RADD KWA WAFITINISHAJI |HII NDIO KAULI YA MASALAFI KUHUSU KIFO CHA MUHAMMAD IDI

  Рет қаралды 3,694

Wajawema Online TV

Wajawema Online TV

Күн бұрын

Sheikh Dr. Abuu Ibrahim Khamis Imaam
______________
Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
____

Пікірлер: 105
@munyanezaismail7642
@munyanezaismail7642 Күн бұрын
بيان واضح جزاه الله خيرا
@SalumuRamadhanisungi
@SalumuRamadhanisungi Күн бұрын
Allah awahifadhi mashekhe wetu wa kisalafi mzidi kuibainisha haqii inshallah
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg 7 сағат бұрын
Masalaf. Mnaishi kishabiki sana, mbina naona kama mmetumwa na mayahudi, mnaturibia uislam maana yake nisalama
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 11 сағат бұрын
Kaondoka mwiba wa mawahabi inabidi washerehekee.ni muovu kwa mawahabi ni mwema kwa allah
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 Күн бұрын
قال العلامة ربيع بن هادي المدخلي حفظه الله. نحن مع الحق والذي يحخطى حتى من علماء السنة. لا تقبل خطاء . نحن نقبل الحق لكن ليس بالسفاهة والطيش والعداء . لكن بالادب والاحترام والصدق ولاخلاص
@omaryhamisi576
@omaryhamisi576 Күн бұрын
Dini mashekhe imewashinda ndio maana faraka imewajaaa badara ya itrafu.
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
Wewe uislaamu umeishinda, hongera sana 'aalim
@SalumuRamadhanisungi
@SalumuRamadhanisungi Күн бұрын
@@omaryhamisi576 mi sijaelewa ndo unakusudia nini??
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Nyii nimayahuditu naunafiki ndowenu
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
makhawaarij wakifa munafurahi je askari wanao dhulumu waislamu wakifa pia munafurahia? aliye choma Quran kafa je masalfy wamefurahia? hakika nyie ni maadui wa uislamu
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg 7 сағат бұрын
Wekeni namba zenu tuwapigie nyie mnatutia ham yakuwagoji nyie maibirisi laana
@nganasilimavuai9944
@nganasilimavuai9944 Күн бұрын
كلم نفيسا
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua Күн бұрын
Haya majamaa ni wehukabisa
@hamisshaaban8392
@hamisshaaban8392 8 сағат бұрын
Kutukana namna hii hakusaidii kwa lolote Bali hii ni dini siyo siasa za mrengo wa kitwahuti
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Күн бұрын
Ina maana muhammad iddi mzinifu,mlevi,mcheza kamari,kakufuru mtume na allah 😮hii ndo maana ya mtu muovu wallahy hawa wanawapoteza watu sana allah awaongoze
@IsihakaRajabu-y6v
@IsihakaRajabu-y6v Күн бұрын
Mbona mnashindwa kuelewa kilichosemwa au hujasikiliza hii khutba ? Weka namba yako ya whstp nikutumie hutba mzima huenda ukaelewa
@abdulmuminabdullah1296
@abdulmuminabdullah1296 Күн бұрын
Radiator kisikiliza, acha kukurupuka, na haya ndiyo matatizo yenu, mnamihemko kama moto wa kifuu, shuda yenu huwa mnatanguliza misimamo yenu mbele bila ya kufuata dini.
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
kwa clip hii masalafy ni sawa na mashia yani wanafanya taqiya kwamba inafaa kufurahia lakini iwe kuficha yani kukaa kimya na kuficha furaha ; hakika salafy ni najisi sana kwenye umma wetu ;yani misingi ya dini yao ni kwamba wanafurahia sana masheikh wasio kuwa genge lao la kumuabudu MBS lakini tu wafiche kwa kufanya taqiya
@njchanpaknet4284
@njchanpaknet4284 9 сағат бұрын
MBS ni nini hicho mkuu?
@hamisshaaban8392
@hamisshaaban8392 8 сағат бұрын
Allah akuongeze wewe na sisi Ufahamu wako sio sahihi
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 сағат бұрын
@@safarinisafari7 Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 9 сағат бұрын
msisahau kua waislamu wote duniani ni bidaa isipokua masalafi😂😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 сағат бұрын
Usisahau pia kila Bidaa ni upotevu na kila upotevu mwisho ni Motoni km alivyosema Mtume ﷺ. Zingatia: Wanaokusudiwa ni wale vinara na viongozi wa uzushi ambao ni maadui wa Sunnah. Vigezo na masharti huzingatiwa.
