SAKATA la MWALIMU ALIYEFUKUZWA KAZI AKADHULUMIWA STAHIKI ZAKE, AFISA UTUMISHI ABANANISHWA

  Рет қаралды 166,244

Wasafi Media

Wasafi Media

3 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 302
@peninaalubisia5071
@peninaalubisia5071 Ай бұрын
Mh. Makonda Mungu aendelee KUKUBARIKI kwa yote unayoyafanya. Hongera sana Mama Samia kwakumchanguwa Mh. MAKONDO.
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 2 ай бұрын
Mh. Makonda hongera sana naomba uwafundishe wakuu wote wa mikoa wachape kazi kama wewe. Pia wapende kutenda HAKI. Makonda utainua nchi hii mwanangu. Mtoto umebarikiwa na Mungu. Nakuombea sana baraka nyingi na afya njema.
@DanielMarco-js1kz
@DanielMarco-js1kz 2 ай бұрын
Mwalimu anaongea vizuri. Proud to be a teacher!
@obsonjulius312
@obsonjulius312 Ай бұрын
Mwalimu ni msomi anajua
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 Ай бұрын
​@@obsonjulius312kabisa mwalimu ni msomi anajua anachoongea
@charlesmnuo3292
@charlesmnuo3292 2 ай бұрын
Hongera makonda kwa kazi nzuri unayoifanya hii ndiyo kuonyesha vyombo vya sheria vimewekwa mfukoni na wenye fedha
@profs.a5412
@profs.a5412 2 ай бұрын
Huyuu jamaa mi naamini Mfumo ndio ulimfanya aonekane mtu mbayaa, Yani walimtumia vibayaa, ila kiuhalisia huyu jamaa nikiongozi kweli kweli , tena mtetea wanyonge
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 2 ай бұрын
Acha unanifiki mfumo gani wakati mfumo aliyo nao ni huo wa magu wa kuwasaidia wanyonge
@profs.a5412
@profs.a5412 2 ай бұрын
@@AjiaMohamed-rt5pb inatakiwa kuwa na akili kubwa ili uweze kunielewa , lasivyo hakuna utakacho ambuliaa🚶
@JosephzakayoPius
@JosephzakayoPius 2 ай бұрын
❤❤❤​@@AjiaMohamed-rt5pb
@JRN2612
@JRN2612 2 ай бұрын
​@@profs.a5412fact😂😂
@ChristopherChacha-fb4oc
@ChristopherChacha-fb4oc 2 ай бұрын
Mama naomba namba yako ili ni mwl Mwenzio Nina wazo juu yako
@user-my5nb9jn2d
@user-my5nb9jn2d 2 ай бұрын
Yaani mm nashangaa sana.. Why mnamchukia mtu tu bila sababu yeyote mnafunga mshahara wake na alikuwa mtumishi wenu Ila Kitu nilichokiona hapo ni Wivu wa kusoma masters tu.. Wakajua ataongeza Elimu Atawapita kwa hiyo Ni Roho mbaya tu Ambayo Imesindikwa na kiongozi ikasambaa kwa wengine.. kumbe kuna watu wana matatizo jamani Duh😮😢
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Hiyo ya wivu watu wenye nafasi kama mkuu wa Shule nk wana hofu yakupoteza nafasi zao watu wa chini yao wanapokwenda kuongeza elimu hasa idara hiyo tajwa wanatengezewa kesi hadi inakubalika mahakani hata ya kubaka tu ili akomolewe bila kujali kuwa nae ana haki na anategemewa na watu ikiwemo familia yake kama walivyo wao Mungu huwa anawaumbua kwa unafiki wao
@Kamkono
@Kamkono 2 ай бұрын
Da jamani! Mheshimiwa Paulo Makonda Mungu akulinde ndani na nje ya ofisi. Mungu husaidia wanyonge kupitia watu, wewe ni mtu mmoja wapo ambaye Mungu anakutumia kusaidia wanyonge.Haleluyaaa.
