PUTIN AOMBA VITA NA MAREKANI, ULAYA ‘TUTAIJARIBU ORESHNIK’

  Рет қаралды 24,215

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 109
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 5 күн бұрын
Huyu putin yuko vizuri sana,kupambana na nchi 32 kwa miaka 3 si mchezo,marekani vile vikundi anavyoviita vya kigaidi tu vinamtoa jasho,
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 6 күн бұрын
Anazeeka vibaya 😮😊😅
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Shoga yyte akisikia maneno haya lazima aumie
@SamuelMoturi
@SamuelMoturi Күн бұрын
Anajiamini si Kwa Mungu na atapigwaawezi PATA upingwa anotake Kwa sasa.America is a pieceful Nation.
@Josephmatiko-y9b
@Josephmatiko-y9b 6 күн бұрын
Sanaaaa baba
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 6 күн бұрын
Hakuna shoga anaemkubali Putin😅😅😅🇷🇺🇷🇺✨🎖️🪖✍️
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 6 күн бұрын
Umesema kweli
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 5 күн бұрын
Kweli kabisa mapunga yanamkubali baba Yao Biden. Na sio putin😂😂😂
@gstone830
@gstone830 5 күн бұрын
Mwamba uyoo, Oreshnik ni kombora hatari sana
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 3 күн бұрын
Upo sahihi sana yoyote alio shoga hawezi kumkubali putini
@kulwamgaya
@kulwamgaya 6 күн бұрын
Hyu mzee amelogwa
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 6 күн бұрын
Amerogwa baba yako ambaye Hata balozi wa nyumba kumi hatambuliki
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Amelogwa wkt anawatandika kila siku mashoga wenzio
@FrankAugustino-g2s
@FrankAugustino-g2s 6 күн бұрын
Mzee wetu Ana mbwembwe sana duuu haya Anza ww kutuma hilo kombora tena utume USA 🇺🇸 tuone nguvu yako,acha kelele mzee,oreshnik top speed ni mach 10 na Dark Eagle top speed ni mach 17 sasa hapo ni kombora lipi lenye speed zaidi.??
@AgustaZaile
@AgustaZaile 6 күн бұрын
Pambana na mashoga wenzio
@YohanaMasebo
@YohanaMasebo 6 күн бұрын
Tumwa kweli wewe Shoga mwenzio. Atapigwa tu
@harounkiyungi7288
@harounkiyungi7288 6 күн бұрын
Bro Hilo Oreshnik ni conversion weapon mkuu hapo hajaongelea Ile midude inayotisha zaidi ya kimeta ya Satartan 2 na mingineyo
@laurellmoses8322
@laurellmoses8322 6 күн бұрын
Kwanini hatumii mabomu hayo kwenye nchi nyingine ya ulaya zaidi ya ukran
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 6 күн бұрын
Wao wana akili ndio maana wamemtoa kafara zelesk
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Waambie watangaze vita waone kama hayapigi kwenye nchi zao
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 күн бұрын
Tusishabikie vita wapendwa katika Bwana Yesu. Yaani ungeona vita watu wanavyokufa, ungehama kwenye dunia hii. Inatisha!!!
@ramadhaniOsujacki
@ramadhaniOsujacki 6 күн бұрын
Ndugu wa mwananchi tunakupata vizuri sana kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna
@IbrahimDabuya
@IbrahimDabuya 5 күн бұрын
vita mbaya achenivita tujenge uchumi wa dunia ❤
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 күн бұрын
General kauliwa
@donaldmgunda4970
@donaldmgunda4970 6 күн бұрын
Mr putting maneno mingiiiiiiii,nenda kajifunzeee kwa general Benjamin netanyauu Israel 😅
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 күн бұрын
Yule anaua hadi watoto wachanga, yule ni balaa, tusishabikie vita wapendwa katika Bwana Yesu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 6 күн бұрын
Unaerewa maana ya mkuu w a vita taja Israel imepigana vingapi na marekani na Russia hujui history
@salumomar5234
@salumomar5234 6 күн бұрын
Yule shoga mwenzio anayepigana makofi na watoto wachanga na wanawakeee, mpeleke na mama Ako Kwa vile yeye ni mwanamke basi itakuwa rahusi kupigwa na mjomba Netanyau
@dicksonmbuta6700
@dicksonmbuta6700 6 күн бұрын
NILICHOKIGUNDUA PUTIN HASOMI COMENT ZETU AIGONGE UKRAINE TU
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Yule mjinga ni shoga kama mashoga wengine kazi kuuwa watoto wachanga wazee na wanawake mbn alitandikwa na Iran vzr tu na hajafanya chochote
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 3 күн бұрын
Safi sana wewe ndie metetezi wawanyonge duniani
@GadielKahemba
@GadielKahemba 6 күн бұрын
Si alivulumishe tu.marekan au uengeleza kama anaweza.
