HUKUMU YA KUOA MJAMZITO KATIKA UISLAMU
6:04
KUTO KUDHURUMU NAFSI YAKO KWA..
18:24
21 сағат бұрын
BORA YA ELIMU TOKA KWAO NI HII
5:49
NINI TUFANYE KATIKA MWEZI HUU
22:12
14 күн бұрын
UTATU MTAKATIFU
19:52
Ай бұрын
KUTEGUA UCHAWI KWA UCHAWI
19:42
Пікірлер
@saidrashidi-kx8wp
@saidrashidi-kx8wp 5 сағат бұрын
جزاك الله خيرا
@NARFUDROG
@NARFUDROG 5 сағат бұрын
Jazakallahu khayrah
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg 7 сағат бұрын
Wekeni namba zenu tuwapigie nyie mnatutia ham yakuwagoji nyie maibirisi laana
@NassorroButcher-cu3pg
@NassorroButcher-cu3pg 7 сағат бұрын
Masalaf. Mnaishi kishabiki sana, mbina naona kama mmetumwa na mayahudi, mnaturibia uislam maana yake nisalama
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 8 сағат бұрын
Basi c ungemskiliza
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 8 сағат бұрын
Yasije kua ya muhammad mafuta ayo unayoyasema
@mrmahmoud1278
@mrmahmoud1278 9 сағат бұрын
msisahau kua waislamu wote duniani ni bidaa isipokua masalafi😂😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 3 сағат бұрын
Usisahau pia kila Bidaa ni upotevu na kila upotevu mwisho ni Motoni km alivyosema Mtume ﷺ. Zingatia: Wanaokusudiwa ni wale vinara na viongozi wa uzushi ambao ni maadui wa Sunnah. Vigezo na masharti huzingatiwa.
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 12 сағат бұрын
Kaondoka mwiba wa mawahabi inabidi washerehekee.ni muovu kwa mawahabi ni mwema kwa allah
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
makhawaarij wakifa munafurahi je askari wanao dhulumu waislamu wakifa pia munafurahia? aliye choma Quran kafa je masalfy wamefurahia? hakika nyie ni maadui wa uislamu
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
salafy waovu sana na wanakiri kwamba wao ni wazee wa taqiya ukifa kama sio salafy wana furahia sana lakini wataficha kama mashia wafanyavyo pumbavu sana ; eti ana sema haifai kutangaza lakini ufuarhue tu ;
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
kwa clip hii masalafy ni sawa na mashia yani wanafanya taqiya kwamba inafaa kufurahia lakini iwe kuficha yani kukaa kimya na kuficha furaha ; hakika salafy ni najisi sana kwenye umma wetu ;yani misingi ya dini yao ni kwamba wanafurahia sana masheikh wasio kuwa genge lao la kumuabudu MBS lakini tu wafiche kwa kufanya taqiya
@njchanpaknet4284
@njchanpaknet4284 9 сағат бұрын
MBS ni nini hicho mkuu?
@hamisshaaban8392
@hamisshaaban8392 8 сағат бұрын
Allah akuongeze wewe na sisi Ufahamu wako sio sahihi
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 сағат бұрын
@@safarinisafari7 Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
@safarinisafari7
@safarinisafari7 12 сағат бұрын
#salafy waapumbavau tu genge hili la Uingereza aliliunda ili kuvunja dola ya kiislamu tangu Abdulwahab ;salafy ni genge baya sana na kwa sasa wanalaana kubwa wao kwa wao wana gombana kuanzia Ansari sunna salafy jadidi salafy mtutu salafy hajuri salafy jaamii salafy hadahiya salafy mafutawiya salafy m,b,siya nk halafu watu wa bid,aa walio kusudiwa na maimamu shafy sio hawa wapiga dufu kwa ushetani wenu bali hao ni makafiri kabisa na sio hawa kina khitma na dufu nyie wajinga sana makhabithi
@ramadhanmakame1328
@ramadhanmakame1328 23 сағат бұрын
Kibaarul-umma, wameteuliwa na nani? Aya uliyotumia ya kulazimisha watu wafuate Wanachuoni hao watatu sio sawa. Siungi mkono kunyonya tupu lakini salafi mnazidi na nyinyi kuwapa hadhi ya unabii wanachuoni wenu wa kisaudia
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 Күн бұрын
Usitupangie
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 сағат бұрын
Hakuna mtu anakupangia nyonya mavi na mikojo kama kawa
@jumafaki2891
@jumafaki2891 Күн бұрын
kwanza wewe unaezungumza watu hawaamini kua ni salafi au jini maana huonekani yule alofurahia alijiita salafi ndio maana wakaamini watu kua masalafi wanafurahikia sasa umezuka wewe hata hufahamiki unani wala huonekani hatujui kama ujini au nani halafu hao munoamini nyinyi kua ni watu wa bidaa na wao wanaamini nyinyi masalafi si islamu kamwe ni mayahudi mlotumwa kuuharibu uislamu kwa hiyo musijitape kua muko kwenye haki
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o Күн бұрын
Je Mola ameharamisha hilo au akili zenu tu na nyinyi
@MusaNjalo-z9k
@MusaNjalo-z9k 14 сағат бұрын
Ww akili huna kwani usikii nukuu za wanachuon? Na wanachuon wa mtume
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 8 сағат бұрын
We endelea kunyonya mavi na mikojo tu maswali mengi ya nini
@husseinalidina140
@husseinalidina140 Күн бұрын
Washamba nyie hamna ilmu kwanza pumbaaavu wahabi
@Saidfadhil-o3o
@Saidfadhil-o3o Күн бұрын
Mtume yeye kasemaje juu ya hilo
@SalumuRamadhanisungi
@SalumuRamadhanisungi Күн бұрын
Allah awahifadhi mashekhe wetu wa kisalafi mzidi kuibainisha haqii inshallah
@RajabuAbdallah-yp5dp
@RajabuAbdallah-yp5dp Күн бұрын
Sema nyinyi nanyi mnafanya TAQIA Kama Mashia
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 2 сағат бұрын
Misimamo yetu ipo wazi sana. Lakini kanuni inasema: kila maneno yana mahali pake na kila watu wana maneno yao ya kuelezwa. لكل مقام مقال، ولكل مقال رجال
@RajabuHamisi-y5n
@RajabuHamisi-y5n Күн бұрын
Jazakumullah kher shkh naomba kuulza vp kuhusu yule aliemtia mimba mwanamke alafu akaamua kumuona vp hukumu ya ndoa hiyo na hukumu ya mtoto atakae zaliwa
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 Күн бұрын
Nyie MAWAHHABI MNA LAANA
@nganasilimavuai9944
@nganasilimavuai9944 Күн бұрын
كلم نفيسا
@QassmuManaaph
@QassmuManaaph Күн бұрын
Kumbe Ibnu kathiir ni Mshafiiy😂😂😂😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 18 сағат бұрын
Naam, Lakini sio Sufi-khurafi. Hata Sheikh Qasim Mafuta ni Mshafiy walijua hilo?
@QassmuManaaph
@QassmuManaaph 15 сағат бұрын
@SonofJacol-t6h Ushaafiiy wa mdomo labda au unafki. Alafu wewe uongo utakusaidia Nini ndugu yangu
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 14 сағат бұрын
@@QassmuManaaph Kwani Ushafi wa kweli ni upi? Unakusudia usufi?
@msafirindiyembuke5168
@msafirindiyembuke5168 5 сағат бұрын
​@@SonofJacol-t6h Anasoma Qunut swalatu Subhi? Anadhihirisha Basmala kwenye swala za Jahri?
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 4 сағат бұрын
@@msafirindiyembuke5168 Hafanyi hayo yote kwa kufanyia kazi maneno ya Imam Shafi mwenyewe aliposema: _pindi itakaposwihi Hadithi Basi Hayo ndio Madhehebu Yangu_ Na hivyo afanyavyo ndio Madhehebu ya Shafi na wala haimtoi katika madh'hab kama alivyoyanukulu hayo *Shaykhul Madh'hab al Imam al Bayhaqiy ash Shafi'iy* katika kitabu chake kiitwacho Ma'rifatu as-Sunnah wal-Aathaar. Pia Mufti wa Madh'hab aitwaye Imam Nawawi alikuwa akikhalif kauli za Madh'hab katika mambo mengi ya Kifiqhi kwa kufuata Dalili zilizothibiti na hili utaliona katika Ikhtiyarat zake katika al-Majmuu. Nitakupa Mfano mmoja tu nao ni katika suala la kuchukua udhu kwa kula nyama ya ngamia 🐫. Allah awarehemu maimamu wetu wote.
