Inshu ikiwa ya timu nyingine sheria ikiwa ya yanga ubinaadamu😢😢
@danibrahim9006Ай бұрын
umeona eeeh yaani wanajizima kwelikweli
@REGIUSMWANAWIMAАй бұрын
Apana kaka,fountain gate watakuwa kama mashahidi wa yanga"
@khadijajumanne3324Ай бұрын
Kaka umeongea kitu hakipo fountain imeipa harua ya uhamisho sima je yanga inayo yanga haiwezi kumzuia kagoma asicheze
@moiseszacariasmoisesmoisesАй бұрын
kaka wew unajuwa kufafanua vyema,ukumu itendeke😊
@MagehemaGodfreyАй бұрын
Yanga mlifungiwa kusajili walk kujihusisha na usajili mwezi wa 12na fifa athabu hiyo inaisha mwezi 6 hapo inakuwaje
@abdulkarimnassor284Ай бұрын
Huyu atakua amepita sehemu ya wavuta nyasi moshi umempitia kidogo amelewa siku nyengine pita mbali na maeneo ona sasa unabwabwaja na usichokijua
@sospeterajeleАй бұрын
Kwa mini wao wanakubali hizo Hela za maandazi?
@EmanueliWildausoniАй бұрын
Wewe kiraza kweli simba wana viongoz makin hakuna mtu anakatwa point 3 apo
@AshuraMaligwahАй бұрын
Mnatafuta matatizo tu wakati mnamsainisha c mlikua mmefungiwa kusajili au maana du hatari
@abdallahlokoikemshamu4542Ай бұрын
Ivi yanga inatesekaje kwa simba tunaifunga kila machi huyo kagoma hana namba yanga
@victorernest7702Ай бұрын
Hajasikiliza vzr rudia maelezo ya mwanasheria wa yanga halafu uje kuongea na media
@fredrickipembe8188Ай бұрын
Ukitaka tff waikate point simba watajuta mpaka mwisho wa maisha yao yote wasubutu waone moto wa nyika nyinyi wanakina lugano lopokeni tu hamjui lolote
@akrajackson854Ай бұрын
Tofautisha taasisi na mtu!! Sasa tff inajuta vipi?😅😅😅😅😅
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
sasa ww mchambia nyasi tff utawafanya nin labda na kama ikilazimika simba kukatwa point atakatwa 2 hakuna alikua juu ya sheria kwa simba yeye ni nani
@josephlorri431Ай бұрын
Unabweka nini ww dunduka..unamtisha nini.. Sheria na kanuni za ligi zifuatwe. Kolo wamezoea vya kunyonga
@drankskhally7019Ай бұрын
Huyu boya kweli atateseka sana unawaza poit 3 za kipuzi
@AlfredRutaguzaАй бұрын
Wew siku zote ni mnafiki kwa yanga
@SANJARI-r9tАй бұрын
Kunamijitu kama mizombie😅😅😅😅
@IssaMkuki-f4jАй бұрын
Yanga lipeni wachezaji wa kizawa Hela ya kueleweka sio mnatoa Hela ya mandazi hozo.
@HamisMussa-j5kАй бұрын
Kwani ni WA yanga au wa singida ww sheria ujui nenda kanyonyo Kwa mam yako
@FallyNgosyaАй бұрын
Hujui kitu kalisha . Mzigo chini huo
@IdrisaShundaАй бұрын
Wewe mwenyewe unaongea wakati umevuta bangi
@muhammadmuhammad5043Ай бұрын
TFF Ndio Chanzo Ya Migogoro Ya Michezo Hapo Kikweli Huyu Mchezaji Alikuwa Afungiwe Na Simba Inyanyanywe Pwents Na Ahmed Ali Ndio Tatizo Hajuwi Nini Akiogee YANGA Walitaka Kumuaacha Kagoma Ahmed Kusema Kijana Hataki Kuchezee Teim Ya Wazee Kaamuwa Kicheza Navijana
@mussamussa952Ай бұрын
Kwani unajua taratibu za usajili weye? Ata sajiliwaje sehemu moja wakati leseni inatoka TFF na haijatoka mara mbili
@EdwardZayumbaАй бұрын
Mbona unapata tabu sana mtafute mwanasheria wa sfg sio yusuph kagoma.
@PakatJamesАй бұрын
Utopolo watabakia kuwa Utopolo siku zote wanajitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Yanga ipo hatari kufungiwa ligi kuu kwa kusambaza nyaraka feki za mikataba.
