Maana halisi ya msanii wa HipHop 2024 March weka like apa🙌🙌
@Jackjuneart_tz Жыл бұрын
Hii ngoma kali hadi leo 2024
@shabaninjaidi1490 Жыл бұрын
Mliokuja isikiliza 2023 kwenda 2024 tujuane
@MSNMSN4842 жыл бұрын
Kama bado unasikilizaga hii ngoma gonga like hapo nyimbo Kali had Leo daaah ❤️❤️
@rajabumustapha46732 жыл бұрын
Hiingoma haitachuja milele
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Dah, tulikuwa na wasanii wakali sana zamani.
@HaidariHamis8 ай бұрын
Tunao angalia ngoma Kali 2024 tujuane
@alonerider71645 ай бұрын
Here we goooooooooooo
@KelvinDaudi-z5i4 ай бұрын
Usiogope mwamba dj kelvin toka mbeya kanvo mafiyati dgu
@Feisal-l3rАй бұрын
Huu ndio mziki sasa ❤ hip hop
@BushBaby-x1d3 ай бұрын
Nimeona kwenye status ya mtu leo whatsapp aisee ilikua bomba sana huyu jamaa najuta sijawahi kumfahamu...ana flow aa sauti kalinya hiphop...kama afande sele sio afande kama balozi sio balozi...aisee mziki mtamu kinyama...GONGA LIKE KAMA UMEKUJA KUCHEKI 2024/25
@JomoKilawe2 ай бұрын
🚴🚴
@zakariavicent2932 жыл бұрын
Hatari sana broth toka uende jeshini ndio basi tena
@MtuyaDitho6 ай бұрын
😢
@Ancy_Conscious_Tz10 ай бұрын
2024 Anyone😂?
@mamilafx122510 ай бұрын
🤣🙌🙌
@EddyEddyson-m6f7 ай бұрын
Here
@KarimMusir6 ай бұрын
Tupo apaa
@yusuphkacc6232 Жыл бұрын
STILL2023 IS MY FAVORITE SONG!? ROHO SABA 🎉WHAT KIND OF MUSIC 🎶 IS IT 🇧🇴🍁
@puritywakabamosi5800 Жыл бұрын
2023 November na still tunasikiliza Mziki mzuri🙌🙌
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Kenyans mko wapi njooni muone Tz 🇹🇿 hip hop toka mwanzo tuko juu.
@frankkotte117 Жыл бұрын
Kenyans hatufiki hip hop ya bongo hawa jamaa wako talented ngoso ndo inawapiga chenga.
@brucardkomba6166 ай бұрын
@@frankkotte117Ngoso ni Nini bro sijapata io sheng
@GudilaAkaro5 ай бұрын
@@brucardkomba616 nadhani ni English
@AganzeChokolaКүн бұрын
Napenda iyi ngoma Sana zaidi
@jercojr32615 жыл бұрын
Nyimbo bora ya hip hop Karne ya 21 Respect sana OG#Roho 7
@ajuayelubano959511 ай бұрын
19.02.2024 huu wimbo bado nausikiliza
@thegrammar.86954 жыл бұрын
October 2020, still listening! this is hip hop!
@johnbauta79203 жыл бұрын
wanyonge tutatesa ahera duniani mabeki kibao kushinda inahita sara kila kitu wanavuta kwao kwa mabavu au mikwara 🙏 18 -8- 2021
@breymbasa3451 Жыл бұрын
Neno zito ankali
@zaitunmohamed39653 жыл бұрын
Dah bro we miss u popote ulipo hii ngoma naiskiza since day one nipo Uk
@sarahfungo2050 Жыл бұрын
Mwamba Ni soja sahv
@YohanaPetro-xv9tpАй бұрын
Ukija Bongo Naomba Uniletee Kaaphon Kdg przzzzzz
@edwinelias855412 күн бұрын
Wakiokosa msimamo huu mstari me ndio niliutunga Like zangu nipeni 😂
@mrburiburicomed70512 жыл бұрын
March 2022 stil listening this is hiphop
@SalvatoryEphraim-ny1vn9 ай бұрын
Daaaah inanikumbusha zaman san hili goma kama bdo unaliskiliza like yko
@RashidHamad-ro8sd10 ай бұрын
2024 ndo naskiza iyi ngoma
@deliriousgentleman7369 Жыл бұрын
Legendary, the era when the hip hop was conscious 🎉
@innocentsilivester97836 жыл бұрын
ni mojakati ya nyimbo zangu 100 zilizo andikwa vizuri na ghani zake zimezingatia taratibu za muziki wa hip hop hii ni moja wapo
@yusuphpilleboss21026 жыл бұрын
THANKS FOR THE BEAT "AMBA RECORDS"..THANKS FOR THE BEATS N CORUS "ROHO SABA"..BONGE LA NGOMA.
