RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA BARABARA YA SUMBAWANGA - MATAI - KASANGA

  Рет қаралды 5,171

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Barabara ya Sumbawanga Matai Kasanga ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.

Пікірлер: 11
@Saki930
@Saki930 Ай бұрын
Hongera kwa Mh.Rais kwa kuendelea kuijenga nchi yetu
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 Ай бұрын
Kazi iendelee lets the work continue 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅
@JacksonMtese-gn4so
@JacksonMtese-gn4so Ай бұрын
Hongera a country on a move
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 Ай бұрын
Kama Taifa tuwe na maono ya muda mrefu, hii barabara Bado haina hadhi ya kuzinduliwa na Raisi . Ni kauchochoro traffic lights hamna
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Ай бұрын
Hii barabara yenyewe mbona inaonekana haina ubora sina uhakika hata kama itafika hata miaka miwili haijahitajia ukarababu wanaohusika waangalie kama hakukuwa na ubadhirifu hapo kwa wasimamizi.
@EvaMwangunule
@EvaMwangunule Ай бұрын
Angekuwepo jpm angewadabisha wote wariohusika kukubari utumbo huhu warosimamia ujenzi wakindiga uchafu tuuu😂😂😂😂😂😂😂
@Ammarah0688
@Ammarah0688 Ай бұрын
Hazeeki bi mkubwa
@user-hq5we6xm5u
@user-hq5we6xm5u Ай бұрын
Mama chapa kazi ilii Tanzania ijulikane kiulimwengu edereza Mazuri ya mtagulizi wako mzee jpm hapa kazi tuu bruedoza ni Mimi juma toka mbarara Uganda mtanzania harisii mama nakunga mkono
@Ammarah0688
@Ammarah0688 Ай бұрын
Mbona mama anakua mweupe kwan anapiga kitaulo 🤣
@astrinomgesi-np5xv
@astrinomgesi-np5xv Ай бұрын
Ongea juu ya mahindi kuporomoka mbunge
@issaidrisamusa5962
@issaidrisamusa5962 Ай бұрын
Mahindi kuporomoka mtazamo wako ni upi maana mwaka jana tukipiga kelele chakula bei juu.
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 20 М.
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 162 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,1 МЛН
👨‍🔧📐
00:43
Kan Andrey
Рет қаралды 10 МЛН
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 162 МЛН