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
imaana iyo yanga ni baba yako na mama yako inaweza kufungiwa kweli
@PakatJamesАй бұрын
@@DoreenMlay-e8g kwani si walifungiwa kusajili kipi cha kushangaza
@fredrickipembe8188Ай бұрын
Uttamfungiaje mchezaji wakati tff wao ndio waliompa leseni ya kuchezea simba kwani hawakuliona hilo mtateseka sana juu ya simba mwaka huu
@HamisMussa-j5kАй бұрын
Kwani uwa wanafungiwaje ?hvi cas Ina kazi Gani na fifa
@aminaomari2312Ай бұрын
Simba haiwezi kuitesa Yanga msimu huu,kagoma kakosea kweli mwenyewe anakiri kuwa alisaini kuna kitu hakipo sawa.Na Simba hana makosa.
@FallyNgosyaАй бұрын
Acha kuongea utumbo kama hujui mambo yalivyoenda kalisha mpangale wako chini
@simongshayo4678Ай бұрын
Mimi swali langu je TFF hawawezi kujua kuwa huyu mchezaji ameshasaini Yanga? Kama walijua kwanini watoe kibali cha huyo mchezaji kucheza Simba? Hapa kuna tatizo.
@KICHUBWATZАй бұрын
Vpo vtu anachapia anaongea kiushabikitu
@fredrickipembe8188Ай бұрын
Hao yanga mpaka sasa wamepa mshahara wake miazi mingapi hadi sasa ?
@errydeo8865Ай бұрын
Unaongea nini wewe😂😂? Pita huku!
@stanslausbereghe3819Ай бұрын
Hakuna mtu wa kujuta hapo wewe. Msikilize vizuri huyo jamaa. Mdharau mwiba...
@daudmpemba5086Ай бұрын
Yaan ww ni poyoyo kwel unajikanyagakanyaga tu Wala haueleweki unachokiongea
@martinkabazo8412Ай бұрын
Acha ujinga Nani anawajibu wa kutoa maelekezo kwa virabu kwahiyo kunatangazo au walaka kutka kwenye kamati kwenda kwa simba afu unaita waandishi unalopoka tu
@stanslausbereghe3819Ай бұрын
Huyu jamaa ni mkweli sana ila wewe umevuta nyasi, ndiyo maana kwasababu wewe huelewi.
@hassanomar8157Ай бұрын
Unaongea ujinga mavi ww
@anithawidambe7543Ай бұрын
WEWE MPUUZI SANA KAGOMA AFUNGIWE ALIPOKOSA NN? WEWE UNACHUKI NA MCHEZAJI KAGOMA KWANI TFF WANA AKILI NDY MAANA WALIPEWA KIBALI SIMBA. HUYO MWANASHERIA NDY ANAWACHANGANYA YANGA. HAZIJUI SHERIA. ACHANA NA KAGOMA.
@aminaomari2312Ай бұрын
Ni kweli kagoma kakosea kama angekuwa kasajiliwa timu nyingine angekutana na adhabu.
@danibrahim9006Ай бұрын
yaani uchambuzi wa kishamba yaani mchambuzi anaonesha kabisa ni shabiki wa yanga huezi kuficha mapenzi na timu hakuna uchambuzi hapa
@suleimanmwenyemvua995Ай бұрын
Sheria... baba huonewi😅😅😅
@danibrahim9006Ай бұрын
@@suleimanmwenyemvua995 hakuna kitu apo huyu namfuatilia sana cyo kwa kagoma tu yeye ni kuisema simba negatively ko jinsi anavyoongea hata sishangai kabisa akiongea huyo ni yanga
@IssaMkuki-f4jАй бұрын
Mwaka huu yanga ni mateso mno na bado Hadi machozi ya damu.
@vaxminja9053Ай бұрын
Yanga itapataje mateso wakati mmecheza na Yanga ikawafunga?
@Zaynab-ny6grАй бұрын
Mateso yapi sasa??😂😂😂
@suleimanmwenyemvua995Ай бұрын
Tripoli Lobbys utatoka??!😅😅😅😅
@aminaomari2312Ай бұрын
Mateso gani sasa?
@DoreenMlay-e8gАй бұрын
yanga atoe machozi ya nin sasa wee mavi nini? endeleeni kujjchanganya 2
@HitamiIbrahimuАй бұрын
😢wewe mkundu boya wewe hata hujui unachosema shoga wewe
@KhamisAli-h2oАй бұрын
Nyie yanga ni wajinga mmeshaambiwa kama mmemlipa Kagoma hela yoyote valeted document au mnataka Kagoma acheze bure bila malipo
@snipershort6988Ай бұрын
Kagoma sio mbuzi ni binadamu kwaiyo huo ni mtego Kagoma atawaingiza mwenyewe, kaeni kwa kutulia watu akili ni nyingi