Manshallah kijana ulieifadhi o'uruan m.mungu akujalie afya njema na uhai mlefu ili wapate faida wengine
@KassimVuai-cy1tj Жыл бұрын
Masha Allah mungu amjalie kipaji chake iwe ni chenye kujua amiin
@mwanasaid6152 Жыл бұрын
Mashaa Allah...ALLAH akuzidishie elimu
@Jiddahkhery9 ай бұрын
Mashaallah kakaang Allah akupe umri mrefu inshaallah
@twalibkatuli5318 Жыл бұрын
MASHALLAH MASHALLAH SHEIKH WETU ALLAH AZIDI KUKUPA BARQA KTK UMRI WAKO
@kulthumkimaro9668 Жыл бұрын
Mashaallah Allah atujalie na sisi na vizazi vyetu wenye kuisoma,kuhifadhi na kuishi ndani ya Quran
@jaymwinyi6957 Жыл бұрын
Ameeen yaarabbi
@Jiddahkhery9 ай бұрын
Mashaallah mashaallah kikilo moja hiyo❤
@stevenmwenda30058 ай бұрын
Namshukuru Mungu sana kunitoa kwenye ukristo na kuningiza kwenye uislamu kweli uislamu rahaa sana sana hivi ndugu zangu wakristo hata hawaoni kuwa quran ni muujiza mkubwa kwa wanadamu na viumbe vyote.