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 Күн бұрын
Yani kwa maelezo yako nikua mnafurahi lakini kutangaza ndio sio vzuri Hiyo kufurahi ndio tunasema si katika uislam
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
We unaona haifai?
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh Күн бұрын
Hata Muhammad bachu alisema ni vizuri kusherehekea mtu wa bidaa lakini uangalie muda na mazingira usiseme tu unaweza kuingia katka matatizo
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
Waacheni WAFURAHIE,HAIPUNGUZI WEMA WA MAREHEMU....NA WAO WAKISIFIANA HAIONDOSHI UBAYA WAO. KILA MMOJA ATAFUFULIWA NA KULIPWA PEKE YAKE. VYAMA VYAO VYA KISALAFI WATAVIACHA HAPAHAPA. KUFURAHIA KWAO NI ITHIBAT YA MANENO YA IMAM ALI: UBAYA WA KILA MJA HUDHIHIRIKA KWENYE NCHA YA ULIMI WAKE.... TUNAPOSEMA MASALAFI WANAFADHILIWA KWA FITNA MUKAWA NA SHAKA, SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA. MMOJA WAO ASEMA ATI IKIFIKA 2030 MASALAFI WATAKUA WENGI SERIKALINI KWA MADAI ATI VYUO WAMESHAVITEKA
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Kwani m bachu nikamanani ktk elimu
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
salafy waovu sana na wanakiri kwamba wao ni wazee wa taqiya ukifa kama sio salafy wana furahia sana lakini wataficha kama mashia wafanyavyo pumbavu sana ; eti ana sema haifai kutangaza lakini ufuarhue tu ;
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Күн бұрын
Ivi Mawahabi mnazijua sifa za huyo mzushi aliekufa wakati wa Mtume saw?? Au ndo mnanasibisha watu na mambo msiyo na ilmu nayo.......!!
@RajabuAbdallah-yp5dp
@RajabuAbdallah-yp5dp Күн бұрын
Sema nyinyi nanyi mnafanya TAQIA Kama Mashia
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 сағат бұрын
Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 2 күн бұрын
Hivi ingetokea yale maneno alosema yule mwenzao kuwa wamefurahi yasingepata upinzani mkubwa kutoka kwa waislam mbalimbali haya matangazo yangesikikaa???? Wanajitetea kwaajili mambo yalishafikia pabaya ila kusingekuwa na upinzani kutoka kwa waislam wasingejitetea .
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 2 күн бұрын
Hiii ndio elimu nyinyi.bakini na ubaya wenu na fitna zenu lakini tumuomba Allah ziwarudie nyinyi wafitinishaji, haya maneno yame eleweka kwa yule mwenye akili sio ww mwehu
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Allah akuhefadhi mwalim wang. Hawo wajinga2 Wao wamesahaau manenô walio yazungumza wakati alipo faliki marehem shekh jaabir mwalim
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Күн бұрын
ttz si kauli yayule huenda hata nipandikiz la kisufi liliamua kuchafua hali yahewaa ndio maana shekh kasem ktk hawa mashekh wakubwa wa kisalaf kwamfano qaasim mafuta anaishi tanga na maziko yamefanyik tang nawalikua na mvutano wa muda mref na abuu iddi umeskia akisem chochote kuhus kif chake akafurahi ? kunawakt tunasikitik mtu aliejikita katk daawa mud mref kisha akafa ktk uzushiii
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
NDIO MAFUNZO YENU, MASHEIKH WOTE WALILAUMU KWA KUSEMA MAPEMA LAKINI MPAKA BACHU NA WENGINEO WAMEDHIHIRISHA. HAKI YA KUTANGAZA KAPEWA SHEIKH GANI. MASALAF HATA AWE MFUPI PIA NI SALAFI. NAWE UMESEMA WAZ YAFAA KWANI TATIZO NINI...ENDELEENI KUFURAHI. KILA MTU ATAFUFULIWA NA KUHUKUMIWA PEKE YAKE. HAKUNA USALAFI KWA MOLA VYAMA VYENU MUTAACHA HUKUHUKU DUNIANI
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Күн бұрын
Nyinyiunao kufursha, kufurahia, kutia waislamu motoni, kufanya sherehe Kwa Vifo vya wenzetu, bila shaka mwisho wa siku tuombe tu khatima njema Mizani yetu ni moja haijalishi ulikuwa Nan Hakuna pepo ya mwenye kujiita salafi, Kuna Janna ya wenye kutenda mema.
