No video

Mume Msitiri Mkeo na Mke msitiri Mumeo / Pindi Roho Inapotoka / Jinsi ya Kuosha Maiti - Sheikh Walid

  Рет қаралды 21,238

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Mume Msitiri Mkeo na Mke msitiri Mumeo / Pindi Roho Inapotoka / Jinsi ya Kuosha Maiti - Sheikh Walid
Sheikh Walid akifundisha Darsa la Tafsiri ya Quraan Ramadhani Mwaka 2020 Linalo fanyika Msikiti wa Kichangani
Usisahau ku subscribe na kutu follow katika page zetu za insta na Facebook shukraan
Video by muba Production Magomeni
Subscribe
Comment
Like
And share
Thanks

Пікірлер: 53
@adilihassan8455
@adilihassan8455 3 жыл бұрын
Mashallah! Sheikh wetu uko sawa kutoa elimu na watu kunasa araka,Allah akuongoze Adi firdaus pamoja na waislamu wote ,Amiiiin
@smartpass7928
@smartpass7928 Жыл бұрын
Masha Allah mwenyezi atupe sahali njema leo dunia na kesho Akhera na atujaliye u bora wa maisha yetu mwisho wake kuwa mwema inshaAllah
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 3 ай бұрын
Shukuran ahsant sheikh wetu kwa kutuzindua ,, Allah akulipe Kheir na atupe mwisho mwema ummat Muhammad (s,w,a)
@zuberiabdurahmani499
@zuberiabdurahmani499 4 жыл бұрын
ALLAH akulipe kila jema duniani na akhera Sheikh letu na mwalimu wetu
@jumamasquater5100
@jumamasquater5100 3 жыл бұрын
Allah pekeee akuhifadhi mwalimu wangu mpendwa Sheikh walid
@mussakatawila9408
@mussakatawila9408 Ай бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh Walid! Allah akuhifadhi Duniani na Akhera na akupe umri mrefu wenye baraka tele na atujaalie mwisho mwema na atujaalie kuhudhuria darsa hizi zenye kheri na atukinge na adhabu ya moto na adhabu za kaburi.
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 2 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah.Mawaidha mazuri yenye mazingatio makubwa.Allah akupe afya na umri uzidi kutuelimisha.Jazakallah kheir.
@aishaabdullah233
@aishaabdullah233 4 жыл бұрын
Masha Allah darsa zuri na unaelezea vizuri mpka unafahamu Allah akuzidishie na akupe afaya njema ili uzidi kutuelimisha in shaa Allah
@fatumahamis9206
@fatumahamis9206 4 жыл бұрын
Ya Rabbi mpe kila jema duniani na kesho akhera nenp lako anatufikishia na utufanye tuwe miongoni mwa waja wako wema ya Rabi
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Inalillah waina ilayh rajiun yaa ALLAH akuomba utupe husnul hatima indal maaut yaa ALLAH 🤲😭😭😭😭😭😭😭
@abdullahyanga9552
@abdullahyanga9552 2 жыл бұрын
Wallahi nashiba nashiba nashiba wallahi Allah akuweke she's amina
@ffed1876
@ffed1876 Жыл бұрын
MaashaAllah Alhamdulillahi Mola akuhifadhi na uzidi kutuelimisha Aamin Shukran sheikh.
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 3 жыл бұрын
Alla akuhifadhi Yaa Sheykh tunastafidi kupitia darsa zako
@sammoses7479
@sammoses7479 Жыл бұрын
Masha Allah m/mungu akupe mwisho mwema sheikhe kwadarasa swaiya. Nakuomba nikuurize swali sheikh Tunapenda kuosha ndugu zetu ila nasikia kwamba ukiosha kuna dua je nikweli
@HanifSalah
@HanifSalah Жыл бұрын
Sheikh.darasa lenye mambo makubwa sana.Allah akujalie mema yote.
@mwanaidhusen7551
@mwanaidhusen7551 Жыл бұрын
Aslm alykm, Allah akutangulie sh walid alhamdulillah nakuelewa kwa ajili ya allah.. mungu akupe maisha ya kher apa duniani na kesho akhera 🤲somo zuri sana shukran...
@sharifashabani8973
@sharifashabani8973 2 жыл бұрын
Mashaallah shekh wetu allah akufanyie wepesi ktk kutufikishia elim
@jamalrashid7459
@jamalrashid7459 4 жыл бұрын
Yaarab tunakumba umuondoshee kala balaa umjaalie afya njema na umpe umri mrefu uliokuwa hauna ugonjwa umpe khatma njema yy na cc pia kwa baraka zako yaarab na baraka za mtume Muhammad swallallhau alayhi wasallam
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Aamin
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 4 жыл бұрын
Shekhe mungu akuweke kunambo nilikua siyajui Ila kwko nimeyajua🙏🙏🙏mungu akuhifadhi
@rahmaabubakar4647
@rahmaabubakar4647 2 жыл бұрын
Shukran 🙏 Allah atakulipa
@saadaabdallah7473
@saadaabdallah7473 3 жыл бұрын
