PATANISHO : MUME WANGU ALICHUKUA PESA YANGU AKAMPA MPANGO WAKE WA KANDO

  Рет қаралды 33,223

Radio Jambo KENYA

Radio Jambo KENYA

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@DataMatchup365
@DataMatchup365 Жыл бұрын
very mature woman , nikipatabahati kaa hii nitashukuru sana
@faithnyambura-fo7fm
@faithnyambura-fo7fm Жыл бұрын
Tuma kakitu Hellen aku unlock😂😂😂....thank you radio jambo❤
@Nanah12
@Nanah12 Жыл бұрын
😂😂😂😂huyu shetani amesumbua hii familia😂😂this one caught me unaware
@mosesmusa5193
@mosesmusa5193 Жыл бұрын
No Woman is more beautiful than that woman u have in your home as a Wife. Spend on her she will be like those u see outside.wanaume tuache tamaa
@vincentmurota3961
@vincentmurota3961 5 ай бұрын
Absolutely 💯
@hildainziani7147
@hildainziani7147 2 ай бұрын
Sone men have lost precious wives while trying to fulfil their lastful desires
@christineamlinger5630
@christineamlinger5630 Жыл бұрын
How come today I'm first 😂 but I'm not asking for likes!
@nyolod
@nyolod Жыл бұрын
This is the best Patanisho walai. Huyu boychild messed up big time 😂😂😂
@georginak4795
@georginak4795 Ай бұрын
Wachana na huyu mwanaume. He will never change! Kanyaga kubwa kubwa and never look back.
@anitabell4203
@anitabell4203 Жыл бұрын
Ghost anashikilianga system by the way. Hiyo kicheko si bure . Culture. 🇰🇪
@MelanatedQueen254
@MelanatedQueen254 Жыл бұрын
Gidi, atume 4000 Hellen akiendelea kufikiria!! 😂😂😂
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
😂😂Daa Hyu Ghost bana ananiacha hoi waallahi hicho kicheko bana😂😂Radio jambo bila Ghost c Radio jambo b
@RoseOdiyo
@RoseOdiyo 3 ай бұрын
Mercy cheplangat...woe Gidi
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 Жыл бұрын
Mama run for your life huyu sio mume Shetani yy Wakale hawajui Love
@justuskemboi2322
@justuskemboi2322 4 ай бұрын
Jamaa mjinga sana,
@HajisandereeSanderee
@HajisandereeSanderee Жыл бұрын
Walahi hi ni Kali sana asanteni
@kipkoechmutai48
@kipkoechmutai48 Жыл бұрын
Naomba number ya kutuma patanisho ......
@anitastellah2894
@anitastellah2894 Жыл бұрын
Mandugu zangu uniangusha sana...umalaya ,uongo,na they don't even know how to apologise 😅😅😅😅😅😅😅bedroom bure,communication bure😅every time shetani shetani,Responsible bure pia😂,waaah,#lakini sio wote
@esthercheptoo6558
@esthercheptoo6558 Жыл бұрын
Hii ya leo ilikuwa entertaining 😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Mungu alikuonyesha jambaxi lako.
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Asnte sana Gidi na Ghost🇺🇬🇺🇬🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@morganmutwirimukwanjeru6475
@morganmutwirimukwanjeru6475 Жыл бұрын
gidi ni koffi anan.........he knows how to handle issues
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 Жыл бұрын
😂😂😂dunia simama nishuke mbona sioni mapenzi jameni watu ni magaidi tu kusema ni shetani 😂😂😂😂
@Miss_mckenzie
@Miss_mckenzie Жыл бұрын
Kimbia mama huyu mwanaume ndio Saitan mwenyewe
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Ati mm ni mkristo 😂😂hyu Jamaa bana ako funny sana,, ila msamehe bwanako ametubu
@gracekamunya6823
@gracekamunya6823 Жыл бұрын
Shetani alikua tu ziala zake zakutafuta kuni then BOOOM..lakini anawaingia wote at the same time,Helen is a vibe na ata haumwi na kuimbiwa bwana kama kugawana pesa zake.Na huyu mwanamme ajue bila pesa mipango hatawezana
@hellenriungu1833
@hellenriungu1833 Жыл бұрын
Eti kuokota kuni😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A Жыл бұрын
Mwachieni shetani apumzike jamani mnamsingizia sana mengine sio yeye 😂😂😂😂🇹🇿🇬🇧
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 4 ай бұрын
Vile napeda ghost akicheka wacha tuu 😂😂😂😂😂
@ruthwanjiru7494
@ruthwanjiru7494 Жыл бұрын
Wakalee weeeeh😢
@DorcasMwinzi-wq5no
@DorcasMwinzi-wq5no 9 ай бұрын
Mambo ya wakale acha ikae ni mungu tu
@zainabkimera8892
@zainabkimera8892 Жыл бұрын
Napita tu mm haki wooyeee siwezirudi wanaume masuruali sina mda nao
@houseofprayerministry-unit18
@houseofprayerministry-unit18 Жыл бұрын
Atume 8000/
@vincentobara2104
