Hongera sana Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, kazi zako zinaonekana
@Abdulshabani-nl8xkАй бұрын
Mashallah mama.upovizury tumekuelewa vizury Allah akupe afya
@fatimataidrissa-bangura202Ай бұрын
Shkamoo Mamaaa. Maashaallahu ! ! ! Maashaallahu ! ! ! Maashaallahu ! ! ! Thank you for Sharing with us part of G.20 Conference. BRAVO. ❤❤❤❤❤❤❤
@AbdilahiMririАй бұрын
Hongera sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa utendaji uliotukuka na ualikwaji wa mkutano wa wakuu wa G 20. Kweli kabisa hiyo ñdoto KUBWA.
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Tunakupenda Mama wanao nakutakia maisha malefu sana MUNGU akutunze nakuombea afya njema ❤
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Tunampenda mtu Ambae hatupendi ameshindwa kuleta katiba mpya
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
@@PhilipoMwita-b2x mama mbona anatupenda sana tupo Hulu tunatoka maon yetu ingekuwa zaman usingeweza hata kuandika haya
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
@kelvinmasungakilunguja7539 hata mzee ally kibao aliondoka safar kwenda Tanga akitoka dar lkn hakufika salama alitekwa mchana kweupe hadharani akauwawa... Deus soka aliitwa kwamba njoo polisi pikipik Yako iliyoibiwa imepatikana alivyo kwenda hajarudi Hadi Leo.... katibu wa ccm alikua akijiandaa kwenda kwenye mkutano Dodoma lkn alipigwa risasi akauwawa Sativa alishinda salama mchana kutwa lkn usiku akatekwa akapelekwa Oster bey kituo Cha polisi akakutwa huko katavi akiwa hoi kwa kichapo Kama ww upo salama vp watanzania wenzako wanaofanyiwa unyama
@mzeke-r9hАй бұрын
Organic food ni ghali ulaya america canada wakulima wanaandamana huku kila siku,ila nawashauri kwenye swala la vyakula taifa kwanza halafu ndio tuangalie mataifa mengine kwa maslahi ya taifa,...........tupeni uhuru wa kuongea ili tulikuze taifa letu tuachane kuuana wenyewe kwa maslahi yetu.
@joasitz9559Ай бұрын
Fantastic mom you made it, this meeting is very great to Tanzanians as they get to find the achievements of your trips and and its future outcome to our lovely country, Tanzania.
@vincentvenance321Ай бұрын
Ole wa ataeichezea amani ya hii nchi,!Mama chapa kazi tunakuunga mkono asilimia mia na zaidi ! Very exceptional!
@Mussa-jd6nMussajd6nvАй бұрын
Kilimo, weka mifumo ya umwagiliaji, punguza utegemezi wa mvua. Elimu ijikite hasa kutambua asili yetu na mazingira yetu na kuyatumia vyema. Mfano shule za vipaji maalumu isiwe kwa wanadharia wazuri tu, bali na vipaji vingine kama michezo, uhandisi, biashara, sanaa n.k. Tutumie zaidi critical thinkers, badala ya machawa.
@benedictmrisho1800Ай бұрын
Afrika nayo iwe ni International Market ya bidhaa za Afrika international isibaki tu Ulaya na Marekani. Badala sisi tuwapelejee bidhaa nao waje wazitafute hapa Afrika. AU ikaanzishe International Markets Afrika.
@bharyasarbjit1187Ай бұрын
Tu shukuru sana sana Mungu tume pata Huyu Mhe Rais Samia ku endesha Nchi Yetu Tanzania kuna Matapeli wakubwa wengi wapo utaona wazuri lekini hujui ujinga zao. God bless Mama Samia so Appreciate her wonderful hard job done. Sarbjit Bharya.
@mathewpeter9504Ай бұрын
Mh Rais wetu mpendwa Hoyee!! Kazi iendelee
@OmaryHeri-c3hАй бұрын
NJIA PEKEE YA KUMALIZA TATIZO LA NISHATI SAFI NI GESI KUSHUKA BEI WALA SI VINGINEVYO
@FelixMkiniАй бұрын
Nasikia demokrasia nchini petu haileti taswira nzuri kwenye harakati za maendeleo ya nchi yetu,je huwezi kemea WANAOFANYA Hali hiyo ?
@AminaKondo-fe4lcАй бұрын
Mama yetu mpendwa Mama Samia Suluhu naomba uwasaidie wanao wanafunzi waliosoma Sudan Chuo kikuu na wamehitimu ila vyeti vyao hawajapewa kuna Madaktari na wengine naomba mama uwasaidie
@MohamedRashid-py7roАй бұрын
Kama viwanda vya mbolea aje Urusi tu nchini Tanzania sio Marekani atatupa mbolea ya sumu auze madawa yake
@MulandaKasongoАй бұрын
Ongera sana Mama kwa ufafanuzi wa Umaskini. Hata sasa Hapa Marekani Tuna uwingi ya watu hawana Hajira. Na hilo si kwa wageni tu bali hata kwa wazaliwa wa hapa. kampuni nyingi zimefunnga milango, Duka (soko), Daka za dawa(pharmacy) nk ..
@Ommybabaa47Ай бұрын
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
@georgemaziku6610Ай бұрын
Mama hapo umenifurahisha umeonhea mambo ya msingi sana maana kilimo ni jambo zuri kabisa Baba wa Taifa alisema kuwa kilimo ni uti wa mgongo
@neemaresourcefoundation8309Ай бұрын
Asante mama Mungu akuweke uone matunda Yako ufurahi na vitukuu
@NgasileiNdoroziАй бұрын
Hongera
@zakiaali4651Ай бұрын
Kwa kweli Rais Samia ni Raisi Anayejitambua sana. Amezidi kuineemasha Tanzania yote kwa jumla. MashaAllah Mungu amzidishie HEKMA aendelee kuiongoza Tanganyika na Zanzibar
@ShesheKaonekaАй бұрын
Mmmmm watu wana akili mfu, eti tundu awe rais itakuwa ongezeko la maajabu ya dunia.
@feiswalsalim2117Ай бұрын
aslm alykum mum jee sagari zako zote hara ziko iuu serilali onagusa mshara wako lwa liwago fulani dababu tagu luogoa owogpzini inasafiri sana
@MakameKhalidАй бұрын
Mungu azidi kukupa afya njema uzidi kututumikia
@elikarimugayewi3105Ай бұрын
Mama anajitahidi kujenga hoja, lakini sikubaliani naye anaposema demokrasia inategemea tafsiri ya mahali. Hapo anajaribu kuhalalisha jinsi anavyoiminya demokrasia ktk nchi yake
@JuliusKirangoАй бұрын
Mama hongera ila tunakuomba bei ya kujaza mitungi ishuke ili kila Mtu aweze kumudu
@RamadhanAthuman-d4cАй бұрын
Unazahabu na tanzaniti Sasa unashangaa nini wakati wanavuna kutoka kwako
@josephkija4766Ай бұрын
jamaan wananchi naombeni tumuunge mkono mama mpaka kieleweke tutaendelea na kuwa na maendeleo makubwa tusipoteze hii neema Rais samia tuliopewa na mungu
@CharlesMisungwi-f8tАй бұрын
Ila nchizamagharibi kwa Afrika viongozi lazimawawe makinisana kiuchumi hilibaraletu limeyumbishwasana kiuchumi kiuragaitu .suviinimacho vyauchumi nimuhimukuendeleana kutofungamana naupande wowote.
