Рет қаралды 36
Tunatambua mchango wa sekta ya utalii katika uchumi wa taifa, na sasa tumewaletea suluhisho mahususi la kupokea malipo kwa wadau wa sekta hii kupitia mfumo wa QR Pay by Link.
Mfumo huu unawawezesha watalii kutoka popote duniani kufanya malipo kwa urahisi kupitia simu zao kwa kuscan QR za NMB, huku ukitoa njia mbadala nafuu kwa mashine za POS.
Uzinduzi huu jijini Arusha ulihudhuriwa na viongozi wa TATO, Mastercard, na NMB, ukilenga kuboresha miamala ya watalii na wafanyabiashara kwa usalama wa hali ya juu.
#HaachwiMtuuu #KimastaZaidi #NMBKaribuYako