Rado - Usiulize Prod by Nick Dizzle

  Рет қаралды 98,191

RADO kiraka

RADO kiraka

Күн бұрын

USIULIZE

Пікірлер: 156
@EzraKatambi-g4b
@EzraKatambi-g4b 15 күн бұрын
Usiulize 2025 nasikilizà hili goma😘
@inviolathaathanas7989
@inviolathaathanas7989 2 жыл бұрын
Ebwana eeehhh. Hili biti haijawah tokea kabisa 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Oi ooi oi heshima SAAna, keep on ENJOYing iT... PaamojaSAAna
@jafarytzmuzicjafary-g3i
@jafarytzmuzicjafary-g3i Ай бұрын
Aaiseee hili beat nililitafuta sikujuaga kama bila Rado I preciate you bro👏🙀
@khalifasultan2677
@khalifasultan2677 5 ай бұрын
Nasikiliza Hili Banger September 2024✊🏾🔥🔥
@khairbinjumaa5545
@khairbinjumaa5545 Ай бұрын
Hiyo guitar riff ilinikaa akilini taingia ilipotoka hii ngoma. Wallahi namiss hizi siku kurekodi Top 10 ya redio 1
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumrudisha Rado!! Bro usiwaache wapumue. Tupia mawe kaka!! Mashabiki wako bado tupo!! New subscribers bro kutoka kwangu na shemeji yako!! All the way kutoka Botswana
@radokiraka6110
@radokiraka6110 Жыл бұрын
Oi ooi oi HESHIMA SAAna SAAna bLood, WENDELEEkuWEPO: PaaMOJA
@JohnFesto-rd8mz
@JohnFesto-rd8mz 20 күн бұрын
Ngoma yangu Bora ya mda wote ni hii, nakubali fundi Rado💯
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 2 жыл бұрын
Hii Ngoma miaka 100 naikubaliiii🔥
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Aamin Aamin bLood, na iweHIVYO
@blacksaturday2882
@blacksaturday2882 Ай бұрын
Nice one all the way from South Africa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@christophergeorge5490
@christophergeorge5490 2 жыл бұрын
Ngoma yangu Bora kabisa
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
🙌🙌🙌💪🏿💪🏿
@KhamisJumanne-q2l
@KhamisJumanne-q2l 2 ай бұрын
Nakubali respect mkuu heshima kwako
@NasabiMisses-qy6jd
@NasabiMisses-qy6jd 9 ай бұрын
haijawahi kuchuja hii ngoma bado sana cjui uko mitaa gan Rado
@dowgguerrila9503
@dowgguerrila9503 2 жыл бұрын
Mkongwe Rado kutoka Kino Heshima sana
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Kamanda Dowg, Heshima SAAna SAAna bLood
@rajlife3517
@rajlife3517 2 жыл бұрын
Happy to see you back the realiest one
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 22 күн бұрын
Ngoma kali sana
@khamisiomary-xt9su
@khamisiomary-xt9su 6 ай бұрын
hiii ngoma yamoto sana🔥🔥
@trevorkomba6015
@trevorkomba6015 3 ай бұрын
All time best!!!
@mosamossile9113
@mosamossile9113 2 жыл бұрын
I'm watching from South Africa 🇿🇦Cape Town, RADO MUSICIAN FRM 🇹🇿 USIULIZE
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
ooi ooi ooi NYUMBANIpia huko, HESHIMA SAAna kwako. #USIULIZE! #ChemChemSAAnaWANA!!...
@mosamossile9113
@mosamossile9113 2 жыл бұрын
@@radokiraka6110 Salute I'm happy to see u ma brother, So now work after work Tulikuitaji sanaaa
@watunzamisingi2016
@watunzamisingi2016 2 жыл бұрын
HUA HAUTUCHEKI HATA KWA UCHESHI ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
HUWA HATUCHEKI! #USIULIZE!
