Mungu ibarik Tanzania, Mungu ibarik Mozambique, na wabariki viongozi wa nchi zote mbili
@Nick166972 күн бұрын
Yaani kwa Kiswahili hicho unaongea, sidhani kama mashine ya ukalimani kama inaweza kutoa tafsiri,,,
@danielmrashani871018 сағат бұрын
We love and we pray for you our lovely president mama piga kazi, Mimi ni mchungaji nipo katoro mkoa wa geita kusema ukweli I'm proud of you mama Mungu akupe maisha marefu na AFYA njema, uongozi Bora hakika umetuletea democrasia, maendeleo na mahusiano ya kimataifa, asiye kuelewa msamahee tu mama na usonge mbele
@prince.eric_msemwa97322 күн бұрын
Wafundisheni kiswahili pia ao...kireno ndo nn 🕵🏽♂️
@jonasrobina862919 сағат бұрын
Happy to see u brother Ben
@salehesalehe29672 күн бұрын
Asante mama 10 Tena
@salehesalehe29672 күн бұрын
Asante Mama Rais
@emmanuellupiga2 күн бұрын
Kichwa cha habari kigumu mno duh
@smartonlinetv5144Күн бұрын
Karibu nyumbani Mh Rais Filipe j nyusi
@charlesmwambinga43552 күн бұрын
Siku hizi Ayo kawaachia madogo wanapost tu vitu kutoka popote bila yeye kupitia headings na contents
@saidkipalo44272 күн бұрын
Sio kama yule mshkaji 😅
@allydingi97363 күн бұрын
Watanzania tunapata shida tunapoomba vizas kwenda msumbiji mtu umekamilisha document zote lakini kupata vizas unakaa mpaka miezi 3 hujapewa vizas
@ndukulusudikucho_2 күн бұрын
Mhh Visa ya kwenda kuishi? huwa napita saana Msumbiji kuelekea South Africa , MTanzania huihitaji Visa kwenda Msumbiji ila wana viji rushwa fulani
@mkanjimamkanjimamkanjima2043Күн бұрын
Hamna viza ya mtanzania kuja Mozambique wala viza ya mtu Mozambique kwenda tanzania bali unapaswa kuwa na passport au hati ya dharula ya kusafilia
@HeboniBabu2 күн бұрын
Dada atakusoma amsomi mnasainitu mbona usanii
@danielambonisye62613 күн бұрын
Mubarikiwe na Bwana Yesu Kristo aliye hai na Baba Mungu aliye wakutanisha pamoja kama ndugu, mupewe hekima na maarifa kwaajili ya kuongoza haya mataifa
@EmmanuelChrispin-bo5xh2 күн бұрын
Unamoyo
@HajiKlein-so1rk2 күн бұрын
Bi mkubwa mitano tena🇹🇿🇹🇿🌹
@scoutpwanimchangani6711Күн бұрын
Waambiwe na wakenya
@muksinimbaruku12332 күн бұрын
Hakuna mkakati wa kujenga barabra kubwa inayotoka msumbiji mpka Tanzania? Iwe reli au rami
@allytv17142 күн бұрын
Tozo ya umeme mmeongeza mnakata elf2 mbn amsemi mnajikatia tyuu hii nchi siyo yenu pekee ccm wezi Rais na serikali yako ya wizi
@Zainabnoor0087-ze2 күн бұрын
kwani huwezi toa kero hadi utukane
@allytv17142 күн бұрын
@@Zainabnoor0087-ze unajua matusi zaina nenda Kenya nw utayasikia
@walidmgonja36442 күн бұрын
@@allytv1714wewe ni kilaza,hata hufikirii mahali gani uweke coment,unaropoka tu
@allytv17142 күн бұрын
@@walidmgonja3644 kwa7babu ww ni mtoto wa kigogo mnalipiwa umeme na serikali au ww wakishua unasubiri urithi au ww bado unaishi kwenu jitulize wakishua ss tunajipambania
@monicamwita78652 күн бұрын
Haya maisha hivi mama yetu Nashua kweli tunachukulia watu wake. Kila kitu jiko huu. Tangerines huruma
@user-gv7sd4oi6q2 күн бұрын
Bora mama ameamua kupumzika
@richkaja33172 күн бұрын
Mama tunakuomba upumzie nyumbani muachie makonda kiti
@salehesalehe29672 күн бұрын
Mwachemama chizi wewe
@ScopionScopion-zj9cd2 күн бұрын
ayo unazingua caver uliyoweka Namaerezo yaliopo mbona sio me Nijua mama kasema hata gombea tena Nimpe mauwa yake kumbe sio dah umenipotezea dk kwenye kaz
@user-gv7sd4oi6q2 күн бұрын
Anatakiwa mtu mkorofi kama magu
@salehesalehe29672 күн бұрын
Mfate
@ponsianomnyaru91402 күн бұрын
Rais samia bora ujiuzuru tu hii nchi huiwezi kabisa unazingua tu