Mimi binafsi ni mfuatiliaji mzuri wa ngowi tv na makala za prof ngowi. Nimeumia sana moyoni mwangu kwa kifo chake. Huyu mtu ni prof wa tofauti sana ukilinganisha na wale wanaokimbilia kwenye siasa na kujikondesha ili wapate teuzi kwa kuwa hawana maarifa kama pro ngowi wakati ngowi anagawa maarifa kwa jamii buuuureee. Nawashauri maPROF wengine wote kupitia makala zake na watakuwa na cha kujifunza. RIP Pro NGOWI. You will always be missed
@3kumahiri8672 жыл бұрын
Dah! Apumzike kwa amani Professor🙏🙏
@temuemanuel46712 жыл бұрын
Kwakeli kizuri huwa hakidumu. Mungu hujichukulia vyake vizuri mapema
@ponsianaermandus59552 жыл бұрын
Daaaa lala Baba sina neno tumepoteza Mtu wa muhmu sana mara nyingine kwenye Taifa Letu,
@mariammwamaso39842 жыл бұрын
Duh! Nimeumia sn japo nilikua sikufaham, lkn nafuatilia TV yako ulikua mtu mwema sana. Ushaur wako umeanza kunijenga kwa namna flan hv. Pumzika kwa Aman Baba. Hakika chema hakidumu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@johnngowi29922 жыл бұрын
Mungu ampunzishe kwa amani. Tumejifunza mengi kwake. ❤❤❤
@ambore6102 жыл бұрын
Daaah nimeimia sana,pumzika kwa amani baba,nilitamani kukutana na ww siku moja😭😭😭😭
@Coachsamwel2 жыл бұрын
So sad kwakwel😭😭😭 Alikuwa msomi mwenye akili na mapenzi mema kwa jamii yake.. Tunamshukuru Mungu kwa mazuri yake... Mungu akawe Faraja kwetu
@subirajohn7282 жыл бұрын
Amina!
@sitakija4161 Жыл бұрын
Siyo sili imeniuma sana bada ya kujuwa kuwa huyu mzee kaisha juga aseee inauma sana pole ntanzania titék kiujumra aseeeeha
@martinahezron64502 жыл бұрын
Mungu akupe pumziko la amani Prof. Ngowi. Ulitufundisha mengi tukiwa Mzumbe ikiwa ni pamoja na upendo mkubwa uliotuonesha
@pascalsamson47212 жыл бұрын
Daaaa inauma sanaaa
@salomekense5252 жыл бұрын
Udongo unafaidi jamani. R.l.p.
@erickbitarohize15912 жыл бұрын
Living legacy. Rest easy big Brain you'll always be missed
@allan37232 жыл бұрын
Tangulia kamanda.Wee mbele sisi nyuma
@jumachanewstrends68992 жыл бұрын
Rip baba Nilipenda sanaaa motivator wako
@musajoseph79332 жыл бұрын
Nitakukumbuka sanaa mwalimu wangu wa uchumi, upumzike kwa amani!
@givennzunda3402 жыл бұрын
Ulikua ni zaidi ya professor,. Uliutoa mda wako na nguvu zako kwa ajili ya kuleta chachu ya maendeleo kwa mtu mmoja mmoja na vijana kwa ujumla. R.i.p Dady
@jacklinmasawe26972 жыл бұрын
Mpaka nimeliaaaaaa
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Nimelia Sana jamani prof ngowi duu
@isikesamike2 жыл бұрын
Rest easy Prof Ngowi 🙏
@nedkatunge57022 жыл бұрын
Jamani serikali mtusaidie malori yanayobeba makonteina yatatumaliza wenye magari hayo huwa hayaziyafungi makonteina yao kwa kutokuyafunga makonteina hayo ili yakianguka yadianguke na gari ndo maana kila ukisikia konteina limeanguka gari haranguing serikali kuoitia training wayakamate magari hayo na kuzuiwa kufanya kazi.
@lokindasamwel53052 жыл бұрын
💔💔💔💔daaaaaah
@maryr40332 жыл бұрын
Rest in Peace Prof Ngowi. Think Tank Of Africa.
@beatricetenywa43672 жыл бұрын
Mmmh Jamani😭😭😭🙏
@emilinechitalasita60772 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Mpendwa wetu tutakukumbuka daima.prof.Ngowi
@elizabethkimbi33362 жыл бұрын
Kumbe ngowi ulikuwa unafanya kazi hizi pamoja na usomi wako may God rest your soul in peace
@innosenciajoseph99672 жыл бұрын
Tujifunze kutoka kwake. Kila fursa iliyo mbele yetu tuitumie ipasavyo!!
@jacquelineulotu52792 жыл бұрын
Rest in peace our beloved professor Ngowi 😭😭😭😭😭😭
@subirajohn7282 жыл бұрын
R.i.p Profesa Ngowi!
@mwijagenelsoni3572 жыл бұрын
RIP baba
@mwanahawarajabu18372 жыл бұрын
Huuyu alikua zaidi ya professor
@emmana072 жыл бұрын
Rest well Professor P. H. Ngowi.
@edwardmwampaka83202 жыл бұрын
Brother Aidan hii ni kama bado nipo kwa ndoto...
@daudiaidani38602 жыл бұрын
Ni kweli kaka na ataagwa pale Karimjee siku ya alhamis
@edwardmwampaka83202 жыл бұрын
@@daudiaidani3860 Nashukuru kwa taarifa brother
@kayshanil91952 жыл бұрын
R I P Prof......
@giftmangowi8162 жыл бұрын
Rest in Peace Professor🕯🕯
@tumsifumunuo26022 жыл бұрын
RIP PROF NGOWI. TILL WE MEET AGAIN
@rosekishengere72582 жыл бұрын
PUMZIKA KWA AMANI PROF NGOWI TUTAKIKIMBUKA SANA KWA WEMA WAKO ULITIFUNDISHA TUKAWA IMARA NA SASA TUNATUMIA UJUZI ULIOTUFUNDISHA, PUMZIKA KWA AMANI.
@davidndolela77582 жыл бұрын
R.i.p papa tunaanzia tumboni kuelekea kaburini pumzika kwa amani ulikua mtu na nusu wewe😭😭😭😭
@sublimemedia27952 жыл бұрын
Too Sad 🥺
@daudimasui38062 жыл бұрын
RIP Prof.
@veronicaromwald83112 жыл бұрын
Huzuni Kubwa 😥
@shawejimnipera29372 жыл бұрын
R. I.P
@bonifacejohanes8952 жыл бұрын
Mtu mpole na asiye na makuu. Pumzika kwa amani
@mwanagwakyala32132 жыл бұрын
R.I.p mzee
@wingodsiyao76582 жыл бұрын
Rest in Peace Professor. Your LEGACY will live forever
@veronicatemba76832 жыл бұрын
Rest in peace ngowi
@joycengai66692 жыл бұрын
Mmmh,kweli haupo????
@omarhamad94892 жыл бұрын
Dah hapa tume poteza ila ndio hatma ya mwana adamu
@jobmaclean53822 жыл бұрын
Kiukweli alikuwa ni MTU anayesikiliza mawazo ya MTU bila kujali ukubwa na udogo wa MTU mwenyewe
@frankdionis77002 жыл бұрын
Du yaani jamaa amewagusa wanyonge wengi Mimi huwa naonana naye sana akija Zanzibar huwa namuendesha Sana😭😭😭
@michaelmandia44052 жыл бұрын
Yaaah
@frankdionis77002 жыл бұрын
Kizuri hakidumu Mimi nilikua namuendesha Sana nikiwa Kama dereva wake akija kikazi huku Zanzibar huyu jamaa alikua ni zaidi ya professor
@kwizeraerick Жыл бұрын
R.I.P profesor
@phiniasoyugi48502 жыл бұрын
Pumzika kwa Aman mentor
@mwakalagotv7112 жыл бұрын
Kila raheli umetuachia hazina kubwa ya elimu isiyofundishwa shule