@abdallamohdhiyonineematush408Ай бұрын
Allah Akuwezeshe akulinde na hasad utuongoze Ukosawa
@feiswalsalim2117Ай бұрын
jee mheshowa raosi lujijoi jYwenty ni bei gani or ni bore bora ijieleze amaa ulonaviwago gani jioni j twenty
@arifnoorallyАй бұрын
Visionary leader
@stationerykinondoni7241Ай бұрын
Nimependa ulivyojibu swali la umaskini kwa ujumla umedadavua vizuri sana
@lusajomwaipopo5042Ай бұрын
Tanzania hakuna wakulima labda unaongelea kilomo cha kujikimu hz siasa zlikuwepo walianza na kilimo kwanza baadaye kimyaa
@nyumbanituthegendaheka7222Ай бұрын
Chefu Hangaya🎉
@khamistwalib2273Ай бұрын
Hongera sana Mh. Raisi kwa taarifa hii itazidi kutanua uelewa wa maana ya vikao unavyoshiriki.
@AbuuRamadhani-o7kАй бұрын
Wawawezeshe na kuwashawish matajir wa Tanzania wawekeze kwenye uchimbaji wa Gas
@georgemaziku6610Ай бұрын
Mama Samia mitano tena
@LucasAmosyАй бұрын
Tunashukuru mh rais mama yetu Samia suluhu Hassan tunaomba pia utupiganie sisi wakulima kwenye pembejeo za kilimo vitendea kazi vipungue bei ambazo n hizi trecka pamoja na power tilla ili tuweze kulima kwa urahisi ahsante
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
IRON LADY ❤
@StivinJusten-k1tАй бұрын
Mama ongerasana mimi nimaskini ira mungu akurinde akuweke kamamama
@feiswalsalim2117Ай бұрын
kuweka vowanda lwa ndan nchii kwa bei ya choni kusaodiwa walulima luboresha faida lwa walulima
@SimonShoo-m4bАй бұрын
Apo kwenye umaskini umesema vema kabisa Rais wetu
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Mama nikumbuke mwanao pia mtaj wa biashara na mm ntafanya kazi Kwa juhusi kubwa ntasaidia wengne amina
@Jackson-n2cАй бұрын
😂 Hana huo moyo... Pambana na hali yako
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
@Jackson-n2c mama hanauluma Kwa taifa lake ajapata tu ujumbe wangu SKU akiuona au wasaidiz wake watamfikishia yupo bize kuijenga Tanzaniampya tumuunge mkono
@kelvinmasungakilunguja7539Ай бұрын
Mama apumziki na kaz zakujenga taifa Leo uku kesho uku Kwa kweli anahitaj pongez sana
@AbuuRamadhani-o7kАй бұрын
Tunahitaji hospital ya kanda ya kaskazin ijengwe ARUSHA na SGR ifike ARUSHA
@zobakazizi7637Ай бұрын
Hoja ya Gas ni ya kinafiki. Wanataka tuendelee kuwa maskini....
@mzeke-r9hАй бұрын
Matumizi ya gesi si inatoka kwetu basi iwe rahisi kwa matumizi ya wananchi kuliko kuwanufaisha wawekezaji wa kigeni kwa short term kuna matajiri kibao wapo na wazalendo kwa maslahi ya wananchi.
@alialamoudi9729Ай бұрын
Asante Rais Samia nchi yak0 ni Tajiri kwa uwezo wa Mungu lakini riziki lazima uitafute uweke sababu badaye Mungu anakusaidia hongera kwa huyo raisi ni mtu wa watu kweli mungu akupe alfrdaus Jana ya akhera ni bora kuliko hi Dunia
@FrankMashauri-t4tАй бұрын
Hizi comment zote no AI hakuna ukwel wwt ch msng yangu macho ila basi tu sina mwanasheria
@benedictmrisho1800Ай бұрын
RIP Mkapa nae aliwahi kukanusha kipimo cha umaskini. Aliuliza Mfugaji mwenye ng'ombe 300 na mbuzi 100 unamwitaje maskini? Je taifa la watu zaidi ya 60mil wanakula na kulala hawafi njaa utaliitaje maskini? Kipimo cha umaskini kitazamwe upya.
@mrmars266Ай бұрын
Watu wa IT mtuwezeshe inchi tupate sifa zaidi sasa
@catherinecostantino2034Ай бұрын
Hongera sanaaa mama ❤❤❤
@MakameKhalidАй бұрын
Huyu mama kwangu hana baya
@PiusAloyce-kr7ukАй бұрын
Baada ya kuongelea jinsi ya kuajiri watu jaman
@am2323tzeАй бұрын
Mhesimiwa hapo umesema. Agricultural mechanization is critical point to work on it. Imagine how much fertile land Tanzania has? Land use vile vile ishughulikiwe. Ardhi inatumika vibaya. Ziwa victoria halijatumiwa ipasavyo. Kama ziwa Victoria liko juu inakuwa rahisi kisambaza maji hata nchi nzima bila ya pump
@feiswalsalim2117Ай бұрын
mum sagaro zalo xilluwaingi kwavyp usjaguswa lwasjajara wako angalao kidogo ndio sjeriapya lutegewa kwa waluu wa serikali kujuima kudonet lwa nauli ua isaforo lwakilwxo ndip lutaluwa hakuna safari zisizoluwa mimpagp sahohi
@hermanmarunda8094Ай бұрын
Uwongo huoo
@feiswalsalim2117Ай бұрын
hatuna jatuna kee kinachp tusaodoa ni o aaYz nini
@ShesheKaonekaАй бұрын
Wewe josephmkinga acha ujinga wako acha kutumia akili za watu tumia akili yako mwenyewe kwenye kufikiria.
@KilonzoJohn-mg7cwАй бұрын
Unazungumza kuondoa njaa tuambie mbona wewe na serekali Yako na ccm Yako mnavuruga uchanguzi
@drewbulbuloglu9234Ай бұрын
Kwenye safari
@SmilingFlowerBouquet-hs2hvАй бұрын
MUNGU anahuluma sana kwa watu wake
@ShesheKaonekaАй бұрын
Mr tngwale, plse think before talk!!!
@eliaplumber3700Ай бұрын
Majibu ya maono yako yanakuja kunemeesha taifa letu sio mda utawaziba midomo wanaokusema Vibaya mungu akulinde mama taifa letu lipo mikoni Salama 👏👏 Mtukumbuke kwenye kadi za chama za elections mwakani mama atachukua zote
@josephkija4766Ай бұрын
mama tunakuchagua mpaka uchoke wewe kuongoaza kura yangu umepata ya 2025-30 na kuendelea ccm oyeeeew
@josephkija4766Ай бұрын
Rais wangu mungu akurinde sana sana
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Huyu mama kusema ukweli wa mungu hana uwezo tunahitaji mtu kama magufuli au tundu lissu watu majasiri
@hemedrashid2921Ай бұрын
uwezooo wa rohoo ya kibaguzii ifute kichwani kwako unadhani tutarudi enzi za manyanyasoo na ujngaa futaaa hatutarudii tenaaa enzi ya mwariiiiim haipo kanyee uleee😂😂😂😂
@ellamsakafu60Ай бұрын
Wacha chuki na wivu wa kike. Kwani Mhe SSH kipi kilichomshinda hadi sasa? 1. Bwawa la Mwl. Nyerere lilikuwa chini ya 37% na sasa limekwisha, 2. SGR Dar - Moro lilikuwa 70% na sasa imekwisha, 3. SGR Moro - Dodoma lilikuwa chini ya 50% na sasa imekwisha, 4. SGR Isaka - Mwanza ilikuwa chini ya 10% na sasa karibu kuimaliza, 5. SGR Dodoma - Tabora - Isaka, Tabora - Kigoma na Uvinza - Msongati hadi Burundi hazikuwepo na sasa zinajengwa kwa kasi, 6. Daraja la Kigongo - Busisi limekwisha, 7. Mradi wa LNG Lindi upo hatua za mwisho kusainiwa, nk nk sasa mbona amefanikiwa kiasi kikubwa sana? Wacha chuki ndugu🎉🎉🎉
@lilotz-we7xqАй бұрын
Bwege wee
@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608Ай бұрын
wafuate huko walipo
@benedictmrisho1800Ай бұрын
Bei ya nishati majumbani ndio shida. Nishati majumbani ni hitaji muhimu( necicssty ) sio luxury. Pengine home energy special tariffs ni muhimu ili matamanio yako Mh Rais yatimizwe. Kama ulivyoazimia kumtua mwanamke ndoo ya maji basi na kumponya mwanamke macho kutokana na moshi wa kuni na kuokoa mazingira iwe kauli mbiu ya ilani 2025.
