Mheshimiwa rais hongera kwa kazi nzuri na kubwa ya kuimarisha serikali,pia ikikupendeza namimi siku moja unipe fursa ya kufanya kazi na wewe,ni mtaalam wa TEHAMA na ninaweza kufanya kazi mbalimbali kama kuwa spokesman wa taasisi yoyote ya serikali n.k,...nawasilisha
@fahmihaji49448 күн бұрын
Mama mwenye hekma nakupenda rais wangu nakupenda 🇹🇿
@JosephNdekeja9 күн бұрын
Mtu mmoja amnaappishwa mara 10 ndani ya miaka mitatu hii nchi kuilewa inahitaji uwe na d 2
@Khelefkindy5 күн бұрын
Asante sana muheshimiwa raisi wetu allaah akulinde na akujaalie umri mrefu nauendele kutuongoza tena aamiin
@evaristlupenza44499 күн бұрын
Kila la kheri Mh Innocent Bashungwa na makamishina wapya mlioapishwa kuitumikia Wizara nyeti ya mambo ya ndani. I appreciate you Bashungwa 🎉🎉🎉
@hildarwebangira10858 күн бұрын
Mhe Bashingwa. MUNGU Akushike Mkono kwenye Majukumu yako Mapya Congratulations
@Kingstonbagamoyo8 күн бұрын
Itapendeza sana msiape kwa vitabu vya dini Bora muape mkishika japo sambusa
@ahsamsaidmohamed51048 күн бұрын
❤❤❤
@nicodemmabala9 күн бұрын
Hongeleni sana waheshimiwa
@IddoGodwin9 күн бұрын
Rais,hao mawaziri umewabadili badili kama nguo,hao hao TU wengine wamepauka,nakushauri ufanye recruitment kutoka kwenye young generation graduates uwe na a pool of prospective candidates unaoweza kuwatumia mbeleni
Rais wetu anajitaidi kufanya mabadiliko.ili alete ubora. Naomba mjitume Mama Yetu apate amani.
@bernardndemba22539 күн бұрын
wanaapa uongo mbele ya kitabu cha mwenyezi Mungu wanachoenda kufanya ni tofauti nchi haiendi mbele coz leader problem
@am2323tze8 күн бұрын
Tanzania National Health Insurance- ianzishwe kwa wananchi wote. Sheria ipitishwe bungeni. Sio kwamba mtu aliye na kazi tu ndio anastahili kupata bima ya afya. Kuwe na mpango wa serikali kwamba aliye na kazi achangie na mkulima asiye na kazi rasmi serikali imchangie. Sasa mwanamke mjamzito hana kazi atahudumiwa na nani. Hata kujifungua ni riski
@wanguwangu349 күн бұрын
Mhiii, tuombee nchi tusilalamike.
@sammohung15068 күн бұрын
Masauni R .I..P
@pasquallungwa35179 күн бұрын
Masauni mmmh
@kevruta9 күн бұрын
Bashungwa hakumsemea kitu!! Je hii ni coincidence?