@nassoromelele7339
@nassoromelele7339 2 ай бұрын
BEST DISS TRACK ✌️🔥
@betasolution9
@betasolution9 3 ай бұрын
Bonge la goma ❤
@samsonshile8299
@samsonshile8299 3 ай бұрын
"Jivike vyeo vyote hata cha u field marshall vitani, utabainika tu siku yako iko njiani"🤣🤣🤣
@StanleyMgasi-v1g
@StanleyMgasi-v1g 11 ай бұрын
Ngoma Kali ila mbona hujawahi toa nyingine!
@samirmswahili
@samirmswahili 6 ай бұрын
Rado kiumbe 2024 nipo hapa nakula madini🐐
@Hadija-mw1wd
@Hadija-mw1wd 3 ай бұрын
Nimeitafuta sana kitu dahh..usiulize
@edwinrobert3507
@edwinrobert3507 11 ай бұрын
Haitokaa Ichuje hii ngoma asee 2024 and still a banger
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Aamin Aamin, haipingwi hiyo Ed... ChemChem SAAna SAAna naWANA
@edwinrobert3507
@edwinrobert3507 11 ай бұрын
@@radokiraka6110 Sana Tuu mzee 100%
@dizzonofficial2600
@dizzonofficial2600 5 ай бұрын
Radooo asante young killer 2024 nko apa baada ya ku post
@jomiAfrica
@jomiAfrica 2 жыл бұрын
Anzisha challenge kwa hili beat
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
Kwelii... ChemChemSAAna naWANA
@radokiraka6110
@radokiraka6110 6 ай бұрын
0742975817 ChemChem
@andreangoda2244
@andreangoda2244 4 ай бұрын
Hil goma MR RADO lifanyie namna bas manake bado lko 🔥🔥
@apti-vp2lu
@apti-vp2lu 8 ай бұрын
Nimetafuta hili beat kwa muda Sana cku jua kumbe ni ya @ RADO
@dicksonmhalila4574
@dicksonmhalila4574 4 ай бұрын
Oya Mi miaka na miaka ndo nakuja kupata leo😂
@yedwinjj
@yedwinjj 4 ай бұрын
Wewe ni mtoto wa 2000 nine mzee😂😂hii ngoma hujui ni ya Rado?
@josephkapinga1788
@josephkapinga1788 3 ай бұрын
Dah we kama mm😂😂😂😂😂
@RamadhaniAthuman-i6p
@RamadhaniAthuman-i6p 27 күн бұрын
We utakuwa siyo wa 90s mwenzetu
@erickmoses7430
@erickmoses7430 16 күн бұрын
Basi hakuna kitu unajua
@CHIEF_WA_BUJONDE
@CHIEF_WA_BUJONDE 6 күн бұрын
tbt achiji kakka
@paterandrea2146
@paterandrea2146 5 ай бұрын
Kitambo sana kuna rafiki yangu anaitwa madenge alikuwa ameishika nyimbo nzima tukiwa kota za police mbeya sinde ❤❤ brother
@EnockAbraham-h3n
@EnockAbraham-h3n 4 ай бұрын
Makini sana
@SykesTAbraham
@SykesTAbraham 3 ай бұрын
Mgagaana upwa hua hali wali mkavu! Kiraka Radoooo✊
@bakwine
@bakwine 2 жыл бұрын
Chem chem Sana USO
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Oi ooi oi ChemChem naWANA SAAna SAAna
@RidhiwaniMrisho
@RidhiwaniMrisho 7 ай бұрын
Huyo ndio kiraka kama kiraka king of rock city
@KhalidVova-f2t
@KhalidVova-f2t 5 ай бұрын
Hii ngoma tunairudia kila wakati kukomenti na kuielezea sabab moja ya nyimbo zilizokuwa na ufanisi mkubwa kuanzia beat mipaka michano sisi watu wa mwanza tuna vingi vya kujivunia moja wapo ni hii nyimbo yet ya taifa kuanzia mitaa kwa mbita Mkanyenye Uhuru Rufiji Mviringo Liberty Karuta Rwagasore Lumumba...sea more....