Mashallah Allah akubarikie elimu uzidi kutuelimisha
@mamussi6872
@mamussi6872 4 жыл бұрын
Shukrani sheikh
@husseinkibwana2476
@husseinkibwana2476 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi sheikh
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Shukrani kwa kutuelimisha.
@kombohabib9046
@kombohabib9046 4 жыл бұрын
Allahumma amiin,Sheikh walidi ALLAH amekujaalia baraka kubwa sna, ktk darsa zako hizi mim nilihudhuria siku zote 27 ulizofundisha kiukwel sikujisikia kuchoka hata siku moja.
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Wallahi mungu akulipe shekh Walid
@almujibusalumu243
@almujibusalumu243 4 жыл бұрын
Jazakallhau khaira ustadh warid nakuelewa xana mawaidha Yako saaaafiiii
@mkudedungundo9665
@mkudedungundo9665 4 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu tupate elim
@rahemaissa9867
@rahemaissa9867 3 жыл бұрын
Shukran sheikh Jazaaka llahu kheiry
@allykipeta502
@allykipeta502 4 жыл бұрын
Shukran jazira.
@abdulkawinga5874
@abdulkawinga5874 4 жыл бұрын
Shukran yaaa shaikh.... Jazaakallahu khayrun
@saidabdullah7273
@saidabdullah7273 4 жыл бұрын
ASALAAM alykum shekh kwanza M.mungu akujaze kher mashallah una hekima na busara sana maneno yako yaeleweka sana unakipaji sana... twakufatilia sana
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 жыл бұрын
Allah akulipekher
@ramadhansheshunda1229
@ramadhansheshunda1229 4 жыл бұрын
Hatari sanaaaa watu kweli hatuswaliii na badala yake tunakimbilia kufukia
@issaally7928
@issaally7928 2 жыл бұрын
Allah akuripe kwa kutupa darasa
@zuhmas2
@zuhmas2 4 жыл бұрын
JAZZAKALLAHU KHERI
@millenniumoiltanzanialimit1265
@millenniumoiltanzanialimit1265 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@fabriceira8888
@fabriceira8888 2 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh na faidika saana Allah akuhifadhi
@islaamichistorytanzania
@islaamichistorytanzania 4 жыл бұрын
Jazaakumu llahu khayra
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Ahaaa shankur
@jamalrashid7459
@jamalrashid7459 4 жыл бұрын
Naomba sheikha walid utupe mawaaidha kuhusu liwaat vija wengi wanalifanya ni kawaida kwa sasa imekuwa km halali naomba utupe darsa kuhusu hili kwa upana zaidi
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Inshaallah litazungumziwa
@hawamsemo6315
@hawamsemo6315 3 жыл бұрын
Samahani naomba mnijuze hiyo ni sura gani anayosoma shehe huko karibia mwishoni inayozungumzia roho inavyotoka???
@omarjumanne6744
@omarjumanne6744 4 жыл бұрын
Malimu wetu. Imamu wetu
@ibrahimsleiman4455
@ibrahimsleiman4455 4 жыл бұрын
Asante kwa Dawa
@DarsaTV.
@DarsaTV. 4 жыл бұрын
Sawa mwamba
@mornasaidtindwa3622
@mornasaidtindwa3622 Жыл бұрын
Maneno mazito Allah tufanyie wepes wajawako
@massoudmwinyi6299
@massoudmwinyi6299 Жыл бұрын
Assalm Alykm warahmatullah. Vipi kuhusu dua kwa mwanamke. Ni hiyoo hiyoo Ya Allahumma ghfillahu warhammhu waaskinhu fill janat?Au ipo nyingine?
@mwajumahamadisuleiman6626
@mwajumahamadisuleiman6626 7 ай бұрын
Kuto kumfumua nyele kwa mait umesama sio lazima je kwa mwanamke akiwa hai pia unaweza kuonga au kujitwahirisha bila ya kufumua nywele?
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Huyo jamaa kweli sheikh story yake?
@saidicanal9018
@saidicanal9018 2 жыл бұрын
Sijakuelewa story yake sheikh au unataka history yake Elimu
@aminatatu5692
@aminatatu5692 2 жыл бұрын
Namimi sijamuwelewa anamanishanini kusema story
Kusoma kwa mifano - Uganga - Imani Sheikh walid Al had
46:07
DARSA TV
Рет қаралды 21 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 30 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 7 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
TAHADHARI SANA NA MACHOZI YA MKEO UMEKWISHA
32:43
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 99 М.
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 10 М.
TAFSIR SURAT YASSIN (PART 1)
54:51
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 6 М.
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН