Ratiba yangu ya siku za kazi jeshini marekani🇺🇸 kama 12N. Vlog my whole day.

  Рет қаралды 5,236

Mshana The Blacksmith

Mshana The Blacksmith

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@IbrahimKimath-u9z
@IbrahimKimath-u9z 23 сағат бұрын
Poleni kwa kimbunga aisee. Ulipiga kimya sana nikashtuka nikawaza mkali wetu kachukuliwa na maji ya kimbunga.
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Asante Alhamdulillah tupo salama
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 18 сағат бұрын
Kaka mshana inaonekana unauzoefu sana wa marekani sindio..?? Mashalah since umekuwa marekan now days unaijua mitaa balaa sindio kaka mshana.. mashalah unapata sana experience
@issakhamis9581
@issakhamis9581 Сағат бұрын
Wew nikama chambo chawazungu wew jipaeishe tu welcom to palestin tukunyooshe
@HildaadrianMsindo
@HildaadrianMsindo 18 минут бұрын
Au Gaza 😂😂😂😂
@JakoboKazilo
@JakoboKazilo 13 сағат бұрын
Respect kwako Broo,, una ni-I slayer sana hata isipokuwa kwangu kuna haya ya watoto wetu kuwaandalia mazingira ya us arm kwa baadae
@Zenny89
@Zenny89 8 сағат бұрын
Kaka kuwa mwangalifu unavyojirekodi motor pool na kwenye Base compound..sio kila kitu ni cha KZbin..Najua wewe ni mpya kwenye Jeshi. Usije ukapata Article 15.
@issakhamis9581
@issakhamis9581 Сағат бұрын
U S A ndio inaoongoza kwakupiga nchi zawatu MWENYEZIMUNGU aliangushe taifa lamarekani kwani wao naisrail ndio wauwaji wakubwa hao hapo mashariki yakati
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 Сағат бұрын
Brow Mungu akubarik sana
@casillascicero7944
@casillascicero7944 21 сағат бұрын
Vipi kaka, content safi kabisa, ukishajiungana jeshi, inachukua muda gani ku qualify kununua nyumba kupitia ile VA loan na hiyo motgage pia ni jeshi inalipia kila mwezi kama BAH endapo unaishi kwenye nyumba hiyo especially kama umeoa una familia
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 16 сағат бұрын
@@casillascicero7944 ukimaliza mafunzo tu unakuwa umesha qualify kutumia VA loan mm naweza kuchukua nyumba now ila sio priority yangu kwass ndomana kama unani follow insta nilipost video nikisema jeshi la US linakupa vitu vingi kwa wakati mmoja na hujui uanze na kipi unakuwa confused 🙏🏻😃 kisha Kulipa Morgage unalipia mwenyewe uzuri unapewa pesa ya BAH so utatumia hiyo kulipia morgage kila mwezi. Problem solved no stress no harm 👊🏼
@emmanuelmgaya6868
@emmanuelmgaya6868 2 сағат бұрын
Mungu akutangulie, ufike mbali
@ChoroTesla
@ChoroTesla 17 сағат бұрын
Truck za huko xinakua Manual au automatic sana sana military truck
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 14 сағат бұрын
Ni Automatic kila chombo cha usafiri na cha kivita USA ni automatic angalau vyote nilivyoviona huku no manual
@erastoelias524
@erastoelias524 15 сағат бұрын
Hiv mshana,, kuingia Jeshi kwa upande wa US kuna ugumu gan ukilinganisha na Tz. Tz kupata Jkt ni 🙆🙆
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 14 сағат бұрын
Nishaongelea hii topic ktk video zangu please tazama
@kevinmushi8209
@kevinmushi8209 18 сағат бұрын
Kuma make mwanaume kazini USA ARMY 🇺🇸 🎉
@annamussa185
@annamussa185 2 сағат бұрын
Jamani😅😅😅
@RoseAmilet
@RoseAmilet 11 минут бұрын
Anatukana huwenda hapo Huna hata mia
@Harushanny
@Harushanny Күн бұрын
Wakwanza leooo😂😂❤ Tupo pamoja ka Mshana
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Karibu na Asante sana, umeona tangazo langu insta?
@abubakariemilian9125
@abubakariemilian9125 23 сағат бұрын
This time around you drive Car alone..! Damn, One step ahead.
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Yes kila kitu kinawakati wake just one step at a time 💪🏻
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 18 сағат бұрын
Mashalah mashalah mashalah.. Kaka unanitamanisha kuja uko marekan nije kupambana namimi ..bythe way naipenda sana jeshi yan..ilikuwaga ndoto yang kabisa yani mim kuwa mwanajesh... inshallah namim nitakuja kupambania ndoto zangu uko marekani inshallah..
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 3 сағат бұрын
Je Kuna tofaut gani kat yako na navy seal
@godblesshudson1564
@godblesshudson1564 23 сағат бұрын
MJEDA MBONGO AKIFANYA VIDEO KAMA HIZI SIDHANI KAMA ATA-SURVIVE
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Kweli? USA wanajeshi wanaotengeneza content wamejaa ktk social media pia ni njia moja yakuwajuza watu kuhusiana na jeshi lao pia kupenda kazi hii. Watu wasifikitie ni kwenda vitani tu.🙏🏻👊🏼
@BuhetySharia
@BuhetySharia 21 сағат бұрын
...kaka ivi ukiwa umewahi kufanyiwa upasuaji unaweza kukosa kuingia jeshi
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 20 сағат бұрын
@@BuhetySharia ndio ingia instagram angalia nimepost majibu ktk insta story yangu now!
@ChoroTesla
@ChoroTesla 17 сағат бұрын
Kaka jeshi letu la kijamaa changamoto wanajeshi wamarekani kwao si noma wanaonesha how powerful they are wanaposema jeshi bora wanamaanisha sio jeshi la kufanyisha watu usafi kwenye mitaro kuogopa watu wasiamdame watu hawana hata sindano
@abdulkareemchande7204
@abdulkareemchande7204 8 сағат бұрын
TZ uprimitive mwingi kaka​@@mshanatheblacksmith
@gwantwamwalyaje8515
@gwantwamwalyaje8515 12 сағат бұрын
Mm Nimekuelewa Mnoo Nakuombea Upandishwe Cheo Ufike Mbali
@BakaryOmally
@BakaryOmally Сағат бұрын
Mnasaidiaje kupunguza migogoro Africa ?? Na vp hamtumiki kweli maana kila sehem mupo
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 21 сағат бұрын
Pamoja brother
@ZachariaMhondo
@ZachariaMhondo 16 сағат бұрын
YES BRO NKO OMANI MUSCAT 🇴🇲 🇹🇿 NAWEZA PATA NO YA CM
@neemtumain
@neemtumain 23 сағат бұрын
Hongera bro
@feresianlugera-it8vh
@feresianlugera-it8vh Сағат бұрын
Hivi kutoka bongo mpaka .america ni kiasi gani inacost kaka haijalishi umefikia marekani ya wapi ili mradi umefika marekani ni kiasi gani?
@MohamediIsdori-l3o
@MohamediIsdori-l3o 3 сағат бұрын
Mjesh wa kibongo achek cheki ovyo lakini marekani gud tu mtu anaongea kwa kurelax
@omanhh2875
@omanhh2875 Күн бұрын
Kila lakher katika upambabaji kaka
@binabeid3980
@binabeid3980 22 сағат бұрын
Yeap bro hongera sn ila nikulizee k2 iwapo umetowa meno km mawili mpk matatu hawazinguwi wkt unajiunga jeshi
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
No that is just African Military bullshit😂 hiyo kwa US sio sababu yakukataliwa kuingia jeshi 😅
@tatumzelela5515
@tatumzelela5515 Сағат бұрын
Bro mshana samahani mimi nilikuwa nauliza kwamfano umeishia kidato cha nne ukaomba green card ukashinda ukaandika work experience ya miaka miwili kwamfano mimi wakala wa airtel money utakapojiunga na jeshi lazima useme wewe ulikuwa ujafanya kazi gani ndio kitengo utakacho dili nacho hapo jeshini baada yakumaliza mafunzo sasa mtu ambaye anaelimu hiyo na hakubahatika kwenda chuo ataingia jeshini akiwa kama nani? Ni hilo tuu swali langu bro
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 Күн бұрын
keep it up braza
@annamussa185
@annamussa185 2 сағат бұрын
Kaka ni mchana nina umri wa miaka 32 nataka kuwa Truck Driver unanishauri nini?
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 15 сағат бұрын
Ww nakuombea ukutane vire na RUSSIA MOTO UWAKE🎉🎉🎉🎉🎉
@nizarrama225
@nizarrama225 4 сағат бұрын
atageuzwa kuwa majivu kama wenzake wanavyogeuzwa kuwa majivu 😂, chezea Urusi wewe!
@credonolasco4981
@credonolasco4981 Сағат бұрын
Napataje kazi ya jeshi huko??
@chakupewaonlinetv7045
@chakupewaonlinetv7045 4 сағат бұрын
Kwaiyo huyu akija uku ni raia
@manbo5245
@manbo5245 Күн бұрын
Blessings
@amosmahona433
@amosmahona433 2 сағат бұрын
safiiiii
@mangofish9079
@mangofish9079 14 сағат бұрын
Kule Tz ukivaa tu nguo zinafanana na jeshi unaadhibiwa sikwambii uchukuwe video kama hivyo.
@catherinendunge734
@catherinendunge734 Күн бұрын
Hi Kaka, Uko state gani?