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 10 ай бұрын
Dah! kitambo hiyo🔥🔥🔥
@almostcomic
@almostcomic 29 күн бұрын
hii ngumu nyeusi sana. Will live forever
@radokiraka6110
@radokiraka6110 29 күн бұрын
@@almostcomic Aamin Aamin bLood shukran SAAna... ChemCheeeem ChemCheeeem
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 5 ай бұрын
Bonge moja la ngoma , it's one of my favourite songs.Nilikuwa nausikiliza sana enzi nikiwa teenage mpka sasa mtu mzima bado ninao kwa playlist yangu.🎉 Rado,salute sana kwako.Rudi kwenye game utupe mistari tena,tunamiss vitu vyako. August,2024.
@superhemed7590
@superhemed7590 5 ай бұрын
Bigup rado🎉🎉🎉 home boy migomigo
@Mc_Chabala
@Mc_Chabala 5 ай бұрын
Vitasa
@ChorojuniorChoro-i1c
@ChorojuniorChoro-i1c 4 ай бұрын
Mi hata kwa ucheshi huwa sicheki daah huyu jamaa hatari sana kweli kitambo ndiyo kulikuwa na hip pop
@XasanAxmad-wc5hp
@XasanAxmad-wc5hp 2 ай бұрын
Addicted to pain❤
@WaheedHamad-d5g
@WaheedHamad-d5g 10 ай бұрын
Respect sna mzee hii beat hua naiskiliza sna kwenye vitasa yani wanapenda sana kuiweka kipindi wanaingia mabondia😂😂😂😂hivo bc nikawauliza wana hii ni nyimbo gani wanacheka sna halafu wananambia hio nyimbo ww hujazaliwa huyo ni mnyama rado kipindi hiko wako moto na fid q😂😂😂salute sna lkn hili bit halitoki mdomoni mwangu
@AbdallaSuleiman-n7x
@AbdallaSuleiman-n7x 6 ай бұрын
Hiii biti... Nmezaliwa 2004 ila naipenda hii beat na sijui kaimba nan leo ndo nimeibamba
@HamisiMlanda
@HamisiMlanda 2 ай бұрын
Hakika nyimbo zazama zinathamani zaidi ya fulusi
@GodyKaywanga
@GodyKaywanga 3 ай бұрын
Bit imeshiba saan
@kayitarekkboy1225
@kayitarekkboy1225 4 ай бұрын
Radooooo
@RidhiwaniMrisho
@RidhiwaniMrisho 7 ай бұрын
Ngosha alizingua sana kuiba baadhi ya mistari ya huyu mwamba ila msamehe tu respect man
@ibrabazo6318
@ibrabazo6318 11 ай бұрын
Sijawai ichoka hii ngoma
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
Shukran SAAna SAAna, ni yaKWAKO DAiMa
@augustinoyumba1265
@augustinoyumba1265 9 ай бұрын
Huyu jamaa ni kuma namkubali kinoma
@clemencethomas1308
@clemencethomas1308 7 ай бұрын
Ngoma bado kama limetoka jana.
