Рет қаралды 183,180
⛲PUNGUZENI⛲
najua mtaniuliza maswali mengi kwa nini imekuwa
⛲PUNGUZENI⛲ tumeita punguzeni kwa sababu
Siku zote imani yako juu ya kitu unachokipenda ni kufanya kwa bidii ndio itakayokufanya ufike kweny malengo usiangalie mtazamo wa watu ila jiangalie mwenyewe na unachokipambania jiamini jithamini jali unachokifanya tambua kuwa malengo yako yanatimizwa na wewe mwenyewe pambania unapopataka ongeza bidii utafika amini wasichokiamini IPO siku wataamini ukiwaaminisha
Hivyo Ndugu zangu ⛲PUNGUZENI⛲vitu hivi katika maisha kukata tamaa,kusemana vibaya,kudharauliana na kusengenyana,kutukanana nk hivyo nikuombe kushare ujumbe huu ili uweze kuwafikia watu wengi zaidi
usisahau kusubscribe kucomment yotube channel yetu
Art by @mandaistudios