Kabisaaa Nanga anaongea ukweli mtupu maana imekua kufa kufaana😂
@issarwambo43557 күн бұрын
Nakukubali😂mnooo hii inayofanyika sio kweli kabisa
@sadiqadam79717 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Nanga fala sana wewe
@VenanceMajiyasoda7 күн бұрын
Ndio maana nanga kibonge unapenda kula wew juice mpaka inaisha kwenye maongezi tu
@chichasam90327 күн бұрын
Nenda ktk point uncle makelele mengi
@abdullatiffazaldin65797 күн бұрын
Ndiyo tatizo letu utakuta aliefiwa yupo ovyo kimaisha bado cc tunakwenda kumjazia uzito wa kutulisha na mambo mengine. Muhimu kuzika nyumba iliyofiwa hapatakiwa moto kuwaka. Majirani Kila mtu apeleke msaada pale kwa mfiwa tu siyo kwa Kila mtu. Kama ni ndugu Kila mtu ajue asubuhi atakwenda wp kunywa chai mchana hivyo hivyo usiku hivyo hivyo. Mkishazika Kila mtu aondoke siyo kukaliana wiki mwezi