@AlhassanbnuAliOnlineMadrassa
@AlhassanbnuAliOnlineMadrassa Күн бұрын
Nani kasema ni wa mitoni... Tatizo hamtaki kuambiwa mnafanya bidaa...bidaa ni dhambi kama madhambi mengine...hata ikiwa alikuwa anafanya bidaa inayopelekea akufuru hakuna atakaye sema yeye ni wamotoni... itasemwa vibaya na dhambi yake ili watu wasimuige huko ndiko kumpenda aliyefariki...ikiwa alikufa akiwa ni maarufu kwa kufanya hayo madhambi. Hata shekh wa Abuu Idi Shekh Muhammad Ayubu atasemwa ni mtu wa bidaa ili tumpunguzie watakaomuiga
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Күн бұрын
Nyie MAWAHHABI MNA LAANA
@QassmuManaaph
@QassmuManaaph Күн бұрын
Kumbe Ibnu kathiir ni Mshafiiy😂😂😂😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 18 сағат бұрын
Naam, Lakini sio Sufi-khurafi. Hata Sheikh Qasim Mafuta ni Mshafiy walijua hilo?
@QassmuManaaph
@QassmuManaaph 15 сағат бұрын
@SonofJacol-t6h Ushaafiiy wa mdomo labda au unafki. Alafu wewe uongo utakusaidia Nini ndugu yangu
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 14 сағат бұрын
@@QassmuManaaph Kwani Ushafi wa kweli ni upi? Unakusudia usufi?
@msafirindiyembuke5168
@msafirindiyembuke5168 4 сағат бұрын
​@@SonofJacol-t6h Anasoma Qunut swalatu Subhi? Anadhihirisha Basmala kwenye swala za Jahri?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 4 сағат бұрын
@@msafirindiyembuke5168 Hafanyi hayo yote kwa kufanyia kazi maneno ya Imam Shafi mwenyewe aliposema: _pindi itakaposwihi Hadithi Basi Hayo ndio Madhehebu Yangu_ Na hivyo afanyavyo ndio Madhehebu ya Shafi na wala haimtoi katika madh'hab kama alivyoyanukulu hayo *Shaykhul Madh'hab al Imam al Bayhaqiy ash Shafi'iy* katika kitabu chake kiitwacho Ma'rifatu as-Sunnah wal-Aathaar. Pia Mufti wa Madh'hab aitwaye Imam Nawawi alikuwa akikhalif kauli za Madh'hab katika mambo mengi ya Kifiqhi kwa kufuata Dalili zilizothibiti na hili utaliona katika Ikhtiyarat zake katika al-Majmuu. Nitakupa Mfano mmoja tu nao ni katika suala la kuchukua udhu kwa kula nyama ya ngamia 🐫. Allah awarehemu maimamu wetu wote.
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
Hatujasikia KWA VILE MUKIFANYA TAQIYA.....SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA upotevu wa Mafunzo yenu....na Jamii Ipate Kujua NJIA ZENU SIO SAHIHI. FITNA NDIO ZENU. HUYO MKUU WA USALAFI TZ..MUMEMPATA VIPI?
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
Kwani wewe unaamini sisi ni mashia mpaka tuwe na TAQIYA?
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Күн бұрын
Hivi kauli ya masalafy inazingatiwa akizungumza nani ,
@nurdinikisoma5452
@nurdinikisoma5452 Күн бұрын
Mashekh wakisalafu wenye kutambulika katika jamii ya kisalaf
@sama-_8368
@sama-_8368 Күн бұрын
​@@nurdinikisoma5452huyu anayezungumza ni sheikh wa kiwahabi mwenye kutambulika?
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i Күн бұрын
Ukisikiliza vzr clip ya sheikh khamis imamu kawataja baazi kwamajina yao tosheka na hao
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Күн бұрын
@@nurdinikisoma5452 wapo wanapohizbishana wao kwa wao nifanye nini kwao,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Күн бұрын
@@AdnanMohammed-l6i ana clip nyingi nitajie tuu
@jumafaki2891
@jumafaki2891 Күн бұрын
kwanza wewe unaezungumza watu hawaamini kua ni salafi au jini maana huonekani yule alofurahia alijiita salafi ndio maana wakaamini watu kua masalafi wanafurahikia sasa umezuka wewe hata hufahamiki unani wala huonekani hatujui kama ujini au nani halafu hao munoamini nyinyi kua ni watu wa bidaa na wao wanaamini nyinyi masalafi si islamu kamwe ni mayahudi mlotumwa kuuharibu uislamu kwa hiyo musijitape kua muko kwenye haki
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh Күн бұрын
Duh, kwa kweli salafy sio waislam maana mtume s.a.w na maswahaba alifurahi warome ameshinda vita na hawa ni wakristo tu na mtume s.a.w alisikitika alipokufa myahudi sio muislam akaulizwa lakini huyu ni myahudi akajibu kwani sio roho? Hawa mnaosema ipo haki ya kusherehekea hawa ni waislam na wameamini nguzo za kiislam zote 5 na imani zote 6 kwanini unasema ipo haki ya kusheherekea kifo cha muislam
@ramadhanihamisi3977
@ramadhanihamisi3977 Күн бұрын
Sasa ww unasema masalafi sio waislam sasa tuambie ni ipi dini yaoo
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i Күн бұрын
Mtume hakusikitika kwasababu ya kuwa ni roho alisikitika kufa akiwa kafiri kutomkubaliyy ivo ata alipo kufa babayake mdogo Abuu twalib kauzunika kwani mtume s.a.w. akuwaombeya watu duwa ya kuwaangamiza?