@skywalker_Eddy
@skywalker_Eddy 7 ай бұрын
Kwembe finest the only rapper with Sauti ya mamlaka
@NtemiJoseph-v6u
@NtemiJoseph-v6u 18 күн бұрын
Hii ngoma itaishi milele
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 күн бұрын
Aamin Aamin bLood tuDUMUkuMUDU kwaMUDAwaDAMU MKUU KIONGOZI MBELE NJIAyetu
@emmanuelmasele4990
@emmanuelmasele4990 3 ай бұрын
sema ii beat
@JacobNanjalau
@JacobNanjalau 8 ай бұрын
Respect sn mzee
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 2 жыл бұрын
Much Respect kiraka zile enzi
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
ooi ooi ooi naWANA naWANA SAAna mTAMADUNI; ChemChemSAAna
@IreneSuccess-u1n
@IreneSuccess-u1n 3 ай бұрын
Pide we noma mpaka Ngoma ya uyu mkaka unayo
@cyrus1014
@cyrus1014 10 ай бұрын
jivike vyeo vyote hata cha u field martial vitani❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥❤‍🔥
@robbywingle3323
@robbywingle3323 8 ай бұрын
Rado only one
@miltonmugisha1805
@miltonmugisha1805 6 ай бұрын
Ila enzi hii kitu imetoka ilistua nchi acha kabisa maana alitikiswa aliyekua bingwa
@shaidigital_tz
@shaidigital_tz 3 ай бұрын
Usiulize bora ya muda wote, Rado tumekumiss Shabiki zako
@radokiraka6110
@radokiraka6110 3 ай бұрын
@@shaidigital_tz Aamin Aamin heshima SAAna kusikia, shukran kwa MKUU. 23NDELEE kuWEPO PaaMoja,kunaYAJAYO PaanapoMAJAARIWA. ChemCheeeem ChemCheeeem SAAna SAAna naWANA
@KasimuMbaruku
@KasimuMbaruku 5 ай бұрын
Huyo ni baucha recordy kwa Nick dizzle Siyo majaniiii
@acklandkitaa566
@acklandkitaa566 4 ай бұрын
Ngoma kal dunia
@johnrichard5482
@johnrichard5482 6 ай бұрын
I remember those days when this song was on 🔥 Biti lilikuwa Kali, Mistari Mikali na Li Video lilikuwa ni Next Levels SALUTE TO YOU #RADO_KIRAKA #Chemchem 🙌🙌🙌🙌
@mkambora
@mkambora 3 ай бұрын
Gone are the days
@KirangaHouston
@KirangaHouston 2 жыл бұрын
Ngoma hii..kitambo sana.. Respect🙏🙏 #KikiHouston
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
ni kwelii kabisa SHUKRAN kwa MKUU
@diti4899
@diti4899 2 жыл бұрын
Back again bro. Kiraka
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
Aamin Aamin SHUKRAN SAAna SAAna bLood ChemChem
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 6 ай бұрын
Chem chem
@Bk_melodyTz
@Bk_melodyTz 5 ай бұрын
🎉 hii beat Kila siku zinavyo zid kwenda inakuwa qari as new
@mariamisack_hardcore2010
@mariamisack_hardcore2010 6 ай бұрын
My all time favourite song🎉❤❤#2024
@jomiAfrica
@jomiAfrica 2 жыл бұрын
Home boy
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 жыл бұрын
Home boy
@JOFREYAGALA
@JOFREYAGALA 4 ай бұрын
Ninoma
@radokiraka6110
@radokiraka6110 4 ай бұрын
2024 TUSISAHAU IBADA 🙏⚖️ NAWAPENDA WOOTE WANANGU.🖤 #2ND3LEEkuWEPO:PaaMOJA kama... ⏳⏳⏳👏🏾👏🏾👏🏾
@juma6483
@juma6483 6 ай бұрын
Moto
@allymbwilo8393
@allymbwilo8393 6 ай бұрын
Till 2024
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 5 ай бұрын
Yakimbele hii
@TwalibuMussa-i3m
@TwalibuMussa-i3m 8 ай бұрын
Softer songs kikulacho akipo mbali😂mbae anamkubali raba uyu adondoshe like yake mike ananitosha kuipa dawa jamii 😂😂
@MichaelNyamanga-kx3ol
@MichaelNyamanga-kx3ol 6 ай бұрын
Respect rado
@JamesMatolo-ye2fd
@JamesMatolo-ye2fd 6 ай бұрын
Finest beat ever
@SarahHabib-g1l
@SarahHabib-g1l Ай бұрын
Nimeiyota hii nyimbo leo mbka nimeidanlodi
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 күн бұрын
Oouhh... aLL the BLESSings... PaaMOJA SAAna SAAna
@allyshamim1
@allyshamim1 3 ай бұрын
Mtu aiadd spotify jamanii
@radokiraka6110
@radokiraka6110 2 ай бұрын
Soon Soon 🙏💪🏿💯
@muddylikwena128
@muddylikwena128 6 ай бұрын
Ukiacha hit em up inayofuata hii usiulize naongelea diss track
@kyannickk2be
@kyannickk2be 7 ай бұрын
Real HipHop
@YusufYusuf-s2q
@YusufYusuf-s2q Ай бұрын
Hakika
@ZawadielyJoseph
@ZawadielyJoseph 6 ай бұрын
Dah kitambo sana huu wimbo umenifanya nifike hapa nilipo, Pumzika kwa aman Msela
@mlongolafrank930
@mlongolafrank930 6 ай бұрын
Kwan amefariki?mbona umeandika pumzka kwa amani?
@josephk90
@josephk90 6 ай бұрын
Itakuwa hamjui Rado huyu😂​@@mlongolafrank930
@Dukeduncan010
@Dukeduncan010 6 ай бұрын
@@mlongolafrank930amechanganya huyu
@TariqViwalo
@TariqViwalo 5 ай бұрын
Jamn mbn km kun verse zinfanan n za fid q wimbo w mwanza mwanza
@anny19988
@anny19988 5 ай бұрын
Rado anadai aliibiwa na Fid Q hii nyimbo
@abdulrahmanmaiga9386
@abdulrahmanmaiga9386 4 ай бұрын
Alikuwa ana dis fid q
@winfridambilinyi3687
@winfridambilinyi3687 Жыл бұрын
🔥
@radokiraka6110
@radokiraka6110 11 ай бұрын
🙏💪🏿
@richardmasebo6172
@richardmasebo6172 5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@momamishevevo8460
@momamishevevo8460 6 ай бұрын
Heshima
@MagiriConshaz
@MagiriConshaz 6 ай бұрын
August 2024 leo
@johnsonayo
@johnsonayo 8 ай бұрын
June 2024
@SultanAlly-s4g
@SultanAlly-s4g 5 ай бұрын
BEAT MEN🫡💫
@MichaelJohn-lb6uu
@MichaelJohn-lb6uu 5 ай бұрын
2024 tujuane
@stevekayuwi505
@stevekayuwi505 11 ай бұрын
M k steve from tunduma
@radokiraka6110
@radokiraka6110 10 ай бұрын
SALAam SALAam Mc
@radokiraka6110
@radokiraka6110 7 ай бұрын
0742975817 Oi ooi tuchek humo Mzee
@franknigeria9957
@franknigeria9957 7 ай бұрын
Mwambie toshi anitafute mimi stella
@radokiraka6110
@radokiraka6110 7 ай бұрын
Oi ooi 0742975817
@radokiraka6110
@radokiraka6110 7 ай бұрын
0744501618 Tosh
@abassmchonjo6635
@abassmchonjo6635 11 күн бұрын
2025 usiulize
@FarajiJackson
@FarajiJackson 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ZeeLaMidosho
@ZeeLaMidosho 8 ай бұрын
Radoo
@bornkilla6173
@bornkilla6173 8 ай бұрын
2024 🔥
@okenneth187um
@okenneth187um 2 ай бұрын
Still Here Haters
Ngoma itambae-chid benz  dir : by hassan Kundamayi
5:02
Hassan Kundamayi bin Tambwe
Рет қаралды 1,3 МЛН
Mtazamo (feat. Solo Thang + Prof. Jay)
4:27
Release - Topic
Рет қаралды 70 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
Непосредственно Каха: сумка
0:53
К-Media
Рет қаралды 12 МЛН
ViCii Were x DXTINY_Uncle Pele
2:52
ViCii Were
Рет қаралды 60
Hawatuwezi (feat. Enika)
4:54
Nako2Nakotz
Рет қаралды 351 М.
roho saba - nakupenda hiphop.flv
4:48
kaloka64
Рет қаралды 354 М.
RADO MIMI NA FID Q BADO HATUJA YAMALIZA ALINIIBIA VESI YANGU
5:50
D Knob - Bad Man
4:10
mitaanimostwanted
Рет қаралды 218 М.
Dar mpaka  moro (wanaume family
4:18
mpangala
Рет қаралды 689 М.
Geez mabovu   Mtoto wa Kiume
4:15
Ngomanagwa
Рет қаралды 426 М.
Young Killer Msodoki & Stamina ft Quick Rocker- Jana na Leo
4:56
Legendary Music-Tanzania
Рет қаралды 1,1 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН