Nikweli kabisa , Mimi hapa mama angu na mdogo wake hawasemi asaaaa, inahuzunisha kwa kweli 😢😢😢
@user-my5jg4tw9t Жыл бұрын
Maashaallah allah awalinde akhii zang
@SumaCanyАй бұрын
Masha Allah awalip Allah
@sharifamohammed4503 Жыл бұрын
Mashaallah mashaallah eilim nzuri
@azizarashidy92793 ай бұрын
Oooh Mashaallah!!! Taqbiiiiiiiiir Allah Aqbarrrrrrrrrrr
@alhajrahassan89 Жыл бұрын
Mashallah hii kasida Ina ujumbe mkubwa sana Allah akubariki sana ust. Juma faki katika kazi zako na maisha yako yote amiin kasida tamu sana Hadi rahaaaaa wallahi Yani roho inapenda kabisa 🤲🥰
@haroub3454 Жыл бұрын
Mashaallah we kaka juma hongera mungu akueke pamoja na mbwana mtume pepo ya firdaus inshaallah piya mungu akulinde na hassad za watu wabaya
@abdallahmuhammedaly Жыл бұрын
Ameen
@user-gw5sn4id3e Жыл бұрын
Mashaallah ujumbe umefika Allah awalipe kila lenye kher
@user-ju5zl8zk9b4 ай бұрын
Mashaallah❤❤❤❤ mh allh akuzidishieni 😊
@SafinaAbbas-es6ox6 ай бұрын
Mashaalaah Alla awape kila la kheri
@user-fn8pu6rt8u Жыл бұрын
Katika kaswida zote hii mashaallah inaujumbe wa Kila nchi na jamii Kwa ujumla Allah awakingingeni na hasad
@hassanabbas5869Ай бұрын
Mashallah qaswida yenye mafunzo Allah ibarik fikum
@ahmedkhamis2542 Жыл бұрын
Masha Allah anashid nzuri Sana.
@SumaCanyАй бұрын
Masha Allah awalipe Allah
@ShafiisaidchangomaChango-vn1gg10 ай бұрын
Mashaallah Allah wabariki sana
@abdulrahmanturki4137 Жыл бұрын
Ni burdani Safi. Mungu ampe Maisha marefu muimbaji.
@fifo262 Жыл бұрын
Yenye kheri
@suleymanhemeyd65146 ай бұрын
Touched ❤ in my heart 💓
@QwieeenamaranthiniTanzaniaАй бұрын
❤❤❤❤❤
@alibakar2526 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah
@zulfakuuba561810 ай бұрын
Hii kaswida ninzuri atari, Masha aalha🤲
@user-xx3jk9vg7w8 ай бұрын
Mashallah
@user-io4rc8rg9t4 ай бұрын
Mashaallah 🥰🥰🥰
@hafsanassor-cj8ec Жыл бұрын
Mashaaallah.. katika qaswida zenye akili na hii imooo
@fifo2626 ай бұрын
Hiiii qaswida imenena vyema kwakweli
@user-rp2xd2vp9f9 ай бұрын
Nzuri.sana
@fawziasaid1127 Жыл бұрын
Mashaallaha
@Hemedysheiza-in1pk8 ай бұрын
Mashaallah
@abdiJumaa-ts6vf6 ай бұрын
Hii ni Kali kuliko
@withestormplays78793 ай бұрын
Kweli kabisa
@enterenter77986 ай бұрын
Imengusa family yingi Sana 😢😢
@MozaAly-st8fl11 ай бұрын
Mashaallah.
@SalumKalla2 ай бұрын
3:12
@user-gn8ni4cd4o7 ай бұрын
❤
@user-ne6el7gl6b Жыл бұрын
❤ muster
@yssir1138 Жыл бұрын
Moja kati ya qaswida bora kuwahi kutokea, Ujumbe uliotukuka kwa zama hizi zilizojaa husda,chuki na choyo kwa ndugu.
@bizaunaijumaa6515 Жыл бұрын
Aqza
@ashirunasaidi897 Жыл бұрын
manshallah Allah awaongoze katika kaz yenu nzur sana
@allysamwenguo7262 Жыл бұрын
Mashaallah
@raziyamustafa8812 Жыл бұрын
Mashaalla.ostathiminipo Mke.wapilivp
@zulfakuuba561810 ай бұрын
Hi
@HairatHaruthi-dp2lp Жыл бұрын
Mashallah ustadh juma faky mola akujaalie Kila lenye kheri na akupe nguvu,uzima,maarifa uzidi kuelimisha jamii,kazi mnzur
@AsmaaAsmaa-pn4hm8 ай бұрын
🫡🫡💯👌👌👌
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
😢😢hii qaswida inagusa familia yangu watu wamewekeana chuki ndugu wa baba mmoja na mmoja awaongei 😭😭natamani niwakalishe chini wote waisikilize hii qaswida
@sadambegu89688 ай бұрын
Hata yang
@fifo2626 ай бұрын
Mungu akutie nguvu ufanikishe
@aisharamadhani502211 ай бұрын
Mashaallah
@ayshaabuu4304 Жыл бұрын
Mashaallah
@allysamwenguo7262 Жыл бұрын
Mashaallah
@allysamwenguo7262 Жыл бұрын
Wafakanallah
@aishaiddy7600 Жыл бұрын
Mashaaalah
@maingohamoud6860 Жыл бұрын
Alihamndulilah
@ZainaMussa-zh7ch Жыл бұрын
Mashaallah shekhe juma hiikaswaida wallah dah ainiishi hamu kabsa Allah akuzidishie wepes katika kazi yako