@sayman158
@sayman158 Күн бұрын
​@@ramadhanihamisi3977Ni mayahudi
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp Күн бұрын
Watafute dini yao isiyo kua uislam uislam hauna mafunzi ya hovyo kama haya ya masalafi waohovyo​@@ramadhanihamisi3977
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Diniyao niyakiyahudi kwasababu ili mtu awee muislam anatazamwa aqidayake naaqida yakiwahabi niakida yawakristo nawaseme nisalaf Gani ktka salaf swaaleh aliekua na aqida kama yakwao
@husseinalidina140
@husseinalidina140 Күн бұрын
Washamba nyie hamna ilmu kwanza pumbaaavu wahabi
@hassanjuma6144
@hassanjuma6144 Күн бұрын
Achen ujinga masheikh gan wa kisalaf nyie hamna ata Aibu kusem kua mko masheikh wa kisalaf nyiekarne hiyi mbon Kam mko ma zumbu kuku hivyo
@ibnabdillah4901
@ibnabdillah4901 Күн бұрын
hua ukweli unauma sana ila niwarudishe nyuma sana. hiv fir-aun alivyo kufa kwakuzama kwe maji nabii mussa na watuwake walifurahi hawaja furahi sas kwa nn hili lakusema ya faa kufurahia kwa mtu inakua gumzo?
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Күн бұрын
Uwahabi mtihani unafananisha watu na firauni.
@Seng522
@Seng522 Күн бұрын
Hapa hamna dini kabisa ni khiana tu na kibri, yani hata haya huna kumfananisha fir aun na Mohammed iddi.
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Күн бұрын
​Kwani fir'aun hakuwa mtu,we nae punguani😂😂😂
@AllyHamran
@AllyHamran 2 күн бұрын
Huyu jamaa elimu kubwa lkn hekma busara fasaha na uadilifu zero.Nashangaa kaipataje Phd.
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila 2 күн бұрын
wewe ni mwehu ndio umeongea nini sasa unataka haq ifumbiwe macho?
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 2 күн бұрын
Wallah kuna watu ata kheri iwe vipi yeye ata tafutatu shari sasa wewe mjinga na huyo alie kutuma waambie watu wamesha ijua hakki bakini na fitna zenu, nyinyi ndio mnataka kuambia ummah kua masalafi ni wabaya lakini haya maneno ya sheikh doctor Allah amihifadhi yapo wazi sasa sijui wew unataka nini
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Sa we wataka hekma gani awe nayo we juda usie jielewa
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Ujielewi
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 Күн бұрын
@@DossaAbuzufaila yaani kufurahia kufa muislam mwenzio ndio haki hiyo???
ALIETEKWA NA DC WA CHAKECHAKE ASIMULIA MADHILA ALIOPITIA
7:05
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 2,2 М.
HUKUMU YA KUOA MJAMZITO KATIKA UISLAMU
6:04
Wajawema Online TV
Рет қаралды 1,4 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
🔥RADDI FUPI KWA KASUKU WA KIZANZIBARI (MUHAMAD BACHU)
11:05
ATtwabary online
Рет қаралды 3,8 М.
Jinsi Mwinyi alivyoulipa uungwana wa Maalim Seif | GUMZO LA LEO
9:24
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,6 М.
HAFIDH HATANGULIZWI KUSALISHA KAMA HANA HIKI KITU..
12:55
Wajawema Online TV
Рет қаралды 199
MALAIKA EP { 13 }
32:03
MZEE KICHECHE
Рет қаралды 24 М.
Doodi Salafiyinta iyo Takfiirka Q.2 kala socofasal media
4:22:10
Fasal media
Рет қаралды 12 М.
KUTO KUDHURUMU NAFSI YAKO KWA..
18:24
Wajawema Online TV
Рет қаралды 242
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН