PATANISHO : NILIMPIGA BAADA YA KUMKATAZA KUENDA MATANGA YA MAMAKE EX WAKE

  Рет қаралды 24,480

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #gidinaghost #patanisho
Subscribe to RadioJambo KZbin - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220

Пікірлер: 41
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
😂ndoa za karibu ni noma
@BabyAlexxia6734.
@BabyAlexxia6734. Жыл бұрын
Greetings gidi and ghost Watching from italy lovely show
@eunicesang1704
@eunicesang1704 Жыл бұрын
Napataje job italy
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
From Switzerland.
@Sirden_i
@Sirden_i 9 ай бұрын
@mariam...how can I reach out to you. Need some more info about Switzerland
@CarolineAnzelimo
@CarolineAnzelimo Жыл бұрын
😂😂😂😂😂sungunyo lazima apokee kama anatoa😅😅😅
@mikella-oi5zc
@mikella-oi5zc Жыл бұрын
Gidi wale wanaume upinga wake zao wanakuanga waonga sana hawawezi kabiliana n wanaume kama wao
@kerubomose6804
@kerubomose6804 Жыл бұрын
Huyu Dame kama waliachana na x akaolewa na wako hdi na watoto.anathn x atakubali kulea watoto kma alikuwa anampenda mbna hkumuoa she will regret wakat x amemuongeza mtoto
@sirasi1889
@sirasi1889 Жыл бұрын
Kidi Kidi listen to this lady very she might be with her ex reason being that man is not taking his responsibilities as a Man I experienced such moments where I had to go back to my boyfriend who could surport me moreover in my marriage and I couldn't want to break up with my baby daddy men take care of your families 😢😢😢
@rasyout3021
@rasyout3021 Жыл бұрын
Gidi::The love of my life😂 Him::Sikuandika kitu mbaya 😊 Her::Aliandika tafakari ya baby 😅😅
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Gid, umenikubusha bondia wetu, Mandonga na ngumi ya sugunyo😂😂😂😂
@godsfavour5665
@godsfavour5665 Жыл бұрын
So huyo mama anataka Ex wake awe side dish na yuko kwa ndoa already😮😮😮ama anataka Ex amuoe aaaaaàa anaenda kujupendekeza kwa matanga ya Ex.......ambia huyu jamaa a move on hapa hakuna ndoa
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Жыл бұрын
True mm sijui mbona watu wanapenda kujipendekeza kwa watu hivyo😮mm siwezi huo ujinga huyu jamaa a move on to atakuja regret to then arudi kwa kina gidi
@chizicomedian264
@chizicomedian264 Жыл бұрын
Radio kenya vp
@zarabati1750
@zarabati1750 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 atatengenezwa
@mokayaken2497
@mokayaken2497 Жыл бұрын
Siwezi fuata hiyo ngombe ya mwanamke.
@boyengo
@boyengo Жыл бұрын
Gidi we ni Chwalist kweli!!
@ruthbosibori1482
@ruthbosibori1482 Жыл бұрын
Tafakari ya babu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@elizabethiradukunda1950
@elizabethiradukunda1950 Жыл бұрын
mwanaume ukitaka kushimika tafta pesa unaskia vile ako kamama kanapiga mdomo hapo? Mpaka anaongea nikama mwanaume ako na bass? ukiwa na pesa wanawake huwa na soprano
@Sirden_i
@Sirden_i 9 ай бұрын
Elizabeth....wasema ukweli kabisaa
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Жыл бұрын
😂😂tafakari ya babu by swaleh mudoe😅😅
@MrKodiyo
@MrKodiyo Жыл бұрын
Lakani makosa ni ya huyo mwanadada, kuna games zingine which are very dangerous, how do you go to your ex place in disregard to your man? unless baado mnakulana
@mahatomar8453
@mahatomar8453 Жыл бұрын
😅
@naftalynaff7811
@naftalynaff7811 Жыл бұрын
Some women are unreasonable
@shuaibali6888
@shuaibali6888 Жыл бұрын
Asmani Wacha izo bana lakn unapenda huyu Dem aki nawaombea murudiane
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
Ndo maana unaona mtu anawekelewa kofi sualy who does that hao lazima hua wanathinush
@GabrielJuma-h2d
@GabrielJuma-h2d 2 ай бұрын
Once you beat, it’s over and such like men should be jailed immediately after confessing about it and should be taught a lesson by law.
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
Ndo ukome kumpiga mkeo
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@phoebeadikinyi3441
@phoebeadikinyi3441 Жыл бұрын
Eti matanga ya mama exe,aje sasa?mwanadada huyo alikuwa na zake
@walterogaro8547
@walterogaro8547 Жыл бұрын
huyu mwanamke ni gaidi,hati kutengenenza maneno ni muluya
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 Жыл бұрын
Cowarding to fight a wife and cannot face fellow men for a fight
@lelahope4
@lelahope4 Жыл бұрын
Have you invited him for a fight akakata?
@Sirden_i
@Sirden_i 9 ай бұрын
Fighting is not an option. Besides, you can win in public physically, but five years later, the same weak person, will gather resources and come after you. Only regrets will be crossing your mind
@hedwiglilande8981
@hedwiglilande8981 Жыл бұрын
This guy is irresponsible, a liar and does not deserve another chance. Men who hit women should not be forgiven. This lady is better off on her own.
@ernestofrerelembus3316
@ernestofrerelembus3316 Жыл бұрын
The guy laughing is so annoying nkt
@mwakabonface1080
@mwakabonface1080 Жыл бұрын
Wachana na ghost kabisa
@hanifamulwa3963
@hanifamulwa3963 Жыл бұрын
Wewe no mgeni patanisho bila kicheko ya ghost patanisho si patanisho, chill its never that serious
@moreh462
@moreh462 Жыл бұрын
Enda ukasikize kwingine sisi tunampemda
@ernestofrerelembus3316
@ernestofrerelembus3316 Жыл бұрын
@@hanifamulwa3963 u are very right mtu wangu it was my first Video nikawa sielewi Kuna MTU huko inje anaumia huyo nae anacheka after kuona hizo video Zengine ndio nikaelewa
@sekanicanory9915
@sekanicanory9915 Жыл бұрын
PATANISHO : SAMUEL - MKE WANGU HAKUWA ANATAKA NIENDE NIKAANGALIE MPIRA
16:47
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
President Ruto's appointments follows talks with Uhuru and Raila
3:13
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 10 М.
PATANISHO : LAWRENCE - NILIMPIGA MKE WANGU YVONNE AKIWA MJA MZITO
22:10
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 26 М.
PATANISHO : NATAMANINGI USIKU NISKIEKO SAUTI YAKE_COLLINS ELKANA
29:50
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 105 М.
PATANISHO: Mke wake alikuwa anamaliza gorogoro mzima kama jini
32:43
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 438 М.
PATANISHO : ANANIPENDAJE NA AKONA MKISII - FEDY
26:08
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 67 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН