Asante mama yetu naifuraia hutuba nzuri. natabasam ninapo riona bunge Laivu inpendeza sana maombi yetu na dua zetu mama tunakutakia kazi njema na mungu akurinde katika utendaji wa kazi zako zote maana kuongoza maelfu ya watu ni kazi sana .
@mariamibrahim54673 жыл бұрын
Samia means listener,suluhu means solutions and Hassan means wema..may you always find solutions as your name suggests. Your humility is admirable. Long live mama
@obonyoken52973 жыл бұрын
H Ć
@obonyoken52973 жыл бұрын
V v.
@marryjaneth80043 жыл бұрын
@@obonyoken5297 rice and,shine
@peterkagwi98013 жыл бұрын
Rais mrembo duniani Masha Allah
@saidimohamed43573 жыл бұрын
Asante mama samia kwatozo kubwa makato ya mpesa
@lilianngure65553 жыл бұрын
Wow mama ubarikiwe
@bnussrahlimsantah37303 жыл бұрын
Mashallah nmependa
@ndingimwananzeki57763 жыл бұрын
Samia nampenda sana
@moiben6633 жыл бұрын
I love her sooooooo much
@mamahelen45843 жыл бұрын
Mama suluhu nakupendanga vile umeiga
@mauricempinga9353 жыл бұрын
Ahsante mama samia kwa kutupandishia petroleum na oil
@davidndungu213 жыл бұрын
Madam President seems like fun
@enocknyamongo35023 жыл бұрын
Imeni nice sana
@roselusenaka75483 жыл бұрын
Kiswahili mufti kweli.
@davidngwesa3 жыл бұрын
Hatuzungumzi Kiswahili mufti huku. Nadhani mufti wanazungumza huko Mombasa. Sisi tunaongea Kiswahili sanifu (Standard Swahili)
@djyondergigi10273 жыл бұрын
We love her 💋❤️❤️
@awatifalghanim11063 жыл бұрын
Mashaallah
@davismate69993 жыл бұрын
Hivi ndivyo tutakavyo, uongozi usio wa kijipiga kifua lakini wa undugu.
@gasarabwepatrick659Ай бұрын
❤❤❤❤
@loishiyelaizer70182 жыл бұрын
MH.TATIZO LA UMEME NA MAJI ARUSHA OLKOKOLA VILLAGE TUNAOMBA Msaada
@muanashaswaleh51103 жыл бұрын
Hapo nadhani wabunge wengine hawakuelewa kiswahili chote mana walizoweya kuchanganya moja kiswahili maneno kumi English
@judyncororo61403 жыл бұрын
Hi let prayer together
@truelovepawanza20463 жыл бұрын
Wanyama Pori wakipata mimba Tanzania wanakwenda kuzalia kenya
@emmanuelkapelo97773 жыл бұрын
Thanks mama lulu hassan
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Suluhu
@johnchokera34033 жыл бұрын
Kiswahili kitukuzwe
@alverztv62723 жыл бұрын
Shida ni kwamba mtabaki na ucheshi tu badala ya kuiga yale ya muhimu yaliyo semwa ....🙏
@slimmy.b15203 жыл бұрын
Waambie mimi na penda kiswahili sana
@truelovepawanza20463 жыл бұрын
ata Wanyama Pori ni ndugu
@benyrashird11303 жыл бұрын
Kwani nyumbu wenyewe wanasemaje 😩😩😩
@jamesthuku35093 жыл бұрын
Sikudhani ni mtani hivo
@awatifalghanim11063 жыл бұрын
WaZanzibar ni wacheshi na wanapenda UTANI. MUNGU IBARIKI AFRICA. AMIN
@jobumisago41383 жыл бұрын
Taarifa ya habar reo
@elizabethmuganzi62613 жыл бұрын
Wanabunge wakike Kenya, wamejifunza neno moja ama mbili. Kuwa wanyenyekevu wakiasilisha viti kwa imani wanainchi wa Kenya wanatajiria. Sio matusi wala maringo. Jumwa wa Malindi ame ona na kusikia.
@zkylieh2043 жыл бұрын
2nabadika mnazalia Tanzania kabisa😂😂😂 I salute you mamaa HESSH🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephngugi98933 жыл бұрын
Stephen Letoo 😆😅🤣✋ ni mgenge ati Shamra shamra sherehe na nderemo .
@abuusufian65063 жыл бұрын
❤️🇹🇿🇰🇪❤️
@mahbubdawood29093 жыл бұрын
Kweli kabisa kwaajili miaka zote zilizo pita wakenya walikuwa hawajui maana ya neno rubani na runingha
@mahbubdawood29093 жыл бұрын
Asante
@azamtn3 жыл бұрын
sio kiswahili tu kenya hata kizungu cha wakenya ni duni mno.. pengine wakenya waonge lugha zao za mama tu
@benyrashird11303 жыл бұрын
😂😂
@isaiahobiero74333 жыл бұрын
Now that's where you go wrong
@danielmlewa49363 жыл бұрын
@@isaiahobiero7433 uyo ndo mwenye chuki zake sasa ..poor mind
@tolah3133 жыл бұрын
🤣🤣🤣wacha ushoga nyie tz hamuwezi ongea ata neno moja la kizungu mfabo harmonize badala ya attitude anasema atutudeee lmaooo
@fatmamdigo47013 жыл бұрын
Wawapi wewe eti kenya kizungu vip? Waota wee👈.
@jarsaduba26263 жыл бұрын
Sio wote lakini kama asilimia hamsini ya watu hapa Kenya dio wanabaki kunajisi hi lugha yetu Safi ya Kiswahili ni aibu na kutudhalilisha kama wakenya
@davidngwesa3 жыл бұрын
Nashangaa kuona watu hawajui Kiswahili na wanaona ni ufahari kutojua hii lugha hapo kwenu!
@husnaraphaery31493 жыл бұрын
Sauti
@danwayne7863 жыл бұрын
Huyo spika walimtesa kwa kumshauri ku nena namba kwa Kiswahili. Maskini.
@noblechild56523 жыл бұрын
Rais mrembo MashAllah 💜💖, mwenye maneno matamu yaliyozidi Matani🤣🤣
@njorogefred1503 жыл бұрын
Suluhu ameleta Suluhisho ya vile Biashara itakavyo fanywa Afrika Mashariki. Pongezi sana.
@ndukulusudikucho_3 жыл бұрын
Wanyama wapata mimba Kenya wanazalia tz hahahaha
@shaddybmc83423 жыл бұрын
No one Like magufuli
@gutobenson3812 жыл бұрын
Her kiswahili doesn't seem Tanzanian she doesn't have problems of R and L as typical Tanzanians.
@greenandbeach81348 ай бұрын
She is zanzibar her swahili is like mombasa swahili
@charlesngatia44473 жыл бұрын
"Ghafla bin vu! Iligeuka ikawa shamra shamra kelele na nderemo" 😂
@jastinependaeli14673 жыл бұрын
Hahaa nimeipenda hiyo
@matabamgunda22913 жыл бұрын
Msukuma bungeni
@ekitelabenson22833 жыл бұрын
Pastor
@MJRashiid3 жыл бұрын
Anajaribu kujenga na kurudisua uhusiano mzuri ya hizi nchi mbili ambayo marehemu alisambaratisha.
@vincentmanyama38083 жыл бұрын
Ungefanya ziara za ndani hizo pesa ulizotumia ungechangia hata ujenzi wa shule choo madawati madaraja tungekuelewa
@nuruchikoe19593 жыл бұрын
Acha unafik
@abrahamkipkemboi48303 жыл бұрын
Calls
@athumanikitege3903 жыл бұрын
Uhh
@lameckbalekere19623 жыл бұрын
Usiuze tanzanaiti
@nishasalim28803 жыл бұрын
Ndio tayari!
@marysworld21043 жыл бұрын
Anatania Wabunge wetu. Si aongee Kiingereza tuona nani atachekwa. Ajabu ya nyani kuona kundule...
@rajeshzayn38023 жыл бұрын
Ko unafkir hajui english hahahaa jokes on you
@marysworld21043 жыл бұрын
@@rajeshzayn3802 anajua? Eeh 😂😂😂
@nuruchikoe19593 жыл бұрын
Kwani kingereza ndio lugha yako acha utumwa
@marysworld21043 жыл бұрын
@@nuruchikoe1959 hata kiswahili sio lugha yangu. Acha ushenzi
@ramadhankondo46433 жыл бұрын
@@marysworld2104 @ NURU CHIKOE sasa hao ndio wakenya full kiburi for nothing, unamuweka sawa yeye anakuita mshenzi!!!
@iddkiteja6033 жыл бұрын
In
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Sasa mabifu ya kipuuzi yaishe ilifika kipindi mpaka wachumba wakikenya wanatubagua aisee hatari sana 🤣
@abedinegoraphael47743 жыл бұрын
Kumbee
@Mpakauseme3 жыл бұрын
@@abedinegoraphael4774 Ndio ndugu yngu hatari sana
@ericngendakumana90463 жыл бұрын
We ha u na akili ya kutosha
@gasarabwepatrick659Ай бұрын
😂😂😂😂🇷🇼🇷🇼🇷🇼
@awadhalii22003 жыл бұрын
.
@oscaisack26703 жыл бұрын
Bwanga
@yamunguvsvipshem65323 жыл бұрын
Kutoka majengo ya bunge
@shahidunytsfy91213 жыл бұрын
Kiswahil hicho noma kwakweli dah.
@gulalashigela47123 жыл бұрын
;
@phoebemukhwana30583 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@dottomasallakulwa96623 жыл бұрын
Vp
@markusruhl60733 жыл бұрын
Speaker Lusaka amechoma🤣🤣
@noblechild56523 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Shida ya kiswahili chetuu Wakenya n kumix sheg'