@RobertKilomba
@RobertKilomba 2 ай бұрын
Heko kwako makonda Mungu akulinde ukaweze kuwasaidia watanzania wenye Nia njema na inchi Yao, hatuna Cha kukulipa sisi ni kukuombea Mungu tu, Mimi binafsi nilikuchukia sana wakati ukiwa mkuu wa wa mkosa wa dar enzi za magufuli, kumbe wewe ni kiongozi safi namba hii, nilikutambua juzi mama alipokuteuwa kuwa katibu mkuu mwenezi ccm, nikaona your true colours, na sasa uko vizuri mkuu wa mkosa Arusha, keep it up 🤝🙏🙏❤️💚💙🤜🤛💪💪💪
@rehemakaziri
@rehemakaziri 2 ай бұрын
Mungu tunakushukuru kwa ajili ya huyu baba,hongera sana muheshimiwa
@MamaBambala
@MamaBambala 2 ай бұрын
Makonda mdogo wangu Mungu ailinde roho yako
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 ай бұрын
Sasa kama ni hivi watu wengi si wanaumizwa Sana!??maana sio watu wengi wanaweza au kujua huu mzunguko wote...daah
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@asilahassan9965
@asilahassan9965 2 ай бұрын
Sadakta
@BakariKawishe
@BakariKawishe 2 ай бұрын
Mwl anajieleza vizur sana na kwa hakika anafaa hata kua kiongozi
@RichWise671
@RichWise671 Ай бұрын
I'm very proud to be a teacher 💝
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 2 ай бұрын
HUYU MWALIMI ANA CONFIDENCE YA HALI YA JUU SANA VERY PERFECT,MAKONDA ANATAKA WATU STRAIGHT KAMA HAWA
@tauredtv99
@tauredtv99 2 ай бұрын
Makonda aongezwe back up ya Aggrey Mwanri. Huyu katibu angesukumwa ndani😅😅😅
@Ryanzabron
@Ryanzabron 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Hii imevunja mbavu
@LeylatVlogs
@LeylatVlogs 2 ай бұрын
Dada huyu ni kichwaa@mwalimu
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 2 ай бұрын
Sio arusha tu sehemu nyingi watu wanaubinafsi tu
@KeziaAmos-np9fu
@KeziaAmos-np9fu 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@LaurianKiyeyeu
@LaurianKiyeyeu 2 ай бұрын
Mungu akupe ujasiri,uvumilivu,bidii ya kazi na Maomo uendelee kusaidia jamii ndiyo tafsiri ya Dhamana ya Uongozi,yajayo kwako yana mungu mbele yako makonda
@lightnessseifu5983
@lightnessseifu5983 2 ай бұрын
Makonda mungu akulinde na akuongezee umri mrefu baba
@aminabanka8203
@aminabanka8203 18 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde brother.
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 2 ай бұрын
Nasubilia part 2 Makonda 🔥 🔥
@hasanirajabu3350
@hasanirajabu3350 2 ай бұрын
Makonda chapa kazi baba tunakuombea
@batholomewjohn913
@batholomewjohn913 20 күн бұрын
Hongera Mkuu wa mkoa wa Arusha unaweza
@SaidMashaka
@SaidMashaka 2 ай бұрын
Big up sana makonda...tunakupenda sana❤❤
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 2 ай бұрын
Rais ampe mama nafasi uongozi
@deoluma1706
@deoluma1706 2 ай бұрын
Safi sana makonda. Namkubali sana asee. Utumish kuna uonevu wa Hali ya juu sana kwa walimu
@habiolivier8315
@habiolivier8315 2 ай бұрын
you have wisdom leadership let useful mocking next president
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 2 ай бұрын
Safiiiiii saaaanaaaa Mh Makonda
@ttss7716
@ttss7716 2 ай бұрын
Huyu mwishimiwa mungu amuweke mpaka nimelia walahi 😢😢😢
@sosthenesmutarubukwa5901
@sosthenesmutarubukwa5901 2 ай бұрын
Kwa Muktadha huu Uongozi katika Utumishi wa Umma utakuwa Mgumu. Kwa sababu wakati mwingine Watumishi wanavuruga utumishi wa Umma kupitia Pesonal Anbitions badala ya Kanuni za Utumishi wa Umma.
@user-uv5jf6he8r
@user-uv5jf6he8r 2 ай бұрын
Mwogopeni Mungu watumishi nyie mkuu wa mkoa Asante sana kwako
@RamadhaniAlly-n5u
@RamadhaniAlly-n5u 25 күн бұрын
Hongera mtetezi wa wanyonge
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 2 ай бұрын
Safi sana kaka makonda
@user-ov6kd3jz6c
@user-ov6kd3jz6c 2 ай бұрын
Hongera makonda MUNGU akulinde
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 ай бұрын
Mh Makonda 🔥🔥🔥🔥🔥
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 ай бұрын
Kaka makonda wenye changamoto kama hii ni wengi naomba wasaidiwe na mungu akulinde sana
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 ай бұрын
SAFI SANA MAKONDA MAMA SAMIA ALITUMWA NA MUNGU KUKUCHAGUA. ASANTE MUNGU MLINDE MAKONDA.
@samsonsike1262
@samsonsike1262 Ай бұрын
We need leaders like makonda even at high level, big up Mr MAGU the sec
@konradkapinga6744
@konradkapinga6744 2 ай бұрын
Daaaadek tunyooshe Brother
@user-du1nm7et9q
@user-du1nm7et9q 2 ай бұрын
Guys makonda, ni mtu alieshushwa, ajazaliwa hongera mama samia kwa kwa kichwa hiki na umejua pakukiweka muse na maisha marefu❤
@leilathydidy6058
@leilathydidy6058 2 ай бұрын
Ndio yan me huyu baba wanaomchukia nina washangaa sana kiukweli, yuko vzuri mno kiongozi
@BienvenueBisimwa-rn9rn
@BienvenueBisimwa-rn9rn 26 күн бұрын
Mungu akulinde Makonda
@ConstanciovictorVictor-tp5zu
@ConstanciovictorVictor-tp5zu 23 күн бұрын
Deus esteja com tigo meu irmão makonda❤
@gadielshedaffa3333
@gadielshedaffa3333 2 ай бұрын
Nchi hii mioyo ya watu imekuwa ya kishetani! Uzalendo umeondoka! Mungu awarehemu wengi hawajui walitendalo! Dhambi nia aibu kwa watu wote! Mungu awainue watu kama makonda!
@NOVATISIYAME-iz9qw
@NOVATISIYAME-iz9qw 2 ай бұрын
Dar Paulo mungu pekee ndio anaweza kukilipa
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 2 ай бұрын
Mungu akubaliki
@user-cj4cv3jo6p
@user-cj4cv3jo6p 2 ай бұрын
Mungu akulinde Rc a
@anthonylongolongo9863
@anthonylongolongo9863 2 ай бұрын
Daaah! samahan san broo (MAKONDA) mwanzo niliona kama unakosea lakin kumbe unapiga kazi sana. MUNGU akutie nguvu na kukulinda pia
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf Ай бұрын
Mungu aendelee kukuweka
@afidhuOmary
@afidhuOmary 2 ай бұрын
Makonda hongera xan kwa kazi nzur unayo fanya kama kuna uwezekano wakulete kagera
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 2 ай бұрын
Mungu akufikishe mbali Makonda nimependa nchi yetu hii longolongo nyingi
@musampanda3643
@musampanda3643 2 ай бұрын
Madame leo kamwaga mchele
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 ай бұрын
Viongozi wengi wa nchi hii wanaogopa watumishi wasomi.wanaogopa kupokonywa nafasi kwakua wengi wamepachikwa tu kwa hizo nafasi
@ChristopherChacha-fb4oc
@ChristopherChacha-fb4oc 2 ай бұрын
Pole mama
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 17 күн бұрын
Daaah mam honger unaongea vzr ❤😊
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 ай бұрын
MUNGU AKUPE AFYA njema Mzee MAKONDA. AMEEN
@user-vk7xm5ru9r
@user-vk7xm5ru9r 2 ай бұрын
Nakukubali sana mheshimiwa mungu akulinde sana .
@castroshayo3498
@castroshayo3498 2 ай бұрын
Motosach International
@kalumunakalumuna7403
@kalumunakalumuna7403 2 ай бұрын
Makonda Mungu akubariki Sana
@nyungwajunior1301
@nyungwajunior1301 2 ай бұрын
Huyu jamaa anapiga kazi bhana
@mussaharun7257
@mussaharun7257 2 ай бұрын
Mwalimu Mtulivu sana
@babalao910
@babalao910 2 ай бұрын
Mama Samia👍👍👍👍 Kwa kutuletea nakonda
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j 2 ай бұрын
Isaidie HAKI itande, itapakae kila upande (Quran 4:135)
@davidmnzava4280
@davidmnzava4280 2 ай бұрын
Kazi Zur sana , watu Wana shida hawana connection
@rehemambilinyi3523
@rehemambilinyi3523 2 ай бұрын
Mungu akulinde mh.makonda na viongozi wengine waige
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 Ай бұрын
Mama anaongea vizur sana na yupo very straight
@ShedrackKapande-qh8pv
@ShedrackKapande-qh8pv 16 күн бұрын
Jaman halimashaur zetu acheni ukiritimba mtaumbuka.CWT mnaboa badala ya kuwatetea walimu,mnawakandamiza.CHAKUHAWATA piga hatua.
@user-rw8yu7xt4c
@user-rw8yu7xt4c 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mheshimiwa makonda
@RaseduOfficial
@RaseduOfficial 2 ай бұрын
Asante mm ni ras edu KZbin
@user-mz4mf4wj1y
@user-mz4mf4wj1y 2 ай бұрын
Jamani huyu Mwl amepata majanga kama yangu. Makonda unanisaidiaje mimi nipo Dodoma Arusha mna bahati muombeeni sana Makonda
@CalmAlpineSkiing-xf4gv
@CalmAlpineSkiing-xf4gv 2 ай бұрын
Asante Makonda Mungu Linda watumishi wanaotetea wanyonge
@BEmmanuel-zt1kn
@BEmmanuel-zt1kn 2 ай бұрын
Pole san mma
@HamisiPawa
@HamisiPawa 2 ай бұрын
Ila bongo watumishi miungu watu wango wengi vbya mno
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 2 ай бұрын
Kuwa na nchi yenye watu waonezi kama ningerisoma mimi nikuwafunga
@user-om7yw4pr9p
@user-om7yw4pr9p 2 ай бұрын
Mungu alikuchagua uwe kiongozi nakuli unatenda yanayo mpendeza mungu ubarkiwe sana namungu akulinde sana
@scollantandu2350
@scollantandu2350 2 ай бұрын
Baba piga kazi safi sana ♥️
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 2 ай бұрын
Aisee pole mwl siku zote mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 2 ай бұрын
Makonda umecheza kama Vinicios Jr. Welldone Mr. RC
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 2 ай бұрын
Hawo watu wanapambana na mama msomi bila kujua wamlipe Hela zake
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 2 ай бұрын
Huyu dada apewe Nafas ya kaz serikalin maan anajua na anajua kujielezea ata utumishi anaweza hongera mama mkwe
@loice123faida8
@loice123faida8 Ай бұрын
Kama Kenya ingekuwa na mtu kama huyu ingepona sana MUNGU atusaidie
@PrudenceMwakyoma-oz5ic
@PrudenceMwakyoma-oz5ic 2 ай бұрын
Makonda Mungu akusaidie. Ufanyakazi vizuri ivyo ivyo
@rodgersabraham9837
@rodgersabraham9837 12 күн бұрын
the spirit of Magufuli is him
@user-mz8rt9ip2s
@user-mz8rt9ip2s 2 ай бұрын
Mungu akulinde njoo zanziba baba yamejaa
@joseygaudence4922
@joseygaudence4922 Ай бұрын
Hapo kwenda kuchukua file ndio msala unapoanzia miguu itakuwa haiendi na mdomo lazima uwe mchungu 😂😂😂😂Mnadhurumu watu sana
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 Ай бұрын
Mama anafaa kuwa kiongozi
@josephmtikile-yf3pq
@josephmtikile-yf3pq Ай бұрын
Hii nchi ngumu sana Yan ata Ajira zinatolewa Kwa kujuana
@mankambise2000
@mankambise2000 24 күн бұрын
Huyu mwalimu anajieleza vizuri sana
@katibampya8442
@katibampya8442 2 ай бұрын
Mwendelezo wa hii napata wapi??? @global tv
@dottolucas3721
@dottolucas3721 2 ай бұрын
Yaani hata hiyo CWT nao kwa sasa ni Shidaaaaaa
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Ай бұрын
Makonda anafanya kazi nzuri sana, uonevu ni mkubwa sana
@magejuliani5293
@magejuliani5293 2 ай бұрын
Duh! Kuna maonevu Sana jamani! Hivi ni kwa Nini umuonea mtu hivyo jamani? Hongera Kijana Makonda Mungu akakuonekanie
@Oscar-qs7tn
@Oscar-qs7tn 2 ай бұрын
Kweli mwalimu ni mwalimu akili mingi Sana lazima nioe mwalimu anitoe ujinga
@johnkapesula122
@johnkapesula122 2 ай бұрын
Laaah aisee...
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 ай бұрын
hivi kwanini mikuwa mnamchukia makonda? kazi kubwa sana anaifanya ,mungu akuongoze
@ISAACWairegi
@ISAACWairegi Ай бұрын
Mimi ni Mkenya lakini ni napendezwa na jinsi Mhesh Makonda anavyo shugurikia Mtanzania wa kawaida, endelea tu na huo MOYO.
@victorcephas3618
@victorcephas3618 2 ай бұрын
Nasubiria part 2
@MarystellaSalumu
@MarystellaSalumu 14 күн бұрын
Jamani makonda yuko vizuri natamani ningempata
@obsonjulius312
@obsonjulius312 Ай бұрын
Mheshimiwa sasa, tunaomba ukimaliza kazi jiji, wakupeleke Mbeya, ukawapelekee moto, kuna mazoea zoea sana kule.
@user-fo9cn6kx1s
@user-fo9cn6kx1s 2 ай бұрын
Mungu atakutetea haki ya mtu haipotei
@SharrifAbdoul-Rahman
@SharrifAbdoul-Rahman 27 күн бұрын
Vipi tupate kiongozi kama huyo kwetu ? Kweli Allah Amlinde
@hermangabriel9039
@hermangabriel9039 2 ай бұрын
Kazi njema! kiongozi wa wanyonge
@thomasgabriel588
@thomasgabriel588 2 ай бұрын
Chezea mwalimu weww
@sadockeliakim5862
@sadockeliakim5862 2 ай бұрын
Mungu amlinde makonda watu watende haki
@viviandavid9974
@viviandavid9974 2 ай бұрын
Nimeipenda sana
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 30 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 3,3 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 10 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
RC HAPI 'amtumbua' Daktari Hadharani "una matatizo nilishakwambia"
22:48
Global TV Online
Рет қаралды 727 М.
Самая крепкая лысина в мире😁
0:30
EpicShortsRussia
Рет қаралды 2 МЛН
Медвежий папа
1:00
Timminator
Рет қаралды 6 МЛН
Waka Waka 💦💃😁 #funnyshorts #rianashow
0:14
RianaShow
Рет қаралды 20 МЛН
ТЫ С ДРУГОМ В ДЕТСТВЕ😂#shorts
1:00
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,4 МЛН