RAIS SAMIA AFOKA “Mnakula Pesa MBICHI, Tunawaangalia tu, Watoeni Wakaone JOTO Waende Huko”

  Рет қаралды 10,131

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 33
@erickzephania1030
@erickzephania1030 Жыл бұрын
Ukicheka na nyani utavuna mabua
@hamadsaburi3569
@hamadsaburi3569 Жыл бұрын
Una Walea Sana mijambazi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mama umelikoroga ulinywe subiri 2025 wabunge wa upinzani watakuwa wengi usivyotarajia hapo ndiyo kama kwa ruto Kenya jasho litakutoka jirekebishe mapema nchi umiuza mama sekta zote hovyo kabisa nidhamu hamna watanzania wanamkubuka mwendazake magufuli
@mwanadigital1
@mwanadigital1 Жыл бұрын
Hayo mashairi uyu mama vipiii daah ngonjera kibao nilidhani unawataja na kushikwa kabisa coz wahujumu uchumi hao na mafisadi lakini unawasomea mashairi tu apo dadeki fu**
@machaggechacha243
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Wizi, uongo, uvivu na ujinga ndio utawala wa waswahili Tz. Aibu!!!!
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Usifoke wala kukasirika mama watanzania tulijua hayo toka siku ya kwanza unachukua office kwamba tunakwenda kutumikia makosa yetu ya kikatiba hukutakiwa kuwa hapo huwezi mama yangu ukubwa wa cheo walichokupa haulingani na ubongo wako
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Wafanyabiashara tunataka i TRA wafanye Makadirio kwa kutumia tehama bila mfanyabiashara kufika TRA
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mama kauli yako ulipoingia madarakani hukumbuki kauli kuwa watu wajae mapesa mifukoni na watu kula urefu wa kamba yake sasa unalalamika nini wewe kakope kwa kuupiga mwingi na wazikombe wananchi wako wala mlo mmoja na vitu kupanda bei
@anthonynyamweru9949
@anthonynyamweru9949 Жыл бұрын
Unawabembeleza mama inchi hii bila action itakusumbua sana
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Technological device ndo Kila kitu wasitumie manual document
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Kwahiyo Mtu ana ripotiwa ame iba mara 3 mfululizo na bado yupo kazini kumbe mna walea wezi
@hilaliusjohn8386
@hilaliusjohn8386 Жыл бұрын
Mama wewe acha maneno tupu, tumbua watu wako maana mnatudanganya tu
@bongo39
@bongo39 Жыл бұрын
Mama tumia watu wako kwa siri kila wizara waongie kama vile wanahitqji huduma mpaka mahospitalini mapolisi magereza jeshini uone mambo yanayofanyika huko ni uonevu jeuri dhulma mpaka unaweza kulia jinsi wananchi tunavyofanyiwa
@angelsblackboard8008
@angelsblackboard8008 Жыл бұрын
Maneno mengi, hatuoni action.
@shabanilugi5858
@shabanilugi5858 Жыл бұрын
Tunawangalia tu ,wewe umemtumbua nani ?
@filbertfaustine7357
@filbertfaustine7357 Жыл бұрын
Mtu anafanya ujinga mara tatu wamuangalie tu kweli....? FUKUZA WEKA MWINGINE BASI.
@saidsaidimpemba4756
@saidsaidimpemba4756 Жыл бұрын
NENO NATAKA ENDELEA KULITUMIA MH SHIMIWA NA C NAOMBA
@iddymangwela9049
@iddymangwela9049 Жыл бұрын
Nashangaa sana kuona mpaka Rahis analalamika so cjuh nan afanye maamuz
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Labda mumewe 🤣
@gilbertshirima2684
@gilbertshirima2684 Жыл бұрын
Pesa mbichi🤔 Bora zipikwe
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Anayetakiwa kuchunguza wezi naye anataka kulipwa kwa kazi hiyo
@sapikiwanga6154
@sapikiwanga6154 Жыл бұрын
Halmashauri mama ni SHIDA KUBWA
@SliJuma-un9sl
@SliJuma-un9sl Жыл бұрын
Mama huna ixhu fukuza mtu kama magu
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
MAMA MWENDOKASI ICHUNGUZWE ITAKUTIA DOA. TIA TAMKO MWENDOKASI ZOTE ZILIZOCHIPUKA ZIRUDISHWE BARABARA KUU TU. WANALITIA HASARA SHIRIKA HILO.
@ellymakongo656
@ellymakongo656 Жыл бұрын
Hamna kitu hapa😢
@paulhando6286
@paulhando6286 Жыл бұрын
Mahakama ya uhujumu haipelekewi kazi? mtumishi akibainika apelekwe chini kusiko na fedha nyingi so ndo atafilisi kabisa? Mi naona alipe, afilisiwe na hata afungwe kabisa.
@erasmusgervas2464
@erasmusgervas2464 Жыл бұрын
Mpaka yule kibaka aliyejenga hiyo mahakama ya mafisadi anakufa hakuwai funga mtu alikuwa muhun
@yayananajota5838
@yayananajota5838 Жыл бұрын
She's mother so always be,,
@shigangamussa2967
@shigangamussa2967 Жыл бұрын
yani wapigaji waamishwe???
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Yaleee ya wakati wa jk....
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
Chomsky's Philosophy
Рет қаралды 6 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 21 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 12 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 574 М.
What Should Leaders Learn from History?
28:33
World Governments Summit
Рет қаралды 405 М.