Mama ulinzi uko wapi watu kuuwawa na tujiita wapelelezi na wanasema kuwa ulinzi upo imara sasa upo wapi au ni chadema mnajua kupeleleza peleleza na mengine si ya chadema tu na mauaji na utekwaji nao upelelezwa si ya chadema tu ila ipo siku mungu atakuja kujibu vilio vya watu hata siku ya hukumu haya sativa amesema msaidie sasa.
@FadhiliMwaitete-ls2li29 күн бұрын
Wewe. Mama aanzaa wewe kuwakemea hao watekaji unao humohumo chumbani mwako pingu siraha hao watekaji wanapata wapi kama sio polisi wako na ccm yako amna / R,,4. Haipo kuna R,,ya ccm ya kuuwa tu ikisaidiwa na😢 ccm na polisi kumbuka tunduma juzi hapa na singida hao wzliyo uliwa niakina nani ksma sio wapinza tunacho kiona sasa watu wataanza kulipizana visasi akina silinde kauli zenu zinaleta hofu huwo uwingozi ni wamuda tuu mungu ndiyo mwenye sili kubwa asanteni
@EvodiaNyongole-uv5sz3 ай бұрын
Kodi zetu hizo
@Wambula..deogratias3 ай бұрын
Rais amezarau uhai wa mtu mmoja
@RamadhanMgeni-gt1tu2 ай бұрын
Kumbe unayajua alafu usemi
@jumarajabu5066Ай бұрын
Mama mimi sipingani na wewe kwani wote tunajenga Tanzania moja lakini mimi swali langu ni moja tu kama tunaweza kujiimalisha kichama kwa kupambana na wanachama wa vyama pinzan Tanzania nzima na kufaulu hilo je iweje tushindwe kukamata na kufaham kundi dogo linalo ua na kuteka wenzetu ila sija sema kwa ubaya.