@vincentobara2104 Жыл бұрын
Jamani waume tuwe na uvumilivu,tamaa ni baya wacha kulauumu shetani
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Sijui kwa nini umemsamehe haraka hivyo ,huyu hawezi kubadili tabia, mwanaume gani huyo, akuibie pesa akahonge, alafu hawajibiki kama baba wa nyumba, tabia haina dawa.
@dicksonkiraithe6369
@dicksonkiraithe6369 Жыл бұрын
Atume haraka vile alitumia mpango pa ngo😂😂😂
@YoungMinister-n2n
@YoungMinister-n2n Ай бұрын
Uyo ni muizi😂😂😂😂😂
@consolatamusavi6783
@consolatamusavi6783 Жыл бұрын
Aki wakalee ni Malaya kweli
@hellenriungu1833
@hellenriungu1833 Жыл бұрын
Hellen tumefikio😂😂😂
@nickey147
@nickey147 Жыл бұрын
Wakalee mmefikiwa
@bikoflavious2903
@bikoflavious2903 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣😅😅😅😅😅🤣😅🤣 Mathews chumo unaibia mke wako pesa unampa babe wako
@kipkoechmutai48
@kipkoechmutai48 Жыл бұрын
Shetani haki wewe .... Umeblamiwa .... Kila mahali ..... Alipe 4000 kwanza
@peristeronkangi7703
@peristeronkangi7703 Жыл бұрын
Walai mimi pesa yangu kwanza
@MaryWangu-m4p
@MaryWangu-m4p Жыл бұрын
Wamama wa kalegine wanapenda waume wao sana naye wanaume niwaingo sana nawanapenda wanawake sana mipango ya kando but ukipata kipsigis wanume sio wa mbaya sana
@deborahmoraamwangi8617
@deborahmoraamwangi8617 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@danielojala5029
@danielojala5029 Жыл бұрын
This guy is he-goat
@risperondiba7347
@risperondiba7347 Жыл бұрын
Watu wanalia ujumi himepanda na mwanaume wanakasana na mipango ya kado..mm ata sijui mbona watu wanalia ety maisha ni ngumu..wanaume munafaa kuwekwa kwa nyumba moja hiwekwe bili bili na hiwakishwe muto tuone kama mtapata hadapu..muaje mipango ya kado
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Жыл бұрын
Achana na hilojambaxi,litakufilic.Usilisamehe hill ni mbwa.
@FranciscaMutua-m2k
@FranciscaMutua-m2k Жыл бұрын
Achana na huyu gaidi atafuta sugarmummy amlee pamoja na mpango wake
@stellahokworo3947
@stellahokworo3947 Жыл бұрын
Chuma ni mkristu tena 😂😂😂😂waaaaah 😅😅
@HajisandereeSanderee
@HajisandereeSanderee Жыл бұрын
Hhhhhh
@mutheu5233
@mutheu5233 Жыл бұрын
Mbona hii inakaa prank,
@nellypheans2248
@nellypheans2248 Жыл бұрын
Aki shetani wewe😂
@DataMatchup365
@DataMatchup365 Жыл бұрын
huyu mwanaume ako na gold kwa nyumba
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 Жыл бұрын
Wanaume ni maubwa
@zohramariga6678
@zohramariga6678 Жыл бұрын
Mwaninifurahi shasana niwafatilia nikiwa 🇸🇦😂😂😂
@batresbatres3592
@batresbatres3592 Жыл бұрын
Kila kiu ni shetani
@CaroSimiyu-nv1xw
@CaroSimiyu-nv1xw 6 ай бұрын
Gid mtu Malaya dawa nikuajana naye
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Жыл бұрын
The guy is a thieve eeii mmm..the wife is humble woman.....I hope the guy is gonna behave
PATANISHO : MILLICENT - ATAFUTE  MWINGINE APEE MIMBA PIA  ARUKE
19:01
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 31 М.
PATANISHO : LAWRENCE - NILIMPIGA MKE WANGU YVONNE AKIWA MJA MZITO
22:10
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 25 М.
Одну кружечку 😂❤️
00:12
Денис Кукояка
Рет қаралды 1,3 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 79 МЛН
Sugarmummy alinipa raha, sasa ameniwacha najuta | Hali Ilivyo
19:57
PATANISHO : BENARD - NILIMSHUKU MKE WANGU IVY AKO NA MPANGO WA KANDO
22:05
Mbusii and Lion share their experience with Lipalikes
1:05
Lipalikes
Рет қаралды 10 М.
SIRI YA KUOA WAKE ZAIDI YA WAWILI KWA PAMOJA BILA MATATIZO
50:00
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 8 М.
LADIES, WHO IS HUSBAND MATERIAL? BY: ADHIS JOJO
12:24
Churchill Television
Рет қаралды 126 М.
The best patanisho ever
24:31
Mutwiwa Julius
Рет қаралды 363 М.
PATANISHO : ERIC - MAMA WA 32 YEARS ALITAKA UHUSIANO NA MIMI
20:25
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 21 М.
Asmr makeup game #youtubeshorts
0:37
Asmr Makeup
Рет қаралды 8 МЛН
Вот дает….
0:15
Сергей и Гульнара 🔥
Рет қаралды 2,7 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
0:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 33 МЛН