Konde Boy upo vzr . Hili jamaa lilipotea umelirudiaha upya . Na atawafunika WCB nyote😁 mana ana kipaji cha kweli kweli. Big Respect to konde boy . Q chilla hujawahi kutuangusha mashabiki wako big up bro.🤘
@abdulyabubakar62475 жыл бұрын
Hey guys kama MNA amini chilla is back kwa support ya konde boy naombeni likes then zije kama mvua ili tumsapot savimbi akae kwenye line...
@osiahstimah89105 жыл бұрын
Sio kwa support ata bilaa support ni fireeeeee #Chillah
@mejamajaliwa59385 жыл бұрын
Good chilla 💪💪💪💪💪
@loitolaisser30405 жыл бұрын
Abduly Abubakar 😹😹😹😹😹eti savimbi
@tirasteras1065 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@maulidstumay5 жыл бұрын
Bro bado yuko vizuri kwani hata baadhi ya nyimbo zake bado zinafanya vizuri kwa wanao ujua mziki na ladha yake. GOOD LUCK Q-Chief✊
@redleafmedia66805 жыл бұрын
Kama unamkubal konde boy na unamuombea mungu afike mbali gonga like the return of chilla nakubal brother gonga like twende sawa
@majariwapelajiperaji1925 жыл бұрын
Duuh!mtu kaumia damu inamtoka L akini nguo haijachuka
@michaelmayunga83273 ай бұрын
2024 listening
@deboss59355 жыл бұрын
Hivi hizo Likes mia tano mnazipataje jaman.. Anyway hawa wasafi naona ndo wakombozi kwa hawa malegendary wetu
@rashidyjanken99635 жыл бұрын
😍🤳🏾
@mswahiliog23365 жыл бұрын
Huyu Qchilla ndie msanii wa zamani ambae tangu zamani uimbaji wake upo tofauti na wasanii wote wa zamani ana kipaji ambacho hastahili kubaniwa anajua sana god bless chilla
@daydayhussle63095 жыл бұрын
Kama unasoma comment huku unaangalia hii nyimbo...like comment😁😁
@mustaphamatola36855 жыл бұрын
I wish uone moyo wangu ulivojaaa makovu wenda utanionea huruma kama umependa hchi kipanda embu like kwanza hapa
@redleafmedia66805 жыл бұрын
Nice
@mustaphamatola36855 жыл бұрын
FRESH ANDY konde boy supporter
@mwateeoliver11195 жыл бұрын
wow i like wat harmonize is doing, nani anaamini kua chillah ni legendend wapi like zake jamani support from +254
@abdulaziziyoussuph64585 жыл бұрын
Noma sana
@alhabib_abdulwahab5 жыл бұрын
+254 mwenzako
@mwateeoliver11195 жыл бұрын
@@alhabib_abdulwahab aminia mwana
@mwateeoliver11195 жыл бұрын
@@alhabib_abdulwahab shukrani kwa support
@jupiterbibi96305 жыл бұрын
Mbona naipenda sana, Leo nimei skiza bila kuchoka Iko juu mwenye a nakubali gonga like, more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hamadihassan50915 жыл бұрын
Naomba namba yko
@yusuphjuma16665 жыл бұрын
Jupiter bibi mambo
@linahafredy72815 жыл бұрын
Umeona eeeehhh
@oscartvonline23825 жыл бұрын
Ukiona kobe katulia, jua ndo anatunga sheria. The all time king is back. Nikikumbuka siku za Wiper nabaki hoi
@JamesKasambala-v5c3 ай бұрын
Harmonize unajua sana mwamba🔥🔥📌
@dejong3605 жыл бұрын
KING IS BACK kama unakubali nipe like zangu
@enonmwanza57365 жыл бұрын
Mwanafunzi kawa mwalimu kweli maisha ni safari ndefu sana harmonize unaimba music mzuri kuliko boss wako diamond walahi tena
@fauahamisi10975 жыл бұрын
Enon Mwanza kweli kabisa dogo anaweza
@sarahmisawo49275 жыл бұрын
I like this guy qchila u the best you've always been my inspiration singer.
@abdulliemanuel17245 жыл бұрын
Nan kasema?
@tonganekwizayo96425 жыл бұрын
Uongo bwana
@godwinshaweji39445 жыл бұрын
Wewe diamond haana mpinzan harmonize n Mtoto MDOGO sana kwa mond
@MtotoWaPharao5 жыл бұрын
Wapi mafans 254 gonga like kama ume penda hiyo Blue suit....Qchilla TiBIIIIIIIm kabiria boys representing
@mrthreesix2805 жыл бұрын
Konde boy MUNGU akubariki kumuinua Tena chilla boy...nataka collaboration ya chilla na lavalava iyo kulalanika Yao iyo wimbo itakua motoooooo,na hii ni fireeeeeeee
@rashlymnyama355 жыл бұрын
🇹🇿🇰🇪wpi likes Za KONDE BOY n SAVIMBI 🔥🔥🔥.....dah bonge la CHUPA
@eunicejoseph38705 жыл бұрын
Tunapeleka trending nymbo kadhaa kwa mpigo noma sana WCB FOR LIFE AKUNA KUACHIA MUTU UPENYO wcb kikazi zaid this year hollaaah!!...
@albanbros72105 жыл бұрын
Mtu kutoa ngoma tatu kwa mpigo na zote ni kali.Damn ! Nyie jamaa hambahatishi aisee.Naomba tuwape likes za kutosha hawa watu.
@salumkomba33675 жыл бұрын
alban bros ok
@cookwithnimmo5 жыл бұрын
How i missed qchilla...gonga like from 254
@annabelljoy76705 жыл бұрын
they both have very angelic voices,..Konde boy kudos for bringing Chilla back..lakini nimekwama apo kwa "Mange Kimambi"😂😂
@lloydviera92835 жыл бұрын
Aaaah imeweza mbaya., now i can start listening to bongo music once more, chilla is back.!
@abdallahsayeed71265 жыл бұрын
Nkimcheki Q chillah mpaka nahis machoz hilo gem la bongo noma mi nimelike
@gitongajames5215 жыл бұрын
Anafanya kazi njema Harmonize kwa kuamsha vipaji vilivyo zima,kongole bro
@magneticofficialtz5 жыл бұрын
wanao mwelewa chilla gonga like hapa
@Aryallwk3 ай бұрын
Legend q chills,Rudi Kwa game
@AlexMapunda-g1w6 күн бұрын
❤ kila nikisikiliza hii namkumbuka mtu niliyempenda sana😢 maishani Dalilah swalehe Abbas
@ebbyramadhani5 жыл бұрын
Kipaji bwana Kumbe kinaweza kuuliwa kwa kukosa support Chillah Umri unaenda lakini kipaji na sauti kama ndo kazaliwa jana.
@malayikanepo7885 жыл бұрын
Kweli kabisa bro... Umenena
@boazmasinde27644 жыл бұрын
Wazi joh
@JumaBaitairimalik5 жыл бұрын
4th viewer from Kenya likes za Qchillah au vipi
@abassking82965 жыл бұрын
Najua umemtaja Dada wa taifa mange kimambi akireact Nyimbo lazima Iwe hit
@jeremiahburton89995 жыл бұрын
Hadi nimelia..this is so emotional 😥😢!!
@tupokejamley13855 жыл бұрын
seriously
@hausikuvendelinus34385 жыл бұрын
translation in english please
@zacnatili92712 ай бұрын
The vocals on this piece...
@leonardchristiankuboja71155 жыл бұрын
Alaf kuna wa....... Wanajifanya kuponda WCB Sijui wao wanafanyaga nini hatuoni hata matunda yao
@MajaxiFx5 жыл бұрын
Yani Africa apa Ukiitoa Nigeria na Ghana kimziki Inchi inayobaki kimzikimzurii Tanzania Ukubari ukatae Mkizi mzuri upo kwetu Love this song its so hot Kwa sisi wakusini tunasema Kwani chani Harmo Hahaha
@mosesmkandawile55975 жыл бұрын
Sio Tanzanian #WCB
@harunimasudi2835 жыл бұрын
Ukama sana
@regimentish5 жыл бұрын
@@harunimasudi283 wcb
@kaptenmkuu25035 жыл бұрын
Tz.
@herifedrickson69855 жыл бұрын
Wcb nawanyooshea mikono kwa kuwashika mikono malegendary na kusonga mbele, hivi haters hawaoni haya!! Ngoja tuwaonyeshe# nionyeeshe🙏🙏🙏
@magangakayola41755 жыл бұрын
Sio maregendary malegendary
@adebutupaul39125 жыл бұрын
Any Nigerians here🇳🇬🇳🇬🇳🇬 I just love harmonize 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
@suzanaronald4885 жыл бұрын
nampenda q chila tangu nikiwa primary na sasa n mama na watoto lkn saut y Q chila amazing ...comment n. like kama unaona legend wetu is back
@sandrinekidasharira97135 жыл бұрын
The same here! I was so happy to see him on Instagram! And sure my kids are listening to him! On repeat!❤
@hashimhassani11274 жыл бұрын
T
@ASHERYWILZ5 жыл бұрын
Mungu akubariki bro HARMONIZE kwa moyo unaoyuonyesha wasanii!!!!!!!!!
