubwa zkiingia kwenye uwanja wa vita znalipulia dakkka O izo gharama wanazotumia kutengenezea siraha c wangetumia kuinufaisha Africa na watu wake waliobalikiwa na mungu
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 14 сағат бұрын
Muizrael ataona cha mtemakuni moto unakuja 🇵🇸🇪🇬💪🇵🇸🇪🇬🤣🤣🤣🤣💪💪💪👍
@ndayijeanclaude5094
@ndayijeanclaude5094 22 сағат бұрын
Hakuna vita vya dunia, ni vyiza vya kwao sisi hatumo
@AliAbass-e8i
@AliAbass-e8i 21 сағат бұрын
Twambie ukeli sisi tunaona live lkn mchambuzi mkuu anatuficha
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 8 сағат бұрын
Leo ndo umejua kama wameficha?? Jana si ulikebehi ww??😂😂
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 12 сағат бұрын
puttin anaongea kwanza ili watu wasije wakamlaumu badae😂😂😂 west ikae kwa kutulia
@Mumewangu
@Mumewangu Күн бұрын
Sasa urusi ilipize kisasi tu ampe nyukllia Iran ampige Israil
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 Күн бұрын
Mzee Irani ndio anakisima kikubwa cha Nyuklia world wide🔥🔥
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 22 сағат бұрын
Kha sema Iran ndiyo impe mrusi nuclear
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 22 сағат бұрын
​@@allyhuyu1892funguo za nuclear zote za mashariki ziko Russia kwasababu Urusi ndo aliyempa Iran Korea na china formula ya nuclear. Kwahiyo boss ni Russia.
@JosephatMsukuma
@JosephatMsukuma 22 сағат бұрын
Iran mwenyew nyukilia anayo hata ucjar vikwazo tu ndio sababu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 10 сағат бұрын
Ndugu yaani upeleke parachichi na ndizi tukuyu?? Iran nayo ni inazo nyuklia za kutosha
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Күн бұрын
Kila mtu amliliye MOLLA atulize vita vinanyo endeleya kwa kuwa vita thuru uchumi wa inchi zetu amin 🤲 amin 🤲 YARABI amin 🤲
@mgoshatozagosha2967
@mgoshatozagosha2967 Күн бұрын
Amiin
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 21 сағат бұрын
Israel haiwezi kufanya maamuzi mazito kama hayo bila maelekezo ya Marekani. Adui wa Marekani ni Urusi. Kwahiyo Israel Inatumika na Marekani kuichokoza Urusi! Marekani unataka Urusi ajibu ili wapate sababu ya kumaliza mchezo hapo kwa kuichukua Syria.
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 20 сағат бұрын
Alaf isreil kapiga kambi ya urusi syria labda ajaribu moto unawaka vp
@damianmhagama4398
@damianmhagama4398 22 сағат бұрын
Sifurahishwi unavoshindaa kuitaja Iran na kutumia muajemi.
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 19 сағат бұрын
Jinyonge tu mkuu maana ukweli unauma
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 23 сағат бұрын
Vita ya TATU ya dunia ndohii mwakilembe
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 22 сағат бұрын
Kabisa
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p Күн бұрын
Hii ni kweli ?
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 3 сағат бұрын
Sasa ikichokoza watapiga ndani ya putin
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 22 сағат бұрын
Najua putin atafanya jambo la maana kwa kuwashikisha adabu waizraeli na sio kama iran ilivyowanyea kidogo,mi nategemea izraeli ndo mwisho wake wa kuwepo kwenye ramani ya dunia....bora putin amalizane nao tuu😂😂😂
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy 3 сағат бұрын
Hakuna jeshi wetu aliefariki huko siria?
@AliAbass-e8i
@AliAbass-e8i 20 сағат бұрын
Mwalimu tupe ukweli waisraile duniani wapo wengi urusi na iran katika dunia nchi yatatu marekani sasa naomba utufahamishe hawa walokuewepo huko urusi na iran wanatofauti gani na walowepo marekani
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 5 сағат бұрын
Israel ameyakanyaga
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 6 сағат бұрын
ACHA UONGO,WEWE UNATAKIWA UPELEKWE KWA PIDDY
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 13 сағат бұрын
Kaka kwanza turekwbishie kauli maana clip yako ya kwanza kbx baada kisasi cha kwanza cha irani ulisema ni danganya toto em tuweke sawa au ulikua una test mitambo
@AliKhamiss-r5k
@AliKhamiss-r5k 14 сағат бұрын
Dhulma siku zote haidum lzma italipwa tuu km raha sas na nyie Israel onen utamu sasaaa😅😅😅
@yassinmohamed8241
@yassinmohamed8241 Күн бұрын
Viva Russia
@SalmanFarhad-j2h
@SalmanFarhad-j2h 7 сағат бұрын
😮
@MOSESIMCHUNGUZI
@MOSESIMCHUNGUZI 6 сағат бұрын
ACHA UONGO ,
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Күн бұрын
Ndugu zangu, ni wazi kabisa mwisho wa dunia umefika. Ukiona Putin na washirika wake wameuvuka mto Frati kwenda kupambana na Israel ujue ndio mwisho wa Putin na washirika wake wote, Na pia Israel lazima ishinde vita hii
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 23 сағат бұрын
Israel ishinde vita mbele ya nani mkuu..
@Adamchestemuzaahim
@Adamchestemuzaahim 23 сағат бұрын
Umbwa malaya wewe shoga kubwa huna akili
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 22 сағат бұрын
Wayahudi wapo milioni 9 na warusi wapo milioni 4900000 Israel wanashindaje? labda kushindwa na njaa!
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 22 сағат бұрын
Hahahahahahaaaa hivi ni akili yako au
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z 21 сағат бұрын
@@Adamchestemuzaahim ndg usimtolee matusi sio vzr namna hiyo ndg yng kama hajui basi unamuelimisha mungu atakupa na elimu ya ziada kama utamsaidia kumuelimisha mwenzio sasa ukimtukana kwenye media hizi sio vzr..
@DifaRobelindo-cj2ij
@DifaRobelindo-cj2ij 17 сағат бұрын
Putin ni mchumba nyinyi mnazani Netanyahu anamuogopa urusi. Urusi ukreinu inamshinda
@issalyanali4119
@issalyanali4119 14 сағат бұрын
Unateseka ukiwa wapi? Kulipuliwa Kambi ya urusi Syria SI tattzo,,,,marekani Kambi yake ililipuliwa kule Iraq,,,,unataka kusema Iraq anamuweza USA,,,,uwe na uelewa ,,, Israel mara 1000,,hauwezi mziki wa urusi,,,mi ndo nakuambia ,,makombola 400 ya Iran yameingia Israel watu wanalia ,,, Israel bila USA si chochote.
@athumanisudi891
@athumanisudi891 11 сағат бұрын
Hujielewi
@Jastini-gv3vt
@Jastini-gv3vt Күн бұрын
Hata rais samia akwatka watz waluoko Israel warejee kutokana na vita ilioko huko mtatuambia rais samia katangaza vita na Israel 😂😂😂😂😂
@ALLYZAHOLO-gr9py
@ALLYZAHOLO-gr9py Күн бұрын
SS Samia anamkataba wa ulinzi na Irani?
@shafiismaily9223
@shafiismaily9223 Күн бұрын
Usalama kwenye nchi ni mdogo!!
@Jastini-gv3vt
@Jastini-gv3vt 23 сағат бұрын
@@ALLYZAHOLO-gr9py haujanielewa nilicho maanisha ila unataka kuniambia Israel ikiishambulia Iran rais samia atatangaza vita na Israel
@MapangaSammy
@MapangaSammy 23 сағат бұрын
Unasemaje unajua America imesimsimia Tanzania qa kiasi gani
@ramadhanurassa2410
@ramadhanurassa2410 22 сағат бұрын
Unafananisha mbingu na ardhi shubaamiti!!!
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 5 МЛН
Battles from film - Tankist - (Dir Alexander Efremov 2020)
24:36
ThundeRMomenTWar
Рет қаралды 1 МЛН
LIVE: Speeches on Day 4 at UN General Assembly 2024
11:55:00
Associated Press
Рет қаралды 47 М.
Israel ready for war with Lebanon and Iran. Lumumba Explain
18:19
THEE ALFA HOUSE
Рет қаралды 173 М.
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН