Wallah Tena yanaumiza ahsante sana bro jazakat llah khera🤲🤲🙏
@abdulkandenyakandenya9915 Жыл бұрын
Upo loud and clear ustadh farhan brooo...
@asharashidi353811 ай бұрын
Naipenda sana hii nyimbo
@amirnassor3002 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏 muito Nice kaswaida bro nabi hapa mtt wa itifaki nakupata vzr nndan ya Moçambique good
@talibali86643 жыл бұрын
Kazi ipo sawa mashaallah huu ujumbe umewagusa wanandoa
@jibrilrume96713 жыл бұрын
Mashaalah🥰
@mwh85473 жыл бұрын
Mthihani huu watu waimba taarabu alafu wanasema ni Qaswida na ma piano hayo mungu anawaona
@mudiihamd6362 жыл бұрын
Nd mmb y skizii kwn shida nn kwn kila moj n ujumb wk ila ukifat xw ukiw hujft xw
@maiyaarrawahy11172 ай бұрын
Umesema vyema japo twasikiliza lakini si kaswida ni taarabu iliyojificha kwenye jina la qaswida
@zainabchitsangifoundation40553 жыл бұрын
Mashaa Allah Qaswida mufti Kabisa ujumbe mzuri 🇰🇪 Mombasa.Pongezi Sana.
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Inshaallah Asant sana Maashaallah nashkuru
@zaiduuuu25053 жыл бұрын
nimeipenda kaswinda rakin nikidarod inakataa
@swaphialeonard65632 жыл бұрын
Mashaallah Allah akulipe akulipe kwa ujumbe mzuri
@elsiaby73423 жыл бұрын
Hz ninyimbo2 na soo historia mzuri yakujijengea kwenye maisha yko ya baadae kk jielewe
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Lirekebishe ilo jina lako kwanza liwe katika miongoni mwa uislam na kama mislam bas usijitangaze kw jina hilo la kikafiri . Pia nimekuelew ila je ww umenieleewaaa ? Hahaaa hahaaa daah
@irenekuvuna96312 жыл бұрын
good advice ,maneno mazuri hayo.
@arafatmbati36843 жыл бұрын
Qaswida yako ni mawaidha tosha kwa wanandoa
@rahmasaid12613 жыл бұрын
Mashaallah ujumbe mzito sana shukran Allah akuzidishie kipaji “
@husnamohamed92453 жыл бұрын
Napenda mashairi yako mazuri asante juma balo
@jasminembuma04493 жыл бұрын
mashanllah
@Zanzibar00013 жыл бұрын
qasida safi snaa hii qasida ntampigia mke wangu sina mda kufunga ndoa In sha Allah
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Hahaaaa
@amneothman23013 жыл бұрын
Mashaallah Allah ajaalie kheyr InshaAllah 🤲
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Aamiin Inshaallah
@shaddyjay2642 жыл бұрын
Ukweli kabisa ila Kuna wanawake wengine hawana habari na hata ukiwapa ushauri hawaezi kusikia
@farhanmakboul18332 жыл бұрын
Hahahhaaa
@omarmuhammed89873 жыл бұрын
Hii nitaraabu au singeli au mchiriku au mnanda au ndio kosa la wazaziber nikaswida au offside trick wamerud tena kazin
@donseifbashraf55593 жыл бұрын
Yaan Kaka unajua mpka unakera daahh
@aminahhuawei11332 жыл бұрын
Mashaallah naipenda sanaa ❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏 hii kasida
@ashromajiwe93133 жыл бұрын
Mwalim wng sijawahi kukupinga nakubali sana
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Maashaallah Inshaallah Asant sana
@allyjuma86802 жыл бұрын
Mshallh❤
@jahendalucy3003 жыл бұрын
Had to search for the song the words alone mmmh mawaidha kamili 👏👏👏
@firashebili3 жыл бұрын
umempata maneno?
@maxwellbarasa68413 жыл бұрын
I truly love this song..lyrics ✔message✔ bits✔ flow✔voice mashala
@alichilu88883 жыл бұрын
Bora niende zangu nikisema San nitalia nawajua walimwengu wanahiyana kweny DUNIA 🙌
@moussanizigiyimana46122 жыл бұрын
Maashaallah nzuri saaanaaa
@sharonsharona39692 жыл бұрын
Such a beautiful song👌👌
@tahilamasoud70023 жыл бұрын
Wali mweng ndo wabaya kwenye dunia
@SalimaSnDАй бұрын
naipenda sana hinuimbo mungu akuzidishie mema amiina
@fadhilalli9063 жыл бұрын
Hatar sana wallah mapenzi sio viatu bwana
@ahmadiissa53603 жыл бұрын
Nimeielewa sana kazi hii mashallah hakai mtu chini mashairi pia mazuri
@kadzotowbah46943 жыл бұрын
Mashaallah
@zaitntidsha96552 жыл бұрын
Mashaalah ustdh
@JoyJoy-pm7et2 жыл бұрын
Naipenda saanaaa maashaallah
@zakiasilima59303 жыл бұрын
Nakubali mwalim nilikua sipo hewani ila kuingia naliona bonge la duude duuh maashaallah sikupingi funzo tooshaa
@ismailsaid42283 жыл бұрын
Kaka kazi mzuri wewe ni al falah wa apa kigamboni au
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Zanzibar
@samhatomar3273 жыл бұрын
Kilalakher mpenzi allha akufanyie wepesi ishallha
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Aamiin Inshaallah asant sana
@zalharashid5133 жыл бұрын
Mashallah umejitahid sana hongera kwako kaka
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Mhh
@zalharashid5133 жыл бұрын
Kitu kimeenda shule tna sio shule ya shamb
@dimpoadio93553 жыл бұрын
FARHAN NAOMBA NITAFTE NIMEVUTIKA SANA NA IZI KASDA ZAKO NA NATAKA NIKARIMX ILE INAYO SEMA KUNYAMAZA DAWA, NIFATE TUELEWANE USIJE UKANISHATK NIKIIMBA
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Nani samahan sjakujua hahaaa sikushtaki
@muntakindamba20533 жыл бұрын
Maashaallah bingwa nakukutakia sana mwalim
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
@@muntakindamba2053 nakubali
@wardatkassim143 жыл бұрын
Wallah hii kaz inachukua muda wng wa kila siku kuiskiliza hainish hamu wallah, naipenda sana
@samhatomar3273 жыл бұрын
Hongera my allha akufikishe ktk safar yko kila hatuwa sema alhamdullj
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Ok love uu
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Maashaallah kwa sote
@asmeshmnyazi81772 жыл бұрын
MashaAllah.....maneno swadakta
@abdullahalkindi66412 жыл бұрын
❤😍 ما شاء الله واجد حلو 👌
@umulkulthumabdallasaid85203 жыл бұрын
بتجنني... عن جد كثير حلو
@FatmaMshehe7 ай бұрын
mtunzi hongera nimelipenda shair
@likedatshorty3 жыл бұрын
Maneno swadakta Masha’Allah 😍😍
@mzeengwaya8793 жыл бұрын
Masha hllaa
@amirnassor3002 жыл бұрын
Good nakubali mr
@hamisngamba20213 жыл бұрын
Hatariii kilamuda naisikiliza
@hadijanurdin12633 жыл бұрын
Maashallah maashallah 🙏🌹🔥
@abrahkhamis31613 жыл бұрын
Ebawe hiiii siopoa nimekubali kaz kiongozi
@umarymohd12303 жыл бұрын
Hongera mwalim
@suleimanneck29633 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@ramaaly94573 жыл бұрын
Hongera iloni kweli kabisa
@ahmedngowo48343 жыл бұрын
Manshaalah allah akujalie ktk kazi zako
@alichilu88883 жыл бұрын
Bora niende zangu nikisema San nitalia nawajua walimwengu wanahiyana kweny DUNIA. by Chilu
@pilifarhani60492 жыл бұрын
Swadakta
@saumuomari76363 жыл бұрын
MashaAllah qaswida nzuri sana nimeipenda
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Tunakupenda pia Maashaallah
@abdullshakuryussuf4503 жыл бұрын
Kaswid mzr San ustadh farhan
@talibali86643 жыл бұрын
Yani sina lakuongea ustadh yote teari umeshayamaliza kazi ipo vzr mashaallah
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Maashaallah asant sana
@nudaifatsaleh43693 жыл бұрын
Yaaani ii kiboko yao nimeipenda kwa kweli hongera ustadh
@judypnyaboke84052 жыл бұрын
such a beautiful intentional song...❤️ a very clear message. every couple should listen to this song
@emmyoscar77903 жыл бұрын
Kabixaaaaaaa watu wanataman daah kwel kabixa
@Kanzucitytz12343 жыл бұрын
Vitaaah mwalim hujawah kukosea👊
@starjey6323 жыл бұрын
Hakika huna mbaya MAALIM wangu mm star jey nasema na HMN wa kunipinga kwa hilo.
@sharifatanzania58853 жыл бұрын
Mashahlaa Asante Sana kwakaswida nzuri
@fhyubhhh28813 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah beautiful
@azizasaidi27192 жыл бұрын
Mashaallah ❤️ Mashaallah ♥️
@abdulkandenyakandenya9915 Жыл бұрын
Wallahi ustadh iyo nnashid imenimaliza iko na waswia mkali akhi umenipata
@milcahussein38993 жыл бұрын
Yaani we acha tu maneno matamu sana maishallah
@khadijahaji16263 жыл бұрын
Kaz ni nzur kiongoz wangu Masha'Allah
@abubakarkhamis17493 жыл бұрын
Huna mpinzan mwalimu 🤝 hongera🥳 sanaaa kazi njema✌ mungu akuepushe na jicho 👁 la husda daima inshaallah 👏🙏🤲
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Aamiin
@fatumajuma89623 жыл бұрын
Mashaallah. Sur. Sana
@umarymohd12303 жыл бұрын
Hongera maalim wangu we fundi
@doctord93623 жыл бұрын
Very nice piece.. golden voice with lots of wise words.. hongera kaka.. Doctor Dan from kampala.
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Inshaallah Asant sana hahaaa
@nahirpecha84783 жыл бұрын
Hongera sana mungu azidi kukupa kipaji inshaallaah uko vizuri
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Aaamin Inshaallah kwa sote
@aminaabdullah91933 жыл бұрын
@@farhanmakboul1833 hongera Qasida pambe hatari mashaallah nataman kama harusi yangu ijirudie wallah Qasida ♥
@mwanakomboomary76093 жыл бұрын
Tutaelewa Tu 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@sakinaamir84042 жыл бұрын
Kweli kabisa ❤️
@tahilamasoud70023 жыл бұрын
hongera sana mwalim kwa kaz nzuri sana 👌👌👌
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Inshaallah Asant sana nashkuru kuskia ivo mambo bado Inshaallah mipango muhimu kwenye utunzi na sio kukurupuks
@zuwenazuwena14063 жыл бұрын
Maaxhaallaah mwalim kazi imetulia
@zaynabmteti93923 жыл бұрын
Ningefurahi ungetoa upande wa wanaume wanaisaliti.
@farhanmakboul18333 жыл бұрын
Hahaaaa Inshaallah saawa ipo njiani
@seifmakono78063 жыл бұрын
Nzuri sana
@salimndela40213 жыл бұрын
mungu akuzidi shie fundi wangu nasi tupo nyumayako pamoja kak hii nibalaa sio hatar