@FredMwamgogwa-td6ni
@FredMwamgogwa-td6ni Күн бұрын
Bosss vip
@gabrieltito8458
@gabrieltito8458 Күн бұрын
Kka wwe ni mfano wakuigwa mpo wa chache sana dunia wenye moyo kama wako🫶🏽
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Asante sana ndugu ila maneno yako yanatia hamasa 🙏🏻💪🏻
@Lailath-s5y
@Lailath-s5y Күн бұрын
Je mshana mfano mtu umefanyiwa uparation za uzazi je unaweza jiunga jeshi?
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Yes unaweza fika kwa recruiter uongee nao
@naimuothman3493
@naimuothman3493 Күн бұрын
Hakuna matata my friends
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 14 сағат бұрын
I love teaching people some swahili kidogo😂
@ILHVLOGCAST
@ILHVLOGCAST 22 сағат бұрын
Mshana hivi kwa mos yenu unaweza kupata CDL?
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Yes 💯 % una apply tena hulipi gharama yoyote kama raiya wakawaida hulipa $5000+ DMV ukiwa jeshini $0👍
@ILHVLOGCAST
@ILHVLOGCAST 13 сағат бұрын
Sawa mike basi mos yangu itakuwa 12N 😂 maana shida yangu ni kuja kupata CDL​@@mshanatheblacksmith
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 14 сағат бұрын
MashaAllah
@GodfreyJonathy
@GodfreyJonathy Күн бұрын
Bro ivi naweza kuaplai kujiunga jeshi la malekani nikiwa bongo??
@Bernacrypto
@Bernacrypto Күн бұрын
Jeshi la Marekani hauwezi labda la UK
@rashidyussufsaid6575
@rashidyussufsaid6575 23 сағат бұрын
Samahn mi naomba kujua tofauti ya army na marine
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
@@Bernacryptojibu sahihi kabisa
@ChoroTesla
@ChoroTesla 17 сағат бұрын
​@@rashidyussufsaid6575army ni jesh la nchi kavu km unavyoona JWTZ ila Marine ni jeshi la wanamaji kibongo Km navy kigamboni
@Ngwalithegreattrainer
@Ngwalithegreattrainer 22 сағат бұрын
🤝
@ILHVLOGCAST
@ILHVLOGCAST 22 сағат бұрын
Mos ya watu wa truck ni 88mike (88m)
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Yes you’re right🙏🏻asante. Upo jeshini nn?
@ILHVLOGCAST
@ILHVLOGCAST 13 сағат бұрын
​@@mshanatheblacksmithno sipo jeshini sema soon nitaingia huko innshallah.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 сағат бұрын
Kwaiyo wewe unatumwa na makuma Kuja kutuuwa wa Africa wenzako pita kule
@bennylove6021
@bennylove6021 12 сағат бұрын
Kwani jeshini ndevu sio uchafu?
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 4 сағат бұрын
Kikatoliki
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 19 сағат бұрын
👍👊✌️.
@NzeyimanaDjuma-k8i
@NzeyimanaDjuma-k8i Күн бұрын
Good job broo
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
Asante
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 22 сағат бұрын
Samahani kaka ivi wakigundua unajirekodi aiwezi kuwa msala kaka from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 21 сағат бұрын
No jeshi la USA linajua kutufunza kutofautisha taarifa hatarishi na kutorekodi information hatarishi kuna course huwa tunasoma pia jeshi hili ni la matangazo sana wana social media content creator wengi sana kulitangaza jeshi kwa raiya wakawaida na nini linafanya 🙏🏻
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 20 сағат бұрын
@@mshanatheblacksmith ok sawa nimekuelewa ila mwamba saiv mambo ni mazur sana so vip kuhusu group la whattsp ili tusaidiane mawazo na tufikie ndoto pia 🙏
@mshanatheblacksmith
@mshanatheblacksmith 19 сағат бұрын
@@Americabeautifulland najua tumekua tukiongelea hlo naangalia njia nzuri ya kufanya hvyo maana sitaki kukurupuka likawa halina maana tena japo tuna nia nzuri
@Americabeautifulland
@Americabeautifulland 19 сағат бұрын
@@mshanatheblacksmith ok thanks mshana mungu akujalie broo uzidi kupanda zaidi ya hapo tupo pamoja sana from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole 12 сағат бұрын
Poa jomba
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of 6 сағат бұрын
Email please
tagesschau 20:00 Uhr, 09.10.2024
16:26
tagesschau
Рет қаралды 186 М.
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 90 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 9 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 28 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 43 МЛН
CHANGAMOTO TULIZOKUTANA NAZO BAADA YA KUFIKA CANADA..PART 1
14:05
Review ya Gari yangu mpya “God did it🙏🏻” Mazda CX30.
17:22
Mshana The Blacksmith
Рет қаралды 2,6 М.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 15 М.
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09
Chadema Media TV
Рет қаралды 2,3 М.
I regret taking loans to build my man a house, and then getting dumped | Tuko TV
1:03:02
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 90 МЛН