Acheni kumtupia mungu kila tambala bovu, mungu amekupa akili na maalifa ndio maana amekuumba binadamu tumia hivyo vipaji, ukisubilia mungu aje na mkongojo kuja kukupa wewe maalifa utangoja saana, kwahiyo mr Eric upo sahihi.
@colinlegend1914 ай бұрын
Kabisaaa mungu alishatubariki tangu kuzaliwa kwetu kilichobaki ni sisi tuu kupata maarifa ya kufanikiwa kwa maana mafanikio sio nguvu bali ni maarifa
@mochemba3 ай бұрын
Ujue kuna watu watakufa masikini wamekuta familia zao ni masikini na wao pia wanaendeleza umasikini, kwa kuamini kuwa Mungu Mungu ni lini mtu alikuwa amekaa ndani akasikia sauti ikimwambia kuanzia Leo nakupa utajiri, na huu upumbavu Afrika umetujaa Sana kila kitu utasikia Mungu hiki hapendi mara mambo kibao wazungu hao hao walioleta dini hii wanachapa kazi huwezi kuta mzungu akiongelea Mungu kwenye utafutaji. Sasa mtu anapewa madini yeye anasema Mungu ndo anatoa. Mm naamini kweli kutegemea kitega uchumi kimoja ni kweli huwezi fanya Jambo, ukitegemea mshahara tu siku kazi ikiisha ndo wale hujiua maana hawana cha kuwaokoa. Shigongo mm nakuelewa na hii sio inspiration kama wale wanaosema eti nilianza na mtaji wa elfu tano leo namiliki kampuni, Lkni hapa anamaanisha pale ukiwa na kazi Jitahidi kuwekeza.
@roseasimwe8274 ай бұрын
Mwenyezi Mungu nisaidie nipe kitu kingine cha kufanya tofauti na mshahara
@adelmarcymallya7724 ай бұрын
Mm ni mwalimu ila napika bites,cake,nna duka,nafanya oda mbalimbali za chakula ko inawezekana
@lucasmgalula80223 ай бұрын
Maombi yako Ni Kama yangu dada inaumiza Sana kutegemee mshahara pekee yake hatutoboi Siri ya utajiri Ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato aisee
@AbrahamMisanti18 күн бұрын
Amina madam rose
@MungeteMwampulo5 ай бұрын
Asante sana mh Shigongo, kwa kutemà madini.
@erastosanga16945 ай бұрын
Yesu mkombozi wangu hakika nitafanya,Amina.
@kevinmary71294 ай бұрын
Tafuta Mungu na fanya kaz na biashara usiwe maskini sio dhambi
@vincentmutugi45975 ай бұрын
This is very true, most people are sinking in the ego of being educated and end up retering poor and become sources of problems in the society. I agree education alone is not enough,but rather let us use our education as a foundation to build multiple sources of income. people without education must use their physical energy to build sources of incomes...i encourage those who not educated that,not only education is the way to life,but good plan and acceptance. Above all put God first in everything and the doors will open 👐
@hamasikatv4 ай бұрын
Asante kwa maoni yako Tuendelee kujifunza
@amourmtungo6235 ай бұрын
🤔Kweli, hao wanaosema ni kudra za Mungu kwani Mungu kakataza kuwa na vyanzo vingi vya mapato? Hakika Hii ni elimu nzuri kwa wote Asante kwa kuchangia🤝
@mochemba3 ай бұрын
Masikini wa akili hao hata uwape milioni mia tano bado watakufa masikini maana hawana akili ya kusema wanataka watoke kimaisha bali watabaki kusema Mungu ndo anajua. Ukiona mtu kila kitu yeye ni anaongelea Mungu Mungu jua huyo ni masikini kuanzia akili hadi maisha, tajiri anawaza kuongeza vitega uchumi masikini anawaza maombi kuwa ndo yatamsaidia. Usiombe uwe na akili za kimasikini kwenye hii dunia.
@JumamohamedJuma2 ай бұрын
Nice😅😅😅
@graceanakisenga80464 ай бұрын
Asante sana kutufunulia siri hii baba...vitabu vyako nimevisoma sana kweli kupitia wewe nimejifunza
@christagosbert26765 ай бұрын
Sijawai kujuta kufatilia na kusoma vitabu vyako since I was 17 years age till now🤗 you are blessed na umeeleweka mnoo🎉🎉🎉🎉
@NzarubaraEmmanuel-k1kАй бұрын
Asante sana Mwalimu
@gracenunu61084 ай бұрын
Asante sana kwa somo zuri,barikiwa
@ayubuayubu28113 ай бұрын
Upo sahii sana ..kaka
@magdalenamoro76294 ай бұрын
Asante sana mchungaji.ni kweli kabisa, chanzo kimoja chamapato ni muhimu sana.😊
@dariusmutalemwa14912 ай бұрын
Safi sana Mungu akubariki
@FelisterNicholaus-i2i24 күн бұрын
Asantee mwalim
@Bmtstudiostz4 ай бұрын
Haya ni mawazo ya kitajiri kama una akili za kimaskini huwezi muelewa shigongo
@ericfelician79965 ай бұрын
Amina nitaanzisha muda siyo mrefu kwa jina la yesu
@JosephSimiyu5 ай бұрын
Amina Barikiwa ndugu kwa ushauri wako wa busara
@amourmtungo6233 ай бұрын
Hakika mkuu. Asante kwa mchango wako
@BulugushindikaMathias-zk3yf3 ай бұрын
Hayapoa nimekuerewa..kaka ❤Buchosatupo
@innobenzol41192 ай бұрын
Exactly,good lesson
@gabrielmoses68605 ай бұрын
Ahsante Shigongo
@renatusamos90185 ай бұрын
Amina kaka, nimekuelewa Sana. Nimepokea
@elizabethmhapa36584 ай бұрын
Asante sana nimekuelewa
@ChristerKoku5 ай бұрын
Husimuache,jusimdhalilishe,husimdhiaki siku ukifanikiwa ukaanxa kupata mlichochuma wote.Ahsamte kws elimu nzuri kufanya kazi mbalimbali utafanikiwa.
@amansamson-3353 ай бұрын
Ili uweze kufanikiwa unatakiwa uondoe akili ya kushindwa kwenye kuanzisha biashara yako
@robertamos36465 ай бұрын
Umeeleweka sana.Bravo.
@marykibogoya27695 ай бұрын
Umenena kweli mdau. Ubarikiwe
@mathiasmateru99775 ай бұрын
Somo zuri sana We have to change and to act immediately.
@leonardmisalaba79465 ай бұрын
Hii nimeipenda bwana shigongo
@salmongivoh23075 ай бұрын
namshkuru Mungu kwa ujumbe huu
@leonardgachenia22005 ай бұрын
Uko sawa mzeia, nitajitahidi
@PineTree-n9y3 ай бұрын
Mwalimu ubarikiwe sana hata Mimi nimekuelewa vizuri sana
@johnsmwandu73384 ай бұрын
Saana mbunge wangu
@erastosanga16945 ай бұрын
Thanks giving shigongo
@erickchitumbi13085 ай бұрын
Mwajina umefundisha kitu kikubwa kwenye maisha.
@PraxedaKishenyi-w8t5 ай бұрын
Tumutafute mungu sana, wakati wa kukuinua ukifika, maharifa atakupa mwenyewe, kikubwa nibaraka.
@babujeishayo25765 ай бұрын
Maarifa tunapaswa kutafuta sisi si kupewa na Mungu
@babujeishayo25765 ай бұрын
Maarifa tunapaswa kutafuta sisi si kupewa na Mungu
@calvinloveambroce8425 ай бұрын
Mungu hampi maarifa wala kumuinua mtu aliyekaa tu akiamini siku yake ipo
@hadithizetutv4 ай бұрын
Endeleeni kujaza huo ujinga
@EneaMwakamyanda-i7p4 ай бұрын
Kuna sehemu ya Mungu kufanya yaani kukupa wazo lakini kuna sehemu ya wewe kufanya namaanisha kutekeleza wazo lile Mungu kakupa.
@radojembe73475 ай бұрын
Nakubali my mentor
@kalumangachannel47605 ай бұрын
Sir you deserve to be minister.
@MdOmane-yg9gi5 ай бұрын
Nimekupata vizuri na nimekifunza kitu...
@trillhappybeautypoint98743 ай бұрын
Asante sana👏
@amirigogolo60043 ай бұрын
Elimu hii mbunge wetu ipeleke kwa wananchi wako wa buchosa watakushukuru sasa....haswaa vijana kama sisi...
@nassorrama68394 ай бұрын
Mimi nimeelewa sana mwalimu
@PrinceWasa3 ай бұрын
Mafunzo ya ajabu ajabu haya, kuna watu hawana hela wala kazi, wafundishe hao namna yakupata hizo vyanzo vya mapato,naona unachofundisha ni kwa wale wanahela tayari ila unataka waongeze kipato zaid.unaruka hatua kubwa sana bro
@apaelmbise635Ай бұрын
Anafundisha kwa faida ya wote . Kama hauna kazi siku ukiwa na hyo kazi na mshahara utakuwa na hyo elimu na itaanza kukusaidia.
@fadhilikibinda8453 ай бұрын
Mungu ametujaalia akili, so lazima uitumie vizur
@Le0nardLeonardjmsomba3 ай бұрын
Nimeelewa sana naamin ntafanikiwa kwa kuyafanya haya
@VeronicaPanga-zd6yt4 ай бұрын
nmekuelewa sana
@geraldnkya47325 ай бұрын
Kaka ni kweli hili lipo kibiblia kabisa ili SoMo tumefundishwa ,mtumishi Mwl Onesmo wa Mbingu Duniani ministry _na misitari ya Bible hii mwanzo13:2; 2mambo ya nyakati 17:12-13. Zabur 1:3;mwanzo 2:10-11. Kaka nimekuelewa Sana!!
@jumamrisho13894 ай бұрын
Nimependa Sana comment yako nalipataje hilo somo ndugu
@mkambaselemani-ej7np4 ай бұрын
Bwana na cc wa bupandwa na mwangika tupo na wanyakato meco tekila! Punguza ungenge
@shepherdnoelkeneth5 ай бұрын
Nmekuelewa sana sana
@joshuanzioka46115 ай бұрын
Well said
@emmanuelfari89245 ай бұрын
No! VISION No! Solving problems...✍️ UBARIKIWE sana hata na uzao wako baada yako YOHANA 14:14🙏
@hamasikatv5 ай бұрын
Asante kwa maoni yako Tuendelee kujifunza
@FrancoLubuva5 ай бұрын
Ok
@MIBWA4 ай бұрын
Thanks
@ashabogasi5 ай бұрын
Love it❤❤❤
@erastosanga16945 ай бұрын
Upon sawa shigongo
@beatricedanken89363 ай бұрын
Baba wew ni mtu mkubwa unae ni influence sanaa
@richkaja33175 ай бұрын
Eric unajua sanaa
@basilvenance13685 ай бұрын
Tufanye kazi
@samsonmusyimi17825 ай бұрын
Aky ni kweli
@masomekitwala37582 ай бұрын
Tulikutana lamadi ukiwa na familia Yako,tuliongea mengi tukapanga kuonana tn,bahati mbaya hatukuonana tena
@benjaminmlaghila54534 ай бұрын
MUNGU MWEMA alitupa kila kitu kwa kutupa utambuzi wa mema na mabaya. Kwahiyo kupanga ni kuchagua kama mtu akili yake imemtuma afanye maisha ya umaskini ni maamuzi yake mwenyewe sio MUNGU leo hii mtu hafanyi kazi na kama akifanya kazi au biashara hana akili ya jinsi gani anaweza kufikia malengo makubwa, unapata pesa unahonga,kulewa,kubet,kunujua vitu bila mpago na kupelekea maisha kuganda
@barikislaa802 ай бұрын
Fact
@VeronicaMkunga5 ай бұрын
Ni kweli kaka,
@SuleimanButa4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@WitinessJoseph3 ай бұрын
Nimejifunza kitu leo
@magrethwilliam14365 ай бұрын
Asante sana
@PhilbertGosbert5 ай бұрын
Car wash tuaje
@franknyamungu97034 ай бұрын
Amina
@Ebymediatzd-p6tz4 ай бұрын
Mkuu kwenye kuanzisha ndo panachangamoto baba hapo ndipo watu wengi tunakwama
@KHALIDKIRAMA-iq6en5 ай бұрын
Siri ya utajiri ni Qadari ya MUNGU
@SaimonKazimoto-xt1zo5 ай бұрын
Subri Ivo Ivo uone
@bakariomary57815 ай бұрын
Haya mzee alafu wanaofanikiwa useme wachawi na ma-freemason😂😂😂😂subiri Qadar watu wenyew wa nchi za nnje Wanagundua mavitu kila kukicha kwakua wanajua maisha yetu yanahitaji pesa kwa kila kitu
@ElishadBashiru5 ай бұрын
Mungu anaweza ibadilisha qadar Yako lakini kwakumuomba Boss
@KIDUCHUCASHPOINT5 ай бұрын
😢😢😢
@WechuliMakokha5 ай бұрын
Kwenye utajiri hamna mungu wala dini ila bidii tu
@adinaismail1183 ай бұрын
Vizur
@thobiasLoti5 ай бұрын
Hv kwa madini haya ni kweli shigongo ni darasa la 7 au mnatudanganya tu
@BukelebeTv5 ай бұрын
Somo zuri
@kombomvungi7305 ай бұрын
Sawa, tuna vianzishaje? Na mtaji ndo kamzozo? Hebu zungumzia swala la mtaji.
@KhamisBakar-i4i4 ай бұрын
Ela ulo nayo ni mtaji wa kitu chengine
@frankbubahe3 ай бұрын
Uza CMU fuga kuku
@soberhousetv22454 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@QUEENJoseph-kh6cb5 ай бұрын
Na mimi nataka nije huko maana ninahasira ya utajiri kweli kweli😂😂
@Henrynoble_5 ай бұрын
😂😂
@daviddonatus81214 ай бұрын
Kuwaza jambo ni vyepesi sana na kudhubuti ni jambo gumu sana ...😂
@thomasudoba70774 ай бұрын
Shigongo the hero
@myself41285 ай бұрын
Tanzania Hakuna Mfanyabiashara Kuna wapiga deal tu,Huwezi kuwa na Biashara 30 Ukajiita mfanyabiashara,Wahindi wanakuja Bongo wanafanikiwa kuliko wazawa wao wanabobea katika biashara Moja mpaka wanaimudu, sababu Mzawa amelala usingizi na Serikali Yetu ni Kama Shamba la Bibi walowezi wanakuja wanafungua Biashara ndogo ndogo kwa mitaji mikubwa ambazo Wazawa walitakiwa wafanye kwahiyo Hatuna Wawekezaji pia bali Tuna Walanguzi tuu,mfanyabiashara Lazima uwe na Speacialty au Biashara ama huduma maalum unayotoa sio mara vitunguu mara mikate mara boda boda mara Mikaa ni Vurugu tupu ukifa nani ataendeleza upuuzi wako huo??lazima mtoto arithi biashara fulani ya familia ambayo ameikulia na kuimudu na pia Serikali yetu lazima Tuilazimishe iwe na Sera zinazohamasisha wananchi waachane na Uvivu na Umaskini kwa kuwapa mikopo na kuondoa Tozo pumbavu za watu wa chini na pia kuwalinda sehemu zao za Biashara
@mutaji54545 ай бұрын
Inabdi ufungue Nawe sasa biashara
@jfisherkaaya59585 ай бұрын
Hujakaa na wahindi hawategemei jambo moja kama unavyofikiria wao wanatengeneza mambo mengi ila wanagawana katika familia flani wewe utasimama dukani, flan utakua hapa so nyumba inakua na vyanzo vingi vya mapato na havimtegemei mtu mmoja kama tunavyoaminishwa.
@ShabanAbdulrahman-b6r4 ай бұрын
Umeongea Kwa uchungu sana ndugu mungu akubariki tukayafanyie kazi mawazo yako🙏
@asaphasaph64155 ай бұрын
Mathayo 16:26 [26]Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul?
@juliusmwita-ye3eg5 ай бұрын
Mawazo ya umaskini hayo
@bonifacemkasanga34484 ай бұрын
Ulitaka kusemaje?
@asaphasaph64154 ай бұрын
Mathayo 6:24 [24]Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali. No man can serve two masters: for either he will hate the one, and love the other; or else he will hold to the one, and despise the other. Ye cannot serve God and mammon.
@thobiasLoti5 ай бұрын
Cjui mnamuelewa mwalimu?😅acha kuuliza chakula kwa mama ntilie😅
@Greystonmwazembe5 ай бұрын
Ok
@suedahmadi90915 ай бұрын
Utajiri sio kitu rahisi kama unavyoongea kirahisi ongea ukweli uliopo nyuma ya siri ya mafanikio yako
@liannsambu72644 ай бұрын
Upi Sasa , kama wewe unahistoria Yako SI useme ,mbona kikinzana na anachosema yeye ndugu , tuache kujaji watu Kwa mitazamo yenu , TAFUTA ELA NDUGU FANYA KAZI , HUTAKI ACHA HAHAHAAAAAA
@revocatusmartine71594 ай бұрын
Ilo n wazo litakalokufanya ubak kua maskin ukibak kuamini nguvu za giza,, utaish maisha ya kulalamika
@charlesruwa58445 ай бұрын
Ft
@adinaismail1183 ай бұрын
Imdet
@GodfreyMalenge4 ай бұрын
ninaomba kuelewa zaidi apo kwenye ku create multiple sources of income vipi kama mtu ametenga biashara yake moja na akawekeza nguvu zake zote apo will it not make him or her affluent
@josephjotham4634 ай бұрын
Yes
@suedahmadi90915 ай бұрын
Gharama unazolipa/Sadaka/Kafara unazotoa kwenye kuimalisha utajiri wako, muda
@karlschrader40265 ай бұрын
Hapo Ndo ushasema unaenda kijijini kumbe mchizi Uko kwenye pipa unaenda Dubai afu pipa limedondoka 😮kazi italipia mazishi na kiinua mgongo ulichoacha?
@judicalosika76425 ай бұрын
🇮🇱 eh wewe unawaza kuzikwa na Company 😳😳😳😳😳
@msetikebwasi72704 ай бұрын
Mimi sikubariani na huyu jamaa ,kwani ukifungua duka kubwa lenye bidhaa nyingi zenye kuigusa jamii nyingi Kwa Nini usiufikie huo uhuru wa kifedha ?kuliko kutapanya Mali zako na wasimamizi wenyewe no majizi TU.
@ndojes7114 ай бұрын
Mchek Bakheresa, MO, GSM woooote hao wanavitu vingiiiiiii. Unga, nguo, vinywaji na vitu vingi,. You may start slowly ukikurupuka UTAIBIWA MZEEEE
@RenaldaZeramula5 ай бұрын
Mbona wewe maskini
@simo_n_jilala4 ай бұрын
Humjui Eric Shigongo. Kama humjui mtu bora uulizie Ndugu yangu. Huyu ni tajiri.
@JasminHassan-p8u5 ай бұрын
Unapata wap mtaji wa kuanzisha hzo multiple sources? Mbn mnatuchanganya,mara mnatwambia tudeal na kitu kmoja
@tukumbwikemwakatundu20525 ай бұрын
Uki deal na kitu kimoja kikifanikiwa kitakuwezesha kuanzisha kingine na kingine. Hauwezimkuwa na multiples kwa mara moja..
@tukumbwikemwakatundu20525 ай бұрын
Ameeleza vizur sana.
@shamyathman91985 ай бұрын
Dini haruhusu kutegemea qadar
@OctaviaMakunda4 ай бұрын
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe
@dannypeter49515 ай бұрын
Unaongea na wadada peke yao?
@hamasikatv5 ай бұрын
Asante kwa maoni yako, Hiyo Seminar alikua anazungumza na Hao Wanawake Wahasibu ingawa ujumbe ni kwa wote Tuendelee kujifunza