Dawa Ya Kulainisha Maisha Ni Hii / Kutoa Ndiyo Sifa Kubwa Ya Wachamungu / Sheikh Walid Alhad Omar

  Рет қаралды 6,159

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Dawa Ya Kulainisha Maisha Ni Hii / Kutoa Ndiyo Sifa Kubwa Ya Wachamungu / Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Dawa Ya Kurainisha Maisha Ni Hii / Kutoa Ndiyo Sifa Kubwa Ya Wachamungu / Sheikh Walid Alhad Omar
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 14
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Shekhe kisha tukumbushe sawa tunatakiwa tutoe kwa ajili ya Allah lakini pia Allah na mtume wake wamesema malipo ya wema ni wema lakini ss hatupo hivyo basi hata dua pua inamshinda tena anaweza kuwa ndio mbaya wako haswa imani yako ikiwa haba unaweza usitoe tena tukumbushe ktk hili shukran
@harunakaberukaharuna6143
@harunakaberukaharuna6143 2 жыл бұрын
Sheikh walidi Allah akulipe kila la kheri
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
MASHA ALLAH tunajifunza mengi Masha Allah tabaraka ALLAH
@omarijuma6692
@omarijuma6692 2 жыл бұрын
Allah akupe kila lakheri sheikh letu tupate kufaidika na wewe pia akupe umri mrefu
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 2 жыл бұрын
Mwenye Akili mawaidha Yako nomafundisho yasiyo nashaka
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Kutoa kwa ajili ya Allah sio kwa ajili ya watu
@rahmaMohamed-op9mk
@rahmaMohamed-op9mk 2 жыл бұрын
manshallah,Alla,akulipe,ujira,wako
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 2 жыл бұрын
Swadaktar sheikh langu
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Jazaka Allah kheri
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Tujitahidi tu kutoa kwa ajili ya Allah kwa uwezo wetu lakini anaeweza kutosheleza wate ni Allah peke yake lakini tumesikia na tutatekeleza kwa hali yyte
@mbarouksalim1568
@mbarouksalim1568 Жыл бұрын
Darsa muhimu mpaka nina
@zaitoonhassan1268
@zaitoonhassan1268 2 жыл бұрын
Naomba nambari ya michango
@DarsaTV.
@DarsaTV. 2 жыл бұрын
Support us DARSA TV M-PESA +255 765100906 Paypal 👇👇👇👇 paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
@mohdbalwi9936
@mohdbalwi9936 2 жыл бұрын
Suufi
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
MTUME (S.A.W) ANASEMA MUUMIN NI MANUFAA - SHEIKH WALID ALHAD
16:31
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.