Sheikh Muhammad unarudi lini Zanzibar, tunakuhitaji wallahi
@MuhammadKhamismohammed Жыл бұрын
Nasikia mlimfukuza kwaiyo harudi,ila neema ikiondoka ndo unajua umuhimu wake
@ismailalmazrui1555 Жыл бұрын
@@MuhammadKhamismohammed tunahitahi neema za vijana wenye kibri kama hawa ambao wanaweza kukitupa kitabu eti kwa sababu yy hakubaliani nacho aljunuun funuun wallah lile neno la allah mtu mjadili kwa maughidhwa hasana haipo twasubiri tujibizane tu mitandaoni na twapenda maana vichwa vya habari vya kila video inayotumwa utasikia majibu kwa fulani na wapambe wake huku ni kufahamishana au ni mechi za kimadhehebu angalau kwa mtu mwenye hikma engeandika muendelezo wa kufahamishana au rai yetu katika hili lkn doh subhanallah hata mtume engekuepo kwa rai yako wacha ushabiki hivyo vichwa vya habari tu na anavyofanya huyo sh mohammed au kwa mm nimwite kijana kwa sababu ni mwanangu nahisi ni sahihi?
@saidimadzumba2266 Жыл бұрын
@@MuhammadKhamismohammed umenena vyema! Nashangaa kwanini huyu ustadhi wanamdhalilisha kwa kumpa majina mabaya, hali analingania haki nakupiga vita uzushi katika dini
@kassamruzuru4913 Жыл бұрын
Sio woote wanampinga wapo weny kumpenda na bado wanamuitaji
@omarally6819 Жыл бұрын
والله رزقك الله صوتا حسنا
@omarally6819 Жыл бұрын
أسأل الله الكريم أن يحفظك من كل سوء، ويردك إلينا سالما ءامنا...........
@RashidAmeir-xr7ox9 ай бұрын
Mashalllah Allah akuzidishie Elimu Sheikh Mohammed Bachu
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Maashaallah sheikh Muhammad bachu natamani kulia Kwa sauti Yako nzuriii sana
@hamisimwagarashi9501 Жыл бұрын
MashaAllah tabbaraq Allah Allah akupe umri kaka na akuepushie na kila shari
@JumaHija-d9g Жыл бұрын
Mashaallah, mm cna upande maulid nayakubal na kisomo ndio hivi nasikiliza vizuur maanaa haitoshi kadri nnavoisikia Allah amzidishie na sisi atujaalie na vizazi vyetu amiiin
@ramadhanntaruma3202 Жыл бұрын
Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah
@massoudsaid765 Жыл бұрын
ماشاء االله ماشاء الله ماشاء الله
@mussabinyussuf945 Жыл бұрын
Sheikh wetu tunakupenda na allah akuongoze
@sahraqaalib902 Жыл бұрын
Baaraka Allaah
@omarally6819 Жыл бұрын
ماشاء الله ماشاء الله ماشاء الله تبارك الرحمن
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Maaashaallah. Unasautinzuri
@khamismussa6258 Жыл бұрын
Masha Allah ,hapa sheikh nassor bachu katuachia kifaa
@allahakujazekheriwowww5694 Жыл бұрын
Barakallah fikhi🙏
@saadaAbdalla1371 Жыл бұрын
Maashaa Allah
@momsaa08plumbingandelectri710 ай бұрын
allah akuhifadhi shekh wangu
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Maashallah lakad uutiita Miz mara mimma ahli daaud
@abuhandhala89528 ай бұрын
Unazidi kuwaanguza watu wa maulidi sheikh Bachu Allah Yahfadhak
@cosmasjabir001 Жыл бұрын
mashaallah sheikh bachu plz come to masjid musa😟😥😥😥
A alykum sauti mzuri sheikh allah akuzidishie uzima na umri mrefu uweze kutuelimisha zaidi na zaidi mara hii zanzibar hatukupati hata kumi moja?maana tumekumiss mara hii tangia ramadhan ianze
@ukweli19 Жыл бұрын
Wazanzibar kuweni na subra mwaka huu RAMADHAN hii 2023 zamu watu wa Mombasa..
@tocaworld7864 Жыл бұрын
Aamin Allah amuhifadhi .
@nasirsalafi8985 Жыл бұрын
Bismi mAshallah
@tocaworld7864 Жыл бұрын
Mashaallah Tabarakallah, muhammad bachu Allah akuhifadhi.Nataka nimone Diwani akiswalisha Asome Quran kama hivi. Subutu asome labda kitabu cha Barazanji ndio Amehifadhi😂😂😂.
@abuusufian6506 Жыл бұрын
Hahaha
@ukweli19 Жыл бұрын
Hahaha
@ismailalmazrui1555 Жыл бұрын
Ndio mumepata cha kucheka hapo barzanji alipokitupa huko mbele ya hadhara na camera ni kibri au ni nini hile weka mkono kifuani kisha jiulize hili suali jijibu mwenyewe kwani quran kila anaesoma ameongoka kuna mshairi anasema كم قارئ في الناس يحمد ذكره،،،،ويكون عند الله غير شهيد
@tocaworld7864 Жыл бұрын
@Ismail Almazrui kitabu cha Barazanji chafundisha shirki tuu. Ndio manaa hakina maana hata mojaa. Hawa walimu wa twarrikka wana ushirikina katika mambo mingi sana mpaka makaburini wanabudu.
@ismailalmazrui1555 Жыл бұрын
@@tocaworld7864 hio ni imani yako akhui kwani hata quran watu wanatumia kwa mambo yao kwani ukisikia mganga anakupigia ayatul kursiu na kumbe anafanya ushirikina kama kushawahi kuona shams lma3aarif na al awfaaq vimejaa maneno ya allah lkn watu wanayatumia vibaya kwa hio imani yako ndio inakupeleka unapotaka ila ninachotaka kusema na kama unataka kuelewa au hutaki ni kwamba kitabu chochote wacha vya kiislamu hata vya kikristo kukitupa mbele ya malaa na umma wa watu na makamera ni kibri kikubwa lkn kwa sababu ww ni sh wako kila analofanya utaona sahihi hata akikuambia tuingie kisimani utasema hewallah shee waambie hao wengine wafanye unachosema,,,fikiri kwa makini ndugu yangu
@solomonadams6337 Жыл бұрын
Qiraaaah kamilla Maashaallah swautaah jamilla,helluwah min hallawah tully habu habu💯👌🤝
@ukweli19 Жыл бұрын
Qiraaah mashallah sheikh wetu allah amlinde vijicho vilivyotawala kila corner..
@idrissamakungu5966 Жыл бұрын
MASHAALLAH
@khamisfadhil4393 Жыл бұрын
Mashallah
@aliali-ji9ym Жыл бұрын
Mabrouk mabrouk
@aminuddinwacate Жыл бұрын
Muhammad Bachu naomba ufanye clip kuhusu Kusoma Qur'an na Maqamat
@binismail8527 Жыл бұрын
Masha Allah
@nasrajuma6918 Жыл бұрын
Mashaallah
@Khasai-ng4qi Жыл бұрын
Mashaallah ,najuwa kusoma qur an .km hutaki baki nachuk yak
@aminuddinwacate Жыл бұрын
Maqam Ajamy
@omarmohammed5108 Жыл бұрын
Sms si inaendeleza mambo yaleyale yanyerere kuwafukuza au kuwapoteza mashekhe
@rashid3562 Жыл бұрын
Ubishi mwingi mpk huna amani Kila kitu unafanya Kwa woga il usikoseye ukapigwa raddi