Watu wameitikia wito Mashallah 🎉🎉🎉🎉 upendo udumu daima❤❤
@TariqAziz-sc1lb18 күн бұрын
An emotional song❤❤ well done rayvanny
@hamadsuleiman517718 күн бұрын
Hawajawahi kukosea kwny uajiri wao hawa jamaaa wanaovaa suit wanajua kazi zao kwa kweli...The way wanavorganize kwny Ulinzi is fantstic and extremly Remarkable Security...Congratulation TISS.❤❤❤
@yuzotv45818 күн бұрын
uniform✍️
@emanuelelias208218 күн бұрын
Kumuamsha mama si kazi rahisi congratulations ray🎉🎉🎉🎉
@ixheryusuph174818 күн бұрын
Nzur sana hii nyimbo..... Mashaallah
@KalambayKasongo3 күн бұрын
Toujours super mon petit frère
@fatmasalim829318 күн бұрын
Twakupenda sana mama mashallah ❤❤❤❤❤
@errydeo886517 күн бұрын
Kibaka tu
@ODENILWILA18 күн бұрын
Rayvanny we we ni dangerous ❤❤❤❤❤
@aseelaisaa42818 күн бұрын
Beautiful poems ❤Ravannny umeipiga mwingi
@user-nb2jw4km6f18 күн бұрын
Rayvan upo vizuri
@khadijatajiri809718 күн бұрын
Nakupenda rais wangu mzuri❤2025 twende pamoja na mama
@PrincessHellen-pg1oy17 күн бұрын
Wimbo mzuri sana huu ray 😊amen 🙏 🙌
@mariamMilha-st3qu17 күн бұрын
Courag Mutoto unajuwa💐💐💪🏽💪🏽
@ausonjustinian467318 күн бұрын
Ni nzr sawa, lkn ikute unafraha km huna fraha kalo za watoto zimekutinga na nyumba yangu milango na madirisha vimekua mlima mwaka wa nne nimeingia olaa. Hapo fraha naitoa wapi mwenzenu??
@YusufLubangula-yn6tq18 күн бұрын
KUMEKUCHAAA!🤔Wabongo wameliamsha DUDE Ndani yakizimkazi😊Mama kizimkazi kapendezaa Tabasamu Nene Ndani yakunyumba Kizimkazi🥰Rais SAMIA MI5TENAAAA!!🎉🥳🥰💯✅
@alyakida526218 күн бұрын
Hongera sana mh Raisi wangu mpendwa mafanikio yanaonekana na kazi zinaendelea .
Wimbo mtamu lakini si kwa ajili ya samia mimi ni mmasai
@user-ej5rp5ku7l18 күн бұрын
Rayvany ka juwa litakalo mfurahisha Samia kwa kweli aaaaaaqqqq
@auntiemylee315718 күн бұрын
Ata zuhura
@LuckyTemu18 күн бұрын
Jmn me nna swal et lengo la kizimkaz n nini me cjui 😢 af nmependa walinzi wa rais samia walvo very sharp 🙌
@RaymondMtewele-j8vpamban17 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JacksCarlos-zy2ci18 күн бұрын
I thought WA Zanzibar wote n weupe kumbe n Kisumu ndogo pia😂😂😂
@GladysHamisiRai18 күн бұрын
Inauma lkni hatuna budii kukubali mungu awatie nguvu mm yaani nafidwa kujiziia Marco amuka bas hata sekindee Moja 💔😭😭😭😭😭
@roseamon790618 күн бұрын
Hongera Mwaisa dog Van kazi nzuri
@roseamon790618 күн бұрын
Dogo Van
@humphreynyuchi854818 күн бұрын
Yes there you are! Chui umeua sana
@rajah932818 күн бұрын
Ii Ngoma kali salute Chui...ila Majirani wetu upendo na amani ni nguvu muhimu sana nchini. Wanzania endeleeni na uzalendo wenu na upendo nyote ndugu uwe CCM au Chadema Amani vurugu zinatoa uhai, kupoteza famalia ndgu ata na jirani Mwema
@SaidiMiraji-lk3vm18 күн бұрын
Ray mwanangu umeuaaaaa
@dorcasdavid224718 күн бұрын
❤❤❤
@thechallangeboystheawadh519518 күн бұрын
Kweli Mama Samia kapasi mie mmoja sikudhania kama atafikia hapa Hongera Mama Samia!!❤
@PrinceBonnyTz817 күн бұрын
Wakenya mtamuimbia lini RAIS wenu kenge nyie KAZI kusematu ANGUKA NAYO ONE LEGEEE😂😂😂😂
@user-ow7pl6tz2c18 күн бұрын
❤❤❤❤ jamani na penda uyu mama jamani mungu akupe umri mrefu
@edwardpaulo335118 күн бұрын
Huu wimbo wa reyvann ni wa 🔥🔥🔥
@user-mz2wx5dt9v17 күн бұрын
Mbona ni wenyew Kwa wenyew
@ifmknowledgepower733318 күн бұрын
Furaha huzaa afya njema, 🎉🎉
@Karungi4B18 күн бұрын
Noma sana
@slowclimbertothetop457218 күн бұрын
Nice song
@omokemorara865617 күн бұрын
Poor audio
@ebrahimosman547718 күн бұрын
🙏👍
@renatusblandes113118 күн бұрын
Wimbo unalipa 🎉🎉🎉
@elishagwivaha14 күн бұрын
Tu-vikaragosi flan tunacheza
@augustinenjesi321518 күн бұрын
Ila vannyboy 🔥🔥
@GabbyRomnize18 күн бұрын
Reyvanny bana anaandika kwl
@nicken325018 күн бұрын
Sawa❤❤❤
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg18 күн бұрын
Nice
@EsterKimambo18 күн бұрын
Love you mama
@JninjaH2R18 күн бұрын
Vanny boy 🔥🔥🔥🔥🔥
@heartz._218 күн бұрын
L love you
@user-qt7jd5on4z18 күн бұрын
Vanny boy❤❤❤
@jedidahbintidaudi824118 күн бұрын
Mama Samia kabla ya kuketi tuu akaskia sauti yake akastuka kidogo; 'nani huyu mie naongelea wapi tena?' Samiaaaaa!!!
Ila watanzania ni wanaaaa mmmmh me sisemi chochote nisijepotea mazingira ya kutatanisha
@zephaniazacharia51918 күн бұрын
Reyvan umeua
@yuzotv45818 күн бұрын
rayvanny kauwa sana umu!🍟🍟🍟🍟🍟🍟🍟🍟🍟🍟✍️.
@Thomaschipembe14 күн бұрын
Thomas chipembe
@JohnMagwila-j5d18 күн бұрын
Ninafuraha kubwa saana Mwenyezi Mungu kumpa siha na afya njema mama yetu mama Samia, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wewe ni kipenzi chetu sisi Watanzania hakika kucheza kwako kunaakisi maendeleo makubwa uliyoyafanya kwa muda mfupi kwa sisi Watanzania. Kweli wewe ni mlezi na unauchungu na sisi wanao na kwa amani iliyopo uliyoidumisha na kuitunza sisi hatuna budi kukuenzi. Watanzania ninao tuitunze tunu hii yaani mama SAMIA. Mitano tena tuone maendeleo makubwa na Tanzania itapaa kwa kila jambo na mataifa yote ulimwenguni waamini kuwa wanawake wanaweza uongozi na wewe mama umedhihirisha hilo. Nakuombea kwa Mungu mabaya na husuda zipishilie mbali na sisi wenye kuona matendo yako makuu na maono uliyopewa na mwenyezi tuzidi kukufurahia. Nakupenda mama yangu.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI, UDUMU MAMA YETU SAMIA.
@dennissamora72917 күн бұрын
Tanzania bado giza totoro mnoo! Kwa huo uchawa wenu! Mtasota saana
@user-he3me7co9y17 күн бұрын
Tuache tusote mengine yatupite😂😂
@blessed261018 күн бұрын
🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆🐆
@user-qq6mv6vh3e18 күн бұрын
Chuiìii umetisha
@Misheckkazilist-cv2hb18 күн бұрын
Yani kinacho endelea hapo ni ujinga na upumbavu mnasifiana kimavi mavi yani kazi kuarib maisha ya watanzania cheefu
@allyboka426418 күн бұрын
Nchi ina machawa wengi
@salimahmedabdou590818 күн бұрын
Vanny vivani boy
@amirmohamed272918 күн бұрын
Wewe mama wa kislamu hujiheshimu ndio maana watu wanakutukana
@bandeoudjumashandrack190918 күн бұрын
Rayvanny unatisha
@MalikiaRecho18 күн бұрын
M
@jumabonge857718 күн бұрын
saidia wanyonge ww hawana kitu ww
@melanialeonard403118 күн бұрын
Najiwazia tu hawa watu wote wameenda huko kwa mapenzi yao kwa raisi?
@YasiniHusseni18 күн бұрын
Nataman namimi siku moja nikutane na mama walau nimwambie kuwa nampendaga tu. Hakuna kingine ila basi tu
@PiliQueen-sm1nm18 күн бұрын
Bodigad yuko makini na maokoto ya boss😂😂😂
@SalimAbdallah-tk9hs18 күн бұрын
Kwa mbali alikamwe
@emanuelsamson-hq2jv18 күн бұрын
Mama nimamatuuu
@shukranitv297118 күн бұрын
Rey van unetuliaa
@user-fp9xl4xy3t18 күн бұрын
Wanacheza rakin wamejaa unafiki tu hata hawampendi kuwa makini nao mama
@robertmwangomale18 күн бұрын
Unajua ngwa kukaja
@bizzyjunior_tz18 күн бұрын
Chui kauwa so powa
@Fathasssane-vs2th18 күн бұрын
Kogamano la waislam na wakiristo palikua patupu ila upuuzi kumejaa
@staanstaan872218 күн бұрын
We inakuusu nn
@AGM1969718 күн бұрын
Sasa wewe ulitakaje? Au ulidhani mm kwakuwa ni wa dini yako basi ni raisi wa dini yako? Bado una utoto wa kidini, inabidi uanze kukua sasa
@AGM1969718 күн бұрын
Mijitu ya hivi ndio ile inayojiripuaga kuuwa watu wasio na hatia ikidhani ndio itaenda mbinguni kuoa wanawake mabikira. Duuuh kaazi kweli kweli
@ausonjustinian467318 күн бұрын
Nailazimisha fraha ingawa moyoni nina majonzi nani wakunifuta machozi😢😅?
@adamswafi514918 күн бұрын
Naona maokoto sio mchezo
@MrNitsonTz-v5y18 күн бұрын
Weeeeeeeeeeeeeeeeeee
@EmanueliWildausoni18 күн бұрын
Mama anawakata jicho yuko na ndugu yake hapo pembeni wanaambiana hawa mang'ombe acha yahangaike apo uzuri wa tanzania kwa katiba hii hata mm nikiwa rais mtanisifia woteeeee hahhaha ndo katiba hawataki kubalisha ng'oòooòoo labda kwa mabom na kwa bandeji