RAIS SAMIA - "MLILITIA MOTO SOKO la KARIAKOO - NIKALIJENGA TENA - NITAKUJA MARA ya TATU"...

  Рет қаралды 31,001

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@globaltv_online
@globaltv_online 9 сағат бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@saidimbaruku984
@saidimbaruku984 Сағат бұрын
Mama mungu AKULINDE akupe maisha marefu
@Sostere98
@Sostere98 8 сағат бұрын
Kama lilitiwa Moto kusudi waliofanya hivyo wamechukuliwa hatua? Maana hizo ni Mali za umma
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 6 сағат бұрын
Mama Yetu uko vizur. Nakupenda sana rais wetu Mpenzi.kwanza una huruma.,una upendo.unatamani watu wote uwafikie lakini Uwezo.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 4 сағат бұрын
Mama inshaalla iwe mdomoni mwako ktk kusema nitafanya nitakuja na kama hayo mungu mbele mamaetu samahani lakini kwa kusema hivo mheshimiwa
@HusseinMjungu-l1i
@HusseinMjungu-l1i 4 сағат бұрын
Duh soko lilitiwa moto halafu bila kuwawajibisha waliochoma ukajenga tena kwa kodi zetu jamani kuweni na huruma. Kwanini hukuchukua hatua kwa waliochoma?
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 сағат бұрын
Yaani bhana 😢😢😢
@pascofp145
@pascofp145 Сағат бұрын
​@@zebedayokatamaduni9676watanzania kWa kulala mika umefatilia ukakuta hawaja wajibuswa
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Сағат бұрын
Walitia moto kariakoo na leo wametia moto tra😢
@jumashedafa
@jumashedafa Сағат бұрын
Mama tunakopa ndio si jambo baya uko wapi msaada wa rasilimali zetu za asili mungu alizotubariki hizo tu zinaendesha nchi ata hiz kodi wala ingekuw si za kuhangaika nazo san ila shida ni kwamba wapgaji wengi yan utumia nguvu kubwa kutafuta vyanzo vya pesa huku wengin wanaiba...hili liangaliw hii nchi ni tajiri mno... akija akipew traore huwez kuckia mikopo tena
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 4 сағат бұрын
Kuchangia nn na wakati tunaweka pesa kwenye mfuko uliotoboka
@sylvanusmalonja7602
@sylvanusmalonja7602 5 сағат бұрын
Mh Rais km lilitiwa moto wewe km Rais Ulichukua hatua Gani?
@simbafc16
@simbafc16 4 сағат бұрын
Alimpigia simu mzee wako
@rambostalon2888
@rambostalon2888 40 минут бұрын
Ila tambua machinga umetuumiza sana mheshimiwa
@neemabright3635
@neemabright3635 3 сағат бұрын
Jangwani.tena si mkondo.wa bahari ule jamani.😮😮😢😢
@alfredbee7967
@alfredbee7967 Сағат бұрын
Sijawahi kumwelewa huyu mama amebakia kubonga tu ubadhirifu na uhujumu uchumi pamoja na ufisadi unazd kushika Kasi pamoja na rushwa serikalin hakuna hatua zinazochukuliwa duuh ety ntalijenga Tena Kwa kawaida kweny nchi za kidemokrasia ukishindwa kutimiza wajibu wako kama kiongozi unaachia ngazi Kwa kujiuzulu wewe upo tuuuuu mama wewe tunakupenda lkn imekuwa 2much
@nestanesta5704
@nestanesta5704 7 сағат бұрын
Hapo kwenye nika
@abdallahKilobwa-i1k
@abdallahKilobwa-i1k 5 сағат бұрын
😱😱😱
@abiabi9353
@abiabi9353 5 сағат бұрын
Inamaana kukuza hadhi ya nchi na miji ndiyo jambo kubwa kuliko kuboosha maisha ya wananchi wa kawaida? Hapo panahitaji kazi ya ziada kubadikisha falsafa
@deusmunishi4171
@deusmunishi4171 7 сағат бұрын
Kweli huwa tunakopa kwa sababu mama YETU.Hatupendi hata kidogo wasikuzingue
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 6 сағат бұрын
Jamani yani jangwani mabasi yamefia pale leo tujenge soko kweli
@MrCosmas15
@MrCosmas15 7 сағат бұрын
Mgeni akiwa machinga hakuna shida yoyote ili mradi havunji sheria, watanzania wengi wanafanya kazi nchi za nje, kazi ambazo zinaweza kufanywa na wenye nchi. Sio kila mgeni ana uwezo wa kujenga kiwanda.
@fatmaOmmy
@fatmaOmmy 6 сағат бұрын
Hilo nalo neno wakifanya wote biashara atanunua nani
@GodfreyBikukan
@GodfreyBikukan 9 сағат бұрын
Unapiga kampeni mama
@Jane-l5z
@Jane-l5z 5 сағат бұрын
Mh rais soko la machinga lete huku mbezi ya kibamba jangwani huo ni mkondo wa bahari
@OchenDepay
@OchenDepay 6 сағат бұрын
Siasa Siasa Oh Siasa.
@EmanuelyNai
@EmanuelyNai 2 сағат бұрын
Tunatoa kod asa mikopo yann
@MichaelMathayomsumari
@MichaelMathayomsumari 6 сағат бұрын
Mama usijenge soko jangwani mji umejaa jenga nje ya mji kupunguza msongamano mfano bunju,mbezi au mbagala
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 7 сағат бұрын
Badae mtuambie wachina ndio wamejenga kariakoo
@callicevallice7383
@callicevallice7383 4 сағат бұрын
Baada uchukue hatua, unalalamika na wewe
@kamrudinelias3922
@kamrudinelias3922 8 сағат бұрын
Tozo kiboko....😅😅
@bas2823
@bas2823 5 сағат бұрын
SUPER GREAT 👌 👍 👏 🙌 😀 😄 👌 " MS" PRESIDENT😊"
@stevensosipita566
@stevensosipita566 5 сағат бұрын
MAMA SAMIA KUHUBALIKI NA WATANZANIA TULIO WENGI HUNA UNACHOFANYA ZAIDI YAKUTUJAZIA MADENI TU KUTWA KUKOPA JIFUNZE KWA TRAORE LIPA MADENI YA WATU
@ZaynabuCake
@ZaynabuCake 5 сағат бұрын
Mmh tutatekwa nawatu wasiojulikana😂 maama watu hatupendi kuambiwa ukwelii😂😂
@MahmoudMohamed-gx1fk
@MahmoudMohamed-gx1fk 4 сағат бұрын
Mm namkubali sana tu anayoyafanya tunayaona tena hatukuwah ata kuyaona ,mama Mitano tenaaa....
@simbafc16
@simbafc16 4 сағат бұрын
Wewe ni Mkenya Nini?😂
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Mgogoro wa DRC: M23 yatangaza mipango ya kuandamana kuelekea Kinshasa
2:44