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Күн бұрын
Ivi Mawahabi mnazijua sifa za huyo mzushi aliekufa wakati wa Mtume saw?? Au ndo mnanasibisha watu na mambo msiyo na ilmu nayo.......!!
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua Күн бұрын
Haya majamaa ni wehukabisa
@hamisshaaban8392
@hamisshaaban8392 8 сағат бұрын
Kutukana namna hii hakusaidii kwa lolote Bali hii ni dini siyo siasa za mrengo wa kitwahuti
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Күн бұрын
Ina maana muhammad iddi mzinifu,mlevi,mcheza kamari,kakufuru mtume na allah 😮hii ndo maana ya mtu muovu wallahy hawa wanawapoteza watu sana allah awaongoze
@IsihakaRajabu-y6v
@IsihakaRajabu-y6v Күн бұрын
Mbona mnashindwa kuelewa kilichosemwa au hujasikiliza hii khutba ? Weka namba yako ya whstp nikutumie hutba mzima huenda ukaelewa
@abdulmuminabdullah1296
@abdulmuminabdullah1296 Күн бұрын
Radiator kisikiliza, acha kukurupuka, na haya ndiyo matatizo yenu, mnamihemko kama moto wa kifuu, shuda yenu huwa mnatanguliza misimamo yenu mbele bila ya kufuata dini.
@husseinazizi1275
@husseinazizi1275 Күн бұрын
قال العلامة ربيع بن هادي المدخلي حفظه الله. نحن مع الحق والذي يحخطى حتى من علماء السنة. لا تقبل خطاء . نحن نقبل الحق لكن ليس بالسفاهة والطيش والعداء . لكن بالادب والاحترام والصدق ولاخلاص
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Күн бұрын
Nyinyiunao kufursha, kufurahia, kutia waislamu motoni, kufanya sherehe Kwa Vifo vya wenzetu, bila shaka mwisho wa siku tuombe tu khatima njema Mizani yetu ni moja haijalishi ulikuwa Nan Hakuna pepo ya mwenye kujiita salafi, Kuna Janna ya wenye kutenda mema.
@AlhassanbnuAliOnlineMadrassa
@AlhassanbnuAliOnlineMadrassa Күн бұрын
Nani kasema ni wa mitoni... Tatizo hamtaki kuambiwa mnafanya bidaa...bidaa ni dhambi kama madhambi mengine...hata ikiwa alikuwa anafanya bidaa inayopelekea akufuru hakuna atakaye sema yeye ni wamotoni... itasemwa vibaya na dhambi yake ili watu wasimuige huko ndiko kumpenda aliyefariki...ikiwa alikufa akiwa ni maarufu kwa kufanya hayo madhambi. Hata shekh wa Abuu Idi Shekh Muhammad Ayubu atasemwa ni mtu wa bidaa ili tumpunguzie watakaomuiga
@hassanjuma6144
@hassanjuma6144 Күн бұрын
Achen ujinga masheikh gan wa kisalaf nyie hamna ata Aibu kusem kua mko masheikh wa kisalaf nyiekarne hiyi mbon Kam mko ma zumbu kuku hivyo
@AbdallahKhamis-h1h
@AbdallahKhamis-h1h Күн бұрын
Allah akulipe herii
@munyanezaismail7642
@munyanezaismail7642 Күн бұрын
بيان واضح جزاه الله خيرا
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Nyii nimayahuditu naunafiki ndowenu
@omaryhamisi576
@omaryhamisi576 Күн бұрын
Dini mashekhe imewashinda ndio maana faraka imewajaaa badara ya itrafu.
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
Wewe uislaamu umeishinda, hongera sana 'aalim
@SalumuRamadhanisungi
@SalumuRamadhanisungi Күн бұрын
@@omaryhamisi576 mi sijaelewa ndo unakusudia nini??
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 Күн бұрын
Yani kwa maelezo yako nikua mnafurahi lakini kutangaza ndio sio vzuri Hiyo kufurahi ndio tunasema si katika uislam
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
We unaona haifai?
@ibnabdillah4901
@ibnabdillah4901 Күн бұрын
hua ukweli unauma sana ila niwarudishe nyuma sana. hiv fir-aun alivyo kufa kwakuzama kwe maji nabii mussa na watuwake walifurahi hawaja furahi sas kwa nn hili lakusema ya faa kufurahia kwa mtu inakua gumzo?
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Күн бұрын
Uwahabi mtihani unafananisha watu na firauni.
@Seng522
@Seng522 Күн бұрын
Hapa hamna dini kabisa ni khiana tu na kibri, yani hata haya huna kumfananisha fir aun na Mohammed iddi.
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Күн бұрын
​Kwani fir'aun hakuwa mtu,we nae punguani😂😂😂
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
NDIO MAFUNZO YENU, MASHEIKH WOTE WALILAUMU KWA KUSEMA MAPEMA LAKINI MPAKA BACHU NA WENGINEO WAMEDHIHIRISHA. HAKI YA KUTANGAZA KAPEWA SHEIKH GANI. MASALAF HATA AWE MFUPI PIA NI SALAFI. NAWE UMESEMA WAZ YAFAA KWANI TATIZO NINI...ENDELEENI KUFURAHI. KILA MTU ATAFUFULIWA NA KUHUKUMIWA PEKE YAKE. HAKUNA USALAFI KWA MOLA VYAMA VYENU MUTAACHA HUKUHUKU DUNIANI
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
Hatujasikia KWA VILE MUKIFANYA TAQIYA.....SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA upotevu wa Mafunzo yenu....na Jamii Ipate Kujua NJIA ZENU SIO SAHIHI. FITNA NDIO ZENU. HUYO MKUU WA USALAFI TZ..MUMEMPATA VIPI?
@Lakalhamdu-u4h
@Lakalhamdu-u4h Күн бұрын
Kwani wewe unaamini sisi ni mashia mpaka tuwe na TAQIYA?
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh Күн бұрын
Duh, kwa kweli salafy sio waislam maana mtume s.a.w na maswahaba alifurahi warome ameshinda vita na hawa ni wakristo tu na mtume s.a.w alisikitika alipokufa myahudi sio muislam akaulizwa lakini huyu ni myahudi akajibu kwani sio roho? Hawa mnaosema ipo haki ya kusherehekea hawa ni waislam na wameamini nguzo za kiislam zote 5 na imani zote 6 kwanini unasema ipo haki ya kusheherekea kifo cha muislam
@ramadhanihamisi3977
@ramadhanihamisi3977 Күн бұрын
Sasa ww unasema masalafi sio waislam sasa tuambie ni ipi dini yaoo
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i Күн бұрын
Mtume hakusikitika kwasababu ya kuwa ni roho alisikitika kufa akiwa kafiri kutomkubaliyy ivo ata alipo kufa babayake mdogo Abuu twalib kauzunika kwani mtume s.a.w. akuwaombeya watu duwa ya kuwaangamiza?
@sayman158
@sayman158 Күн бұрын
​@@ramadhanihamisi3977Ni mayahudi
@AthumaniAmiri-fv5zp
@AthumaniAmiri-fv5zp Күн бұрын
Watafute dini yao isiyo kua uislam uislam hauna mafunzi ya hovyo kama haya ya masalafi waohovyo​@@ramadhanihamisi3977
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Diniyao niyakiyahudi kwasababu ili mtu awee muislam anatazamwa aqidayake naaqida yakiwahabi niakida yawakristo nawaseme nisalaf Gani ktka salaf swaaleh aliekua na aqida kama yakwao
@SalehLoffy-kn6oh
@SalehLoffy-kn6oh Күн бұрын
Hata Muhammad bachu alisema ni vizuri kusherehekea mtu wa bidaa lakini uangalie muda na mazingira usiseme tu unaweza kuingia katka matatizo
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
Waacheni WAFURAHIE,HAIPUNGUZI WEMA WA MAREHEMU....NA WAO WAKISIFIANA HAIONDOSHI UBAYA WAO. KILA MMOJA ATAFUFULIWA NA KULIPWA PEKE YAKE. VYAMA VYAO VYA KISALAFI WATAVIACHA HAPAHAPA. KUFURAHIA KWAO NI ITHIBAT YA MANENO YA IMAM ALI: UBAYA WA KILA MJA HUDHIHIRIKA KWENYE NCHA YA ULIMI WAKE.... TUNAPOSEMA MASALAFI WANAFADHILIWA KWA FITNA MUKAWA NA SHAKA, SASA MOLA AMEWADHIHIRISHIA. MMOJA WAO ASEMA ATI IKIFIKA 2030 MASALAFI WATAKUA WENGI SERIKALINI KWA MADAI ATI VYUO WAMESHAVITEKA
@SaidiMohamed-bj2wg
@SaidiMohamed-bj2wg Күн бұрын
Kwani m bachu nikamanani ktk elimu
@NadhifaAbdul
@NadhifaAbdul Күн бұрын
Unjua
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 күн бұрын
Hivi kauli ya masalafy inazingatiwa akizungumza nani ,
@nurdinikisoma5452
@nurdinikisoma5452 Күн бұрын
Mashekh wakisalafu wenye kutambulika katika jamii ya kisalaf
@sama-_8368
@sama-_8368 Күн бұрын
​@@nurdinikisoma5452huyu anayezungumza ni sheikh wa kiwahabi mwenye kutambulika?
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i Күн бұрын
Ukisikiliza vzr clip ya sheikh khamis imamu kawataja baazi kwamajina yao tosheka na hao
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Күн бұрын
@@nurdinikisoma5452 wapo wanapohizbishana wao kwa wao nifanye nini kwao,
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Күн бұрын
@@AdnanMohammed-l6i ana clip nyingi nitajie tuu
@AsampiMpili
@AsampiMpili 2 күн бұрын
Jazaakallahu khayran sheikh wetu, naomba kuuliza swali ikiwa Imaam katengukiwa na udhu wakati yu katika tashaahud ya mwisho pindi yeye akinyanyuka kuashiria kubatwilika swala yake nini wafanye maamuma? Kila mmoja amalize kivyake kwa kutoa Salamu au mmoja atangulie kumalizia swala? Naomba jawabu katika hilo baraakallahu fyiikum.
@abdulhaliimali320
@abdulhaliimali320 Күн бұрын
imam atatakiw akamilishe swal n
@abdulhaliimali320
@abdulhaliimali320 Күн бұрын
ikiwa atatengukw na udhu kabla hajatoa salam itatakiw mwngine atangulie kukamilisha
@AsampiMpili
@AsampiMpili Күн бұрын
@@abdulhaliimali320 Akamilishe swala vipi wakati Hana twahara? Hebu soma dini nataka jibu la kisomi sio kukurupuka2
@AsampiMpili
@AsampiMpili Күн бұрын
@@abdulhaliimali320 Yaani ataenda mbele alipotoka imaam Kwa kusota au palepale alipo atamalizia?
@abdulhaliimali320
@abdulhaliimali320 Күн бұрын
@AsampiMpili imam kwa maan yq mwingine atasimama na kusogea pale mbele
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 2 күн бұрын
Acheni ujinga enyi kundi potovu la swa'aafiqa,haya mas'ala yenye khilafu kwa wanachuoni,hivyobasi msimamo 1kati ya misimamo2hauwezi kuwa hoja kwa mwingine
@MusaNjalo-z9k
@MusaNjalo-z9k 13 сағат бұрын
We jinga endelea kunyonya mpaka upate kansa ya koo
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c 8 сағат бұрын
​kwani wewe ni dokta kwani kansa inapatikana kwa 7bu gani hasa ama una sema tu hebu fungua vitabu kwanza ndipo useme
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 2 күн бұрын
Kwani Sunnah ni mwenendo wa mtume au kikundi cha watu?? Jamani tusaidieni hapo. Kwa mfano mtu ameoa/ameolewa, anaswali, anatoa sadaka, anahudumia wasiojiweza kama wajane mayatima na maskini, na mengineyo kama sio salafi inamaana sio MTU wa Sunnah?? Yaani MTU wa Sunnah ni lazima ujiite salafi ndio MUNGU na mtume wakukubali hata kama huna hivo vigezo. Kabla ya hii salafi kuanzishwa wale waislam wa enzi za dola ya kilwa waliishije katika mifumo ya dini.? Inamaana walikuwa nje ya Sunnah sindio?