@athumanimtamatale Жыл бұрын
Kila chenye mwisho hakikosi mwanzo, Katikati kusiwachanganye mkasahau chanzo🙏🙏🙏27/6/2023
@bensonkariuki58435 ай бұрын
Mimi ndie niliandika hizi mistari nipe like
@CosmasJoseph-n4d3 ай бұрын
😂😂😂😂
@jumaalex7707 Жыл бұрын
2023 still on fire
@EzraKatambi-g4b19 сағат бұрын
2025 kijanja zaid ✍️
@benashery81422 жыл бұрын
Wimbo mkali sana ,beat kali Rip Roho 7 we still miss u
@kaningoacerp6264 Жыл бұрын
Huyu jamaa amevuta?!
@isapaul1685 Жыл бұрын
Huyu jamaa alifariki JAMANI naomba kupata taarifa
@frankmare1708 Жыл бұрын
@@kaningoacerp6264 yupo hai mwanajeshi
@frankmare1708 Жыл бұрын
@@isapaul1685 yupo hai
@roberttagaya9098 Жыл бұрын
Jwtz
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Wew ni watu muhim sana katika game yetu ya bongo fleva kaka kitambo nakuelewa sana
@MohbadAbdul3 ай бұрын
Dah Mwamba Sahiv Anatumikia Jesh La Wananchi Na Kachafuka kinyama mabegan Roho Saba
@abdallahmsomi27254 жыл бұрын
Dah since nipo O level, Advance, hii ngoma ya muda wote
@MarcinIgnasiak Жыл бұрын
👍greetings from Poland.& Bububu Zanzibar
@aloycechavala2537 Жыл бұрын
Mambo vipi kaka Poland mji gani, nipo hapa pia
@BhaiMwadidu6 жыл бұрын
2018 ngoma kaliii,its real hip hop👏👏👏
@danie93ashfat104 жыл бұрын
Amba was underrated producer
@Mbiwe13 жыл бұрын
yeah meen for all hip hop fans. full respect!!
@johnrichard54825 ай бұрын
I Love BONGO HIP HOP... #Roho7 🙌🙌🙌 now 2024 Still is on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@norbertlucas41445 жыл бұрын
Hakuna neno zuri zaid ya nakupenda Hip Hop..Respect OG Roho7
@michaelsanga17344 жыл бұрын
Jamani ngoma iko vizuri Sana ongeza nyingine
@KauganaMgoli3 ай бұрын
😮😮😮😮 hawa wasanii❤ wakukumbukwa sana heshima kwako RADO RESPECT🙏🙌🙏🙏
@romanikazimoto84786 жыл бұрын
🙌💪🔥 haiwez kuchuka Daima
@sportarena87179 ай бұрын
Roho 7 🙌🏾 kibongo bongo akun bado kama wew 🤟🏽
@mustafahnyamawimwatela26882 жыл бұрын
Inakumbusha zamani , na instrument n noma
@OmaryMnyumba9 ай бұрын
(we ni zaidi ya msako wa osama tulia nakupenda sana) we miss u my broo
@azizmuhsin28776 жыл бұрын
Kati ya ngoma kali za HipHop Bongo
@faustinwambura328 күн бұрын
Roho7 alikuwa Captain wa JWTZ. Nadhani sasa hivi atakuwa Major. True legend.
@oscarmdeee77542 жыл бұрын
2022 STILL MY BEST
@nancyhighmedia414 Жыл бұрын
Yupo makao makuu jamaa ni Afisa kwa sasa jeshini
@officialmutrahlg2484 Жыл бұрын
2023 still on fire 🔥
@mcfallenmacha96112 жыл бұрын
Its April 2022 today still listening to this hit
@emmanuelsimon345612 күн бұрын
The really meaning of hiphop comes with the message like that creativity of arranging the words
@alexkibiki12384 жыл бұрын
real hip hop ... Iringa stand up
@Mo_Blaze3 жыл бұрын
NOMA SANA . NOSTALGIA
@sixpezur74373 жыл бұрын
Nakupenda hip hop.... respect
@dublinisa.isayamwinuka96576 ай бұрын
Mwaka 2050 ujue sister tuli enjoy sana hip-hop, ndie mziki wa wanaharakati
@asanmuna2738 Жыл бұрын
iii ni hip hop kwa machizii wa mtaaaa,,,,,🇹🇿👊
@websterkinte827010 жыл бұрын
Kila chenye mwisho hakikosi chanzo,katikati pasiwachanganye mkasahau chanzo....Kunta...Kinte.