@lakitanoofficial11385 жыл бұрын
3rd viewer from kenya 🇰🇪 likes zangu🙏🏼🙏🏼
@redleafmedia66805 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/o32qnp-vpdJnf6M
@hussenissa50924 жыл бұрын
Upuuzi mtupu eti Shahid yako mwenyezi kweli Upuuzi pumbavu
@lacasaentertainment22705 жыл бұрын
254 kenya taa ndio tuna first rep:
@NabakiZanzibar3 жыл бұрын
tujuane kama Still this is the best song on 2022 Q Chilla alikaza sana.
@dennismurage10975 жыл бұрын
sijawai ona mtu shupavu kama wewe hermo big up you are the next king of bongo.
@ahmekfatal28645 жыл бұрын
Machozi ya furaha kuona kioo cha jamii kimerudi kwa nguvu....harmo ur a true blood to the world big shout out to u ninjaz👊🏽👊🏽👊🏽
@bressfabians45375 жыл бұрын
Kama kweli Ngoma zote Kali. Piga like ya nguvu aiseeei.
@KirangaHouston5 жыл бұрын
KAWAI ingefutwa ikaandikwa WASAFI AO WCB. KONDEBOY ULICO KIFANYA KWA CHILLAH .MUNGU AKULIPE .UMEONESHA UTU.. #BurundiaMusician #KikiHOUSTON
@chipiboy23955 жыл бұрын
kaz mzurii bro q chilla kabadilika sana bg up konde boy
@binrashid16385 жыл бұрын
Kama hujawahi kusikia kuhusu Q chif kama hana skendo za madawa ya kulevya basi ujue tupo pamoja
@cypriannyamwamu5 жыл бұрын
chilla wants to pull a Nyashinski on us, I see you 🔥🔥
@angelajovin20205 жыл бұрын
Mie nafuraha tu jaman,naomba iwe kheri na baraka kwao🙏🙏🙏♥️♥️..nikiwa tajiri nataka kua km harmonize
@redleafmedia66805 жыл бұрын
Never give one day yes
@KINGsalumufxTz5 жыл бұрын
jinsi ya kusoma sms ata kama zime futwa kzbin.info/www/bejne/gmSQYmNpgZl2gLM
@teobardmkinga5773 Жыл бұрын
Sawa pambnaaaa
@shizomaniga96275 жыл бұрын
Keep it up brother good song may God always bless your work,1@harmonize,🔥🔥🔥🔥
@kellymeshy25745 жыл бұрын
Wadau.. Uyu Q Chilla wa zile Old Skullz music au.. Nzuri sana from South Africa Likes zikam Africa mzima we support Konde Boy
@djbunduki2545 жыл бұрын
Welcome back Qchilla my long time friend and favourite artist!!Shukran saaaaaana KONDE BOY!!!
@saiidridhiwaani66375 жыл бұрын
niMeipeenDa cOMMent yakO kaka Mkubwa kwa LeGenDary MkaaLi ,, Dj-banDDuuki Miss yu sana kaka Mkubwa
@Big_Brother50milion3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5CpmIJjnJ5snMk
@paulnyasaho52425 жыл бұрын
Dah, bonge la Song kweli chilla is back...like hapa kuonyesha tunakubali kazi ya Harmonize kwa kumsapoti Chilla 👍👍👍👍👍👍
@majutoeliassuyuabakwe85875 жыл бұрын
Q chila pinga kaz
@upgo61125 жыл бұрын
Ase Mungu akuzidishie Konde boy. Ninaiman kubwa na Q chila .eeeee gari limekosa break mtelemkoni ....hahahaa na njia imenyooka ... Q-chila kamua ..mafuta
@omaryabubakary70305 жыл бұрын
q chillah alwayz respect ni kwako bro natamani uirudie ile MARIAMU
@keiramayars75445 жыл бұрын
Daa! Umeniongelea yaliyomo moyoni 👌
@suleimanharoub10385 жыл бұрын
The best song
@mifugoainazote2005 жыл бұрын
Aise bro harmonize umefanya jambo jema sana kusapot huyo bro Q chilla maana huku kwetu vijana sote tunamkubali kimyama toka zaman yan daah hapa mmetuteka mashabiki
@daudmilan14795 жыл бұрын
leo ngoma ako imepiga uganda kwenye next redio Mzee chilla hongera
@ramamanyama29445 жыл бұрын
NO ONE LIKE WCB..SAF HARMONIZE&&&kama yupo anaeamin kuwa konde boy kafanya k2 kizur agonge like apa twende sawa
@aboumaniragaba44155 жыл бұрын
Kama unakubali usaidizi wa harmonize kwa Q chief gonga live
@denisi.z5 жыл бұрын
Mbosso
@fatumayusuph58615 жыл бұрын
inatia huzuni so well come again chilaaaaaaaaaaaaaaaa
@batalemustachi67175 жыл бұрын
unavonipenda mwaya walonitenda mpaka waone hayaaaa
@ibrahimmdigwa24805 жыл бұрын
Nampenda sana
@qudratv91695 жыл бұрын
Uunavyo nipeenda mwaayaa🎵🎶🎶🎶🎤 Daah sijui kwann napenda hapo tuuu😩
@erickmpalanzi60215 жыл бұрын
Yan hata Mimi hapo pananipa hisia za kimzik
@makatym61515 жыл бұрын
Patam sana
@annjulie5705 жыл бұрын
Pongezi sana hermonize Mimi nikisia wimbo zako zina nipa raha ,I wish you the best harmonize in your music career
@gordiansoko91135 жыл бұрын
Kambale ni kambale tu awe mdogo au mzee sharubu ndio asili yake Q Chilla/ Harmonize mmetisha.
@elishamatae97055 жыл бұрын
Hormonize aisee ndio umechanuka bro huyu ni fundi na nusu anaemzidi TZ may be kiba pekee +254 tunakutambua q chillah ebu nipeni likes za chief
@Scott_adi5 жыл бұрын
dahh alivoanza kuimba tuu balaaa
@allyminasi76695 жыл бұрын
acha usenge usifananishe bia na vitu vya kijinga kimba mavi2 sema platinum
@aminasaidy3715 жыл бұрын
Elishama Tae ww umeongea vizur
@nelsonnevlin29195 жыл бұрын
Bonge la Nyimbo ...Q chillah n Harmonize.Umetisha sanaaaaa konde boy moka moja hatari kwenye kinanda pale...pia umetisha sanaaa kumchomoa mafichoni Q chillah ni msanii mzuri sema lyf tu lilimkamata God bless u.
@Dah_or5 жыл бұрын
Nionyeshe the best music of kond boy harmonize the one🔥🔥🔥gonga like kwa mkali
@wisperfect38605 жыл бұрын
Konde boy ww ni moto wa kuotea mbali kama umeangalia kwa kuwa umeona fundi yupo ndani tupo pamoja
@ericsanthinongendahayo37505 жыл бұрын
Nakubali kazi hormonize amefanya ya kushilikisha Q-chief mimi nimurundi nawapenda san 🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿
@ayoayoo12225 жыл бұрын
Welcome back Q chilla mob love from 254
@bahateomar64995 жыл бұрын
NC
@berinkoroso93575 жыл бұрын
Harmonise bringing Qchilla back to the industry 😍😍
@aishaiddi15365 жыл бұрын
uzur wako QCHILAA huna skendo mbovu mbovu coz una matimu yaaaan tangu nakua nakukubari mungu yupo nawe ilaa ukirud wakumbuke nawenginee
@hassanmrutu83324 жыл бұрын
saf
@mrjonasi5 жыл бұрын
mhhhhh yan cc wa Bongo kwakukopi video za wenzetu mhhh kama hnakubali ngoma hii nikali gonga like yako Apa 👍
@danypromagic19264 жыл бұрын
Mazee Q chill ako na sauti Kali mazee kama umeskia gonga like hapa
hogera sana harmonize mungu akubaliki kwahiki ki2 uricho mfanyia Q uchef kweli umewagusa wengi sana 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@yuzoyuzo49745 жыл бұрын
najua nimechelewe ku comment ila najua tunapendana em nionyesheni kama kweli nanyi mnanipenda dondosheli like hapa kwa #kingkondeboy
@manassehopiyo71365 жыл бұрын
Konde G!!!!!...unaenda mbali inshalaaah!!!
@hassanjumbe64365 жыл бұрын
I wish uone moyo wang ulivyojaa furaha, Welcome again Q chillah thank you konde boy for your support to him #Big_up Brothers
@habib.mohaguled4045 жыл бұрын
Am happy to see you again end back welcome back to the gym Tnx so much konde boy kwakum sapot na kumrudisha Q. Chilla napiya hongera kuondoka wachafu sisi always ni Teem konde boy na atawainuwa wengine ili Tanzania iwe juu paka kileleni. More days💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
@stevewanga9575 жыл бұрын
Welcome back Q chilla, we've miss this voice so much... Much love from +974 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
@redleafmedia66805 жыл бұрын
Please support yako kzbin.info/www/bejne/o32qnp-vpdJnf6M
@wemaally4695 жыл бұрын
Mzee wa code 974
@stevewanga9575 жыл бұрын
@@wemaally469 ha2pitwi 😆😆
@wemaally4695 жыл бұрын
@@stevewanga957 tupo rada mbaya mkali wa doha
@thomsonsanjun73405 жыл бұрын
Sijawahi kuelw wcb ila kwa mara ya kwanza nimelew sana hiii ngoma konde boy kanyaga kitu kipo vzr sanaaaa
@yahyantaganzwa30135 жыл бұрын
mimi naomba muendeleye ivo ivo, hakuna wapili . ninyiye tu 1.2 3 4 5 6 uyo jo ukweli.yani muko ju sana cond boy na q chif
@iindacheche73205 жыл бұрын
Welcome back Q-chillah.Harmonize you are the real deal, be Blessed ❤💖💝
@irinemacha29515 жыл бұрын
Nani anionyeshe anavonipenda... Aki ukisikiliza huu wimbo alafu upo Single ..unajickia upweke
@alexnomba885 жыл бұрын
Irine Macha 😀😀😀😁😂😂😂Nakweli
@irinemacha29515 жыл бұрын
A-ha ha ha 😂
@madadamadada14025 жыл бұрын
Irine Macha hahahahha hatar kubwa sana
@irinemacha29515 жыл бұрын
@@madadamadada1402 ha ha ha.. Nionyeshe basi Unavonipenda
@salmaluhombero84663 жыл бұрын
Kweli
@ronaldotienoouma18715 жыл бұрын
Beautiful song, Kenya locked
@edwinelias85543 жыл бұрын
I wish moyo wangu , hii ni zaid ya hisia kaliii sanaaa ❤
@thomaspeter48865 жыл бұрын
Sonice song thanx harmokonde boy kwakumrudisha mkongwe kwenye game 👏👏
@davidomido22595 жыл бұрын
Ah, what a beat! Great work Harmonize 🇹🇿🇰🇪
@batalemustachi67175 жыл бұрын
njuliiiiiiisana nikoge unakande mabeganiiiii huhuuuuuuu nice q and hmo
@dennismufuruki54435 жыл бұрын
Mwenye swaga zake karudi huyu ndio yule Q Chilla wetu wa zamani
@sofilove70245 жыл бұрын
Nimimi baba sofia asukulu . mimi pamoja na familiya yangu nimashabiki wa wcb damu ihi ngoma ni kali sana
@DiDaAly Жыл бұрын
Am in Kenya bt much love q chilla❤❤❤
@Sammy_G_a.k.a_Kmswazi5 жыл бұрын
Hi bro ... i respect what you are doing i have been following up since you came up with this idea of Q Chilla return and can tell you what you've done to Chilla it is big example not only Tanzanian but to entire Africa, That means if we can only leave our selfishness and decide hold one another we can take our industry very far. Thanks for recognizing Chilla as one of those people who peeved way and inspired many artist that are doing well today not only in Tz even me am one of them here in Nairobi Kenya am not that big but i've learned some from you Rajab a.k.a Harmonize. more love from Kenya UCWLPWkOVzfSspxO7hgQ8wXA
@midopower23555 жыл бұрын
Na hii tena nikose likes jamani ...
@joackimmoris28145 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿tz ndio home bendela inapepea🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
@malikamtajir89355 жыл бұрын
Wow Q chilla is back again.Nice songe yani imetulia kwa wapendanoa wakiwa wamejipumzisha. Inaliwaza
@mmunjaru2 жыл бұрын
Tz wanaimba na sisi Wakenya tunaskiza na kuenzi mziki wao