Maana ya huu WIMBO ndo naijua Sasa, nilikua nausikilizaga KIPINDI kile Cha utoto
@RioIpo2 жыл бұрын
Hahaha dah mie tangu kipindi kile naijua maana yake!
@EvaWaziri2 ай бұрын
Mimi pia marehemu mama yangu alikuwa anaupenda sana ,rest peace mama kwame
@mwanaidinjeri65727 ай бұрын
Listening this @2024 old is gold
@hassanially17732 жыл бұрын
Anatwa zuhura shaban
@DaudiHamisi-un2uu Жыл бұрын
Bado yupo
@rajabumalilo18753 жыл бұрын
Uyo daa anaitwa nani ana macho yamemlegea...
@RioIpo3 жыл бұрын
Zuhura Shaaban
@omarcarlos45957 ай бұрын
Malkin mwenye sauti yake mjini. Zuhura Shaaban,Quen of modern taarab
@JidawiHaji4 ай бұрын
Toto la kisukuma ilo
@hassanially1773 Жыл бұрын
Enzi hizo melody
@juliusmwinga40514 жыл бұрын
Za kale Tamu jamani. Nakumbuka mengi.
@MariamuAnifa7 ай бұрын
Watoto wa 2000 hawaelewi
@HildaMtowe5 ай бұрын
Lango la jiji enzi hizooo sio poa
@JasminKafula8 ай бұрын
Nyimbo nzur japo ya zaman
@kidokokidoko9054 жыл бұрын
Zamani alikua wanga lakini sada sinae
@didangoma77374 жыл бұрын
Kitambo sana 💃💃💃
@arafatmbitha56024 жыл бұрын
Aky Sina usemi yaan
@RioIpo4 жыл бұрын
Wataka upate loo loo loo vilivo Dar na Unguja Wataka upate loo loo loo vya mjini na vyakuja Wewe kiokote hujali na tija wachanganya wote boss na messenger Kwako zote zote zafaa kuchunwa
@zaytunhijja6771 Жыл бұрын
Hahaha👌
@HildaMtowe5 ай бұрын
😂
@RioIpo5 ай бұрын
@@HildaMtowe Mambo ayooo
@AbduJuma-u6b Жыл бұрын
Hataree
@jamestumaini8373 жыл бұрын
Dah leo 18.4 . 2021nakumbuka mwaka 2000 wimbo hauishi ladha