Yani, kama kuna watu wawili wanakukubali #Rapcha na ku ku sapoti from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩, basi mimi ni wakwanza.... You have all my suport rapper, hujawai kuniangusha.... Jamani, saidiyeni wacongo kumpa like zenu huyu dogo.... 😍😍😍
@chuchubena70224 жыл бұрын
I feel ngwea in this heart of young boy
@IfahamuTanzania4 жыл бұрын
Haya ndo mambo tunayoyataka,hongereni sana WASAFI!,Tanzania tuna upungufu wa Marapa,Rapcha komaa sana ukatuwakilishe kimataifa maana wana hiphop wengi wa bongo wamebaki kuimba mipasho na ngonjera!,Tanzania kwa East Africa ndo tuna wana HipHop wakali lakini cha ajabu tunazidiwa mpaka na Kenya Hapo kwasababu wengi wamebakiza mipasho tu!!
@allymasoud18104 жыл бұрын
Umeongea utumbo rabda ww ndo unaongea mipasho unaijua hip hop kweli ww acha mapepe
@eskotikimaro28583 жыл бұрын
Shy towwwwwwn
@B4BoomBaP4 жыл бұрын
"Nisha IMAGINE sana mpaka nimejaza Gallaries".. Thats was a Nice line RAP...Keep Flowin!!
@centralboytz42404 жыл бұрын
Huyu dogo ni next level mpen time mtaelewa
@mbembefilms53793 жыл бұрын
Tumeshaelew lisa
@mariodeblizzy25954 жыл бұрын
Huyu rapcha ni another level,Huyu ni ngwea na kama sizemi uongo huyu mtoto ni fid q.....hakuna mistari nimewahi linganisha na ya fidi q sasa Rapcha namkubali
Rapcha umetisha chalii ang, nakuona mbali coz rap style yako ni tofaut na wale watoto, hauongelei sex sana Ila unatema conscious na ukwel mtupu! Hyo ndio HipHop
@wanderaothumani49194 жыл бұрын
''*Sie wengine tumepinda sio kitoto Wanaopaishwa mie ngoma zao naeza andika kwa mkono wa kushoto*'' BAR NA NUSU
@ezapesambili21304 жыл бұрын
Huyu Dogo nimemuelewa gafla gafla sana
@kakore_jr4 жыл бұрын
Jaman Mimi ndio Mara ya kwanza kudikia hii CLIP KUANZIA leo NIMEANZA kumuamini PFUNK kwann alimuelewa huyu Rapcha.Pfunk your the best Producer and real Scout.. big up Rapcha poa Sana
@runyadraft1519 Жыл бұрын
Huyu dogo ni fundi wa rap na anaaina fran ya uimbaji inaunyama...sana
@azuwaniriziwani26954 жыл бұрын
Jamaaa yuko vizur and content anayo
@henryalfred81024 жыл бұрын
Kaka respect sana naelew inabamba sana 👍kama gest inayokopesha WANANGU 99
@azmantvazway96254 жыл бұрын
Rapcha my big bro one love bro nakuombea kwa God ufike mbal 🙏🙏🙏. thanks wasafi Media
@antaralbahsan65124 жыл бұрын
This is what we call future king 🙌🙌🙌
@abdalagoro36714 жыл бұрын
THIS KID KILLING IT..
@davidmwita59574 жыл бұрын
Ukiwa unajua raha xnaa
@sadamkaijage14444 жыл бұрын
uyu dg noma xana🙌🙌🙌🙌
@makoyebq8794 жыл бұрын
Respect the Og rapcha Safi sana
@IfahamuTanzania4 жыл бұрын
Huyu dogo anajua sana
@kikobafredy95384 жыл бұрын
The New King of 19s🔥🔥🔥
@amanichanga34484 жыл бұрын
I learned to Appreciate so far
@nicholausmbilinyi3054 жыл бұрын
P funk huyu mtoto komaa naee...atafika mjini hyu.. don't go anatishaaaa!
@eppiemodest4 жыл бұрын
Dah!! rapper huyu ni wa kizazi zaidi. Yuko juu sana. Hongera rapper kijana.
@mathiasstive63014 жыл бұрын
Shy Town boy
@iddkaswahili8774 жыл бұрын
Rapchaaaaa....... unajua bro
@wistonlaus32922 жыл бұрын
Aisee hilo beat alilochana la mwisho ni nyimbo gan hyo kwa anayefahamu..✊🏻 naomba jina la nyimbo hyo
@yessayalyimo30644 жыл бұрын
This is son is heavy, trust me, You are going higher. Just pay the price of success. You got the pocket to hold all coins.
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
Rapcha ni 🔥👊 Mwamba unajuwa sanaaaa nakuona mbali 👊🙏
@michaelmwasenga82654 жыл бұрын
Wasafi vipi diamond platnumz fans wako tunataka msanii wa hippop wasafi huyo jamaa nikichwa sanaa anakufaaa..😊😊😊
@allymasoud18104 жыл бұрын
Sio hipop ni hiphop
@FreshFizzo4 жыл бұрын
last king of 90's
@jacksonmathayo65104 жыл бұрын
Jamaa anajua sanaa, please dj jitahidi kumwekea zile beat nzito za ukweli kabisa
@isacknguvumali34454 жыл бұрын
Rapcha saruti baba nakukubali sana dogo upo vzr.
@legoshantah19604 жыл бұрын
Kunatofauti kati ya kusikiliza na kusubir kuongea💪🏿🎤🎶
@happykwela3332 жыл бұрын
I respect rapcha,nakuelewa sana young brother 🤞
@Norbert_Assenga4 жыл бұрын
Ukiachiwa begi la Kofi Olomide lazma ulirudishe 😂😂😂😂
@maulidshaban31714 жыл бұрын
Smart mind..raptcha anajua
@omarisimba88644 жыл бұрын
Ukikua ndio utajua kuna tofauti ya kuckiliza na.........Saloot mwana👍🙌🙌🙌🙌
@derrickdeo91374 жыл бұрын
Killing it Rapcha We mkal nakuombea ufike mbal
@allannittah1264 жыл бұрын
Wuehhhhh....just like our Kenyan OG, rhymes zako ni mwoto sana...wanitia wasi wasi bruh.
@dallyp92014 жыл бұрын
Yan rapcha nimekutambua mda mchache lakini so na fell nikutazame kila mda your brother unajua xana
@mjuba4 жыл бұрын
Huyu dogo ni fireee🔥🔥🔥🔥🔥 namuelewa sana💪💪
@vumbakingvumbaking95714 жыл бұрын
Mm mwenyewe nime kubali 🏁marathon
@elshaarawymuhabesh3164 жыл бұрын
Huwezi amini baada ya hii show... Nimemtafuta.... Kwa channel ake.... Mkali
@daudiwambura52144 жыл бұрын
Huyu dg nomaa sanaaa
@sakinamirooj59524 жыл бұрын
Daah Rapcha upo vzr asee
@IfahamuTanzania4 жыл бұрын
Daah huyu msenge ni hatari!!
@amanihamisi56864 жыл бұрын
Uyu ni kisanga mjini nimekubali sana sana mmh salute
@mohamedhella78994 жыл бұрын
NIMEKUBALI DOGO MWAMBA SANA
@warrenchuwa31264 жыл бұрын
Am one among those 99's RAPTCHA AND RESPECT THE OG'S
@blackmamba75534 жыл бұрын
Bango kubwa Rapppppppcha new king of 19th
@draymichael93284 жыл бұрын
The Last king of 90's not 19th
@BeniBoyTv014 жыл бұрын
Tz mu chunge uyo kijana vizuri fromo congo
@eltonjohnivyishaka294 жыл бұрын
Unaukosha moya wangu bro We ni mrisi wa Makaveli🚀💥
@picassojr81693 жыл бұрын
Rapcha kama Rapcha Next level@Made in East Africa I got some fans in Africa mtoto strict now I'm tryna make some rocks in Africa 😎😎
@gustavemwimbilwa3302 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🥁
@emanuelmgaya64924 жыл бұрын
Umetisha ngwea karudi jaman
@kilavester20964 жыл бұрын
Rapcha noma sanaa wewe unaua kinoma AME👏👏👏
@marcoluhwago73404 жыл бұрын
Rapcha anajua sana uyu masta
@mashalamusicempire11584 жыл бұрын
Chapaaaaaaaaaaaaaaaaaa shy town on the map now 🔥🔥🔥🔥
@painethochristopher47204 жыл бұрын
Young King
@bernardchibwana94114 жыл бұрын
Huyu dogo namuona mbali sanaaaaaa!!, anajua mpaka anakera
@kenallday11154 жыл бұрын
Genius boy..
@takiyuhbrwamlaza91174 жыл бұрын
Dogo upo vizuriiii Sana spati picha ety akina yanglunya wanapiga makelele tyyuu
@t.o.dentertainment29734 жыл бұрын
big up sana kwa young star #rapcha.........
@allymchopa73054 жыл бұрын
Nakupa gwala
@fredrickjohn11984 жыл бұрын
Rupture Lewis.... Pasua anga mwanaaaaa
@beatkillertv13324 жыл бұрын
My bwoy...keep it burning
@Kingnelbo4 жыл бұрын
Rapcha unaweza sana Mwanangu nakuona mbali sana sana
@ramadhanramizo97174 жыл бұрын
Mnyama mwingine mbugan @rapcha nakupa kiti kaa 🙏🏾
@brightonmhando12674 жыл бұрын
Safi sana Rapcha, nimekuelewa sana
@patrickdonald3364 жыл бұрын
Dogo unajua sana
@ahmedmussa82314 жыл бұрын
Mkaliiii sanaaa my brother
@rickythobby4 жыл бұрын
Akipata platform huyu dogo he can suprise us kweny gem
@malickndege39564 жыл бұрын
Umetixha san
@emmanuelsilungu4464 жыл бұрын
Hauwezi kuwa chini ya p funk arafu uwe na akili ndogo
@Mtamaduni144 жыл бұрын
Haha ukweli p-funk mwenyewe akili nyingi
@piuspaschal65712 жыл бұрын
Nakubal Sana kakangu
@khassimmussa10954 жыл бұрын
Daaah rapcha nakuon mbal san kak
@kambison98114 жыл бұрын
I appreciate u ma main ,,Big up
@neck04104 жыл бұрын
Rapcha killing this game
@hassanhamudy66393 жыл бұрын
IQ kubwa sana....skuamini alivyoelezea maana ya wangu wa99
@wildlifeexperience54214 жыл бұрын
Nice performers, i like
@peteromagwa73114 жыл бұрын
The young kid is a cool rapper
@abubakariselemani27394 жыл бұрын
Sanaaa
@sarmusic35344 жыл бұрын
Unajua sana mzee kuchana had kujibu maswali kujieleze upo vzr ni wachache sana mzee dua nene kwako mzee naquona mbali
@washojunior37804 жыл бұрын
...Last king of 90's 🔥
@officialssimba21814 жыл бұрын
Diamond platnumz shukuwa uyu kijana Nakwambiya uyu noma anakuzidi kimusic like hapa kama unamkubali uyu dogo
@khateebhussein65574 жыл бұрын
Sinabudi kumpa hakiyake ANAJUWA🙌
@sirajshelali62094 жыл бұрын
Dogo Namuona mbali sana ommy na akilegeza flow kidogo laini flani ivi ataliteka soko la rap kabisa.well done
@menejawamradi49964 жыл бұрын
Hatutaki tunakaza hivi hivi aiseee
@kweturaha4394 жыл бұрын
Dogo noma sana
@mohamedally77944 жыл бұрын
Nomaaaaa sanaaaaa 21 years ,, kwelii dogo ana andikaa sanaaaa
@pax64473 жыл бұрын
Last king of 90s👑
@isaackmazengo97824 жыл бұрын
I appreciate dawgo ur the best
@ommybrain96074 жыл бұрын
Rapcha ninomaaaaaaa sana kama unakubali gonga like
@Katamba2554 жыл бұрын
Tisha sana rapcha
@francismngumi51254 жыл бұрын
Achana na kuimba kwake ila jamaa anajua kujielezea sana
@franknicodemas87994 жыл бұрын
Mwanangu sana
@fatnahsaleh8604 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@wedsonmichael4064 жыл бұрын
Coming supernyota...just join WcB brow
@ezrajay95174 жыл бұрын
Mpeni battle na boshoo
@CoachYusuphMagige4 жыл бұрын
Diamond muweke huyu kijana Wasafi anajua sana naiona Africa na dunia ikishangaa Kwa Rapcha
@kabamedestrong39174 жыл бұрын
Nikampa simu kabla hajaisave namba chaji ikazima huu si ndio uchawi nakukubali broo mnaeza bonyeza kwenye jina langu hapo juu kuona pineapple video