Hongera sana Dr Faraji Kasidi Kwa kuhaminiwa na raisi na kuteuliwa salsa sio assignment za wanafunzi tena Bali ni kuwatumikia wananchi hongera sana
@josephsaghana10566 жыл бұрын
Baba mwingi Mungu Aendelee kukulinda daima . Mungu ibariki Tanzania Mungu tubariki Watanzania.
@nyanda4276 жыл бұрын
Asante sana Mungu kwa zawadi hii
@farajiabasi24396 жыл бұрын
Hongera sana wajina,hongera Mh,Rais kwa kumuamini...
@lucasmwinuka38386 жыл бұрын
Ubarikiwe
@athumanomary14386 жыл бұрын
Asante san raisi wetu kwa kuwenderea kupanga safu ya uwongozi iri wakusaidie kuriongoza taifa retu la TANZANIA ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoz kumrinda kumsimamia na kuzidi kuimalisha afya yeke raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu tegemeo retu kwa raisi wetu kwako
@amaryahmedkusaka38416 жыл бұрын
kwa uzalendo nilio kuwa nao na nchi yangu hili tukio limenitoa machozi