موقف الإمام الشافعي رحمه الله من هذه المسألة فهو أن القول بخلق القرآن كفر ففي شرح أصول الإعتقاد للالكائي عن الربيع بن سليمان قال : سمعت الشافعي يقول: من قال القرآن مخلوق فهو كافر.
@mubaarakellofiy2 ай бұрын
ما هو دليلك أم مجرد ليرى الناس رسالتك
@mubaarakellofiy2 ай бұрын
او ليروا انك تعرف العربية
@ramadhanitwahili68372 ай бұрын
Asalam alaykum mimi nataka kujua ww unasema sahuti ni kiumbe kiarabu kiumbe sasa manabii walikuja kabra ya Qur'ani lugha zao nazo je zinakuaje, mana kila mtume aliepewa kitabu aliletewa kutokana nalugha ya jamii yake.niwekesawa, vyote vinavyo onekana na visivyo onekana vimetoka kwake Allah subahnahu watahara.
@suleimanadim65222 ай бұрын
Matusi haramu haifai tusigeuke kama mayajudi na manasara ss sote ni waisilamu tuacheni tabia ya kujiona bora kuliko mwingine mmbora wenu mbele ya ALLAH NI YULE MWENYE KUMCHA ALLAH NA KUFUANA SUNNA ZA RASULU ALLAH SAW SANA TUACHENI FITNA NA KUINGIZANA MOTONI AU KUTIANA PEPONI HIO NI AMRI YA ALLAH
@Al.habeebAl.habaaib2 ай бұрын
IBADHI NA SHIA DUGU MOJA
@swalehabdulrahman41182 ай бұрын
Shekh nimekuelewa ngoja nipate hoja za upande wa pili
@RamaNassry2 ай бұрын
SWALI KWA MASUFI:JE KUFUATA QUR'AAN NA SUNNAH KWA UFAHAMU WA WEMA WALIOTANGULIA{MTUME,MASWAHABA NA WALIOWAFUTIA} HAIFAII??? KAMA HAIFAI TUPEWE DALILI(KUTOKA KWENYE QURAAN NA SUNNAH) KAMA YAFAA TUACHENI NA MANHAJ YETU NA KARIBUNI KTK KUIFUATA
@maalimhamad12972 ай бұрын
ASALAM ALKM SHEKH HIO NI ITIKADI YA KI IBADHI NA KWA MSIMAMO WA AHLU SUNNA WAL JAMAA MAIBADHI NI KUNDI LILILOPOTEA NA KUHUSU HIO ITIKADI YAKO QURAN NI KIUMBE NAOMBA UNIJIBU MASWALIYANGU HAYA JE ALLAH QURAN NI ELEMU YA ALLAH AMBAYO NI ELIMU ISIOPIGIKA MFANO SWALI JE ALLAH MWANZO HAKUA NA ELIMU KISHA AKAUMBA ELIMUYAKE MUOGOPE ALLH ALLAH AMETAKSIKA NA SIFA HIO
@MaldiniEl-Dugheish-fs9zh2 ай бұрын
Ila muislam wa kwanza kusema Qur'an imeumbwa ni Abu Hanifa ni Abu Hanifa vp na yy kafiri ?
@omarsaid6732 ай бұрын
Sauti ni kitu kakiumba Allah ni mawimbi na km si kiumbe je ni
@matendupiterngoge87072 күн бұрын
Hili jamaa jinga kabisa kutengeneza ufasaha ili kionekane kua somi bundi tu
@modyworldmody42972 ай бұрын
Mawahabi ni tishio kwa dini ya kiislam.... Asili ya mawahabi ni mayahudi
@user-fq6iw1pb7q2 ай бұрын
Kama alivyosema mama ako
@abiabi93532 ай бұрын
@@user-fq6iw1pb7qmawahabi pia kinachowasumba ni ujinga
@Al.habeebAl.habaaib2 ай бұрын
WE KIFARANFGA CHA KISHIA
@YarmanAljahhdiry2 ай бұрын
LA akhlisuna wal njamaa hawana itikadi hii al ashairaa wa matudiyya hawana itikadi ya kuita maneno ya Allah kuwa makhluuq istoriya yajulikana msibabaishe watu vita vya sufini vipo wazi mtazamo wenu wajulikana mno wengine walizama huko na wakaijuwa itikadi ya wanayoiita quruani kuwa nikiumbe wajulikana msiteteee kupoteza mda bureee
@suleimanadim65222 ай бұрын
Shekh Abdulqadir ametoa fatwa bila elimu ni fitna kubwa tunatakiwa tusome sio tu buruzwe tu na mashekh wasio na elimu kutoa tu mafatwa
@mbarouksalum83192 ай бұрын
Subhanallah sheikh Shareef Abdulqadir yupo sawa Qur an sio kiumbe mcheni Allah
@abiabi93532 ай бұрын
@@mbarouksalum8319tupe dalili zako zinazi thibitisha kuwa Quran sikiumbe
@suleimanadim65222 ай бұрын
Ikiwa huo ni msimamo wako sawa ila usiwakufurishe wenye msimamo wao pia tuaomeni kwanza tusiwe tu tunaburuzwa kwa kufuata tu bila kua elimu
@UwesuJumanne2 ай бұрын
acha kuwasingizia ashaairah na matwriidiyyah....hawaña itikad hiyo
@abdulkhaliqmuhammed4562 ай бұрын
Kila kukicha raddi adabishi, raddi stahiki, raddi tokomezi, shaafi unayapenda sana mambo ya raddi toa clip moja ujiradd na wewe mwenyewe au wswe hukosei?