@zuberimkuba36745 жыл бұрын
Kunta kinte mnyama
@lucashenry24062 жыл бұрын
Kila cheny mwisho hskikosi chanzo, katkat pasiwachanganye mkasahau chanzo.the revolution will not be televized
@ShamWamilazo18 күн бұрын
Shaka zullu
@ahmedsuphian588211 жыл бұрын
u hv nyc songs bt where ur u!?? i mean in world of bongo flavour
@richardmichael75236 жыл бұрын
Roho Saba lives on
@jafafibashiri42463 жыл бұрын
Much respect bro.
@marungu_jnr Жыл бұрын
2023 still 🔥🔥🔥
@issahjuma-b5gАй бұрын
Ngoma Kali sana skuizi wanaimba matusitu
@selemansalum4 ай бұрын
Noma sn 🙏 oya bila 4,5 ingekuwa wapiiui
@ismailkara20784 жыл бұрын
I luv hip hop
@abeidmyovela2162 ай бұрын
Nakubali Xana kaka 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@hakihaki2154 Жыл бұрын
Cjuwi kwa nn hii NGOMA kila nikisikia MOYO wangu unauma Sana na ile Waite polisi zote kwangu maumivu
@danielmihanjo5472 Жыл бұрын
mwamba OG sana na knowledge ipo kichwani
@Chunja-m2gАй бұрын
Hiphop for life 2024💥💥
@samchris19145 ай бұрын
Semtema,,Tumaini my Hood🙏🏿💪🏾😁
@cammycamilius68562 жыл бұрын
Ngumu sana hii Itaishi sana masikioni mwangu
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Hii ngoma ni kali sana braza😂
@hummer4wheelz2835 ай бұрын
Achana na mabishoo wanakutongoza leo alafu wanakuacha keshoo...noma sana
@rich_wasparner92333 жыл бұрын
Hii Ni hip hop kwamachiz wote wa mtaaa .............................hii Ni hip hop .........kwawenye pesa na wenye njaa kama unaifeel say haa...................da ROHO7
@richardrobert22034 ай бұрын
Nakupenda hip hop hatar sana,, I was 24? Now am 36
@youngislah60482 жыл бұрын
Dah co pouwa 😍 hip hop
@mdubasilivester79673 жыл бұрын
Revolution ni sasa daahh kitambo goma hili nakubali roho saba
@adammbuba7230 Жыл бұрын
31october 2023, still listening
@RaiderTube7 ай бұрын
Amba alikua very talented
@MussaNdege-m4o26 күн бұрын
Cc ndo tumekula ngoma cyo vjana wa xx wanakula matuc tu
@PreviousSamende Жыл бұрын
Nafunga mwaka2023 na ngoma kali hip hop for life 🇿🇲
@nikolashalinga3628Ай бұрын
duah sana kila jambo lenu ujumbe sana
@khalidibero7 жыл бұрын
Roho 7 uko wapi bro..tunamis sauti yako kwenye ulimwengu wa bongo hip hop
@nickbrown79826 жыл бұрын
khalidi bero amekua soja
@MchopiSky-b5sАй бұрын
Nakbar sana mwamba poti
@emanuelmeshack81337 жыл бұрын
Am still watching 2017
@yohanampayo21822 жыл бұрын
Nakupenda Hiphop.
@ngomenyikani84752 жыл бұрын
2022 still on💥
@joptzurassa84386 ай бұрын
Vizuri kweli havidumu, na hiyo ni kanuni ya maisha. 😢 RIP Cowbama 🙏🏿
@mukakathejoker65042 ай бұрын
Hip hop ndio mziki......... Revolution sasa ni zaidi ya Black panthers
@JomoKilawe2 ай бұрын
2ko Pamoja 2024🚴🚴🚴 Hip Hop Is Live..
@isakeyokayombo53474 жыл бұрын
Nakupenda Sana hip-hop
@kaloymlambi80388 жыл бұрын
Hip hop ndo mziki
@samwelysimon569 Жыл бұрын
bonge la song kweny history ya history ya bongo hiphop i like the fact ilirecodiwa mkoani iringa bado ilisumbua chart kubwa all-over tz
@moh52253 жыл бұрын
best song ever
@dj26number22 жыл бұрын
2022 🔥🔥🔥🔥🔥🔥still listening.yupo wapi huyu?
@hoseahosea30912 жыл бұрын
Mwanajeshi afisa
@saidtembele3070 Жыл бұрын
Soldier, Captain wa Tpdf
@lulanjamd38864 ай бұрын
2024❤
@OmaryMnyumba8 ай бұрын
🔞chini ya hapo hawataelewa hiphop intaka nini (hongera sana broo)