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 6 күн бұрын
Hii kali😅😅😅
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 6 күн бұрын
Apinge kwanza ukrain mbona alishindwa syria
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 5 күн бұрын
Atarudi Syria uwe na subira kiongozi wetu😂😂😂
@rachigameni101
@rachigameni101 6 күн бұрын
wanaume hawaongei Sana, mbona hupigi hivyo vikombora uchwara vyako
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
We shoga unateseka ukiwa wapi
@alexkasililika4288
@alexkasililika4288 3 күн бұрын
Warusi wanajua nini wanafanya nchi za magharibi siasa nyingi uwezo mdogo
@happygombe1969
@happygombe1969 6 күн бұрын
Putin umezidi kelele sana huna lolote piga hilo kombora sasa
@masoudkatiba1484
@masoudkatiba1484 5 күн бұрын
Si Alisha piga Ukraine ila hakuweka nyuklia alipiga baruti tu kwani wewe hujafatilia
@akidashekue163
@akidashekue163 6 күн бұрын
Putin drama nyingi
@rashidkapile
@rashidkapile 6 күн бұрын
Kudadadeki,Huyo ndie kiduuuumee Mwanaume Jiamini hakuna kuogopana la
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 5 күн бұрын
Mamae WaRusi 😂😂😂😂😂😂 Wamevurugwa maana wanaona kama mlengwa anajificha sana,wameamua kuomba mechi ya kirafiki kabisa, Marekani na Urusi wakichapana,hamna mshindi atae patikana,Maana ni madude makubwa sana
@andersonmduma7613
@andersonmduma7613 6 күн бұрын
Vita haviombwi, yeye alianzishe tu.
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 6 күн бұрын
Safii piga hayo mashoga
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 6 күн бұрын
Big up putin
@LAZAROBOMANI-ex6bj
@LAZAROBOMANI-ex6bj 5 күн бұрын
Dunia imeisha
@ErickWankuru
@ErickWankuru 6 күн бұрын
Ukrain ameshindwa marekani ataweza?
@norbertmbena5896
@norbertmbena5896 6 күн бұрын
Ukraine amepigana na Urusi lini? Magharibi wanakaa vikao vyanini kweli uko gizani amka Ufaransa anafukuzwa Afrika unaamini ni nguvu ya Waafrika wenyewe? Sikiliza Ujerumani hali ikoje Marekani iliwahi kupigana na nchi gani uwanja wa nyumbani?
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
​​@@norbertmbena5896uyo ni mjinga mmoja tu hajui lolote
@logwardlogwardsamweli6121
@logwardlogwardsamweli6121 6 күн бұрын
Yaan huyu mzee ndo mzee peke mwenye sifa nying dunian 😂😂😂 ukren tu had leo inamuhangaisha naalisema ataimaliza ndan ya siku 3
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 күн бұрын
Hakusema kwamba atamaliza vita ndani ya siku 3. Hakuna kitu kama hicho. Kama ipo tuambie alisema wapi?
@boscomakala.3923
@boscomakala.3923 6 күн бұрын
Ebu tupe taatifa kashajikataia maeneo kiasi gani huko ukraine pamoja na washirika wakuu kama us,germany,uk,france na wengine wakishindwa kusaidia ukraine maeneo yasichukuliwe....?
@DeusRobart
@DeusRobart 6 күн бұрын
Mapenzi ya jinsia Moja yanawa dumaza akili haya weka sasa ushaidi kama Putin ndoaliongea kwamba atamaliza vita ndani ya cku 3
@AbuuRamadhani-o7k
@AbuuRamadhani-o7k 6 күн бұрын
Awape wahouth na Hesbullah
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 6 күн бұрын
Putin mikwara tu.. mwisho wanaishia kujificha mapangoni
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 6 күн бұрын
Kama mashoga zako walivyo jificha mapangoni.. Mwanaume anayejiamini hutoa kauli za kibabe sio kauli za kimama mama za kulia lia
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 6 күн бұрын
@ uwezo wa bondia sio nje ya uringo..
