Putin ataka wanajeshi wake kuharakisha operesheni yao Ukraine

  Рет қаралды 20,747

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 18
@erickagwe8841
@erickagwe8841 2 жыл бұрын
Ninyi ni idhaa ya Kiswahili halafu Urusi mnaita Russia, Ukraini mnaita Ukraine, Uchina - imekua China (chaina), hii inakuwaje jamani, makusudi au hamjui?
@aminsalum5731
@aminsalum5731 2 жыл бұрын
kuficha kitu
@samwelmumburia2060
@samwelmumburia2060 Жыл бұрын
Afrika Hana ubavu wakusema chochote
@badrudiniabdulmpakate2014
@badrudiniabdulmpakate2014 2 жыл бұрын
Knock dem down. MY FRIEND VLADIMIR PUTIN
@sbboymkaliofficial9108
@sbboymkaliofficial9108 2 жыл бұрын
Asanteee Putin fanya kweli ayo ma nuclear weapons 🔥🇷🇺🇷🇺🇷🇺👇 kzbin.info/www/bejne/pH-Yn4Juhqqfjqs
@estonwell8850
@estonwell8850 2 жыл бұрын
Huyu pp ni pp wa marekani, ulaya na nato hivyo mataifa mengine tuunde papa wa kwetu zikiwemo nchi za afrika.
@samwelmumburia2060
@samwelmumburia2060 Жыл бұрын
Putin acha ubabe tumia akili anguvu pekee
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
Waafrika tunawapigia warusi upatu. Aidha tumesimama kidete na ngangari nao.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 жыл бұрын
Nazania Waafrika wamemuona bora Putiin kuliko Wamarekani na wa Europer
@doubletapkama3901
@doubletapkama3901 2 жыл бұрын
Nuclear putin anataka kutumia Mungu atapigania Ukraine
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
Waukraine ni wabaguzi dhidi ya watu weusi. Na waafrika hatuwezi Kuwapigia chapuo. La hasha!
@germainpennant6439
@germainpennant6439 2 жыл бұрын
@@afrakanaswahilitv5520 acha ujinga wewe, Tanzania ndio nchi ya kwanza duniani kwa ubaguzi. Sasa hata kama africa iko nyuma ya putin ndio itaendelea?
@afrakanaswahilitv5520
@afrakanaswahilitv5520 2 жыл бұрын
@@germainpennant6439 kwani una wazimu au wewe ni kidudu mtu? Ukijihisi kuwachapukia waukraine jitose kwenye ulingo wa vita tukutane huko. Ukiwa na hizo fikira za utumwa na ukoloni kwa kudhania Yesu Kristo ni mzungu wa mizungu sina la ziada bali kukuacha kwenye dimbwi dubwana la jehanamu. Salia kuko huko, miye nakwenda zangu kwa mwendo wa kuta.
@samwelmumburia2060
@samwelmumburia2060 Жыл бұрын
Putin matisho tuu tumia nukilia utakiona chamoto urusi itageuka vumbi
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Anatisha tuu apige nawanaume watajibu
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Putin harakisha tumechoka tumia silaha yako kutishatisha siyo jibu.
Duniani Leo
29:25
VOA Swahili
Рет қаралды 2,5 М.
Urusi yatangaza kusimamisha mkataba kati yake na Marekani
9:53
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 12 МЛН
Siasa na utawala Kenya: Mswaada wa Kumfungulia Mashtaka Naibu Rais
30:02
Duniani Leo
22:01
VOA Swahili
Рет қаралды 1,4 М.
L'Europe doit payer - Documentaire
59:48
Public Sénat
Рет қаралды 257 М.
Duniani Leo
29:51
VOA Swahili
Рет қаралды 13 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:14
BBC News Swahili
Рет қаралды 13 М.
Fronde interne contre Justin Trudeau | Mordus de politique
16:20
Radio-Canada Info
Рет қаралды 26 М.
Chine/Taïwan : provocation ou guerre imminente ?
18:49
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,5 МЛН