@AllyHamran
@AllyHamran 2 күн бұрын
Huyu jamaa elimu kubwa lkn hekma busara fasaha na uadilifu zero.Nashangaa kaipataje Phd.
@DossaAbuzufaila
@DossaAbuzufaila 2 күн бұрын
wewe ni mwehu ndio umeongea nini sasa unataka haq ifumbiwe macho?
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 2 күн бұрын
Wallah kuna watu ata kheri iwe vipi yeye ata tafutatu shari sasa wewe mjinga na huyo alie kutuma waambie watu wamesha ijua hakki bakini na fitna zenu, nyinyi ndio mnataka kuambia ummah kua masalafi ni wabaya lakini haya maneno ya sheikh doctor Allah amihifadhi yapo wazi sasa sijui wew unataka nini
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Sa we wataka hekma gani awe nayo we juda usie jielewa
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Ujielewi
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 Күн бұрын
@@DossaAbuzufaila yaani kufurahia kufa muislam mwenzio ndio haki hiyo???
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 2 күн бұрын
Hivi ingetokea yale maneno alosema yule mwenzao kuwa wamefurahi yasingepata upinzani mkubwa kutoka kwa waislam mbalimbali haya matangazo yangesikikaa???? Wanajitetea kwaajili mambo yalishafikia pabaya ila kusingekuwa na upinzani kutoka kwa waislam wasingejitetea .
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 2 күн бұрын
Hiii ndio elimu nyinyi.bakini na ubaya wenu na fitna zenu lakini tumuomba Allah ziwarudie nyinyi wafitinishaji, haya maneno yame eleweka kwa yule mwenye akili sio ww mwehu
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
Allah akuhefadhi mwalim wang. Hawo wajinga2 Wao wamesahaau manenô walio yazungumza wakati alipo faliki marehem shekh jaabir mwalim
@eidallyeidally5093
@eidallyeidally5093 Күн бұрын
ttz si kauli yayule huenda hata nipandikiz la kisufi liliamua kuchafua hali yahewaa ndio maana shekh kasem ktk hawa mashekh wakubwa wa kisalaf kwamfano qaasim mafuta anaishi tanga na maziko yamefanyik tang nawalikua na mvutano wa muda mref na abuu iddi umeskia akisem chochote kuhus kif chake akafurahi ? kunawakt tunasikitik mtu aliejikita katk daawa mud mref kisha akafa ktk uzushiii
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 Күн бұрын
NDIO MAFUNZO YENU, MASHEIKH WOTE WALILAUMU KWA KUSEMA MAPEMA LAKINI MPAKA BACHU NA WENGINEO WAMEDHIHIRISHA. HAKI YA KUTANGAZA KAPEWA SHEIKH GANI. MASALAF HATA AWE MFUPI PIA NI SALAFI. NAWE UMESEMA WAZ YAFAA KWANI TATIZO NINI...ENDELEENI KUFURAHI. KILA MTU ATAFUFULIWA NA KUHUKUMIWA PEKE YAKE. HAKUNA USALAFI KWA MOLA VYAMA VYENU MUTAACHA HUKUHUKU DUNIANI
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 күн бұрын
Yule mzee anatakiwa ataraju na Hilo na lakutukana ulamaa, amebaki na msimamo batwil,na huku analazimisha nae ni salafii
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 күн бұрын
Jazakrllah khaillah. Shehe
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq 2 күн бұрын
أحبك لله ❤❤❤