RAISI WA KENYA APEWA ONYO KALI APAMBANE NA HALI YAKE ACHANA NA CONGO

  Рет қаралды 1,470

KG CHIPANDE 🎙

KG CHIPANDE 🎙

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 3 сағат бұрын
From 🇧🇮😂😂iyo ni kweli mana yake yamemu shida uko na raia wake 😅kwa nini ya congo anataka kuyajuwa😂
@kgchippy
@kgchippy 2 сағат бұрын
Agange ya kwake mwanzo kulkokua na uovu😢
@Josaphine-o2w
@Josaphine-o2w 2 сағат бұрын
Kg ruto awesi bandirika au kukomesha utekajinyara hiletu mungu amunguze ama hamubandirise ndio Kenya hiwe na hamani , Kenya hiki pbandirka vinzuri ndio ata kiongozi atakanye kuwepo atasema kitu kwa nchi zingine simusikize but kwa saa hii ciz
@ZawadiKalume-zb6lb
@ZawadiKalume-zb6lb 2 сағат бұрын
So sad kenya damu zamwangika kila kuchao kwa hawa watu waserekalini wamwkuwa free mason sai jamani
@kgchippy
@kgchippy 2 сағат бұрын
Ukisema sana Subaru yakuhusu😢😢
@DavidCurtis-e4c
@DavidCurtis-e4c Сағат бұрын
@@kgchippyshortly Raisi hawezi kukemea sababu hata kama amri haitoki kwake basi wanaofanya hivyo wanajipendekeza wapate vyeo vya juu zaidi kwa kuwateka watu wasio na hatia, kama raisi anaweza piga just one call na mtu akaachiwa maana ni kweli watekaji wanajulikana, alipaswa kutumia Lugha hii utekaji uisje mara moja na ukiendelea askari wa usalama wa sehemu alipotekwa mtu atawajibika halafu tuone kama utekaji utakuwepo tena. Hii hali ikiachwa hivyo itakuwa ni mazoea, pili ifike wakati wananchi wasiwe wanashangaa mtu akitekwa wachome tu gari husika wakifanya hivyo mara mbili tu basi watashika adabu, tz siku hizi wanachoma magari wasiyoyaelewa.😂
@AnastasiaMutinda-z9p
@AnastasiaMutinda-z9p Сағат бұрын
Akae kwake
@MitchellErmina
@MitchellErmina 2 сағат бұрын
Nikweli awachane na congo kabisa wamepeleka wanajeshi wa jumia ya Africa congo na amani haijawahi patakana wacha m23 ipambane
@nassorali1034
@nassorali1034 58 минут бұрын
Htr tupendane waafrica jmani tusiwape vicheko maadui
@MitchellErmina
@MitchellErmina 2 сағат бұрын
Tunakataa maleanders maana hawo ndio sasababu wanaichi tunateseka wacha congo ipate amani na m23
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 4 сағат бұрын
Mimi naona muturi ni mnafiki alikuwa spika na akachangia pakubwa hali hii ilioko.
@kgchippy
@kgchippy 3 сағат бұрын
Bt this time round we need to support he’s agenda juu msee bado yuko kwa serekali na ywapinga visanga vinavyofanywa na boss(Ruto) wake
@simbachui2281
@simbachui2281 Минут бұрын
NDUGU ZANGU HUYU RUTO NI KIBARAKA WA WAZUNGU,,,PERIOD,
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 Сағат бұрын
Sasa zakayo yakwake ilimshinda sasa hiyo ndio atawezana atangulie kwanza yakwake
@SelemaniMndai-ox8dy
@SelemaniMndai-ox8dy 3 сағат бұрын
Kunamkenya kachinja watoto apa Oman reo hii taree 30-1-2025 .na katoroka anatafutwa
@kgchippy
@kgchippy 3 сағат бұрын
Whaaat😢😢😢
@SelemaniMndai-ox8dy
@SelemaniMndai-ox8dy 3 сағат бұрын
@kgchippy Ndio Nina picha na voice ya mkaka mkenya na imetumwa kwa group Mimi nimetumiwa nipo Oman
@kgchippy
@kgchippy 2 сағат бұрын
@@SelemaniMndai-ox8dyebu ntafte kWa Facebook KGCHIPANDE
@QaisqaisQais-s2z
@QaisqaisQais-s2z Сағат бұрын
Uuiiiiiiiwiiiiii oooh my God
@lucymacharia4134
@lucymacharia4134 39 минут бұрын
Kenya imemshida kuuleta amani inchi za wenyewe anaenda kusema nin useless president
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri 4 сағат бұрын
Jameni mutoto wamwenzako niwako tuko na hujungu kupitesa watoto wetu kwa hali hi
@kgchippy
@kgchippy 3 сағат бұрын
Wallah ukiwa mzazi ndio waeza elewa ule uchungu vijana wakiuliwa kiholela Kenya na raisi ajifanya haoni aenda eka mikutano yakutafta amani nchi jirani😢
@DavidOchiengMatoro
@DavidOchiengMatoro 2 сағат бұрын
Wacha upuzi
Wakenya kwenye miradi ya Marekani wakosa kazi
3:37
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,1 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Vimbwanga: Ruto na Gachagua wapambana
7:05
NTV Kenya
Рет қаралды 83 М.
В Филадельфии разбился медицинский самолет
0:36
Euronews по-русски
Рет қаралды 12 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН