Swalluu alaa Muhammad ( swallallaahu alayhi wasallam)
@azadida8013 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah vitaa kabisa. Kwa wale wapenzi wa mtume khususan kupitia damba angalieni madrasat Kuraniya kutoka kule pemba msumbiji na Madrasat Salama kutoka Kisiwandui Mtwara mburudike in sha Allah.