@josephmkinga9509Ай бұрын
TURUDISHIE BANDARI YETU MARAIS WOTE HAWAKUIUZA KWA NINI WEWE NA MBONA WAALABU ETY UMEWAPA NGORONGORO
@raphaelkessy7360Ай бұрын
Acha ujinga 🇹🇿Bandari haiku uzwa
@josephmkinga9509Ай бұрын
@raphaelkessy7360 uelewa wako mdogo kenge wewe mjinga ni wewe
@pontianrweyongeza6240Ай бұрын
MH raisi ninakuombea kwa Mora AKUPE nguvu uchape kazi vizuri
@yusuphhassan9619Ай бұрын
Mpinga kristo (masih dajjal)mnamjua?!
@abdallahathuman9493Ай бұрын
Nakupenda mama
@drewbulbuloglu9234Ай бұрын
the reports are saying so
@RmoShamte-h9fАй бұрын
chukua tu 🎉🎉🎉 yako
@abdallahathuman9493Ай бұрын
Mama rushoto mngwashi bumburi watabuh mama
@TNgwale-eu3xlАй бұрын
Too much talking less actions 😂😂😂
@iddrashid7054Ай бұрын
Mawazo yako ni muhimu ni vizuri uka ainisha maeneo ambayo no action na utoe ushauri labda afya,elimu,kilimo,umeme au miundombinu ili uonekane unajua unachokiongea.
@Nadir_AbdullahАй бұрын
Mama wa taifa🤍🤍🤍🤍
@MohamedIbrahim-bn1gzАй бұрын
Kazi iendelee
@abuuuyaynah8801Ай бұрын
Kumbe wamasai wahavai bukta
@faustinebahenobi3412Ай бұрын
Lasilimali za watanganyika zinauzwa wajinga wanampigia makofi kweli tutafika tumechoka
Uko sahihi gesi yetu imeuzwa hii tunayouziwa yote inatoka urus na iran kidogo
@nitumesokoni3164Ай бұрын
Umesema vyema mama hasa kuhusu tafsiri ya Umaskini na Ujinga. Ni kama ambavyo nchi za Afrika ikiwemo Tanzania zinawekwa kwenye orodha ya chini ya nchi zenye furaha duniani na wakati huohuo Tanzania ndo inaongoza kwenye Utalii. Wazungu wanawezaje kupigana vikumbo kuja kufurahia utalii wa taifa ambalo halina furaha duniani? Hapo ndo unagundua kumbe hata tafsiri ya furaha inatofautiana. Haiwezekani mgeni uje kufurahia fukwe na tamaduni za Zanzibar kisha useme wenyeji hawana furaha. Wapo wanaodhani kujenga ghorofa ndio kigezo cha mafanikio katika ujenzi, kumbe wenzetu wanafanya hivyo kwa sababu vitaifa vyao ni vidogo kijiografia na wanaongezeka kwa kasi hivyo kulazimika kujenga nyumba kuelekea juu (ghorofa), ila wakija umasaini na kuona nyumba za tembe wanahisi mmasai ni maskini kumbe ni utamaduni tu.