Maashaallah katika masheikh ni wapendao walid maudhui yako wallahi ninapokusikiliza machozi yanatoka kwa jinsi unavyo mpa moyo mtu Allah ndie atakae kulipa kheri nyingi ss yetu nikukuombea mema alhamdulillah nimesoma mengi kwako
Asalam Alleikum ndugu wailamu. Swali kwa sheikh Walid Ahlad Nimeoa na kubarikiwa watoto 3 lakini sikuwafanyia hakika. Niwafanyie nini kama hakika ili waweze kufaidika?