@abiabi93532 ай бұрын
Wewe wahabi jahili kweli.Hivi kuna clip za raddi nyingi zaidi ya clip mawahabi?
@suleimanadim65222 ай бұрын
Tuelezee basi sio utuambie tu unavyohisi ww au unavyoamini ww tupe ushahidi na pia alipokosea yy nikutoa fatwa yakuuita kukufirisha watu
@Sh_Taqee2 ай бұрын
Hivi mawahhabi kitu huwa kinawafanya wakurupuke ikiwa ilmu hawana? Tizama Abdul Qadir alivyoonyesha ujahili wa wazi katika kauli yake! Uwahhabi ni laana kubwa mno
@abdulkhaliqmuhammed4562 ай бұрын
Maisha ya Mashaykh wa Sasa ni Raddi tu. Hakuna mawaidha mengine ni radd tu kila mmoja kuonyesha elimu aliyo kuwa nayo. Zungumzieni فقه التحولات.
@abiabi93532 ай бұрын
Wewe jahili kweli. Hivi huini hiyo elimu sheikh aliyoitoa nimuhimu
@KAIPAAA32112 ай бұрын
Mtume Muhammad alikuwa mtu mweus, watu weupe walikuja saud arabia makhundi makhudi, wakawafukuza watu weus (wasomaria) Tz wa Rang, walijitengenezea vtabu vyauongo kwa lengo lakuheshim ma kabra yao
@Sheba46512 ай бұрын
Mapya !
@ibrahimjumaisingo17692 ай бұрын
Vitabu vyenu hivyo ni makafiri
@abiabi93532 ай бұрын
Wewe jahili wakiwahabi mipasho haitakudaidia.jibu hoja kama unaweza
@KhalfanMakota2 ай бұрын
Mfano mtu akawa anatembea je zile athari za miguu yake kwenye ardhi nazo kiumbe....mm nikiandika barua au hii sms yangu nayo ni kiumbe...mafuumul khatwii😂😂😂
@user-pu2uw2ib5y2 ай бұрын
Vyote hivo ni viumbe au wewe ndio unaamini km hivo sio viumbe?
@suleimanadim65222 ай бұрын
Toeni basi dalili au hoja shekhe katoka nafasi
@user-pb2yu8dk9r2 ай бұрын
Ukitukana kwenye barua hiyo thambi au si thambi
@KhalfanMakota2 ай бұрын
Qurian ni maneno ya allah...maneno hayawez kuwa kiumbe
@user-pu2uw2ib5y2 ай бұрын
Kwa iyo wewe unasema Qur'an ni kitu gani?
@GoldenBoy-xm5gn2 ай бұрын
qur an ni maneno ya Allah na si kiumbe ni maneno yake huu ndo msimamo wetu qur an inatokana na Allah na kile kinachotokana na Allah hakiwi kiumbe
@suleimanadim65222 ай бұрын
تنزيل من رب العالمين
@suleimanadim65222 ай бұрын
Hakuna anayesema kua sio maneno ya ALLAH WAISLAMU WOTE DUNIANI TUNASEMA NI MANENO YA ALLAH BILA MASHAKA ILA YAMESHUSHWA
@suleimanadim65222 ай бұрын
Sasa maneno yanakuwa nn
@KhalfanMakota2 ай бұрын
Hzo hoja zilikuw tangu mda na kuna wanachuon mpk wameenda jela kwa ajil ya hoja hzo...msimamo wa ahlu suna hatunaamin kuw qurian kiumbe.....sauti c kiumbe sheikh ila inatoka kwa kiumbe....
@suleimanadim65222 ай бұрын
Tusomeni kwanza kabla kuhukumu au kujibu hoja watu wanahoja ndio maana wanajibu kwa ufasaha tusomeni jamani tuache kufuata tu bila elimu
@omarsaid6732 ай бұрын
Sauti ni kitu kakiumba Allah ni mawimbi na km si kiumbe je ni kiumbaji?
@omarsaid6732 ай бұрын
Sauti ni kitu kakiumba Allah ni mawimbi na km si kiumbe je ni
@user-cy1od5xr8x2 ай бұрын
Kila kitu kisichokuwa ALLAH hicho ni KIUMBE duniani kuna khaaliq na makhluuq yaani viumbe na muumba kama Quran sio KIUMBE ni nini? Ni MUUMBA? JIBU SWALI
@user-cy1od5xr8x2 ай бұрын
Kila kitu kisichokuwa ALLAH hicho ni KIUMBE duniani kuna khaaliq na makhluuq yaani viumbe na muumba kama Quran sio KIUMBE ni nini? Ni MUUMBA? JIBU SWALI