RAIS MWINYI AOZESHA BINTI YAKE❤🤝 #harusi #raismwinyi #wedding #zanzibar
Пікірлер: 14
@Noorein-ws8wkАй бұрын
Alhamdulillah kwa kukamilisha dini Allah awahifadhi, Yaa Rabb wajaalie na vijana wengine wapate wepesi kukamilisha dini,Ameen yaa Rabb Al 'alamiin.
@Catherine-mh8swАй бұрын
Amiin
@salmanassor8732Ай бұрын
Mashallah ❤
@nyerere1259Ай бұрын
TUTAFTE HELA NDOA ZA KIISLAM SIO LAZIMA MKAE CHINI
@user-ub4hd5so3eАй бұрын
😂😂😂duh,jaman hya
@samiraabdimahamed4449Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@shasumsindo2486Ай бұрын
😂😂😂
@SamiraameirSamira-qt9yn26 күн бұрын
Namuona kijana watamama apo kutoka mardhia online tv
@faudhiasalum7279Ай бұрын
Watu wenye pesa zao 💃💃🤭
@dullamuwise4802Ай бұрын
uyo bwana harusi n Ex wako nn 😂
@hatibbaraka3956Ай бұрын
Uhakika Paka wa Biti Khatib huwezi kufika hapa,kuna rafiki yangu aliwahi kuwa na mwanamke kutoka familia ya Wahindi hawa wa Zanzibar walipogundua wazee mwanamke wamemhamisha na kijana wakataka kumfunga hadi kahamia Dar kwa kukimbia asijekufungwa maana alimtorosha huyo binti.
@dullamuwise4802Ай бұрын
Wakenya mko wapi 🇰🇪
@doctorparasinokashuma6449Ай бұрын
Alie muoa ni nani mbona kama kuna maazimisho kua asie ngia katika hatua hiii inamaana huyo so mwislam?
@user-uz4kc5he7vАй бұрын
Hujamuelewa vizuri. Yaani hatua ya nusu ya dini ni kufunga ndoa