@JothanGabagambi
@JothanGabagambi 6 күн бұрын
Mikeara wakati anateka maneno?wewe huelewi siyo?Heasabu ni nchi ngapi anpambana nazo ndo ubwabwae vizuru.Mbona mahakama walidai kumkamata na hawakuweza na Marekani yao.Ngoja awatwange tu.Halafu mashoga mlilie chooni
@VicentSangwa
@VicentSangwa 6 күн бұрын
Putin anataka kuangamiza nchi yake
@SamuelMoturi
@SamuelMoturi Күн бұрын
Si vita waliokuwa navyo.Bali ni utulivu.Basi vita na viwe kwao humo Russian soil, aonee huku hupingwa wake.
@sadikihemedmlugu2372
@sadikihemedmlugu2372 5 күн бұрын
Marekani acheni mzaha afrika hatutaki ushòga kama nyie mnafurahia sister hatuþaķi
@MaikoNyondo
@MaikoNyondo 2 күн бұрын
Warabu ndio walianzisha uhoga mpaka Leo wanamuo mwafrika kama sio binadamu Ila mnashangaa wanao jipendekeza wakati wanakuona kamanyani tuu
@AbdallahJuma-f8y
@AbdallahJuma-f8y 9 сағат бұрын
Sisi tunajua wazungu ndo wanatuita sisi nyani
@NgendandumweAlouise
@NgendandumweAlouise 6 күн бұрын
Mbona hajapiga ukrain acheni uongo
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Kwani alivyo lipiga ulikuwa wapi au ndio unaamka ucngizin
@MouriceNdomba-b8v
@MouriceNdomba-b8v 6 күн бұрын
Putini wewe nomuoga kila siku utalipitiza kisasi halafu hatuoni chochote
@williamsimusanga6605
@williamsimusanga6605 6 күн бұрын
Uta onaje macho yakuonea hauna
@RBMBAKARI-bv6wn
@RBMBAKARI-bv6wn 6 күн бұрын
Amesema hivyo anajua kabisa atatumia fursa kuuingamiza america ni waoga sana kushambuliwa wanapenda kujihami sio kupigana.
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 6 күн бұрын
Vita huwa haiombwi ila unalianzisha tu .
@jozamsolomon4002
@jozamsolomon4002 5 күн бұрын
Putin huna jeshi wala huna uwezo wa kupambana na Marekani, jeshi la Urusi ni dhaifu sana kule Syria ulishindwa kumlinda Assad hatimaye kakimbia, tunaenda mwaka wa 3 Ukraine imekushida, juzi jenerali amekufa kizembe hadi unajiuliza nyumbani kwa jenerali palikuwa hapana ulinzi au alikuwa anaishi kama chokoraa, tengeneza jeshi upya, mfano mzuri tizama jeshi la IDF hadi mbwa wa kijeshi wamepata mafunzo ya hali ya juu sana.
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
hao IDF mbn wanachinjwa kila siku Gaza na WA huthi wanawambisha mchanga Kwa kuwapiga makombora huo ubora wao uko wapi Alafu wanapigana na kikundi cha hamasi mwaka na miezi sasa mbn wamechemka
@hamisikingakachu1259
@hamisikingakachu1259 5 күн бұрын
Mbona anamanenoengi wenzie wametulia kimya ajalibu tu aipige marekani au atafute inchi yaulaya aipige sio aombe vita kwani awajui inch zinazoifadhiri ukrein silaa ujerumani uingereza marekani ufaransa ndizo zinapeleka silaa ukreini kwaiyo sababu ipo yeye kira siku mikwara mingi
@noelmasue9708
@noelmasue9708 6 күн бұрын
Kidume😂😂
@MaikoRashku
@MaikoRashku 6 күн бұрын
Mbona hapo sirya umeukalia mkia ukauficha mkundu usiingie hewa Kama mbwa Koko ?. Putin una maneno mengi Sana, kujaribu vita na marekani ni sawa na kuukalia uboo uliodinda ukiwa uchi na kufanya jaribio la kupenyesha mboo mkunduni ili uone Kama hiyo mboo itakumwagia shahawa mkunduni
@Mnengatv
@Mnengatv 6 күн бұрын
Yeye ndo amehusika na hayo mapinduzi umiza ubongo kuchanganua mambo acha uvivu wa fikra
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 6 күн бұрын
😂😂🎉🎉🎉🎉
@baloziwaMamtukuna
@baloziwaMamtukuna 6 күн бұрын
😂😂😂 Mamae Aukalie apoteze Marinda
@edwardmongi117
@edwardmongi117 6 күн бұрын
Ujui kitu kaaa kimya
@faridfrefre35
@faridfrefre35 6 күн бұрын
Mashoga hawampendi putin wapenda mboo
@RAJABU-c7s
@RAJABU-c7s 6 күн бұрын
😂😂😂😂 safi baba ww ndie taifa lenye nguvu dunia tuone atakae jitokeza ninani
@MathayoCharles-z2u
@MathayoCharles-z2u 5 күн бұрын
Ukraine tu anakushiswa American utamuwezea wapi mwaka wa 3 huu unaangaika na kanch kadogo ad unaomba msaada kwa korea china iran unajipya
@IndalesioHenery
@IndalesioHenery 3 күн бұрын
Muongo putuni malekani inandege ambayo haionekani ataweza
@Emanuellupoja44
@Emanuellupoja44 5 күн бұрын
Viongozi tahira huyu hajui mpka sasa madhara aliyoietea dunia
@morohanmwashiuya
@morohanmwashiuya 5 күн бұрын
Putin maliza magharibi mbonawanacheze putin
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 5 күн бұрын
Putin kama anataka vita apige Marekani alafu atajibiwa
@barakashaban1082
@barakashaban1082 5 күн бұрын
Marekani kama wanataka vita waipige Urusi Alafu watajibiwa sio kuitoa kafara Ukraine wakijifacha kwenye mgongo wa Ukraine
@MaikoNyondo
@MaikoNyondo 2 күн бұрын
Putin asicheze na marekani i anahesabiwatu siku zakuishi hajijuiti
@RAJABU-c7s
@RAJABU-c7s 6 күн бұрын
Hasante baba kama anauwezo haingie uwanjani tumuone kuliko kujificha nyuma
@bwiremgonya07
@bwiremgonya07 6 күн бұрын
Hivi kwel?Putin anasoka koment zetu!😂😂😂
@KanutiKasian
@KanutiKasian 5 күн бұрын
Tuache matusi,tutoe comments zetu kwa busara,kwani matusi yanaonyesha kutokuwa wastaarabu.Kama huna comment ya busara ni vyema ikakaa kimya kuliko kutoa mutual.Kumbuka hata watoto wako wanaweza kusoma na kusoma upuuzi wako.
@issadullah2074
@issadullah2074 6 күн бұрын
Piga mashoga hao
@josepheriah5977
@josepheriah5977 6 күн бұрын
Syria kapigwa
@ajiaally3269
@ajiaally3269 6 күн бұрын
Ss yy ni nchi yake wsmpige yy ndio utsijua urusi hapk ukraine cha moto mnakiona mlpo nchi xote na anawapiga kila kukicha
@EmanuelChimanuka
@EmanuelChimanuka 6 күн бұрын
Vrema
@hopemwalemwale2100
@hopemwalemwale2100 6 күн бұрын
jarbu kwa israel tuone kama iron dome haitoweza ku dunguwa😅
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 6 күн бұрын
Kwasasa hakuna mfumo utakaoweza kuzidungua labda Patriot ya marekani
@williamsimusanga6605
@williamsimusanga6605 6 күн бұрын
Ni makombola mangapi haya zuiliwi na iron dome yanayo pigwa na wazee wa Yemen, esbolla
@Mnengatv
@Mnengatv 6 күн бұрын
IPIGWE TU FRIEND WAR
TRUMP AMTUKANA BIDEN HADHARANI ‘NI MPUMBAVU’ AOMBA KUONANA NA PUTIN
5:53
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Массированный удар РФ по Украине в Рождество
1:06
Euronews по-русски
Рет қаралды 125 М.
Сравнение Армии Турции и Израиля 2024
9:02
Гравитация
Рет қаралды 1,9 МЛН
PUTIN ATAJA MASHARTI KUKAA MEZA MOJA NA ZELENSKYY
4:59
Mwananchi Digital
Рет қаралды 10 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН