Salimia mzee msiri. Pigo kubwa sana mimi kama pete fan nawapa pole wanapete wote kwa kumpoteza mpendwa wenu. Rest in eternal peace Mama Jinale. Rehema Rajab
@mariammwendakazungu57832 жыл бұрын
Na muwinda chunusi pia alikufa
@sosoalsos99122 жыл бұрын
Rip Mama G nitakukumbuka Sana mungu akulaze mahali pema Peponi akupe kitabu chako na mkona wa kulia
@fatumahassan32052 жыл бұрын
Innalillahi waina ilayhi rajiun pole ddngu umetuachia pengo familia tutakumisi sana mungu akurehemu tunahuzuni watu wamsambweni vingujini😭😭😭
@binthkhamisi10972 жыл бұрын
Lala salam mama G mola ametoa na ametwaa mola akufutie madhambi yko ya siri na dhahir kitabu chko kipokee kwa mkono wa kulia.... 2thakumiss sn kwa pete
@fatumachai85952 жыл бұрын
Mungu amueke mahali pema palipo na wema peponi
@valentinekaimenyikabubwa21412 жыл бұрын
Oyeee mama j rip,mbake na safira poleni,for the family who are going through this difficult time may Lord grad you confort
@maryamhamis44352 жыл бұрын
Allah akujalie upokee kitabu chako kw mkono wa kulia ya rabbi
@rahmatahmed18712 жыл бұрын
Innalillah wa innah ileihim rajion Allah Amurehemu na amfrillah yarabby Yaa Allah mkirimu mgeni wako umjalie kaburi lake Iwe nimiongoni wa watu wapepeni na umpanulie kaburi lake yarabby... Poleni sana wanafamilia ndugu jamaa na marafiki na thamtilia ya pete pia..Allah awajalie subra wakti huu wa huznii.😭😭😭
Hiiii jaman mama jinale mungu akulaze mahali pema pepon polen Sana wanafamilia na waigizaji wote wapete.
@mikyfosikama87522 жыл бұрын
INALILAH wainalilah rajiun duh ninakumbuka juzi ulivyotekwa na vitunus ulisema mungu nichukue kumbe nikama uliona kifo chako kikokaribu😭😭
@mwanatumusalim56022 жыл бұрын
pole sána mama etu mungu akusaméhe makosa yako uyajuayo na usio yajua kufa kwetu ela wee inauma sana bt kazi yake mungu haina makosa 😭😭😭😭😭🙏
@naakabwe15952 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajuuuna pigo kubwa sana kwetu wana pete jaman
@hamadmwendo66442 жыл бұрын
INNALILAH WAINALILLAH RAJIUUN ,,,YA RABBI TUNAKUOMBA MPUNGUZIE ADHABU YA KABULI
@MariamMohamed-ur4su2 жыл бұрын
Innalilah waina ilayhi rajiun.... Allah akutulie Nuru kaburin mwako na akuepushe na adabu ya motoni
@user-wk8pd4tf2j2 жыл бұрын
Mama jinali tutakukumbuka sana mungu aiweke roho yko mahalipema
@halimashaib91022 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun. Allah akujalie makazi mema. Km mm shabiki wa Pete Nina huzuni mno kuondokewa na muigizaji muhimu mama g. Mbake na safira najua mko na huzuni Sana ila muhimu ni dua tu kwa kipenzi chetu
@iannjoroge20372 жыл бұрын
Poleni wana pete
@mariammwendakazungu57832 жыл бұрын
Mungu amerehemu n ampanulie kaburi lake inauma sana mama g tutakukumbuka sana msalimie msiri n muwinda tunusi nae😭😭😭😭😭
@nashnash1542 жыл бұрын
Jameni inaumu kweli mungu ailaze roho yake mbinguni... Wana Pete tunaenda wapi kweli jameni tunapoteza watu wetu sana
@margaretmutunge93012 жыл бұрын
May she rest in peace we lost a wonderful lady
@kiswaswadu21322 жыл бұрын
🤔🤔😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nenda salama mama G yani nikama ndoto..mungu ailaze roho yako mahali pema..😭😭😭😭😭😭yani inatuuma sana
@samsonkaboko51372 жыл бұрын
Pigo kubwa sana jaman polen sana Pete polen sana east Africa
@sylivestermachemba57762 жыл бұрын
Poleni kwanini imekua in hivi mungu awafanyie wepesi
@lindagrace15972 жыл бұрын
Pôleni sana familia 'pumzika salama rehema 'rajabu' mungu akupe kauli njema
@mariammkubwa21122 жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi rajiun, polen sana familia ya mama G na polen sana wana pete kwa kuondokewa na muigizaji wenu, pole safira, pole mbake, Allah amlaze mahali pema, Ameen.
@ummymohamed88112 жыл бұрын
Poleni sn wana familia
@twocountrieslady63072 жыл бұрын
Mwenyezimungu arehemu na amsamehe amueke pahala pema
@user-ou7pe3mv6k2 жыл бұрын
Pole sana mama jinary mbele yetu na ss nyuma yake
@hajilaabdallah68602 жыл бұрын
Poleni sana Familia y mama jinale n huzuni kubwa kukupoteza mtu kama ww
@rizikladyherson84512 жыл бұрын
Inalillah waina ilayh rajiun
@kassimwesonga57512 жыл бұрын
Pete actors are getting depleted through this natural attrition. The best movie serie ever in Kenya. Rest in peace Ma Ji
@mwanamvua8s9882 жыл бұрын
Innalilahii wainnailahii rajuun..poleni wana pete kwa msimba mzito